SUBHANA ALLAH 😢 Allah atujalie AKILI ZETU ZIBAKI KATIKA MIPAKA YAKE , Madhaifu ndio ya wanadamu so tusione madhaifu tu mafunzo yake ndio maana kamili ya movie hii mwenye atakwazika na maandishi yangu kunradhi shukran Sheikh wetu kwa kutuelimisha
Ukumbusho humfaa mwenye kuamini mm naamin waz kiama ķimesha karibia kwautabiri wamtume Muhammad s.a.w nibado mda mchachetu tumuombe mungu atundowe iyo siku isitufikie tukiwa hai
Subhanallah yarabbi tusamehe mazambi yet hakika tumefanya mengi ila hakuna mwenye kupokea toba isipokuwa wew Tuongoze ktk njia ya haki mola wetu mlez na ytujalie tuwe miongoni mwa waja wako wema
Ya allah tunakuomba hutusamehe madhambi yetu Kwa kila mwislam anaejua kwamba kiama kina karibia angeanza kujifunza kupigia hii movie kama hii movie imekusikitisha Nina kuomba hubadilike naomba huilike hii movie😢😢❤
Mwenyez mungu atusamehe wajawake, yaani account ina subscribers elfu 26100 lakni mpaka sasa hvi ina views 731 na ina siku 1, duh eeh! Allah tusamehe waja wako
Asalaam alaykum warahmatunillah taala wabarakat Subhannallah. Allah swt anatisha na atatisha Sana siku ya kiyama Tuwe wema na waadilifu hata Kama huamini basi kuwa mwema utaiokoa jamii Inayopotea na kutegemea wazazi wawalishe Kwani hata taifa linaumia kwa utovu wa maadili yalivoharibika Nijukumu letu kuongozana katika mema daima
Hii si Katika dini. Pengine lengo ni zuri lakini njia inayotumiwa kulingania kupitia movie si njia ya sawa na inawashawishi watu waache kuisoma dini bali wakae watengeneze movie na hilo si sawa. Allaah atuongoze sisi na nyinyi.
Yallha atujaliye mwisho mwema yarab😢😢😢 Leo nimelala mchana ila nimeota usingizini mchana naliya sana amekufamtu wakaribu hapo hapo yani kama tupo sehemu yahesabu subullha nikashitula 😢😢😢 yallha
Acha kumtangulia mungu ghaibu ww unamzidi mungu ilimu kunawatu utafutaji wenu pesa mnuvuka mipaka mambo hayo Ni Siri yake Allah hata mtume alifichwa akuambiwa alofunuliwa baadhi ya mambo ww unaetowa move muogope Allah utakwenda kuulizwa
@@FA_Alzahrani1996 hayo ni mambo ya ghaibu ndugu haikujuzu ueleze kwenye video et kuelezea kiama itavyokuwa hilo ni kosa kubwa sana yatosheka mtu kusikia ielezavyo kuruani so kutoa video usimtangulie Allah kueleza vitu hivyo we mambo mengi Allah kamueleza mtume mengine ni Siri yake ww wajuaje Hilo Hadi utoe hiyo video

Subhana LLAH, jama ni , hiyo siku simchezo, waislamu wenzangu, tujiandae kwa ajili yahiyo simchezo hutapatanafasi ya kutubiatena,
Mjomba Yani sisi binaadamu hatuelewi ila tutakujajuwa kwa hakika ALLAH Hana Hadi za uongo tunachukulia maxhara
Subhannallah Ole yang mm tunakuomba Mwenyezimungu mtukufu utughufilie madhambi yetu,uturehemu na utupe mwisho mwema INSHALLAH
@@jumachawinga8147 Aamin
@@jumachawinga8147 kama humwamini Yesu? Tafadhali nakuomba ndugu mtafute Yesu utasamehewa dhambi zako
ameni ameni ameni
Ameeen, ameen, ameen kwa sote YAAA RAB.🤲💕
allah atusamehe
SUBHANA ALLAH 😢
Allah atujalie AKILI ZETU ZIBAKI KATIKA MIPAKA YAKE , Madhaifu ndio ya wanadamu so tusione madhaifu tu mafunzo yake ndio maana kamili ya movie hii
mwenye atakwazika na maandishi yangu
kunradhi
shukran Sheikh wetu kwa kutuelimisha
Ukumbusho humfaa mwenye kuamini mm naamin waz kiama ķimesha karibia kwautabiri wamtume Muhammad s.a.w nibado mda mchachetu tumuombe mungu atundowe iyo siku isitufikie tukiwa hai
Naam
