Maisha ya Yesu  Onlinetv
Maisha ya Yesu  Onlinetv
  • 509
  • 81 746
IBADA YA LEO JUMAPILI,19 01 2025
RATIBA ZA IBADA KANISA LA MAISHA YA YESU KISONGO ARUSHA KWA CHANNEL SIKU YA JUMAPILI; Hii ni ibada ya kinabii maombi,mafundisho na uponyaji saa 3 asubuhi - saa 8 mchana SIKU YA JUMANNE-Maombi ya mtu mmoja mmoja kuonana na mtume saa 8 mchana - saa11 jioni SIKU YA ALHAMISI; Ibada kubwa ya uponyaji na mafundisho maombi saa 8mchana-saa 12 jioni Hivyo usikose
Переглядів: 117

Відео

IBADA YA LEO JUMA PILI TR 13 ,01 2025
Переглядів 137День тому
RATIBA ZA IBADA KANISA LA MAISHA YA YESU KISONGO ARUSHA KWA CHANNEL SIKU YA JUMAPILI; Hii ni ibada ya kinabii maombi,mafundisho na uponyaji saa 3 asubuhi - saa 8 mchana SIKU YA JUMANNE-Maombi ya mtu mmoja mmoja kuonana na mtume saa 8 mchana - saa11 jioni SIKU YA ALHAMISI; Ibada kubwa ya uponyaji na mafundisho maombi saa 8mchana-saa 12 jioni Hivyo usikose
MAISHA YESU2025 JKUMAPI;LI
Переглядів 80День тому
RATIBA ZA IBADA KANISA LA MAISHA YA YESU KISONGO ARUSHA KWA CHANNEL SIKU YA JUMAPILI; Hii ni ibada ya kinabii maombi,mafundisho na uponyaji saa 3asubuhi-saa 8 mchana SIKU YA JUMANNE-maombi ya mtu mmoja mmoja kuonana na mtume saa 8 mchana-saa 11 jioni SIKU YA ALHAMISI-Ibada kubwa ya uponyaji na mafundisho na maombi saa 8 mchana- saa 12 jioni Hivyo usikose
IBADA YA LIO JUMAPILI TR 5,1 2025
Переглядів 9814 днів тому
RATIBA ZA IBADA KANISA LA MAISHA YA YA YESUKISONGO ARUSHA KWA CHANNEL SIUKU YA JUMAPILI Hii ni ibada ya kinabii maombi, mafundisho na uponyaji saa 3; asubuhi -saa 8 mchana SIKU YA JUMANNE-maombi ya mtu mmoja mmoja kuonana na mtume saa 8 mchana - saa 11 jioni- SIKU YA ALHAMISI-ibada kubwa ya uponyaji na mafundisho na maombi saa 8 mchana -saa 12 jioni-HIVYO USIKOSE
IBADA YA LEO TR 1 JANUARY 2025
Переглядів 10821 день тому
TANGAZO TANGAZO TAREHE 11 /10 /2024. KUTAKUA NA MKESHA WANGUVU SIKU YA IJUMAA. USIKOSEE ................................... RATIBA ZA IBADA KATIKA KANISA LA MAISHA YA YESU KRISTO KISONGO ARUSHA KWA CHANNEL -SIKU YA JUMAPILI -Hii ni ibada kubwa ya kinabii ,maombi,mafundisho na uponyaji saa 3hasubuhi - saa 8 mchana -SIKU YA JUMA NNE Maombi ya mtu mmoja mmoja (Kuonana na mtume ana kwa ana) saa 8 m...
FIKA IBADANI SIKU YA IBADA , USISUBIRI MWAKA / MWEZI IISHE NDO UAMUE KWENDA KANISANI .
Переглядів 14421 день тому
TANGAZO TANGAZO TAREHE 11 /10 /2024. KUTAKUA NA MKESHA WANGUVU SIKU YA IJUMAA. USIKOSEE ................................... RATIBA ZA IBADA KATIKA KANISA LA MAISHA YA YESU KRISTO KISONGO ARUSHA KWA CHANNEL -SIKU YA JUMAPILI -Hii ni ibada kubwa ya kinabii ,maombi,mafundisho na uponyaji saa 3hasubuhi - saa 8 mchana -SIKU YA JUMA NNE Maombi ya mtu mmoja mmoja (Kuonana na mtume ana kwa ana) saa 8 m...
