Wanaosema Mungu ni Mungu tu kwa sababu walipo Leo kama asingekuwa yeye yamkini wangekuwa wakulia tu, wakuchekwa tu, wakupatwa na misiba tu, wakushushwa tu wakudharauliwa tu lakini MUNGU AMEJIDHIHIRISHA NA UUNGU WAKE KWELIKWELI, like za kutosha hapaa
There was a time my mom was at the point of death, I traveling to visit her at the hospital and definitely this song came to my mind. Niliimba kutoka Nairobi adi hospitalini nyumbani kwetu within two days God rescued my mother. Alijulikana Mungu wangu ❤❤❤
I remember listening to this song while applying my American visa back in 2019 and it went through 😢😢😢😢right now iam a Kenyan living and working in America...yenyewe mungu ni mungu ti
I listen to this song everyday. Juzi imeniliza sababu ya upendo wa Mungu kwangu nami upendo wangu kwake. Kweli Mungu ni Mungu atabaki kua Mungu. Those who are seeking God may He visit you soon in Jesus Name Amen Amen Amen
My favorite song ever kama unaamini mungu anaenda kukufanyia jambo kubwa kabla huu mwaka huishe like my comment and comment AMEN 🙏🙏🙏🙏🙏🙏 and see how the miracle will follow u
Today is 27th January 2024 and we here listening and watching this deep anointed song that cools the heart in this changing, unstable world. Tunasema Mungu ni Mungu Tu. Amen 🙏
💕🇰🇪🇰🇪 MUNGU NI MUNGU TU LYRICS (Nabii Elijah, aliwaita manabii wote,wa Mungu baali) x2 Lengo la elija,ilikuwa ni kumthibitisha Mungu wa kweli ni yupi, kati ya Mungu wa baali, na Mungu wa mbinguni. (Elijah, Elijah) Akawambia watu nikaribieni mimi, akachukua mawe kumi na mbili akaanza kujenga madhabau, Akaweka kuni juu yake, akaweka sadaka juu yake, Akachimba mfereji ,akawambia watu mwageni maji mapipa manne, wakamwaga maji mara ya kwanza ,wakamwaga maji mara ya pili,wakamwaga maji mara ya tatu. Elijah, akaanza kumuita Mungu,Mungu wa mbinguni. (Weeh Mungu, weeh Mungu, Mungu wa mbinguni naijulikane kuwa upo) X2 Moto ukashuka ,ukaramba ile sadaka, ukaramba zile kuni ,ukaramba na yale mawe, ukaramba na yale mavuno ,ukaramba na yale maji , Watu wakasujudu,wakasema huyu ndiye Mungu,anayepaswa kuabudiwa , Ndiye Mungu ninaye mwimbia Mungu wa Elijah. (Ooh, ooh, ooh) (Ooh Mungu) Mungu ni Mungu tu, (Ooh Mungu baba) atabaki kuwa Mungu tu (Huyu Mungu wa mbinguni jamani) Mungu ni Mungu tu (Huyu Mungu wa elijah), atabaki kuwa Mungu tu (Maishani mwako mama yangu wewe) Mungu ni Mungu tu (Mahali pote unapotembea baba yangu) atabaki kuwa mungu tu (Ata wainuke wamseme vibaya) Mungu ni Mungu tu (Ata wamkatae mbele yako) atabaki kuwa Mungu tu. Na wewe ndugu yangu,unayenisikia, unaye nitazama, (Unaona nini mbele yako?)x2 pengine unaona majaribu na ujui utafanya nini, we mkaribie Mungu tu, Pengine unaona magonjwa, haujui utapona lini we mkaribie Mungu tu. Pengine unaona vita kubwa,haujui utashinda vipi, we mkaribie Mungu tu. Pengine unaona watesi ,haujui utapita vipi, we mkaribie Mungu tu. Pengine ni jaribu katika ndoa yako,haujui utashinda vipi,we mkaribie Mungu tu. (Hakuna linaloshidikana kwake Mungu, Hakuna linaloshidikana kwake)x2 Aliyemshindia elijah ,Katikati manabii wa baali atakushindia na wewe. (Ooh Mungu) Mungu ni Mungu tu, (Ooh Mungu baba) atabaki kuwa Mungu tu (Huyu Mungu wa mbinguni jamani) Mungu ni Mungu tu (Huyu Mungu wa elijah), atabaki kuwa