Chris Mwahangila - Nitetee Gospel Song SKIZA*860*655#
Вставка
- Опубліковано 21 січ 2018
- Chris Mwahangila presents his latest gospel song "Nitetee".
Kwa Mawasiliano
+255 716620000
+255 756068844
GMAIL:chrismwahangila@gmail.comKwa Mawasiliano
+255 716620000
+255 756068844
GMAIL:chrismwahangila@gmail.com
Whose listening to this in 2024?
I do listen to this song.
Mungu atutetee..
Nitetee Mungu❤
2024 am still here, everyone praying God to fight their battles hit like and shout amen
Amen
Amen
🎉@@veronicawanjiku1763
Niliimba huu wimbo 2019 si usiku si mchana wakati kila mtu amenitenga, naniko na mtoto wangu halimaututi 1month in I.c.u without any change, sikukua hadi na nguvu ya kuomba lakini kupitia huu wimbo mungu alishuka na aka ni tetea hadi watu hawakuamini, thank you God 🙏 🙏 🙏
Its 2024, let this be your break through year in Jesus name, Amen
Nitete Mungu wangu, what an awesome song
2024 and still listening to this song 🎵 Lord fight my battles and my enemies 🙏 i am trusting the Lord to open doors this year AMEN
My Kenyan brothers and sisters wapi likes za hii song
Nitetee Mungu wangu siwezi bila weww ,,shuka Mungu fungua njia pasipo kuwa na njia,,maadui zangu wote wanyamanzishe wote eeh Mungu,,,Nenda mbele yangu Mungu,Na nitashukuru
Am here to testify,some days ago I had no money to clear my third year fees .I was Soo helpless,coz there is no way ungefanya papers without having cleared .
I remember this song and locked myself inside my room ,cried helplessly asking God anitetee ,I cried like an hour helplessly yaani unalia kama mtoto crawling kwa floor .I checked my phone later to find someone had sent me the remaining balance and extra cash .
God do tetea watu ,he says am close to the broken hearted ,trust me he is .
It may seem like it's done on your side ,but God hatumiangi watch same na yeti .
Be patient.
Amina, 😭🙏
Amina
Amen
Whoever will listen to this song sing it like a prayer before the LORD for HE is a man of war you shall be victorious.
Thank You Lord... keep fighting for me and my family
I always listen to this song countless times , it removes stress
Amen
OKAY.
Ahsante Sana kwa wimbo wenye ujumbe mzito. Hakika hatuwezi sisi wenyewe! I can't stop listening this song! Ooh my God! You always bless the blessed ones! Nitetee na Mimi nikasimame kati ya wabarikiwa! Siwezi peke yangu. Amina📖📖📖
Ubalikiwe sana
Ninao ushuhuda katika wimbo huu! Nilimuona Mungu katika viwango vikubwa mno. Asante sana, Mungu wa baba zetu, Ibrahim Isaka na Yakobo. Litukuzwe jina lako, Mungu uliyeumba mbingu na dunia, Utukufu ni wako. 🙏🙏🙏 Ninakushukuru kwakuwa hukunitetea tu, bali uliniweka katika viwango vingine!
AMEN. HABARI NZURI MUNO.BARIKIWA DADA
Amen
A true definition of gospel, inspired by the holy spirit of God,it inspires,uplifts and gives hopes all the time!
True
That song touch my hurt when I listen,nitetee I love that song
Waaau napenda wimbo huu sana.mungu atatutetea kwa kila jambo.juu yeye Ni mwaminifu kwetu.amen
Emma from Kenya I'm really touched by this sound 🥰🙏nitetee mungu wangu nipe peace of mind eeh mungu wangu 🙏 I love it 🥰 God bless you my brother
Ni imani yangu kwamba Mwenyezi Mungu wangu tanitetea,mwishowe maadui wangu wote wataaibika watapoona nimeinuliwa na Mungu wangu.A very good song.God bless u my beloved bro Chris.
Nilisikia hii mwimbo Mara Mya n'a zaidi, na Mungu amenitetea kweli.