IBADA YA KRISMASI JUMA TANO,25,DEc 2024
Переглядів 181Місяць тому
RATIBA ZA IBADA KANISA LA MAISHA YA YESU KRISTO KISONGO ARUSHA KWA CHANNEL SIKU YA JUMAPIR -Hii ni ibada ya kinabii maombi, mafundisho, na uponyaji saa 3 asubuhi-saa 8 mchana SIKU YA JUMANNE-maombi ya mtu mmoja mmoja kuonana na mtume ana kwa ana 8 mchana -saa 11 jioni SIKU YA ALHAMISI-ibada kubwa ya uponyaji na mafundisho na maombi saa 8 mchana -saa 12 jioni HIVYO USIKOSE
IBADA YA LEO JUMAPILI,Dec 22,2024
Переглядів 67Місяць тому
RATIBA ZA IBADA KANISA LA MAISHA YA YESU KRISTO KISONGO ARUSHA KWA CHANNEL SIKU YA JUMAPIR -Hii ni ibada ya kinabii maombi, mafundisho, na uponyaji saa 3 asubuhi-saa 8 mchana SIKU YA JUMANNE-maombi ya mtu mmoja mmoja kuonana na mtume ana kwa ana 8 mchana -saa 11 jioni SIKU YA ALHAMISI-ibada kubwa ya uponyaji na mafundisho na maombi saa 8 mchana -saa 12 jioni HIVYO USIKOSE
IBADA YA ALHAMIS 19,12,2024
Переглядів 96Місяць тому
RATIBA ZA IBADA KANISA LA MAISHA YA YA YESUKISONGO ARUSHA KWA CHANNEL SIUKU YA JUMAPILI Hii ni ibada ya kinabii maombi, mafundisho na uponyaji saa 3; asubuhi -saa 8 mchana SIKU YA JUMANNE-maombi ya mtu mmoja mmoja kuonana na mtume saa 8 mchana - saa 11 jioni- SIKU YA ALHAMISI-ibada kubwa ya upRATIBA ZA IBADA KANISA LA MAISHA YA YA YESUKISONGO ARUSHA KWA CHANNEL SIUKU YA JUMAPILI Hii ni ibada ya...
IBADA YA LEO JUMAPILI ,Dec, 2024
Переглядів 92Місяць тому
RATIBA ZA IBADA KANISA LA MAISHA YA YA YESUKISONGO ARUSHA KWA CHANNEL SIUKU YA JUMAPILI Hii ni ibada ya kinabii maombi, mafundisho na uponyaji saa 3; asubuhi -saa 8 mchana SIKU YA JUMANNE-maombi ya mtu mmoja mmoja kuonana na mtume saa 8 mchana - saa 11 jioni- SIKU YA ALHAMISI-ibada kubwa ya uponyaji na mafundisho na maombi saa 8 mchana -saa 12 jioni-HIVYO USIKOSE
IBADA YA JUMAPILI 8,12,2024 SOM0; UNYENYEKEVU
Переглядів 140Місяць тому
RATIBA ZA IBADA KANISA LA MAISHA YA YA YESUKISONGO ARUSHA KWA CHANNEL SIUKU YA JUMAPILI Hii ni ibada ya kinabii maombi, mafundisho na uponyaji saa 3; asubuhi -saa 8 mchana SIKU YA JUMANNE-maombi ya mtu mmoja mmoja kuonana na mtume saa 8 mchana - saa 11 jioni- SIKU YA ALHAMISI-ibada kubwa ya uponyaji na mafundisho na maombi saa 8 mchana -saa 12 jioni-HIVYO USIKOSE
IBADA YA LEO,TR ,1,DEC 2024,MAHUBIRI NA SHUHUDA ,
Переглядів 175Місяць тому
RATIBA ZA IBADA KANISA LA MAISHA YA YA YESUKISONGO ARUSHA KWA CHANNEL SIUKU YA JUMAPILI Hii ni ibada ya kinabii maombi, mafundisho na uponyaji saa 3; asubuhi -saa 8 mchana SIKU YA JUMANNE-maombi ya mtu mmoja mmoja kuonana na mtume saa 8 mchana - saa 11 jioni- SIKU YA ALHAMISI-ibada kubwa ya uponyaji na mafundisho na maombi saa 8 mchana -saa 12 jioni-HIVYO USIKOSE