Mungu tu (Maishani mwako mama yangu wewe) Mungu ni Mungu tu (Mahali pote unapotembea baba yangu) atabaki kuwa mungu tu (Ata wainuke wamseme vibaya) Mungu ni Mungu tu (Ata wamkatae mbele yako) atabaki kuwa Mungu tu. Wanadamu wamekusemea maneno, kwamba hautaweza, katika jaribu lako, wanadamu wamekusemea maneno,kwamba hautashinda katika vita yako, kumbe njia za Mungu, sio sawa na za mwanadamu, njia za mungu sio sawa na za mwanadamu, mipango ya Mungu ,sio sawa na ya mwanadamu, akili ya Mungu, sio sawa na ya mwanadamu, Maneno ya Mungu, sio sawa na ya mwanadamu, Mawazo ya Mungu, sio sawa na ya mwanadamu, Kazi ya Mungu, sio sawa na ya mwanadamu, Sauti ya Mungu ,sio sawa na ya mwanadamu Aliye mshindia elijah , katikati ya manabii wa baali atakushindia na wewe. (Ooh Mungu) Mungu ni Mungu tu, (Ooh Mungu baba) atabaki kuwa Mungu tu (Huyu Mungu wa mbinguni jamani) Mungu ni Mungu tu (Huyu Mungu wa elijah), atabaki kuwa Mungu tu (Maishani mwako mama yangu wewe) Mungu ni Mungu tu (Mahali pote unapotembea baba yangu) atabaki kuwa mungu tu (Ata wainuke wamseme vibaya) Mungu ni Mungu tu (Ata wamkatae mbele yako) atabaki kuwa Mungu tu.
Nafarijika na huuu wimbo ikiwa ni siku ya tatu tangu tumpuzishe mwanangu aliefariki akiwa na umri wa mwaka mmoja na wiki mbili na siku kadhaa BlessingAngel Isaac Mbade Rest in peace we will always remember you forever.
Mungu nionekania katika maisha huu usiku ambao nmekosa usingizii nakulilia mungu nahitaji msaada wako .nahitaji huruma zako bila ww mungu sina mbele wala nyuma😭😭😭😭😭😭😭😭
Praying that God restores my strength and health to me,I pray that he helps me fight and protect me against my enemies.I hope that God is gonna bless me and help me move abroad in Jesus Christ's holy name,I know when he starts something he finishes it and I know for sure that God is going to intervene and show his power because he's a capable and loving God.
God for sure is a miracle worker ..and want to give my thanks to him .He has done it for me again ..Never give up on anything ..with God everything is possible
Iko Mungu kumahisha langu,kama nimesikia mwimbo iyi mkono wa bwana ime niguza,imetatiwa shida zote na ku timiza itadi yangu,apo Kinshasa tuna muitika Mungu wa mwimbadi
Who's watching with me in 2025😊 what Great God we serve 🙏🙏🙏
Kama una Amin Mungu ni mungu tu Anaenda kufanya makubwa Zaidi ndani ya huu mwaka 2024❤ like hapa❤
Kweli Mungu ni Mungu Tu...huu ni mwaka wangu
Mungu ni mungu tuu
Amen 🙏🏽
/**@@josephatmaritajosephat
Wakenya tupite hapa kusema Mungu ni Mungu kama December last month ya 2023 hupo japo jangamoto zimekuwa mingi 🇰🇪🇰🇪
Amen amen mungu ni mungu Tu🙏🙏🙏
Yes ✋ MUNGU NI MUNGU TU KABISA 🎉
❤Atabaki kua Mungu tuu
Wanaosema Mungu ni Mungu tu kwa sababu walipo Leo kama asingekuwa yeye yamkini wangekuwa wakulia tu, wakuchekwa tu, wakupatwa na misiba tu, wakushushwa tu wakudharauliwa tu lakini MUNGU AMEJIDHIHIRISHA NA UUNGU WAKE KWELIKWELI, like za kutosha hapaa
Mungu ni mungu nimeona ukuu wakeee🙏🙏🙏🙏🙏🙏
My favorite ❤️😍❤️
@@LucyWilliam-qd1uiHakika ukuu wake unajitoshelezaa
@@noraodeny5684The holy Spirit test is in this song
GOD ni my favorite
Wale Mungu ametufikisha de end of this yr 2024 december wapi lyk yako
Happy new year 2025🎉
Glory to God 💪🙏❤
Mungu ni Mungu tu..
