MOSES KULOLA Sikuzinakuja zahatari E.A.G.T Muwemakini

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 181

  • @theonlyonebeautiful3726
    @theonlyonebeautiful3726 5 років тому +109

    Niliokoka kwenye mkutano wa huyu baba 1999 na nilipata shida sana mume alinikataa nikiwa na mtoto mdogo nikaenda kukaa kwetu niliendelea na wokovu,kukawa na mkutano wa vijana kwa Mchungaji Mwizarubi nilimuona Mungu akitenda leo namsikiliza Feb 2019 hapa marekani acheni Mungu aitwe Mungu

  • @AnnaAnna-n1r
    @AnnaAnna-n1r Рік тому +4

    Alitiza neno hubirini kwamba ufalme wa mbinguni umekaribia...........lengo kuu la wokovu ni kuikimbia Jehanamu isemwayo na huyu mtumishi wa Mungu shujaa

  • @timothmasong7974
    @timothmasong7974 5 років тому +4

    Injili isio na mawaa ubarikiwe babu pumzika kwa amani kazi umeimaliza injili umeilinda aminaa

  • @kisembomaliyamungu572
    @kisembomaliyamungu572 4 роки тому +6

    Mungu akujalia mzee hii ndio neno ya wakati huu tubuni na kuokolewa Amina Amina

  • @danielngalawa5134
    @danielngalawa5134 5 років тому +12

    Daaaah injili inachoma kweli..MUNGU nisaidie niushinde ulimwengu

  • @seifhamadi7895
    @seifhamadi7895 4 роки тому +6

    Ee mungu WANGU niongoze nimalize mwendo salama.

  • @paulinamichael2988
    @paulinamichael2988 3 роки тому +1

    Halleluyah nakosa hata chakuongea nabarikiwa sanaa Baba kazi uliifanyaa.

  • @danisaid6245
    @danisaid6245 5 років тому +6

    Pumzika kwa amaani mzee wangu ole kwetu ambae hatujamaliza kazi

  • @emmanuellikaare1661
    @emmanuellikaare1661 10 місяців тому +1

    Nisiku ya pili nililala mchana nikaota ndoto huyu mtumishi wa Mungu amekuja duniani akanishika mkono nakunipeleka mbinguni sasa tukiwa kwenye ngazi kila mahali kweupe nilianza kusikia wimbo ambao nilipoamka nilikua bado naukumbuka nikachukua simu yangu kisha nikaimba nikijirecodi ndio nisiusahahu ...napenda sana kuyasikiliza maubiri ya uyu mtu wa Mungu nampenda kutoka Moyoni mwangu naamini Mungu ameuambatanisha moyo wangu na moyo wa mtumishi wake japo yuko mbinguni.....naamini namimi siku moja nami nitaingia mbinguni amina.

    • @shedrackmihale7329
      @shedrackmihale7329 6 місяців тому

      Fanya tu kwabidii kwa Mungu utafika tu kwa Mungu

    • @carolmueni6431
      @carolmueni6431 3 місяці тому

      ​@@shedrackmihale7329Tia bidii ushinde ya ulimwengu mtakutana

  • @dorcaslor2166
    @dorcaslor2166 5 років тому +2

    Acsente Mutu wa Mungu ni kueli kabisa ni lisha épuka zamani bengine aseme ni majivunu na bambiya faida gani ni potée Moyo wangu ju y’a Kupendewa na Dunia ? Haya acha Mungu a kubariki nakutubiri Injili y’a wakati za muicho ndio Buana Yesu ana Kuja BaBa Wetu wa mbiguni a tu wezeche Amen

  • @dorcaslor2166
    @dorcaslor2166 5 років тому +3

    Buana Wangu Yesu Mfalm Uni saidie Mupenzi Wangu Wa Rohoe Kua siku ile siku ya Hatari ni yakulie ni WEWE Mbinguni Amen

  • @edithajonathan8905
    @edithajonathan8905 5 років тому +12

    Injili halisi ya Mungu mwenyewe!

  • @EdsonSamwel-p4k
    @EdsonSamwel-p4k 4 місяці тому +2

    Daah Mzee kulola apewe maua yake mzee alisimamia kwel ya biblia nikisikiliza mahubir yako nikaongezea na ya mtumishi wa mungu amieli yalered katekela nabalikiwa sana

  • @zakayosamwel7040
    @zakayosamwel7040 5 років тому +2

    Nakumbuka mahubiri ya huyu mtumishi wa Mungu. Ni lazima tusimame imara katika kizazi hiki. Tulishike neno na tusibabaishwe na manabii wa uongo waliojaa kipindi hiki.