IBADA YA JUMA NNE,MTUME NA NABII CHANNEL,AKITOA SIRI YA MAFANIKIO
Переглядів 114Місяць тому
RATIBA ZA IBADA KANISA LA MAISHA YA YA YESUKISONGO ARUSHA KWA CHANNEL SIUKU YA JUMAPILI Hii ni ibada ya kinabii maombi, mafundisho na uponyaji saa 3; asubuhi -saa 8 mchana SIKU YA JUMANNE-maombi ya mtu mmoja mmoja kuonana na mtume saa 8 mchana - saa 11 jioni- SIKU YA ALHAMISI-ibada kubwa ya uponyaji na mafundisho na maombi saa 8 mchana -saa 12 jioni-HIVYO USIKOSE
IBADA YA LOE TR 24,11,2024
Переглядів 1462 місяці тому
RATIBA ZA IBADA KANISA LA MAISHA YA YA YESUKISONGO ARUSHA KWA CHANNEL SIUKU YA JUMAPILI Hii ni ibada ya kinabii maombi, mafundisho na uponyaji saa 3; asubuhi -saa 8 mchana SIKU YA JUMANNE-maombi ya mtu mmoja mmoja kuonana na mtume saa 8 mchana - saa 11 jioni- SIKU YA ALHAMISI-ibada kubwa ya uponyaji na mafundisho na maombi saa 8 mchana -saa 12 jioni-HIVYO USIKOSE
IBADA YA JUMA NNE TR 19,11 2024
Переглядів 742 місяці тому
IBADA YA JUMA NNE TR 19,11 2024
IBADA YA LEO JUMAPILI,TR 17,11,2024
Переглядів 692 місяці тому
IBADA YA LEO JUMAPILI,TR 17,11,2024
IBADA YA AIHAMISI
Переглядів 862 місяці тому
IBADA YA AIHAMISI
IBADA YA SHUHUDA TAREHE 10,11,2024
Переглядів 1302 місяці тому
IBADA YA SHUHUDA TAREHE 10,11,2024
KITOVU NI MUUNGANIKO WA MAMA NA MTOTO,SIKILIZA KWA MAKINI MTUMISHI WA MUNGU AKIFAFANUA ,ZAIDI.
Переглядів 962 місяці тому
KITOVU NI MUUNGANIKO WA MAMA NA MTOTO,SIKILIZA KWA MAKINI MTUMISHI WA MUNGU AKIFAFANUA ,ZAIDI.
JUMANNE 5,11,2024 EDITED
Переглядів 502 місяці тому
JUMANNE 5,11,2024 EDITED
MIUJIZA YA MUNGU IKITENDEKA ,
Переглядів 592 місяці тому
MIUJIZA YA MUNGU IKITENDEKA ,
MAOMBEZI 31,10,2024 EDITED
Переглядів 712 місяці тому
MAOMBEZI 31,10,2024 EDITED
JINSI YA KUOMBEA MAZEBAHU,,
Переглядів 1472 місяці тому
JINSI YA KUOMBEA MAZEBAHU,,
IBADA YA MAOMBI .YA JUMAPILI 20,10.2024
Переглядів 893 місяці тому
IBADA YA MAOMBI .YA JUMAPILI 20,10.2024
IMANI PASIPO MATENDO IMEKUFA,
Переглядів 973 місяці тому
IMANI PASIPO MATENDO IMEKUFA,
MAHUBIR JUMANNE 15 10 2024 EDITED
Переглядів 703 місяці тому
MAHUBIR JUMANNE 15 10 2024 EDITED
MAHUBIRI JUMANNE
Переглядів 1873 місяці тому
MAHUBIRI JUMANNE
MAOMBI NA KUFUNGULIWA.
Переглядів 1503 місяці тому
MAOMBI NA KUFUNGULIWA.
''KAMA HUNA IMANI AMINIKUPITIA MTUMISHI WA MUNGU''
Переглядів 2063 місяці тому
''KAMA HUNA IMANI AMINIKUPITIA MTUMISHI WA MUNGU''
UTAFTENI KWANZA UFALME WA MUNGU.
Переглядів 1213 місяці тому
UTAFTENI KWANZA UFALME WA MUNGU.