Huu wimbo tutaimba mpaka mbinguni....tutasifu Mungu live live tukimwambia wewe Mungu weee Mungu .....
Amen, we must!!
Amen
Wimbo mzuri sana
Tutaimba live live NA kumwambie live live ni wewe mungu tu
The joy in this song is unstoppable especially if you have witnessed God come through for you 🎉
There was a time my mom was at the point of death, I traveling to visit her at the hospital and definitely this song came to my mind. Niliimba kutoka Nairobi adi hospitalini nyumbani kwetu within two days God rescued my mother. Alijulikana Mungu wangu ❤❤❤
Amen
Amen
❤❤
111 p.o
AMEN AMEN THIS ONE ITS SOOOO ENCOURAGING
Nione mmoja anae sema Mungu niyeye yule jana leo na hata milele yaani Mungu ni Mungu tu
I remember listening to this song while applying my American visa back in 2019 and it went through 😢😢😢😢right now iam a Kenyan living and working in America...yenyewe mungu ni mungu ti
Amen am also on the process and I believe that the same God who Did it to you us the same God who will do it to me. Mungu ni Mungu too❤🙏🤩
It sounds better if you write MUNGU not mungu because is a bigger God not small
Connect me please
I listen to this song everyday. Juzi imeniliza sababu ya upendo wa Mungu kwangu nami upendo wangu kwake. Kweli Mungu ni Mungu atabaki kua Mungu. Those who are seeking God may He visit you soon in Jesus Name Amen Amen Amen
My favorite song ever kama unaamini mungu anaenda kukufanyia jambo kubwa kabla huu mwaka huishe like my comment and comment AMEN 🙏🙏🙏🙏🙏🙏 and see how the miracle will follow u
Amen
I believe in God 🙏🙏
Mungu atabaki kuwa Mungu milele
Hakuna jambo ngumu kwa mungu
@@NancyOtano-cb3fu *gumu
My favorite singer much love from kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 we love you 😘
Mungu aliye saidia mtoto wangu akapona akatoka nursery bed ni Mungu na namshukuru sana 🙏🙏 Mungu ni Mungu 🙏
Nyimbo nzuli saaaana!
Mungu ababalikiye!!!!
Those who saw 2025 and they believe is God say Glory be to the most high 😭😭🙏🙏
🎉wale bado 2024 Mungu atabaki kuwa Mungu kwao mko wapi
Wooow Wooow BARIKIWA SANA MTUMISHI WA MUNGU
Na bado neema ni ile ile baada ya miaka mingi iliyopita tangu kuachilia wimbo huu...... Mungu ni Mungu tu.... Mungu atabaki kuwa Mungu tu❤
In Rwanda 🇷🇼 bannyita theophile mungu ndayipenda sana
Hakika Mungu Atabaki Kuwa Mungu 🤝🤝🤝
2024 Ee Mungu jibu maombi yangu kama vile ulivyo jibu Elijah kwa moto katika jina la yesu
Amen
Amen
BARIKIWA MTU WAMUNGU ALIYE HAI JUU ZAIDI MBINGUNI
Ubarikiwe Baba
Nasi Tupo Nyuma Tunakuja Pole Pole Baba🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Who is hear 2024 again 1st Dec mugu ni mungu 2024is almost ending God i faithful 🙏🙏🙏🙏
Bwana asifiwe sana.. blessed from Kenya 🇰🇪
Hii wimbo wamerika washikize kwa makini sana
Today is 27th January 2024 and we here listening and watching this deep anointed song that cools the heart in this changing, unstable world. Tunasema Mungu ni Mungu Tu. Amen 🙏
Mungu ni Mungu tu 😊🥰💯
Kama vile ulivyo jibu maombi ya Elijah kwa moto hata mimi jibu maombi yangu kwa moto in Jesus mighty Name Amen
Atajibu Mungu wetu Ni Mwaminifu
Ee Mungu jibu maombi yangu kama ulivyomjibu Eliya ,nakusihi mtetezi wangu peke yangu siwezi.
