SHUKA TUKUONE MUNGU WETU BY SIFAELI MWABUKA. Shuka Tukuone - *811*239#

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 чер 2018
  • #254799200738 #sifaelimwabuka #shukatukuonemunguwetu
    Music by sifaeli mwabuka performance SHUKA TUKUONE MUNGU WETU (©) MWABUKA MEDIA LTD 2024
    Subscribe for more official content from Sifaeli:
    / sifaelimwabukaofficial
    Listen to Sifaeli mwabuka
    UA-cam: / sifaelimwabukaofficial...
    Audiomack: sifaeli mwabuka
    Apple Music: sifaeli mwabuka
    Spotify: open.spotify.com/artist/1o3pL...
    For more information booking Sifaeli mwabuka
    : WhatsApp+255769553055
    call. +254799200738
    Email: mwabukamedia@gmail.com
    ©2024 MWABUKA MEDIA LTD,all lights reserved

КОМЕНТАРІ • 3,8 тис.

  • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
    @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  3 місяці тому +25

    SKIZA TUNE-Kuhesabu siwezi DIAL *811*117# ok
    SKIZA TUNE-Naomba Mbingu zifunguke - DIAL *811*457# ok
    HIZI HAPA NYIMBO 50 ZA UPONYAJI -link below gusa hapa chini listen all.
    ua-cam.com/video/6ZlC5yQ5AOg/v-deo.htmlsi=aMw5gZvAJzIdF06u

    • @HalimaEdson
      @HalimaEdson 2 місяці тому

      Halima edson

    • @user-bb7yw6lz8f
      @user-bb7yw6lz8f 2 місяці тому

      Shuka Mungu nikuone

    • @user-wx8wn5vt5m
      @user-wx8wn5vt5m 2 місяці тому

      Nashukur sana mtumishi huu wimbo ulinisaidia sana mume wangu aliumwa na alikua kwenye Hali mbaya sana akiwa hosi nikirud nyumbn nlioiga got nikiimba huu wimbo kwa uchungu na Imani na Mungu alitenda miujiza mume wangu alipona ... ubarikiwee sana 🙏

    • @gertudenzikobankunda3978
      @gertudenzikobankunda3978 Місяць тому +1

      😊

    • @JackyneJirongo
      @JackyneJirongo Місяць тому

      😅

  • @zacharyndungu9161
    @zacharyndungu9161 5 місяців тому +59

    Wangapi tunaskiza huu wimbo 2024???

  • @kabwebarume4028
    @kabwebarume4028 9 місяців тому +51

    Kama uko natazama iyi nyimbo mu 2024 jua Mungu amekushukia nauseme âmen

  • @FarajaSamweli-dc5kj
    @FarajaSamweli-dc5kj Місяць тому +9

    Kama bado una msikiliza huyu baba 2024 🎉

  • @mercymusenya9199
    @mercymusenya9199 2 місяці тому +9

    Kama unatazama hii wimbo 2024 shukuru mungu wako🙏🙏

  • @user-ek2tu6ve3b
    @user-ek2tu6ve3b 2 місяці тому +14

    Baba naomba ushuke mwaka huu unishike mkono ndio nipate kazi

    • @mercylynekadaga5579
      @mercylynekadaga5579 Місяць тому

      Utapata kwa jina yesu

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  Місяць тому +2

      Amen nakuombea Mungu akukumbuke katika hitaji lako,Thanks for following up with my work.In all platforms use Sifaeli Mwabuka.Please like, subscribe and share with others. Be blessed more

  • @njerindungu643
    @njerindungu643 Рік тому +8

    Am here 2023 yesu shuka kwa maisha yangu na taifa la kenya hii mwaka 🇰🇪❤️

  • @secregen7219
    @secregen7219 Рік тому +12

    Kama unatazama huu wimbo 2023,shukuru mungu ..Mungu ameona shida zako zote...Na huu ni mwaka wako