Subhanallah yarabbi tusamehe mazambi yet hakika tumefanya mengi ila hakuna mwenye kupokea toba isipokuwa wew
Tuongoze ktk njia ya haki mola wetu mlez na ytujalie tuwe miongoni mwa waja wako wema
Subhan Allah..Mola atuongoze na atusamehe makosa yeru
Wangapi tumejifunza zaidi ndugu zangu 😭😭😭😭
Allah atujaalie mwisho mwema yaa rabb
Allahumma ameen 🤲😰😢
Allah atusameh na atujalie mwish mwem
Subuhanaa allah atujaliee mwishoo mwemaa na atusamehee wajaabwakee
Ya Rabi tujaalie mwisho mwema amiin
Asante sana nimejifunza mambo mengi
Allah atujaalie mwishon mwema .... Allahumma aamin
Asante Kwa kutukumbusha ALLAH Atujalie Mwisho mwema
Allah akbar" Yarrab tujaalie mwsh mwem tufny tuwe niweny kufat uloamlish nakuacha ulokataz Amiin inshallah🙏🙏
Wallahi Allah akujalie afyaa na mwisho mwenyewe kakangu funzo kubwa sana 😢mungu atusamehe
Allah SUBHANALLAH Wata'Alla Atujalie husnul khatmah
Ya allah tunakuomba hutusamehe madhambi yetu Kwa kila mwislam anaejua kwamba kiama kina karibia angeanza kujifunza kupigia hii movie kama hii movie imekusikitisha Nina kuomba hubadilike naomba huilike hii movie😢😢❤
Tumuombe sana mwenyezi mungu atujaaliye mwisho mwema
Gusi hii like kama unakubali siku ya mwisho ipo..Qiyama
Ndy kipo😭😭
Allah atusamehe waja wake na atujaalie mwisho mwema..... Allahuma amiin 🤲🤲🤲
Allahumma aaamin
Allah atusamehe Na atupe mwisho mwema🤲
Duuhuu eemwenyezi mungu naomba utusaidie mimi sielewi mwisho wangu sijuii utakuaje
Allah atujaalie mwisho mwema yaraab
Allah atusameh madhamb yet atujaghalie mwisho mwema
Kiukweli kiama anaejuwa ni mungu ila ukumbusho ni mzuri
Subhana Allah 😭😭 laa illah haillah 😭 Yarrab tupe Khusni hatma Yarrab 🤲
Allah Atupe mwisho mwema Amiin InshaaAllah 🥺😭🤲
Subhana llah yaarabbi tupe mwisho mwema
Mwenyezi mungu atuletee wepesi yaraby siku hiyo
Amiiin
Allah atusamehe sanaaaaaaaa 😢😢😢😢😢
Mungu atujalie mwisho mwema yarabbi🙏🙏🙏🙏
Ya Allah tunaomba utusamehe dhambi zetu Ya Allah🙏
Mwenyez mungu atusamehe wajawake, yaani account ina subscribers elfu 26100 lakni mpaka sasa hvi ina views 731 na ina siku 1, duh eeh! Allah tusamehe waja wako
Khataree angekuwa diamond pletnamba M1 chap
Hatarii
@@Mmenga_junior allahumma ameen 😭🤲😰🙏
Munguatukuzwe.miakanamia
Amiin inshallah
Allahakbaar yaa ALLAH tujaalie mwisho mwema na utuswamehe 😢😢 madhambi yetu tuwe na chakukujibu siku ya qiama😭😭😭
Allah ukuongoze pamoja na sisi make hatujaju lengo lako nn
Ya Allah tunakuomba utujaalie mwisho mwema,amiina yaarabbal alamina
Mungu atujalie jamani tumuabudu mungu Allah s.w amina
Lailaha ilallah muhammadan rasulullah
Allahuma inni as,aluka husnal khaatimah
Asalaam alaykum warahmatunillah taala wabarakat
Subhannallah. Allah swt anatisha na atatisha Sana siku ya kiyama
Tuwe wema na waadilifu hata Kama huamini basi kuwa mwema utaiokoa jamii
Inayopotea na kutegemea wazazi wawalishe
Kwani hata taifa linaumia kwa utovu wa maadili yalivoharibika
Nijukumu letu kuongozana katika mema daima
Allah atupe mwisho mwema inshaallah
mung atujalie mwisho mwema umati Muhammad
Eee mwenyezi Mungu tujaalie mwisho mwema
Hii si Katika dini. Pengine lengo ni zuri lakini njia inayotumiwa kulingania kupitia movie si njia ya sawa na inawashawishi watu waache kuisoma dini bali wakae watengeneze movie na hilo si sawa. Allaah atuongoze sisi na nyinyi.
Mungu akunusuru we siku yaqiama unaitambuya
Kwahakka nimesha wahi kuiota ckuhii marakama 3 au 4 hiv kwakweli unajiskia vbaya sana na ukiamka unaona duh!