God am here again 2025 hear my cry😭😭 ,, you know everything God do something 🙏🙏
Pongezi kubwa kaka mungu akulinde Mahali pote shukrani sana
God will be God 2024,2025 and forever He will remain to be Godtrust in God always
Hallelujah 🧎🏼♀️🧎🏼♀️huu wimbo naupenda sana ❤❤❤❤
Wnngapi tuko hapa 1hr to 2025
This song helped me answer questions during high school exams
💕🇰🇪🇰🇪
MUNGU NI MUNGU TU LYRICS
(Nabii Elijah, aliwaita manabii wote,wa Mungu baali) x2
Lengo la elija,ilikuwa ni kumthibitisha Mungu wa kweli ni yupi,
kati ya Mungu wa baali, na Mungu wa mbinguni. (Elijah, Elijah)
Akawambia watu nikaribieni mimi, akachukua mawe kumi na mbili akaanza kujenga madhabau,
Akaweka kuni juu yake, akaweka sadaka juu yake,
Akachimba mfereji ,akawambia watu mwageni maji mapipa manne,
wakamwaga maji mara ya kwanza ,wakamwaga maji mara ya pili,wakamwaga maji mara ya tatu.
Elijah, akaanza kumuita Mungu,Mungu wa mbinguni.
(Weeh Mungu, weeh Mungu, Mungu wa mbinguni naijulikane kuwa upo) X2
Moto ukashuka ,ukaramba ile sadaka, ukaramba zile kuni ,ukaramba na yale mawe,
ukaramba na yale mavuno ,ukaramba na yale maji ,
Watu wakasujudu,wakasema huyu ndiye Mungu,anayepaswa kuabudiwa ,
Ndiye Mungu ninaye mwimbia Mungu wa Elijah.
(Ooh, ooh, ooh)
(Ooh Mungu) Mungu ni Mungu tu,
(Ooh Mungu baba) atabaki kuwa Mungu tu
(Huyu Mungu wa mbinguni jamani) Mungu ni Mungu tu
(Huyu Mungu wa elijah), atabaki kuwa Mungu tu
(Maishani mwako mama yangu wewe) Mungu ni Mungu tu
(Mahali pote unapotembea baba yangu) atabaki kuwa mungu tu
(Ata wainuke wamseme vibaya) Mungu ni Mungu tu
(Ata wamkatae mbele yako) atabaki kuwa Mungu tu.
Na wewe ndugu yangu,unayenisikia, unaye nitazama, (Unaona nini mbele yako?)x2
pengine unaona majaribu na ujui utafanya nini, we mkaribie Mungu tu,
Pengine unaona magonjwa, haujui utapona lini we mkaribie Mungu tu.
Pengine unaona vita kubwa,haujui utashinda vipi, we mkaribie Mungu tu.
Pengine unaona watesi ,haujui utapita vipi, we mkaribie Mungu tu.
Pengine ni jaribu katika ndoa yako,haujui utashinda vipi,we mkaribie Mungu tu.
(Hakuna linaloshidikana kwake Mungu, Hakuna linaloshidikana kwake)x2
Aliyemshindia elijah ,Katikati manabii wa baali atakushindia na wewe.
(Ooh Mungu) Mungu ni Mungu tu,
(Ooh Mungu baba) atabaki kuwa Mungu tu
(Huyu Mungu wa mbinguni jamani) Mungu ni Mungu tu
(Huyu Mungu wa elijah), atabaki kuwa Mungu tu
(Maishani mwako mama yangu wewe) Mungu ni Mungu tu
(Mahali pote unapotembea baba yangu) atabaki kuwa mungu tu
(Ata wainuke wamseme vibaya) Mungu ni Mungu tu
(Ata wamkatae mbele yako) atabaki kuwa Mungu tu.