  • @BrendaTindi
    @BrendaTindi 4 місяці тому +14

    Nani yuko huku 2024

  • @user-zo4ts6qj7g
    @user-zo4ts6qj7g 2 місяці тому +8

    2024 Niko hapa Tena kusema kuna matumaini bado🫂

  • @mercyamon4171
    @mercyamon4171 2 місяці тому +14

    If you're here 2024 still listening to this song cheers🎉🎉

  • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
    @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  Рік тому +18

    ASANTENI KWA SUPPORT MUNGU AWABARIKI/ THANKS FOR WATCHING MY VIDEO BE BLESSED MORE, SHARE WITH YOUR FRIEND 💕❤️💖🙏💕💕

    • @truddy93
      @truddy93 10 місяців тому +1

      Amen.. Akubariki pia.. Na mungu azidi akupe hekma na neema kubariki watu kupitia uimbaji wako. Amin

    • @IsaackHamisi-jt9hm
      @IsaackHamisi-jt9hm 5 місяців тому

      Kalibu fpct bonde la Baraka. Airport

    • @user-oj3lv6et4n
      @user-oj3lv6et4n Місяць тому

      Karibu Airport bonde la baraka

  • @colly_nice7348
    @colly_nice7348 Рік тому +40

    This is the most reassuring song I have ever heard😌🙏, it will bless generations and generations to come. if you believe gonga like tukisonga💪

  • @thisISmogen
    @thisISmogen Рік тому +255

    kenyans in the house show love..this song deserves a billion views!!

  • @user-th8sl1pn8q
    @user-th8sl1pn8q 2 місяці тому +5

    Mungu akupe ngufu utoshe nyimbo zingine kama hiiyapa

  • @jameskimwele3451
    @jameskimwele3451 8 днів тому +1

    Herode mimi hutataniweza nafunikwa na ndamu yake yesu kristo amen

  • @user-xh1zy1sf5y
    @user-xh1zy1sf5y 2 місяці тому +5

    Mungu ibariki kazi ya mikono yangu

  • @IsaackHamisi-jt9hm
    @IsaackHamisi-jt9hm 5 місяців тому +5

    Abalikiwe mungu ampe kibali hiki kisimpungukie hata kidogo katika wasanii wakiimba nabalikiwa ni sifaeli

  • @user-fq6ig6in5u
    @user-fq6ig6in5u 9 місяців тому +10

    Am here today...Shuka nikuone Mungu wangu..patana na hitaji la moyo wangu❤

  • @mariem867
    @mariem867 4 дні тому +2

    This song is a testimony to me,I didn't know i will be back with a testimony God is indeed good🙏, whatever you are going through shall come to pass trust me,,Hii ilikuwa maombi yangu 2yrs ago kama sina Nguvu ya kuomba.

  • @sarahwoga2601
    @sarahwoga2601 3 місяці тому +6

    Hakika mungu Akishuka mambo Yana badilika kabisa!!...KAZI safi mungu akubariki🙌🙌🙌

  • @faithchepkemoi3402
    @faithchepkemoi3402 7 місяців тому +7

    Mungu ameshuka mara nyingi kwa maisha yangu, am forever grateful 🙏🙏🙏🙏

  • @fectoryab1833
    @fectoryab1833 Рік тому +12

    Wangapi bado wanausikiza wimbo huu🙌🙌🙌
    Mwaka unapoelekea kuisha naomba Mungu akutende wema

    • @user-pt3me4px9z
      @user-pt3me4px9z 7 місяців тому +1

      Shuka nikuone mungu wangu 😢😢😢

    • @vitalisjuma4451
      @vitalisjuma4451 3 місяці тому +1

      Hadi leo 2024nausikiliza nimtam mno

  • @ayohomie2545
    @ayohomie2545 Місяць тому +2

    5years and am understanding this song now,kweli anashuka 😶God aint a man.

  • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
    @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  3 місяці тому +2

    Hi!! my fancy thanks for following my content to all platforms be blessed!!
    youtube.com/@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL?si=8L-iW9FDTvqXzZET UA-cam
    onerpm.link/818041537428
    Song= ULIYONITENDEA KUHESABU SIWEZI DIGITAL PLATFORMS
    SKIZA DIAL *811*117# OK
    onerpm.link/392578501032
    SONG: NAOMBA MBINGU ZIFUNGUKE
    DIGITAL PLATFORMS
    SKIZA DIAL *811*457# OK
    ±254799200738
    HIZI HAPA NYIMBO 50 ZA UPONYAJI -link below gusa hapa chini listen all.
    ua-cam.com/video/6ZlC5yQ5AOg/v-deo.htmlsi=aMw5gZvAJzIdF06u BEST CONTENT

  • @jackjoshua3666
    @jackjoshua3666 3 роки тому +36

    Kupitia wimbo huu mungu fungua vifungo vyangu

  • @josephgithogori9035
    @josephgithogori9035 3 роки тому +7

    Nimekuwa nitafuta huu wimbo nilidhani umeimbwa na Christopher mwahangila. Unanibarikii saaaana.

  • @RehemaMnyangida-yo6zj
    @RehemaMnyangida-yo6zj Місяць тому +2

    Huu wimbo unanibariki san mpk nasikia raha yani daaah nikitoka offsin nasikiliza naurudia rudia ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ ubarikiwe na Mungu 😊

  • @sedricktop-rm3bf
    @sedricktop-rm3bf 6 днів тому +1

    2024 tuko pamoya na sifaeli mungu asifiwe

  • @evekibira9479
    @evekibira9479 2 роки тому +4

    Sauti ya Simba... barikiwa sana

  • @alirahama6312
    @alirahama6312 7 місяців тому +23

    Today is my first day to listen to this song,Wow ! What a message, Father Lord , Jehovah Rapha come and heal me in your name

  • @CharlesCharles-do2or
    @CharlesCharles-do2or 10 днів тому +1

    Wale wa 2024...likes zikam through

  • @user-th8sl1pn8q
    @user-th8sl1pn8q 29 днів тому +1

    Amina niko fata yawo Bunia Congo DRC

  • @malkiachibungu1407
    @malkiachibungu1407 4 роки тому +7

    Nani anangoja Mungu ashuke wakati huu mgumu wa corona! Baba shuka mhukumu wa haki

  • @hildamaghuwa7191
    @hildamaghuwa7191 2 роки тому +5

    Mungu wazi unaposhindwa kwenye tatizo lako
    Ila utukufu wake unabaki kuwa Mungu

  • @antomassh1839
    @antomassh1839 24 дні тому +1

    Kaka
    kazi jema...
    Barikiwa yako yote
    Shuka nikuone maishani Mwangu

  • @nicodemusletangule5042
    @nicodemusletangule5042 8 місяців тому +4

    I leave my comment here so that when one likes, i will come and watch it again

  • @janevunyiwa6693
    @janevunyiwa6693 3 роки тому +12

    Keep it up brother
    Wimbo safi kabisa wenye mafunzo mazuri sana
    Na huu sio wimbo tu ni ushuhuda mkubwa kabisa barikiwa sana 🇰🇪🇰🇪🙏🙏

  • @maureenmamagift
    @maureenmamagift 4 роки тому +26

    Baba shuka....Bila wewe hatuwezi...kama unampenda mtumishi wa mungu wacha like yako hapa yakumumiza

  • @magdalinejuma2028
    @magdalinejuma2028 Рік тому +1

    Napenda nyimbo zako sana nkiwa Kenya 🇰🇪 tunakupnd sana keep it up😊still listening 2023 bila kujoka❤❤❤

  • @stevenm.njogu2014
    @stevenm.njogu2014 Рік тому +18

    So powerful may anybody who is suffering and sick be healed if He or She believes in Jesus name Amen.