КОМЕНТАРІ

  • @gracerishandumilema278
    @gracerishandumilema278 5 днів тому

    Asante yesu maana utukufu wako umenishukia kupitia madhabahu hii,barikiwa watumishi wako,zid kusema nao juu ya maisha yetu,barikiwa sana Mtumishi Justin

  • @pamelawanjara738
    @pamelawanjara738 10 днів тому

    Hongera mtumishi wa mungu.mungu amekutumia siku hii .hii yote sababu ya kushika koti la mkuu wa madhabahu na unyenyekevu kwa mungu.kweli kesi zimeisha kwa moto huu.Amen

  • @chavdatemu6262
    @chavdatemu6262 10 днів тому

    Yesu yupo jamani.🫡

  • @liliansindiyo1214
    @liliansindiyo1214 10 днів тому

    Yesu pokea sifa

  • @gracerishandumilema278
    @gracerishandumilema278 10 днів тому

    Barikiwa sana Mtumishi Justin kwa ibada ya hii kwani kesi zilizokuwa zikinisumbua nyumbani,kazini,kwenye biashra na mahali popote pale palipokuwa pananihusu kesi zote zimeisha kupitia somo la jumapili🙏🙏

  • @gracerishandumilema278
    @gracerishandumilema278 10 днів тому

    Asante Mungu kwa ajili ya watu mishi wako kwani Mungu ametupa upendeleo makubwa sana ndani ya kanisa la maisha ya yesu,najivunia kuwa sehemu sahih🙏🙏🙏

  • @LidyaMushi-j1z
    @LidyaMushi-j1z 12 днів тому

    Amen 🙏

  • @gracerishandumilema278
    @gracerishandumilema278 14 днів тому

    Hallelujah Leo ipo nguvu ya ajabu katkat ya hii madhabahu eee Mungu kupitia Mtumishi wako naomba unapowazuru wengine namimi usinipite

  • @gracerishandumilema278
    @gracerishandumilema278 14 днів тому

    🔥🔥🔥🔥🔥💥

  • @williammngofi9417
    @williammngofi9417 14 днів тому

  • @WistonWilliam-b8s
    @WistonWilliam-b8s 19 днів тому

  • @gracerishandumilema278
    @gracerishandumilema278 20 днів тому

    Namshukuru Mungu kwa ajili ya Ibada. Ya Leo hakika amenitendea,barikiwa sana Mtumishi Mungu azidi kukupa nguvu

  • @LucySimon-y5r
    @LucySimon-y5r 21 день тому

    Ameeeen

  • @peterpaschal4522
    @peterpaschal4522 24 дні тому

  • @DevothaMollel
    @DevothaMollel 24 дні тому

    Amen mtumishi. Ibadan ya Leo nzuri Sana

  • @gracerishandumilema278
    @gracerishandumilema278 28 днів тому

    Asante yesu kwa kunipa nafasi ya kuwa katika madhabahu hii chini ya Mtumishi wako Chanel,hakika kila siku ni mpya na inakuwa na nguvu ya ajabu,napokea kuzaliwa upya katika maisha yangu 🙏🙏