Wanadamu wamekusemea maneno, kwamba hautaweza, katika jaribu lako,
wanadamu wamekusemea maneno,kwamba hautashinda katika vita yako,
kumbe njia za Mungu, sio sawa na za mwanadamu, njia za mungu sio sawa na za mwanadamu,
mipango ya Mungu ,sio sawa na ya mwanadamu,
akili ya Mungu, sio sawa na ya mwanadamu,
Maneno ya Mungu, sio sawa na ya mwanadamu,
Mawazo ya Mungu, sio sawa na ya mwanadamu,
Kazi ya Mungu, sio sawa na ya mwanadamu,
Sauti ya Mungu ,sio sawa na ya mwanadamu
Aliye mshindia elijah ,
katikati ya manabii wa baali atakushindia na wewe.
(Ooh Mungu) Mungu ni Mungu tu,
(Ooh Mungu baba) atabaki kuwa Mungu tu
(Huyu Mungu wa mbinguni jamani) Mungu ni Mungu tu
(Huyu Mungu wa elijah), atabaki kuwa Mungu tu
(Maishani mwako mama yangu wewe) Mungu ni Mungu tu
(Mahali pote unapotembea baba yangu) atabaki kuwa mungu tu
(Ata wainuke wamseme vibaya) Mungu ni Mungu tu
(Ata wamkatae mbele yako) atabaki kuwa Mungu tu.
Thanks sana mbeleni nilikuwa naimba maajabu 😂
My favorite song and musician. The song demonstrates witches and witchcraft are nothing before true prophets and Gods power.
I keep believing in God that we are going to finish the year victorious,
Merci seigneur pour avoir inspiré ton serviteur cette chanson m’édifie énormément de sorte que je prend la décision de témoigner un jour sous elle.
Ubarikiwe mtumishi wa mungu kwakuli New wimbo huu naupendaga umenitoa mahali pagumu umenipeleka kiwango kingine🍓🍓🍓
Injili isonge mbele Duniyani popote
Depuis 🇨🇩
Nyimbo zenye uwepo wa Mungu.
Nafarijika na huuu wimbo ikiwa ni siku ya tatu tangu tumpuzishe mwanangu aliefariki akiwa na umri wa mwaka mmoja na wiki mbili na siku kadhaa BlessingAngel Isaac Mbade Rest in peace we will always remember you forever.
This was my favorite song in 2017 when I was going through hell but God came through for me..I give God all the Glory now in 2024❤❤❤
God is faithful ❤
Amen
Thanks 👍 ❤@@mutwiri54
@bonifacetThanks❤🎉🙏ruektv
Wow ,I love this song with all my heart , sending love from Zambia ,we appreciate the song
Barikiwa Sana Kaka Kazi Nzuri
Mungu nionekania katika maisha huu usiku ambao nmekosa usingizii nakulilia mungu nahitaji msaada wako .nahitaji huruma zako bila ww mungu sina mbele wala nyuma😭😭😭😭😭😭😭😭
Halleluyha🙌🙌🙌haijalishi n magani napitia mi nimukaribie mungu atanijibu
Imana ni Imana knd Izakomeza kuba Imana 🎉 Amen
Hakuna aliye Kama mungu. Mungu ni Mungu tu.
Mungu n mungu tu na atabaki kuwa mungu tu tunapoelekea 2025 kuwa nasi mwenyewe maadui wengi tuongoze jehova
The only song that sings in a Matatu and you can hear even thugs, gangsters and pick pockets sing along word by word. A masterpiece.
This song made me shed tears when I remember my redio representer called muzungu was dead just few days , the guy used to love the song
We ndio😢kweli lazima tumkubali Mungu wa Eliya❤❤❤❤❤❤❤❤Mungu wabinguni
Mungu ni Mungu tu Na atabaki kuwa Mungu tu
2025 January... This song is timeless... Listen to it 100 yrs from today it will still have impact.... Blessed
Safi sana.. remix nzuri sanaaaaaa❤ mungu ni mungu tuu
Eeeeeh MUNGU wangu sifa na utukufu urudishiwe wewe ❤🙏
The love that I have for this song it's God only who knows.much love from Kenya ❤
Nahupenda sn huu wimbo 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉.