Amen 🙏🙏
🙏🇰🇪nitetee mungu wangu 🤲 fanya ktu bwana wakutambue , mob bless katika maishayangu bilayeye sitaeza
Listening to this song, and one of my prayer items is NITETEE MUNGU, sincerely we live in a world that is immersed in wickedness and if God does not come through to vindicate you, you can be immersed in the evil and shame that is after you.
I agree with you sister. Let us submit to HIM that HE may defend us during this time of evil. He is faithful.HE WILL DO IT FOR US. AMEN
Que soit mon avocat, mon défenseur, mon bouclier, soit devant moi mon Dieu. "Mungu unitetetye" montre toi dans ma vie pour que le monde sache que tu es avec moi....
Nitetee mungu wangu safari yangu imejaaa vita kubwa bila wewe siwezi🙏🙏🙏🙏
Amen Amen,When God defends us,no weapons formed against us shall prosper
Am still listening this song Nitetee and it sounds fresh in 2024 may the Lord fight for me for those who fight against me🎉🙏💪
Nitetee Jehova.......Feeling encouraged
ooooh lord GOD,,,,What a lovely song,,,i know without you am nothing bt can do all things through Christ who strengthens me,,,,Fight my battles oooh lord
Nitete Mungu wangu ....2021 still here....Any person reading this may the Almighty locate your peace and harmony 🙏...you wll make it God's name
amen
Amen
Amen🙏
Amen
Amen 🙏🙏
Nitetee Mungu wangu,mwaka huu 2019 ukawe wa baraka na mafanikio makubwa kwangu.
Nitete mungu wangu nitakapo uanza mwaka 2021 uwe wamafanikio kwangu
Nimesikia minongono ya adui zangu, wengiii wanasema tuone atafika wapiiii?? Fanya kitu BWANA WAKUJUE ....Niteteee MUNGU...
Be blessed bro
nitete mungu wangu kwa kila Hali mungu nko na mengi
Nice song
Mungu yupo
Nitetee Mungu wangu huu mwaka.Be blessed Chris kwa hicho kibaji Mungu amekubariki nacho.
MUNGU wangu nakuomba unitetee mimi na family yangu 👏👏👏👏👏
Merry Jonasani Atakutete.a.MuNGu
Amini na uoMbe
Unitete mungu huu mwaka 2021
Enda mbele yangu nitetee bwana wangu🎶🎶🎶
I love this song from earth back to the moon.
You bless me man of God
Amen.... from Kenya
Niteteee Mungu Wangu🙏
Ameeeeeeen.. Wapi likes za wana WA mungu.... Wacha mungu wetu atutetee maana hatuwezi bila yeye
Aman
Good job kaka kwa kazi nzuri.
Kweli namkubali huyu mwimbaji, anatupa ujumbe mzuri
@@christophermwahangilaofficial kweli ukijaliwa karama usiache kuichochea
Josephine Mwambe amen
Nyimbo zako zanimbariki sana....mungu aendelee na kukubariki na kukuinua katika kila hatua unayochukua katika uimbaji wako
Mungu wa ajabu mwenye neema Tele hutukinga na mabaya yote...I love this song and I listen to it every day.. inaponya kinonda ya roho. God bless u
Naomba Bwana Yesu unitee maana bila wewe siwezi hizi vita.Be blessed
Who's here 2020 still listening to this beautiful song... Mipango yao kwangu sio mizuri nitetee mungu wangu🙏
I'm here today
This journey it has never been easy on me...where unapata fitina na vita ndogo dogo hazina maana only to be hated..rejected...yaani huonekani ka binadamu kamwe. But because of God soldiering on and not giving up Mungu anakutetea and I can testify on this Mungu tu ameniwezesha....And now I will conquer by the time am finishing my contract ....Niteteeeeeeeee MUNGU AMEN
Nitetee Mungu wangu
Nenda mbele yangu Mungu wa Mbiguni....Amen!
Amen
God bless you servant.Hakika Mungu hupigania watu wake🙏
I am trusting God to fight the battles for me in Jesus' name. - Zambia
Very true, i saw God defend me among more than enough times ...nitetee mungu wangu kila siku ya maisha yangu.