    • @jakelema6325
      @jakelema6325 4 роки тому

      Zakayo Samwel mfatilie mtoto wake wa kiroho anaitwa nabii Hebron search prophet Hebron UA-cam

  • @emmanuelsanga7363
    @emmanuelsanga7363 2 роки тому +1

    Neno la Mungu ni moto

  • @EnezerMwafrica
    @EnezerMwafrica Рік тому

    Ee Mungu na kweli amemchukua Mungu azidi kumpa neema atakm hayupo duniani loe nmeokoka kwa mafundisho yke

  • @sistercarolinemjewa7502
    @sistercarolinemjewa7502 8 місяців тому

    Mzee Kulola ana upako mkubwa sana sijaona mwingine

  • @lawrenciamwampelwamwampelw9911
    @lawrenciamwampelwamwampelw9911 5 років тому +16

    Nakumbuka miaka ya 1985 mbeya kwenye mikutano ya kulola

  • @paulojohn2580
    @paulojohn2580 Рік тому +1

    Amina sana

  • @eliapolia1624
    @eliapolia1624 5 років тому +10

    Mwenye sikio na asikie

  • @emmanuelsanga7363
    @emmanuelsanga7363 2 роки тому

    Kwa kweli tunamshukuru Mungu sana kwa ajili ya askofu Kulola

  • @joshuasalamba591
    @joshuasalamba591 4 роки тому

    Mungu akufute machozi kwa kitambaa safi baba yetu wa iman

  • @priscajustine2183
    @priscajustine2183 4 роки тому +3

    Kweli baba umesema naimetokea corona mungu tuponye 30/4/2020

  • @UhaiOnlineTv
    @UhaiOnlineTv 5 років тому +6

    sylas tv jaman tuiombee sana pia sambaza video hi

  • @JastFinancial02
    @JastFinancial02 4 місяці тому

    Mungu anifanye na mimi kama moses kulola

    • @CastroErnest-jq2bf
      @CastroErnest-jq2bf 3 місяці тому +1

      Alifunga mwaka mzima jitaid naww ufunge ata nusu
      Utaona nguvu za Mungu alie hai

    • @JastFinancial02
      @JastFinancial02 3 місяці тому +1

      @@CastroErnest-jq2bf Amina

  • @saramgonja3484
    @saramgonja3484 5 років тому +21

    Sikuwahi msikiliza Huyu baba kipindi chote akiwa hai maana nilikua kwenye imani nyingine lakini tangu niingie kwenye imani hii na kupata kusilikuliza sauti za huyu baba,hakika nafundishika napata kujua mengi na imani yangu inakua,,

    • @saramgonja3484
      @saramgonja3484 5 років тому

      Nitashukuru saana,na Mungu wa Mbinguni akubariki saana

    • @saramgonja3484
      @saramgonja3484 5 років тому +1

      Amen,barikiwa sana ndugu yangu

    • @kejolalaizer9245
      @kejolalaizer9245 5 років тому

      @@SYLASSTV Ana mtunda mengi sana

    • @jakelema6325
      @jakelema6325 4 роки тому +1

      Sara Mgonja mfatilie mtoto wake wa kiroho anaitwa nabii Hebron search prophet Hebron UA-cam utaujua ukweli zaidi wachungaji wengi na manabii ni waongo sana utaijua injili bure na kuombewa bure.Asante

    • @josephmarwa7212
      @josephmarwa7212 2 роки тому

      Mungu anakupenda endelea kumtafuta akiwa bado anapatikana

  • @laini120
    @laini120 5 років тому +2

    Waouw nzuri saaana

  • @darcinmubeza1560
    @darcinmubeza1560 4 роки тому

    Mungu Atupatie mwisho muzuri kuliko mwanzo

  • @yusufukazamba2391
    @yusufukazamba2391 5 років тому +2

    Huyu alikuwa mpakwa mafuta kweli ndiyo maana hakupenda kuchekacheka alikuwa serious kweli

  • @musabalinaki5847
    @musabalinaki5847 5 років тому +2

    My role model

  • @christinaphilip3831
    @christinaphilip3831 5 років тому +1

    Mungu akupumzishe katika makazi yako ya milele

  • @dorismbise1310
    @dorismbise1310 4 роки тому

    Nabarikiwa mno na mahubiri haya

  • @fatmafa1896
    @fatmafa1896 5 років тому +6

    Amen mafunzo mema tena ya kweli kabisa

  • @gaudenciarobart3801
    @gaudenciarobart3801 3 роки тому

    Bwana nisaidie nimalize mwendo salama

  • @anethilyapanda1096
    @anethilyapanda1096 5 років тому +1

    Nakumbuka 2012 mbalari mbeya ubaruku kwa pastor kitundu daaah r.i.p. pastor moses kulola.