  • @pamelawanjara738
    @pamelawanjara738 Місяць тому

    Kwa.kwelii ibada hii ilikuwa na nguvu za roho mtakatifu zilizoshukiaa watu. Heri yao kristo amezaliwa upya.ndani yao. Mtumishi wa mungu .Endelea kunyenyekea kwa Bwana.kwani siku hadi siku anakupa mbinu za kulihubiri jina lake ,

  • @williammngofi9417
    @williammngofi9417 Місяць тому

    Ibada imeishia katikati haijaisha watumishi 🙏

  • @gracerishandumilema278
    @gracerishandumilema278 Місяць тому

    Asante yesu, Asante yesu, Mungu ninakusukuru kwa ajili ya madhabahu hii kupitia Mtumishi wako kila jumapili imekuwa na kitu Cha tofauti kwetu na nimepokea uponyaji mkuu sana, barikiwa sana Mtumishi wangu Chanel ww na familia yko

  • @pamelawanjara738
    @pamelawanjara738 Місяць тому

    Ibada ilikuwa na nguvu sana.mungu akulinde na atimize maono yako na kuyalinda

  • @monicaathanas8560
    @monicaathanas8560 Місяць тому

    amen

  • @danieldaudi6537
    @danieldaudi6537 Місяць тому

    Amina

  • @gracerishandumilema278
    @gracerishandumilema278 Місяць тому

    Namshukuru Mungu nimeona nguvu katkat ya kuchovya mara Saba,nimepata kibali neema isiyo ya kawaid

  • @williammngofi9417
    @williammngofi9417 Місяць тому

  • @pamelawanjara738
    @pamelawanjara738 Місяць тому

    Ibada ilikuwa na moto, Mungu aendelee kuwepo madhabahu haya Amen

  • @gracerishandumilema278
    @gracerishandumilema278 2 місяці тому

    Maisha ya yesu Mtumishi,ni kweli umefunzu mafundisho kwani mafundisho Yako hayapatikani kokote na yamekuwa yakiniongea nguvu za kiroho na kutokukataa tamaa pamoja na changamoto ambazo nakutana nazo Mungu unayoniaminisha Mimi amekuwa akipangua hapo kwa hapo na nabaki kwa mstari,nguvu ya madhabahu hii SI ya kawaid haingalii umbali uliopo inaangalia je unaamini

  • @pamelawanjara738
    @pamelawanjara738 2 місяці тому

    Asante,kwa kutufundisha ,kutokata tamaa na kufanya kazi kwa bidi.mungu akulinde.

  • @gracerishandumilema278
    @gracerishandumilema278 2 місяці тому

    Naamini kuwa Mungu yupo mahali hapa na anafanya kazi na Mtumishi wa Mungu chanel, barikiwa sana Mtumishi wewe na familia Yako

  • @gracerishandumilema278
    @gracerishandumilema278 2 місяці тому

    Kila saa kila siku Mungu ni mwaminifu kwani ninapofafilia Ibada kwa online hakika nimwamini Mtumishi wa Mungu chanel yupo na mamlaka madam tuu ukimwamini kuwa yeye ni Mtumishi na anayomajibu Yako unapona

  • @WistonWilliam-b8s
    @WistonWilliam-b8s 2 місяці тому

  • @tazamaeliismaeli1126
    @tazamaeliismaeli1126 2 місяці тому

    Mungu aendelee kulitunza kanisa la maisha ya Yesu ,

  • @pamelawanjara738
    @pamelawanjara738 2 місяці тому

    Nimeelewa kufanya maombi kwenye shida na raha.napia kumtegemea mungu kwa kila kitu kwani ndiye mwenye kila kitu.Amen

  • @pamelawanjara738
    @pamelawanjara738 2 місяці тому

    Hongera sana.ibada ya kipekee.mtuliza dhoruba alipita yaani yesu mwenyewe,nimetoka nikiwa mwepesi.Na pia maombi ya ijumaa asubuhi, yametoa majibu kwangu.Amen

  • @JustineMingati
    @JustineMingati 2 місяці тому

    Ameeen 🙏🙏

  • @SamwelMollel-br9md
    @SamwelMollel-br9md 2 місяці тому

    Safi sana ila hii suti 😂😂😂

  • @gracerishandumilema278
    @gracerishandumilema278 2 місяці тому

    Amen,amen..........