Alhamdulillah kumbe naota
Innalinlah wainna ilah rajiuun ee mwenyezi Mungu tusamehe madhambi yetu aaamin 😭😭
Allah atupe mwishomwema
Allah atujaalie mwisho mwema ya rabbal Alamin 🙏🙏🙏🙏
Muhimu mazingatio sio kusema allah atusamehe tu, bali ni kuzingatia kile kilichoonekana
Yallha atujaliye mwisho mwema yarab😢😢😢 Leo nimelala mchana ila nimeota usingizini mchana naliya sana amekufamtu wakaribu hapo hapo yani kama tupo sehemu yahesabu subullha nikashitula 😢😢😢 yallha
Mungu tusamehe waja wako sisi wote wakosefu
Allah atuswamehe waja wake😢
ewe m/mungu tujaalie mwisho mwema
Acha kumtangulia mungu ghaibu ww unamzidi mungu ilimu kunawatu utafutaji wenu pesa mnuvuka mipaka mambo hayo Ni Siri yake Allah hata mtume alifichwa akuambiwa alofunuliwa baadhi ya mambo ww unaetowa move muogope Allah utakwenda kuulizwa
@@AbdulIssa-o7e ukweli kbss siyo poa ivo
@@IrakozeMydear ndugu hiii ni motivation kwa vijana yaani mfano tuu ili wanao elewa waelewe sio hivyo venye unafikiri anatoa mfano tuuu ndugu
samahani Ungesema Mfano wa siku ya kiama itakavyo kuwa
@@FA_Alzahrani1996 hayo ni mambo ya ghaibu ndugu haikujuzu ueleze kwenye video et kuelezea kiama itavyokuwa hilo ni kosa kubwa sana yatosheka mtu kusikia ielezavyo kuruani so kutoa video usimtangulie Allah kueleza vitu hivyo we mambo mengi Allah kamueleza mtume mengine ni Siri yake ww wajuaje Hilo Hadi utoe hiyo video
@@FA_Alzahrani1996 hayo ni mambo ya ghaibu ndugu haikujuzu ueleze kwenye video et kuelezea kiama itavyokuwa hilo ni kosa kubwa sana yatosheka mtu kusikia ielezavyo kuruani so kutoa video usimtangulie Allah kueleza vitu hivyo we mambo mengi Allah kamueleza mtume mengine ni Siri yake ww wajuaje Hilo Hadi utoe hiyo video
Mungu atusamehe makosa yetu yasiri nayadhahir hakika huuu niukumbusho mkubwa😭😭😭😭
Amin mng atusameh makosa yetu
❤allah and his prophet s.w.a
Allahumma jaalny khusn khatima
MTAFSIRI WA MOVE..NAPENDA KUSAWAZISHA IYO AYA..APO LIKUL-LI MRI. IM MINHUM YAUMAIDHIN SHA- ANU YYUGHNIYM.
Anae mkubali wahid tujuane kw laik ❤❤❤❤🎉🎉🎉
Ya Allah tusamehe sis waja wako sio wakamilif tunafny mmb tunajua umetuharamishia kuyafny. Oh moyo jmn unnitetemek naogop😭tumuombeni mung azid kutupa pumzi tuzid kumuabud naumia jmn ya Allah 😭
Yaa Allah fanya mwisho wetu uwe mzuri
Allah type mwisho mwema tuongoze katka njia ilionyooka inshaalah
Subuhanallah
Allah atupunguzie azabu za kabli na atusamehe makosa yetu
Allah atujalie mwisho inshallah
Mwenyezi mungu pekee ndo wakuuongopa
Tusiwafate wahindi waliotengeneza move hawa kila mtu na mungu wake wanaabudu mpk ngombe
Mungu atusameye
Ahasante
Allah atuingize Jannah
Ya Allh tusamehe sis wanawake tupe mwisho mwemaa kbs
Hakika ni ukumbusho yarab tujaalie mwisho mwema
Tupe mwisho mwem yaa Rahman 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
Allah atusameh na atup mwish mwema
Yaaa allah nipe mwishomwemss nafamilia yangu yaarab
Allah atupe mwisho mwema
Allah akibar mung tusitir waja wako na ww ndie msamehevu
Namuomba ALLAH atusamehe makosa yetu
Mungu ni mkubwa akuna kama .mungu anasema ,Ana mfano wake
Allah tujalie mwisho mwema
Siku ambayo nafsi moja haitokuwa na mamlaka juu ya nafsi nyingne isipokuwa Amri ni yya ALLAH pekee
Allah atupe mwisho mwema 😢
Yaa rabb tunusuru
Allah tuongoze
😢😢😢😢😅 ooooh allah tupe mwisho mwema kuliko mwanzo tujaliye tuwe miongoni mwa wenyenye kupata tauba kutoka kwako
❤
eeee mwenyez mungu tupe mwisho mwema
Mwenyezimungu atupe mwisho mwema
Allah atujarie mwisho mwema😢😢😢😢
Eee mwenyezi Mungu nipe mwisho mwema
Allah atusamehe
Yaarabbih naomba tupe mwisho mwema
😢😢😢
Emungu wangu nakuomba unipemwishomwema
eee mungu wetu tujaalie mwisho ulio mwema
Babuee tuekane sawa kwanza likulimri im minhum
Allah atuongoze na atupe mwisho mwema
ameni ameni ameni
Jamani tutubu madhambi yetu
MUNGU ATUPE MWISHO MWEMA 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Eeeh Allah tujaalie mwisho mwema