  • @terevaelmbise5309
    @terevaelmbise5309 5 років тому +5

    Mungu akuinue Kwa viwango vya juu zaidi kwani ninaposikiliza nyimbo zako zinakuwa faraja kwangu barikiwa mno

  • @steridanoel3534
    @steridanoel3534 5 років тому +28

    Yaan huu wimbo sichoki kuusikiliza maana nikiusikiliza nabalikiwa hata nikikata tamaa nikiusikiliza nasonga mbele

  • @KavitaKiume
    @KavitaKiume 3 місяці тому +2

    Shuka mungu tukuone kwa kazi zetu❤😂 nice song

  • @EvalyneMmoji-
    @EvalyneMmoji- 2 місяці тому +3

    Kweli mwambuka,naomba tu ashuke kwa huu huduma wangu wa uimbaji

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 місяці тому

      Hi!! my fancy thanks for following my content to all platforms be blessed!!
      youtube.com/@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL?si=8L-iW9FDTvqXzZET UA-cam
      onerpm.link/818041537428
      Song= ULIYONITENDEA KUHESABU SIWEZI DIGITAL PLATFORMS
      SKIZA DIAL *811*117# OK
      onerpm.link/392578501032
      SONG: NAOMBA MBINGU ZIFUNGUKE
      DIGITAL PLATFORMS
      SKIZA DIAL *811*457# OK
      ±254799200738
      HIZI HAPA NYIMBO 50 ZA UPONYAJI -link below gusa hapa chini listen all.
      ua-cam.com/video/6ZlC5yQ5AOg/v-deo.htmlsi=aMw5gZvAJzIdF06u BEST CONTENT

  • @jeanclaudebahati5049
    @jeanclaudebahati5049 3 роки тому +5

    Sifaeli nyimbo zako ni vizuri sana

  • @irenemagoti7243
    @irenemagoti7243 5 років тому +22

    Muziki wa yesu JUUUUU! Afu haunaga mabifu ya ajabu ajabu! Ni kula raha tuuu! Barikiwa zaid mtumishi wa Mungu!🎧💪

  • @marynyambu8886
    @marynyambu8886 6 місяців тому +3

    Shuka baba uniponye 😢 magonjwa yananitesa

  • @user-iv3zj4qe9d
    @user-iv3zj4qe9d 5 місяців тому +2

    Oh my God.what should I gift you with.have been passing a very very hard situation .But my God is faithful.see me through again in 2024❤

  • @susanwatiri1156
    @susanwatiri1156 2 роки тому +97

    Am praying for someone stuck in a situation. This song just raises my faith and i know God will intervene in his situation.

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 роки тому +4

      Amen asante sana nakushukuru kwa kuwa pamoja nami kwenye huduma yangu ya uimbaji,Thanks for your support subscribe my channel and share to others and God bless you

    • @jacquelinemuthoni7527
      @jacquelinemuthoni7527 2 роки тому +1

      Imagine Leo nimepitia mpaka this song just has to be meant For me...
      Thank you Lord
      You are Jehovah..

    • @euniceshibanda1019
      @euniceshibanda1019 2 роки тому

      @@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL pppppp

    • @fabiolanitereka7108
      @fabiolanitereka7108 2 роки тому

      @@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL m me
      It oawe be ee eee zssieidjfjfjjuuuueeuueeduduso

    • @peterkitsao9429
      @peterkitsao9429 Рік тому

      Amen

  • @rakeliwakagoi1808
    @rakeliwakagoi1808 3 роки тому +6

    Shuka sasa Daddy 🙏🙏
    +254🇰🇪

  • @janewanjiku7657
    @janewanjiku7657 14 днів тому +1

    Nishukie mwaka huu baba..bila wewe siwezi Mungu wangu

  • @nappzculture1916
    @nappzculture1916 Рік тому +56

    Ooh lord i dedicate this song to my dearest healing son,who is in oxygen ,giver of free oxygen ,shuka tukuone

  • @immatheboytz5626
    @immatheboytz5626 4 роки тому +6

    💕💕imani ni kitu kizuli

  • @johnjacob61
    @johnjacob61 5 років тому +5

    Hakika mawazo ya mwanadamu sio kama Mungu, pale tunapoona uwezo na fikra zetu tumefika mwisho ndipo Mungu anaonyesha uwezo na msaada mkuu katika maisha Yetu si wanadamu tuliozaliwa kwa asili ya Dhambi.
    Mbarikiwe sana na ndugu sifael Mungu akubariki sana.