Asante mtumishi kwa nyimbo za injili
Amen Mungu ni Mungu🙏 baba fungua milango yote iliyo fungwa na Aduwi. Kwa jina la Yesu kristo
Mungu ni mungu
Kwa kweli katika maisha yangu Mungu ni Mungu tu😢
Mungu wa Mbinguni na ijulikane kua upoo....Niguse kiuchumi na familia this year...kwako sijachelewaa
Praying that God restores my strength and health to me,I pray that he helps me fight and protect me against my enemies.I hope that God is gonna bless me and help me move abroad in Jesus Christ's holy name,I know when he starts something he finishes it and I know for sure that God is going to intervene and show his power because he's a capable and loving God.
Wa Congo mani mungu ni mungu tu 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Mtumishi Chris, Mungu ni Mungu tu, na hiyo haitabadilishwa na chochote ama yeyote! Ubarikiwe sana.
Mungu atusaidie mana muda wa hesabu umekalibia tumgeukie mungu msamaha no sasa sip kesho ameenii
Naomba mungu ayasikie maomb yangu kama alivyosikia maombi ya eliya na anipe iman kama ya elia
Hongera sana kaka kazinzuri sana ii🔥🔥🔥🔥🔥
Im here 2024 saying Mungu ni Mungu tu na atambaki kuwa mungu tu,, ohh hallelujah 🙏
Amina kubwa!
MUNGU awabariki nyote ❤
Nyimbo zako ziende Duniani kote watu wamjue Yesu wetu❤
Mungu ni mwaminifu kila wakati
Atabaki kua mungu tu God is good always🎉❤❤
Wimbo huu hua wanibariki kila wakati ninaposkiza
Mungu akulinde na akubariki uzidi kuimba nyimbo nzuri nzuri
Aleluaaaaaa. Ameeeeeeneeee.
My favorite song kwa nyakati zote ubarikiwe Christopher ukarabati mzuri wa video umefanya,Bado tunakupenda sana nyumbani Tanzania 🇹🇿
Huu wimbo ukichezwa na ministry of repentance and holiness ministry utapenda 😢❤
Asante sana Kwa huu wimbo 💯♥️ Ubarikiwe zaidi
The God who answers by fire is the one who I worship. Hallelujah!
Mbalikiwa Sana mutumichi wa mungu
God for sure is a miracle worker ..and want to give my thanks to him .He has done it for me again ..Never give up on anything ..with God everything is possible
Nice song listening from Mombasa
Mungu atabaki kuwa Mungu milele na milele daima.
Mungu ni mungu tu i believe in u❤
Mungu ni mungu tu
You did justice by redoing this great work
Video nzuri sana Kaka, hapa kazi kwenda mbele
Kazi nzuli sana mtumishi Mungu akubaliki sana sana
Nakupenda sana ; Mungu akubariki
Kumbe njia za Mungu sio sawa na ya mwanadamu😭❤️🙌🏽Mungu atabaki kuwa Mungu tu🙌🏽
Huu bado unaguza mwiyo barikiwa mtumishi
Amen
Huyu Mungu wa mbinguni jamani❤❤❤❤❤❤❤❤much love from Kenya
Very nice video 📸📷
Well done 💯
Mungu ni mungu tu atabaki kua mungu tu🙏
My favourite song ,thank you so much for this uplifting message much from Kenya 🇰🇪🇰🇪
Nawezaje kunyamaza wakati umenilinda kutoka January hadi December mimi na familia yangu, Nakuamini Mungu wangu utanitendea mengi sana🙏🙏🙏
Mungu ni Mungu tu atafanya 🙏🙏🙏
Iko Mungu kumahisha langu,kama nimesikia mwimbo iyi mkono wa bwana ime niguza,imetatiwa shida zote na ku timiza itadi yangu,apo Kinshasa tuna muitika Mungu wa mwimbadi