Namna ya kurejesha Vitu/Afya/Kazi/Mali zilizopotea

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • Somo muhim sana kwako

КОМЕНТАРІ • 57

  • @juharazanzi997
    @juharazanzi997 2 роки тому +1

    Nimebarikiwa sanaa mtumishi

  • @kulwaboneface5242
    @kulwaboneface5242 5 років тому +4

    Mchungaji mwenyezi Mungu azidi kukubariki,namshukru Mungu kila ninapo sikiliza mafundisho yako napata nguvu ya kiroho najiona kama tai nakuwa mpya kiroho.

  • @SifaelNoah
    @SifaelNoah 4 місяці тому

    Barikiwa mtu wa Mungu.

  • @euniceeunice7680
    @euniceeunice7680 5 років тому +7

    Barikiwa sana mchungaji

  • @rahimajuma5306
    @rahimajuma5306 3 роки тому

    Mungu azidi kukupa umri mrefu uzidi kutupa neema za mungu tunabarikiwa kupitia mahubiri na mungu azidi kukubariki

  • @graceesiabia5379
    @graceesiabia5379 2 роки тому +1

    Wonderful sermon. Makes me reread the story of Elisha again with understanding. Be blessed

  • @user-em6bg9ue2d
    @user-em6bg9ue2d 5 років тому +1

    Mungu akuzidishie Pst nabarikiwa Sana tena nasaidia kbs Amen

  • @catherinendaro4670
    @catherinendaro4670 3 роки тому

    Nashukuru kwa somo nimebarikiwa nalo

  • @peninadunda6348
    @peninadunda6348 3 роки тому

    Amina ubarikiwe sana pastor

  • @phinawatwego7260
    @phinawatwego7260 3 роки тому

    Amina na Amina. Mungu atusaidie

  • @godfreysylvester1247
    @godfreysylvester1247 5 років тому +3

    Kiukweli nabarikiwa sana na mahubili haya Mungu akubariki sana mchungaji kipindi naingia kwenye kanisani hili nilibebeshwa mizigo ila nashukuru Mungu kwa mahubiri haya nimeelewa kitu na najisikia kua rafiki wakaribu na Mungu wang

  • @nyarkamrumbeayoma6886
    @nyarkamrumbeayoma6886 4 роки тому

    Huwa unakata kiu yangu ya neno la mungu.mungu akuinue zaidi mchungaji

  • @wellon_hills
    @wellon_hills 3 роки тому

    Pr Ubarikiwe sana! Somo hubiri hili limenipa nuru mpya! BARIKIWA SANA!

  • @abelimalifedha9801
    @abelimalifedha9801 5 років тому +1

    nimepata kitu kipya cha ajabu sana hapa. Bwana akufunulie mchungaji. Mungu akupe nguvu.

  • @user-no2tw5vb8j
    @user-no2tw5vb8j 2 роки тому

    Doreen Edasi watching from abroad, i lov the way u preach man of God, u make me understand deeply, May God bless u and your family 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @damarigongo3067
    @damarigongo3067 4 роки тому

    Baba mahubiri yako yanabariki sana moyo wangu, Mungu akubariki sana, ningepata namba yako nikushirikishe, nahitaji hudumayako, Ahsante sana Baba.

  • @happymbilinyi7906
    @happymbilinyi7906 5 років тому +1

    Mtumishi unanibariki sana na mafundisho Mungu azidi kukusimamisha

  • @daud8785
    @daud8785 3 роки тому

    Nimejifunza mengi.

  • @esthermsely8385
    @esthermsely8385 5 років тому +1

    Bwana anakutumia kwa namna ya pekee, ahsante Pr, Nina barikiwa mnoo, ahsante kwa hili hubiri maana lmeniponya

  • @tikeydavid5989
    @tikeydavid5989 4 роки тому

    Nabarikiwa sana mchungaji

  • @christophermalilah7110
    @christophermalilah7110 4 роки тому

    Barikiwa mtumishi

  • @saradolaso9730
    @saradolaso9730 5 років тому

    Amen mungu akubariki mchungaji na barikiwa

  • @annasangwa4989
    @annasangwa4989 5 років тому

    hata mm nauhifadhi jna nlifanyaga maswal kumi ya mwanzo,,amen mchungaji barikiwa sana

  • @seattleswahiliradio
    @seattleswahiliradio 5 років тому +2

    Ameni kweli mchungaji nimetafakari kuna vitu vimeondoshwa lakini kwa yesu yote yamerejeshwa amen.