  • @esthersissamo1120
    @esthersissamo1120 Рік тому +1

    Kweli ninaposema siwezi Mungu analeta msaada kweli tupu barikiwa sana mtumishi kwa ujumbe huu

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  Рік тому +1

      Asante sana na Mungu akubariki sana,thanks for your support and be blessed more!

  • @belindaodhiambo3437
    @belindaodhiambo3437 16 днів тому +1

    Shuka nikuone mungu wangu

  • @twilumbakabelege3426
    @twilumbakabelege3426 5 років тому +11

    naupenda huuu wimbo kuliko kawaida, na unanibariki sana kuliko kawaida

  • @bohboh7692
    @bohboh7692 5 років тому +235

    Wakenya mko tuwakilishe ndugu wetu wa tz hapa ...🙌🙌🔥

  • @sospeterkimani6207
    @sospeterkimani6207 2 роки тому +156

    I dedicate this song to my mum as she thinks its the end of her, its there that God manifests himself. may you be healed mum

  • @selestinahmasharu551
    @selestinahmasharu551 8 місяців тому +2

    Shuka nikuone Mungu wangu tarehe hii ya leo 6/10/2023

  • @danielomwamba5914
    @danielomwamba5914 5 років тому +5

    Jambo lile abalo kwako haliwezekani, kwake Mungu ni jambo ambalo anaeza, mwite na ukifika wakati wake, kwa hakika atashuka.
    Barikiwa sana na endelea kuhubiri kwa njia ya mziki.

  • @gantilleirumvise3983
    @gantilleirumvise3983 5 років тому +6

    Wimbo mzuri sana MUNGU Akubariki

  • @ruthmonicamutuku1191
    @ruthmonicamutuku1191 Рік тому +6

    Niko hapa nikisikiliza hii wimbo tena na tena na tena...aibu ambayo mungu ameniondolea kukaa kwa ndoa 4yrs bila mtoto but Leo natabasamu...mungu amenikubuka... can't hold my tears anymore nikimpea shukrani

  • @marthakahema5969
    @marthakahema5969 Рік тому

    Just sitting here na kichwan yanakuja maneno mifupa mikavu iliyoko mbele yangu inanifanya nilie..
    God bless you mtumishi kwa mahubr mazuri yanayoishi

  • @damarisondiek5414
    @damarisondiek5414 5 років тому +13

    MUNGU wewe ni Zaidi tunavyo kujuwa shuka BABA nakuhitaji njoo MUNGU asante kwa wimbo huu

  • @fatmafa1896
    @fatmafa1896 5 років тому +6

    Amen mungu ndiye mwesa wa yote kupidia kwa mwanae yesu Kristo aliye bwana na mwokozi wetu amen

    • @lewisialbana4937
      @lewisialbana4937 4 роки тому

      Shuka tukuone Mungu wangu wetu..hatuna wakutupa msada zaid yako..Amen

  • @JovitaChilumba
    @JovitaChilumba 8 днів тому +1

    Ubarikiwe

  • @AmosMwakalinga-cq5kb
    @AmosMwakalinga-cq5kb 6 місяців тому

    Nite mtumixhi wa mungu kiukweli kazi nzuri sifaeli mungu akupe neema

  • @amenahussien6134
    @amenahussien6134 5 років тому +6

    Shuka baba nikuone ktk ya maisha yangu na uniponye mwokozi kimbilio langu

  • @swtshantelashanti4514
    @swtshantelashanti4514 5 років тому +7

    May God bless you sana kwa sababu nyimbo zako zina bariki wengi , kila ninaposkiza nabarikiwa tu sana

  • @annwambui6561
    @annwambui6561 Рік тому +2

    Kama umefika mwaka wa 2023 mshukuru mwenyezi mungu maana sio wengi waliuvuka mwaka

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  Рік тому

      asante sana nakushukuru mno ubarikiwe/thanks so much for your support please subscribe my channel and be blessed more share my contents link with others amen?