  • @missajijamesx-6479
    @missajijamesx-6479 Рік тому

    Roho yako ilale mahala pema baba umeiacha ijili inasonga mbele mimi nimeokokokea kwenye E..A..G..T

  • @merrypeter5909
    @merrypeter5909 5 років тому +4

    bba urikubari kuhubli kweri yaneno la Mungu , upombinguni umepumzika

  • @fatmafa1896
    @fatmafa1896 5 років тому +4

    Amen in Jesus mighty name amen

    • @elirehemamaro4045
      @elirehemamaro4045 4 роки тому

      Ee Mungu wangu naomba unisaidie nami niuone ufalme wako

  • @laurentgregory2074
    @laurentgregory2074 5 років тому +6

    Bwana atupe ustahimilivu wa kusimama katika wokovu

  • @sharondivine2797
    @sharondivine2797 5 років тому +1

    Amen Hii ni injili Halisi

  • @ilomonestory5681
    @ilomonestory5681 4 роки тому +1

    Barikiw

  • @mariamusimon3095
    @mariamusimon3095 5 років тому +1

    Ubarikiwe

  • @davidkubeha7755
    @davidkubeha7755 3 роки тому

    Injili ya kweli kutoka kwa yesu

  • @lemyzadockjesushigher7098
    @lemyzadockjesushigher7098 5 років тому +1

    Naomba Mungu akutulize katika furaha ya milele Mzee wangu

  • @joshuangao4147
    @joshuangao4147 5 років тому

    mungu akubaliki

  • @lilianmwambatula7921
    @lilianmwambatula7921 5 років тому +1

    amen....MUNGU ana watu

  • @josephmarwa7212
    @josephmarwa7212 2 роки тому

    Muendelezo jamn msiwe mnatukatisha katikati

  • @emmanuelsanga7363
    @emmanuelsanga7363 2 роки тому

    Daa injili ya kweli hii ukurasa umefungwa tayari lakini injili aliyohubiri bado inagusa watu

  • @sistercarolinemjewa7502
    @sistercarolinemjewa7502 8 місяців тому

    Carol Mjewa Nairobi

  • @jofreypilla5041
    @jofreypilla5041 3 роки тому

    Eee Mungu nikumbuke

  • @kevinndayihimbaze3585
    @kevinndayihimbaze3585 3 роки тому

    Ili ndilo neno la Mungu

  • @florameza1028
    @florameza1028 2 роки тому

    Baba wa imani

  • @ruthvilinga7780
    @ruthvilinga7780 4 роки тому +2

    Shukurani nyingi

  • @JeanClaudeBibonimana-k4c
    @JeanClaudeBibonimana-k4c 3 місяці тому

    Muhubiri mwema kabisa

  • @mosesmwailenge6749
    @mosesmwailenge6749 4 роки тому

    Hakika amelaniwa yoyote yure apingae injili hii iliyo hai kwamaana atakua amempinga yesu hai aisee inaogofya ulifanya kazi baba angu kulola hata leo tunakushuhudia popote pale kwa mwenendo wako mwema nainjili hai ukuubili feza walamagari ole wasisi tusipo mpenda yesu

  • @yesuhanampinzanimgimwa8319
    @yesuhanampinzanimgimwa8319 5 років тому +2

    Babu Mungu akutunzee

  • @gabriellyadam9415
    @gabriellyadam9415 4 роки тому

    Haleluyaaaaa

  • @sarahpetro4418
    @sarahpetro4418 5 років тому +1

    MUNGU akuweke peponi baba yetu mzee wa imani thabiti hakuna kama wewe mtumishi unae toa injili ya kweli kwa sasa manabii wanaibuka usiku na mchana injili ya MUNGU imekuwa bishara

    • @jakelema6325
      @jakelema6325 4 роки тому +1

      Sarah Petro mfatilie mtoto wake wa kiroho anaitwa nabii Hebron search prophet Hebron UA-cam