  • @gracerishandumilema278
    @gracerishandumilema278 2 місяці тому

    Amen amen🔥🔥🔥🔥🌎

  • @gracerishandumilema278
    @gracerishandumilema278 2 місяці тому

    Maisha ya yesu Mtumishi,maisha ya yesu kanisa,yaani hapo kwenye kuringa Mimi nahis nimepitiliza,kiukweli madhabahu hii sio ya mchezo hata kidg Kuna nguvu ya Mungu

  • @gracerishandumilema278
    @gracerishandumilema278 2 місяці тому

    Asante yesu hakika yesu ww nini mwema na nimeona kazi zako kupitia Mtumishi wako chanel,kupitia hii Ibada roho za mizimu zife kwetu,na tupokee uponyaji Moja kwa moja

  • @gracerishandumilema278
    @gracerishandumilema278 2 місяці тому

    Amen

  • @gracerishandumilema278
    @gracerishandumilema278 2 місяці тому

    Amen my prophet maisha ya yesu,barikiwa sana,nafrahi kwa nguvu ya mafundisho kutoka ktk madhabahu hii

  • @Ericjoseleyn
    @Ericjoseleyn 2 місяці тому

    maisha yesu kiboko kabisa chin ya mtumishi chaneli nabarikiwa Sana na kupona kupitia mahubiri yake

    • @WistonWilliam-b8s
      @WistonWilliam-b8s 2 місяці тому

      MTUMISHI. Namkubalisana amenisaidia mambo mengi sana. Nipo dar namuomba Mungu nipate nafasi ya kuja arusha

  • @gracerishandumilema278
    @gracerishandumilema278 2 місяці тому

    Madhabahu hii tuheshimu sana si madhabahu ya kawaida hii inasafirisha nguvu Dunia mzima hakika nimemuona Mungu kupitia kwa Mtumishi wake juu ya Imani anayozidi kutulisha na kutujengea ujasiri kila wakati, barikiwa sana Mtumishi wa Mungu kwani pamoja na umbali Bado nimemuona Mungu akinitendea kwa kiwango Cha juu sana

  • @upendokimambo1562
    @upendokimambo1562 2 місяці тому

    Namshukuru Mungu sana kwa madhabau hii ya maisha ya YESU,nimeuona mkono wa bwana ukinitendea makuu zaidi ya makuu kupitia mtumishi wake Pastor CHANEL.Mungu ambariki na kumpa neema ya kuishi miaka mingi akizidi kupaaa kwa kumtumikia Mungu na kuwafungua wengi kwa jina lake YESU KRISTO.Amen,na mimi napokea zaidi na zaidi baraka na kufunguliwa zaidi kwa jina la YESU

  • @pamelawanjara738
    @pamelawanjara738 2 місяці тому

    Nimeyapenda

  • @pamelawanjara738
    @pamelawanjara738 2 місяці тому

    Kwa kweli mungu kakuonyesha.haya maombi nimeyapena.imetuimarsha.Amen

  • @maishayayesutv2022
    @maishayayesutv2022 2 місяці тому

    Ameen sana

  • @gracerishandumilema278
    @gracerishandumilema278 3 місяці тому

    Katika madhabahu hii Kuna kitu Cha tofaut sana,yesu nipe roho wakotakatifu niweze kutoka na kitu ndani ya Ibada.

  • @gracerishandumilema278
    @gracerishandumilema278 3 місяці тому

    Asante yesu wa madhabahu hii,zidi kumuinuwa Mtumishi wetu Dr Chanel na familia yake,usiwaibishe kamwe

  • @gracerishandumilema278
    @gracerishandumilema278 3 місяці тому

    Amen, namshukuru Mungu kwa kunipa Mtumishi wa Mungu chanel kwani kila siku nakutana vitu vipya na kuvuka, Mungu wa mbinguni mkumbuke docta chanel na familia yake yote