  • @claudiaoranga10
    @claudiaoranga10 2 роки тому +1

    Napenda wimbo zako mungu azidi akubariki

  • @christineamukoye9969
    @christineamukoye9969 5 років тому +8

    Huu wimbo waniguza sana hasa mno wakati huwa nimekubwa na changa moto tofauti...hunitia nguvu na uvumilivu moyoni najuwa MUNGU yupo nami na sitateseka kuliko kiasi.❤❤❤🙌🙌🙏🙏🤲🤲🔥🔥

  • @wyclifferonoh
    @wyclifferonoh 5 років тому +17

    Jambo gani limefika mwisho,tumwite Yesu ashughulike na tatizo lako.....,hakika huu wimbo unabariki sana.Mungu akubariki Sifaeli. Mungu naomba ushuke nikuone katika maisha yangu mwaka huu 2019.

  • @evonmwende571
    @evonmwende571 Рік тому +1

    I need to see you in saudi my boyfreind playing me like soccer..until my sisters caught him in hand....its over now mungu shuka nikuone I need you

  • @mwengegeotry5249
    @mwengegeotry5249 Рік тому +15

    As I listen to this song I know God will answer the desire of our hearts to have a child in our marriage......It's three years now since we got married but no child 😭😭😭

  • @felixmunene1491
    @felixmunene1491 3 роки тому +7

    Unaposema siwezi siwezi tena kusonga ndipo mungu anashuka kukushika mkono wako ...this song is a blessing has given me hope ever since my dad passed last month

  • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
    @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  6 років тому +287

    Thanks for everyone watching this video God bless u more.
    Please take time to subscribe and share for others SHUKA TUKUONE MUNGU WETU by Sifaeli mwabuka contact +255719482223
    Contact +255769553055

    • @mosesmatonya1524
      @mosesmatonya1524 6 років тому +7

      Sifaeli Mwabuka barikiwa sana

    • @gracebwoto7977
      @gracebwoto7977 6 років тому +3

      Sifaeli Mwabuka may our might God bless u nabarikiwa sana na nyimbo zako

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  6 років тому +2

      Amen

    • @olooesther4574
      @olooesther4574 6 років тому +2

      Sifaeli Mwabuka today is my first day to listen to this song after hearing it from BHB and I'm highly blessed because I'm in ahard situation

    • @letygesh8475
      @letygesh8475 6 років тому +2

      Sifaeli Mwabuka
      Nimeupenda huu wimbo sana...nauskiza kila saa barikiwa sana

  • @user-pt3me4px9z
    @user-pt3me4px9z 7 місяців тому +4

    May this song bring a breakthrough into my life

  • @iamdeejseckjo25-flow64
    @iamdeejseckjo25-flow64 Рік тому +1

    This is big and better i se'

  • @maryindiegu3165
    @maryindiegu3165 4 роки тому +5

    Wimbo wakuniinua kila ninapo vunjika moyo,be blessed kwa kututia moyo

  • @victorybelongtoojesus9816
    @victorybelongtoojesus9816 5 років тому +8

    Haki Ahsante nashindwa niseme nini yani wimbo huu unanitia moyo
    Mungu Jehovah akubariki zaidi vile unavyohici #unanitibu haki Ahsante be blessed my brother 💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕

  • @jecintamaina6802
    @jecintamaina6802 Рік тому +11

    Powerful song with a strong message 🙏🙏 Shuka tukuone Mungu wetu

  • @frizakenya6447
    @frizakenya6447 Рік тому

    Mnataka kusema hamjaona pastor Ezekiel wa Newlife Church hapo 3:15 .... A true definition of a man of God. ...

  • @jessiekerry928
    @jessiekerry928 4 роки тому +115

    Am so blessed with this song.Kenyans in the house let's trust in God always

  • @zakariahilonga7773
    @zakariahilonga7773 5 років тому +13

    Nabarikiwa sana na nyimbo zako mtumishi, Mungu azidi kukuinua

  • @juliawakio2075
    @juliawakio2075 Рік тому +34

    I came across this song when I almost gave up,but then listened to it so many times then,today am at peace and keep going strong,such a blessing to many going through hardships.Kenyan in the Gulf 🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦.Faith ends our doubts.And,
    Boldness is the key to your freedom.