    • @sarahpetro4418
      @sarahpetro4418 4 роки тому

      Jake Lema huwa namfatilia ila nina muda kidogo sijaangalia tena kumbe katoka mikononi mwake

    • @jakelema6325
      @jakelema6325 4 роки тому +1

      Sarah Petro ndiyo unabidi urejee kama vipi uende kanisani kabisa

    • @sarahpetro4418
      @sarahpetro4418 4 роки тому

      Jake Lema kweli kabisa nimemwacha MUNGU jamani anisamehe tu MUNGU wangu

    • @jakelema6325
      @jakelema6325 4 роки тому +1

      Sarah Petro ata usiogope ukirejea atakupokea anatupenda kuliko ata tunavyofikiri.Upo dar au mkoa gan kwan?

  • @yusuphkasongwa1872
    @yusuphkasongwa1872 5 років тому +4

    nani atakaye tokea akahubili injili ya kweli ambayo inazungumza uharisia wa dunia ilnako elekea kama huyu mzee nani asimame, nani azunguke katika roho na kweli rest in peace our real dad we mc u more

    • @millicentayango3879
      @millicentayango3879 5 років тому

      Angalia prophet Hebron pia amefuata nyao zake.

    • @jakelema6325
      @jakelema6325 4 роки тому

      Yusuph Kasongwa mfatilie mtoto wake wa kiroho anaitwa nabii Hebron search prophet Hebron UA-cam

  • @jamessichimata36
    @jamessichimata36 2 роки тому

    Kanisa limeingiliwa na nnge Baba siyo EAGT uliyoiacha MUNGU akurehemu.

  • @imagepower3641
    @imagepower3641 5 років тому +5

    inatisha huyu mtumishi ana maneno yenye nguvu sana

  • @PeterPeter-yd8qx
    @PeterPeter-yd8qx 5 років тому +5

    Kweli Baba huyu alijaa NEEMA ya MUNGU

  • @babulomitu140
    @babulomitu140 2 роки тому

    Mahubiri yako yanasikilizika

  • @ninjantambe4752
    @ninjantambe4752 4 роки тому +1

    Amina

  • @marymbodzembodze2707
    @marymbodzembodze2707 2 роки тому

    Amen Amen

  • @magdalenajoseph9717
    @magdalenajoseph9717 5 років тому +1

    Ameni

  • @barakankubile2329
    @barakankubile2329 5 років тому +6

    Nikwa mahubiri yako niliokoka mwaka 1985 mwezi 9 huko manyovu kigoma .

    • @michaelpaul7760
      @michaelpaul7760 5 років тому

      Baraka Nkubile Hongera Bwana Baraka maana kwa mwaka huo sie wengine tulikuwa hatujazaliwa bado

  • @anethmollel6564
    @anethmollel6564 5 років тому +1

    Injili orijino

  • @yonatayai1909
    @yonatayai1909 5 років тому

    injili isiyotiwa chachu

  • @musilali3208
    @musilali3208 5 років тому

    Good

  • @janemohamed1633
    @janemohamed1633 5 років тому +2

    Neno lenye Uhai kabisa.

  • @rasnchimbi
    @rasnchimbi 5 років тому +3

    Nakumbuka miaka ya 80,enzi hizo Dodoma alikuwa anakuja kwenye kanisa la kulia pale jirani na hospitali ya general,sisi tukitoka kucheza mpira kwenye viwanja vya amani shule ya msingi,tunapitia pale kumsikiliza vitisho vyake.

    • @hensongunman1680
      @hensongunman1680 5 років тому

      Yesu asante kwakumleta Nabii kulola duniani

    • @Japhetrichard8187
      @Japhetrichard8187 3 роки тому

      Kwahiyo wewe unaona Ni vitisho siyo kwakuwa maneno haya Ni yake etie

    • @florameza1028
      @florameza1028 2 роки тому

      Ole wako siku hiyo utauambia mlima ukufunike nao utakukimbia

  • @felixpeter5158
    @felixpeter5158 5 років тому

    Msikio tuliyo nayo hanakuskia baba tunaomba uponyaji wauzima wamirere hee yesu nifumbuwe macho nione nipe maskio nikie vema niponye kwa jina baba Nala mwana ameni

    • @jakelema6325
      @jakelema6325 4 роки тому

      Felix Peter mfatilie mtoto wake wa kiroho anaitwa nabii Hebron search prophet Hebron UA-cam

  • @dintazdintaz7311
    @dintazdintaz7311 3 роки тому +1

    Hizi ndio injil na sio kuhubiriana magari majumba wala ma mali isue tuisikie injili iliyo injili bila majungu wala masimango

