MAFUNDISHO YA PASTO JUSTINE ,KTK KANISA LA MAISHA YA YESU ,TAZAMA JINSI WATU WANAVYO FUNGULIWA ,NA K
Вставка
- Опубліковано 9 лют 2025
- RATIBA ZA IBADA KANISA LA MAISHA YA YESU KISONGO ARUSHA KWA CHANNEL SIKU YA JUMAPILI; Hii ni ibada ya kinabii maombi,mafundisho na uponyaji saa 3 asubuhi - saa 8 mchana SIKU YA JUMANNE-Maombi ya mtu mmoja mmoja kuonana na mtume saa 8 mchana - saa11 jioni SIKU YA ALHAMISI; Ibada kubwa ya uponyaji na mafundisho maombi saa 8mchana-saa 12 jioni Hivyo usikose
Mungu aendelee kuinuliwa,kwa kazi inayo endelea kwenye madhabahu yake .mtumishi mungu aendelee kukuongoza watu wapone .Amen.
Naenda kupokea kwa jina YESU kupitia madhabahu hii na Ibada hii ya Leo ndani ya online tv, barikiwa sana Mtumishi Justin Mungu azidi kukuongoza vema
Amina 🙏
Mungu akubariki sana Pastor Jastine Maisha ya Yesu ni 🔥
Mungu uinuliwe wewe peke yako.
Barikiwa sana mtumishi wa mungu