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  Рік тому +3

      Amina asante sana nakushukuru mno kwa mchango wako kwangu kusikiliza kazi zangu nakuombea Mungu akubariki sana, share na wengine wabarikiwe pia subscribe my channel thanks

    • @delmaskoech5866
      @delmaskoech5866 Рік тому +1

      @@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL very touching blessings all the way

    • @Celine-zy5hh
      @Celine-zy5hh Рік тому

      Shuka baba wa milele nikuone katika maisha yangu na watoto wangu nime kuywa hujungu siku nyingi ni hurumie yesu

  • @Centrine-ig3qx
    @Centrine-ig3qx 9 днів тому +1

    I thank God for protecting my life

  • @janenabwire6629
    @janenabwire6629 5 років тому +14

    Baba shuka tukuone tumekuwa vipofu, viwete na visiwi, oh my God blessed are yours.

  • @judithpeter1702
    @judithpeter1702 5 років тому +19

    Nyimbo imenutoa machozi barikiwa kaka

  • @chawachiruebenmuyafula6579
    @chawachiruebenmuyafula6579 2 місяці тому +1

    May l see your grace LORD in this 2024

  • @wwefans8332
    @wwefans8332 2 роки тому +1

    Sifaeli ahamie Kenya 🇰🇪

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 роки тому

      Amen asante sana nakushukuru kwa kuwa pamoja nami kwenye huduma yangu ya uimbaji,Thanks for your support subscribe my channel and share to others and God bless you

  • @frolahmrisho9432
    @frolahmrisho9432 5 років тому +15

    Amina mtumishi kweli tunapo shindwa MUNGU yupo kutenda kazi yake kama mifupa ilitabili je mimi nini mbele za MUNGU kweli MUNGU shuka tukuone MUNGU wetu

  • @lightnesssekajingo5944
    @lightnesssekajingo5944 5 років тому +5

    Mifupa mikavu iliyo mbele yangu inanifanya nilie, ahsante mtumishi wa BWANA kwa wimbo mzur

    • @prophetkakandesamuel702
      @prophetkakandesamuel702 3 роки тому

      Beloved, I don't know you in person but God knows you. God ministered to me in a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay in your life, with an evil mirror, and with a motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford or give to these motherless foundation (DIVINE MERCY ORPHANAGE HOME🏢🏢) in kebbi state nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Ask for their acct details and help them call the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on +2348148906313) tell him I sent an you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you......

  • @lucynjeri8456
    @lucynjeri8456 Рік тому

    Wow nime nimesikia nyimbo zako kwa radio dio nikazitafuta kwa radio hii asubuhi napenda wimbaji wako na unanibaliki sana

  • @lilianshantelmugonyi9384
    @lilianshantelmugonyi9384 2 роки тому

    Ameen barikiwa sana mtumishi wa Mungu kwa nyimbo nzuri zenye upako wa mwenyezi Mungu ombi langu2 kwa Mungu ni azidi kukuinua juu zaidi ninapokuwa chini nikiskiza nyimbo zako sifael napata amani ndani ya moyo wangu

    • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
      @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL  2 роки тому

      Amen nakushukuru sana kwa support yako please subscribe my channel and share to others and God bless you

  • @marthamaduhu1028
    @marthamaduhu1028 5 років тому +12

    shuku tukuone mungu wetu bila ww hatuwezi love you jesus

  • @shirleyndambuki4177
    @shirleyndambuki4177 5 років тому +26

    shuka nikuone mungu wangu usiniache peke yangu

  • @PendoMwambogolo-nz2rc
    @PendoMwambogolo-nz2rc 2 місяці тому

    Nabarikiwa sana na nyumba za huyu baba jamani kwakweli Mungu wa mbinguni ambariki sana kwa kutuliza kichwa chake na kutuletea nyimbo nzur Mungu aendelee kukupa hicho kipawa ulicho nacho mtumishi