  • @stanleyfocas8250
    @stanleyfocas8250 5 років тому +4

    Huyu ndo mchungaji anae wafaa waumini mpendeni Sana kwani anawapa ukweli juu ya wokovu sasa nivizuri kulishika ilo neno kwakuwa ushajuwa ukweli hukumu yake nikali kuliko yule asie juwa pia someni sana ufunuo wa yoana kwani.kila kilicho tabiriwa kisha kuwepo

    • @catherinegideon5287
      @catherinegideon5287 5 років тому +1

      Alishafaliki muda sasa

    • @stanleyfocas8250
      @stanleyfocas8250 5 років тому

      @@catherinegideon5287 mungu ampumzishe nilifwatilia ibada zake kwenye mitandao nilimpenda sana

    • @jakelema6325
      @jakelema6325 4 роки тому

      Stanley Focas mfatilie mtoto wake wa kiroho anaitwa nabii Hebron search prophet Hebron UA-cam utaijuwa injili ya kweli

    • @musaissa7463
      @musaissa7463 2 роки тому

      @@jakelema6325 👍👍👍👍👍

  • @linosjohn9020
    @linosjohn9020 5 років тому +3

    Mbona umeweka vidio nusu?

  • @roselineatamba916
    @roselineatamba916 3 роки тому

    Njia ya Mbunguni tujilinde

  • @daviesoscar1603
    @daviesoscar1603 3 роки тому

    Inatisha

  • @enockfumbuka107
    @enockfumbuka107 5 років тому +2

    He really fought Satan !

  • @stevenkipara9310
    @stevenkipara9310 5 років тому +1

    Amen

  • @gfantvgospelforallnations916
    @gfantvgospelforallnations916 5 років тому +1

    nahitaji CD za mahubili ya Mozes kulola.

    • @remycanadaify
      @remycanadaify 5 років тому +1

      @@SYLASSTV na mimi nahitaji piya Niko hapa Canada Alberta Edmonton.

    • @veronamsigwa5994
      @veronamsigwa5994 5 років тому

      Nahitaji niko Mbeya Tukuyu

    • @jakelema6325
      @jakelema6325 4 роки тому

      DICKSON MFIKWA mfatilie mtoto wake wa kiroho anaitwa nabii Hebron search prophet Hebron UA-cam

  • @rehemamusa8199
    @rehemamusa8199 3 роки тому

    ijili.yako.inaishi

  • @charlesnguma7573
    @charlesnguma7573 5 років тому +1

    Ujumbe wa nguvu

    • @POULSHIJA
      @POULSHIJA Рік тому

      Mungu mwema mozesi kulola ndiyo muhibiri wa kweli duniani makanisa ya sikuizi tungechaguwaga moja ya kumbe zake najusikilizaga tugalibarikiwaga2 kama sasa tunavo balikiwa video zake inatufanya tunapata na amani juu hata nakuacha dhambi kuliko baadhi ya wahubili siku hizi sasa amani mbinguni naduniani Amina!?

  • @abigaelijohn1539
    @abigaelijohn1539 5 років тому +2

    Nikweli babuu uko sawa

  • @MassaweMeshack
    @MassaweMeshack 18 днів тому

    Wewe uliokoka kwa ofu ya mwaka 2000 watu walijua ndiyo mwisho wa dunia ata kwetu walikuwepo Kama wewe.

  • @henrymatebe1492
    @henrymatebe1492 5 років тому +5

    Kwakweli huyu baba ni mchango mkubwa sana ktk safari yangu ya wokovu

  • @elrachum3866
    @elrachum3866 3 роки тому

    Nikimsikiliza najisikia kutakasika

  • @jmeliasshanelle4303
    @jmeliasshanelle4303 4 роки тому

    Wewe! Musa alikufa. Soma pale shetani alipokuwa akipigania mwili wa Musa na Malaika wa Mungu. Soma vizuri tafadhali Bible.

  • @eliamugini8494
    @eliamugini8494 5 років тому +1

    Ni lini basi hata hayo yote yatokee?

  • @yonafungo4861
    @yonafungo4861 5 років тому

    .

  • @laini120
    @laini120 5 років тому +3

    Waouw nzuri saaana

  • @mpokimwakaje8178
    @mpokimwakaje8178 2 роки тому

    Amina

  • @irenegibson-ws1lb
    @irenegibson-ws1lb 10 місяців тому

    Amen