Love the song" God fight for me make my enemies wonder" I feel much blessed
Mm. N
. bnm.nbb
Indeed ,,, very powerful song,,,My Lord please Fight for me ooooh my lord
@@floridaamwira512 up
Amen🥰🥰
Amen and Amen 🙏
Please God here me out, you know what I go through. Nitete
Nitete.mungu Wangu.....2024 God fights for me and my son😢
I absolutely love this song only you lord can fight my battles and victory only comes from you father beautiful inspiring song be very blessed chris🙏🌹😇
I love your songs Christopher . l play them in my house always. You really Bless me with all these songs and especially Mungu no Mungu tu, Nitete & Yesu yuko hapa. May God continue to Grace you and you lovely wife and kids more & more
All the way from NAKURU Kenya
Virginia kariuki lovely 🙏🌹
@@virginiakariuki6479 yes I also love MUNGU NI MUNGU TU I rewind it so many times wen am home it lifts my spirits always🙏👍
@@maureenbisieri6776 lam telling you Mungu ni Mungu ti, is our anthem. My children sing the whole song. I was once working in Eldoret and was walking long distance to work. I would use ear phones listening that song all the way and l enjoyed walking. Its amazing
Nitete mungu wangu nakuomba mungu safari yangu imejaa vikwazo barikiwa mtumishi wa mungu
Amina nitetee mungu wangu pambana na wanao pambana na mm
Amen
Barikiwa
Nitetee Mungu Baba ...😢😢😢😢😢I'm in Niederösterreich Vita vikali
Niko hapa bwana niteete yesu, nipikaniye papa yanyu
According to the report from my Doctors is that l'm suffering from a condition called highper thyrosis but only do I believe the report from my God 🙏🙏 HIS PRAISE Will continually be on my mouth because He always defends me from sickness and diseases.I have fully given my life to Him.Praise God with me. Amen
Be blessed
You are healed right now in Jesus' name
I. Love your songs always listening from Dubai 🤩🤩🤩🤩🤩may God bless you
I also send my greetings from Dubai
i also send my greating from kilungu
Nitete Mungu wangu safari yangu ina vita kubwa kumbuka nchi yetu Kenya huu mwaka simama na sisi baba #peace what we need one nation one tribe one
Amen 🙏.niandalie meza mbele ya watezi wangu ninywe Nile ..
Much love from south sudan i really love n appreciate your ur songs all 🇸🇸🇸🇸🇸🇸🇸🇸
Nitetee Mungu, mahali niko siwezi pekee yangu,, nakuomba Mungu wangu unitetee🙏🙏🙏🙏nabarikiwa na huu wimbo nikiwa Saudi Arabia,, hakika Mungu ananitetee katika majaribu yangu,, kazini Kwangu Nitetee Mungu wangu
Rose Yesu Kristo wa Nazareth akutetea na kwa Damu Yake akulinde
Mungu akutetee
Nitetee eeh Mungu wangu ,naona unazidi kuniweka viwango vingine, I like this song alot...!!
Mungu asipotutetea, basi ni nani balozi wetu..... Amina, barikiwa mtumishi wa Mungu.
Amen ni tetee mungu wangu pamoja na jamii yangu maadui zangu wamenizingira Kila upande
My all time song" nitetee mungu wangu" thanks my brother Chris na mungu akubariki zaidi na zaidi.
Tunatakiwa
Adui zangu wanitegea mitego mibaya lengo loa kwangu wanataka waniangamize
True,with God everything is possible.Amina Amina.
majangili ni wengi,mungu tutetee hata mwenye unadhani ni rafiki kumbe
Nitetee mungu wangu nakuomba mungu safari ya wokofu wangu ni ngumu san.a kila ni kijaribu dhambi ya nisuiya nitetee mungu wangu hata warabuni bila mkono wako sitaweza peke yangu nishike mkono yesu mm nikikushika nitachoka Amen mtumishi wa mungu ubarikiwe sana🙌🙌🙏
Mungu aku
Amen
Ni kweli mungu wangu nitetee na wote wenye kumutumainia bwana
Hata mm niteteee mungu wangu na familia yangu
Mungu wambinguni akubariki sana
Mungu nitete pamoja na familia yangu na Jamii yangu yote.
