Kwani Hivi Ni Wema Sepetu Pekee Ndie Anavuta Bangi Ama Alieshikwa Na Bangi Pekee Hakuna Wengine Wanaovuta Bangi Huyu RCmakonda Anataka Nini Hasa Na Mali Za Watu Mateja Kibao Mitaani Wanavuta Bangi Ila Yeye Anaona Watu Na Pesa Zao Ndio Wakukamata... PaulMakonda Hizo Laana Zitakumaliza Wewe
Hahahaaa my Wema Sepetu ume waeza mummy...Aisee nakupenda Buree
Kwani Hivi Ni Wema Sepetu Pekee Ndie Anavuta Bangi Ama Alieshikwa Na Bangi Pekee Hakuna Wengine Wanaovuta Bangi Huyu RCmakonda Anataka Nini Hasa Na Mali Za Watu Mateja Kibao Mitaani Wanavuta Bangi Ila Yeye Anaona Watu Na Pesa Zao Ndio Wakukamata... PaulMakonda Hizo Laana Zitakumaliza Wewe
Mbarak Farid yani ni sheeeeeeeeedah!
Wema nakupenda hadi naumwa, umenichekesha eti pigeni pcha adi mchoke😂😂😂
pole mammy wema
doh nimecheka leo wema kweli bado hujakua mamy ha ha heti pigeni picha zenu mpaka mchoke 😂😂😂
Kweli lkn wamezidi hao waandishi wahabari
safi sana wema umewakomesha
hahahaa
Eeh wema hao uwaone kama kinyaa kukuandama
Hahaha wema.umenuacha hoi mumy
hivi mastar nyote mnaishia kufungwa
😅😅😅😅😅😅😅😅❤❤
Macho Kodo Na Mali Za Watu HunaLolote Mwanga
Mbona wamuonea mtt wa watu kila kukicha amumpi amani
Hili nalo lifungwe pia
good wema bila wewe awapat mshahara hao watalala njaa
bongo movie itaendeshwa ni nani tanzania imekua ni inchi ya laana ss
Media can really frustrate you😂😂
duuuu
good wema bila wewe awapat mshahara hao watalala njaa
Happiness Mataluma haki nimecheka sana