  • @namsamson3443
    @namsamson3443 5 років тому +1

    Ni kweli Ni Mungu ila anapitia kwa mtumishi wake...lesson ya wiki iliyopita utamuonaje Yesu ndani ya mtu...hili ndilo jibu..Mungu Yuko ndani yako

    • @irenemakalwe6445
      @irenemakalwe6445 5 років тому +1

      Imegusa sana maisha yangu barikiwa mtumishi

    • @salomeboniphace9773
      @salomeboniphace9773 5 років тому

      Irene Makalwe
      Daah nmebarikiwa sana Na nmefurah kumuona Mwl wangu maloa kemia mathematics mbele mbele

    • @franciskatana9982
      @franciskatana9982 5 років тому

      Irene Makalwe
      Hi

  • @lennybaabrah6752
    @lennybaabrah6752 4 роки тому +1

    Amen

  • @atinaminzani1372
    @atinaminzani1372 5 років тому +3

    Ubarikiwa unatubariki sana kwa utumishi wako

  • @agnessestoni5631
    @agnessestoni5631 5 років тому

    Napenda maubiri yako sana mtumoshi wangu huwa na kufatilia kila wakati niko mbali mnoo na Tanzania ningefurai kupata namba zako zasm Maana niliyo nayo nimakubwaaa mnoo baba nasielewi nifanye nn

  • @catherinehenryameeen5977
    @catherinehenryameeen5977 2 роки тому

    Ameen

  • @alexrobert1678
    @alexrobert1678 5 років тому

    Ubarikiwe pastor

  • @coco_beach_garden
    @coco_beach_garden 5 років тому

    Bwana nahitaji kubadilishwa,

  • @sintanassoro3046
    @sintanassoro3046 5 років тому

    My spiritual daddy ubarikiwe maana unazid kunibadilisha maisha Kila iitwapo Leo

    • @sariakamnde3969
      @sariakamnde3969 5 років тому

      Mungu Asate Nimesikia jinsi Ulivyo Naomba Urejeshe Uponyaji Ndani ya Mwili Wangu ! Ukaikomboe Familia yangu ! Ukazidi kumwinua Mtumishi Huyu
      Amen.

  • @munezerodeborah9822
    @munezerodeborah9822 5 років тому +1

    asante mchungaji
    nina swali zamani nilikua nakipajii ca ndoo yani nikioata nitii lazima kitimie sasa sikumoja nikaota naona binam yangu amekufa nabada yasiku akakufa sasa moyongu unamashaka mana sikusika zam yamaombi najihisi kama mimi ndoliomuua jee bibiliya inasema nini hapo

  • @christopherchangwe2819
    @christopherchangwe2819 5 років тому

    Mungu akubariki sana pr

  • @eutropiangido9684
    @eutropiangido9684 4 роки тому

    Mahubiri haya hayachuji. Nimesikilizaaa kuna mambo nilikuwa siyaelewi nimeelewa. Nafurahia mlinganisho wa mambo hayo kwenye biblia na maisha yetu ya sasa.
    Mungu akubariki Pastor staili yako inavutia kusoma Biblia. Inanifanya nihamasike kudadavua ni vipi hayo maneno yananihusu.
    Duh kwa kukusikiliza nimeweza kuelewa tofauti ya manabii hawa wawili.

  • @CasianRKomu
    @CasianRKomu 5 років тому +1

    BWANA NIPE NGUVU, sasa mimi siye yulee!!! Nahitaji kurejeshwa

  • @danforddavid6023
    @danforddavid6023 5 років тому

    pastor nabarikiwa ,toka chuo kikuu cha dar es salaam

  • @daudmsomba2439
    @daudmsomba2439 4 роки тому

    Mimi nasema am

  • @jamesmedard5538
    @jamesmedard5538 4 роки тому

    Amina

  • @pauletmajinanina8178
    @pauletmajinanina8178 4 роки тому

    Asifiwe Yesu .Nimeokoka kupitia kufwatilia mahubiri na mafunzo ya mtumishi wa Mungu.Mungu akubariki sana.Nahiaji maombi naomba namba za simu please

  • @shimwekagwiza2300
    @shimwekagwiza2300 5 років тому

    Eee Mungu uliyemfufua mtoto Wa mjane naomba umwokoe mam kwenye maumivu yaugonjwa anayopitia

    • @Gratefulheart3188
      @Gratefulheart3188 5 років тому

      Pole mama anaumwa nn

    • @shimwekagwiza2300
      @shimwekagwiza2300 5 років тому

      @@Gratefulheart3188 mama anasema kuna vitu vinatembea kichwani mwake Mara vinavuta yani kuna wakati unamuona anaviondoa iv ila ndo ivo vinakuwa havionekani, kuna wakati anasema pua yangu haiko sawa yani anaiona haiko mahali pake, kifupi anateseka sana ni Mungu tu naomba aingilie kati mam apone. Chanzo alipima presh ikaonekan iko juu sana alivotumia Dawa hali ikawa mbaya zaidi mpak Leo nimwez wa5 hali cyo nzuri

  • @georgemerere3448
    @georgemerere3448 5 років тому +1

    Asante mchungajii

  • @mariamngumbao783
    @mariamngumbao783 5 років тому +1

    Amen

    • @brycevincenzo3961
      @brycevincenzo3961 3 роки тому

      I know Im randomly asking but does someone know of a tool to log back into an instagram account??
      I was dumb forgot the account password. I love any tips you can give me

  • @damarisfavour5799
    @damarisfavour5799 5 років тому

    Amen