Sifa na utukufu zimrudie Maulana! Manake bila mola hatuwezi! Thanks brother for this massage! B blessed!
Nitetea Mungu wangu nakuomba
You're my best singer of the gospel in Swahili your songs have powerful massages may the holy spirit keep on inspiring you
Amen amen amen amen gloire à toi Jésus Christ de Nazareth 🇨🇩🖐🖐🖐🖐
Nitetee mungu wangu ata kwa magumu ninayo yapitia
Amen GOD be with Kenyan on the national election that we are waiting.. .. Amen..
Ameeeen wimbo huu umenifariji Leo nime hamuka nakuhmba mungu anipikiniye Asante kwa hi wimbo
Am greatful for knowing my enemies....but dear lord nitetee is your time to fight for me
Nitetee Mungu wangu from Nairobi still watching
Oh Lord hear my prayer! Bila wewe sitafanya chochote, mimi siezi chochote. Nitetee Mungu.
Mungu nitetee nimechoka kulia😭😭😭 huu mwaka uwe wangu wa baraka. Naomba nitetee🙏
Asante Mungu kwa wimbo huu, God bless Chrs Mwahagile.
Siwezi peke yangu Baba.
Amen mtumishi..
We love You From Kenya 🇰🇪🇬🇧
Good song.i fill healthy to be closer to God
Dear Christopher you really inspire me with your Gospel music I always listen to your music. I love you here in Zambia Central Africa.
😘😘😘😘😘😘😘
So much
hallelujah well done nitetee mungu wangu torch me God amen wonderful song 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Amen. Mungu yu mwema. Hunitetea kila wakati ninapopitia shida. Utukufu kwake yeye tu. Blessed with the song.
Im American & I love this Song. Its so Beautiful. Kenya is Nice, love the Clothing blue.
The song & composer are from Tanzania.
I can play it 20* in order to be blessed..... love it
NABARIKIWA MNOOOO MTUMISHI
Mungu wangu Niko n ushuhuda ya kuwa umenitetea n watoto wangu n bado naomba unitetee kwa hii vita vya maishani
You always sung with alot of passion...Mungu azidi kukuinua
Nani mwingine inasikiza 2020 mungu atutetee.....likes hapa tukieda....
Nitetee Mungu nitoke ng'ambo nikiwa mzima licha ya majaribu ,asante bro kwa ujumbe barikiwa sana ,
Nitetee Mungu wangu bila wewe siwezi. Mungu akubariki Sana mtumishi wa Mungu Christopher mwahangila
Keep the good work for the Lord up and burning.
Tunabarikiwa sana na nyimbo hizi nzuri za injili.
Lovely 🌹 touching indeed.anytime I feel blessed because of this song greatful dedicated to all my loved ones
Uri umuhanzi muri bake kwisi wambara neza,uririmba neza,ndagukunda cyane.
quite an inspiring song (NITETEE MUNGU WANGU) Carries power from inside😂😂
Glory to God thanks for this song
Nyimbo hii ni nzur Sana mung akubariki mtumishi
Nitetee mungu wangu you are only my father thank you for good songs 💪💪💪
Nitetee MUNGU wangu katika mapito yangu nakuomba baba yang 🙏🙏
Nimesikia minong'ono ya adui zangu wengi wanasema tuone atafika wapi,,,nitetee Mungu wangu
Chris your songs are amazing
Amen mungu nitetee wimbo unabariki tena sana
Nitetee mungu wangu Maputo na majaribu ya adui zangu yasinivunje moyo
Inspiring messages, dedicated to all Kenya Defense Forces, Defending Kenyan boarders n those patriotic men n women in Somalia. Your doing a good job n we what it means to be in front line. God bless you.
Nice song. Lyson Banda from petauke Zambia
Tutete pamoja na familia zetu God bless u for a beautiful song like this.
Oooh Amen such a blessing. Niteteee mungu wangu🙏🙏🙏
nitetee mungu wangu amen wonderful song may God bless you 💪💪💪
Nitetee mungu wangu nimepitia mengi nimeona mengi ,,,nionekanie😢