CHADEMA ARUSHA WAMVAA MWENYEKITI WAO wa MKOA ALIYEMKATAA LISSU - WAMTAKA AJIUZULU...

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 52

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  8 годин тому +1

    JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...

  • @JohnKatwanga-l1g
    @JohnKatwanga-l1g 6 годин тому +6

    Safi kaka huyo muweke kwenye dapo nitakataka huyo

  • @Pascopeter-z8x
    @Pascopeter-z8x 5 годин тому +4

    Safi sana

  • @stephanokanyika6321
    @stephanokanyika6321 7 годин тому +5

    Mimi naona uyo jamaa yuko sahii sana kuhusu hilo

  • @IsackRyangera
    @IsackRyangera 2 години тому

    Makamanda hongeren tukopamoja mkomakini chapen kazi

  • @charlzmboya
    @charlzmboya 7 годин тому +3

    Huyu ni mtanzania na anahaki ya kuzungumza Mambo ya CHAMA

  • @JumaMartin-e4v
    @JumaMartin-e4v 8 годин тому +3

    Katibu mkowa wa arusha anajua mambo ya siasa kwa hekma yake alikua msikilizaji na mtazamaji kwakujua lolote laweza tokea.mwanz nilisema msitolee viongoz wenu maneno makali hujui nani ktk ushindan kunakushindwa au kushinda ukisema bakiza na maneno usiseme ukamaliza.

  • @SeverinepauloPeter
    @SeverinepauloPeter 2 години тому

    Uchaguzi ulishaisha stronger together

  • @jacksonsilaa415
    @jacksonsilaa415 8 годин тому +1

    Achaneni naye atawasumbua sana,atulie kama wameru wenzake.

  • @matukiomuhimunavichekesho6219
    @matukiomuhimunavichekesho6219 7 годин тому +1

    Kwani huyo Lema LISU alivyowafua wengine ilikua sawa

  • @reginaldlema3809
    @reginaldlema3809 2 години тому

    Wacheni ushamba.Kwani lazima kila mwanachama ampende Lissu.Kila mtu ana utashi wake.

  • @KhalfanAbdalla-x7u
    @KhalfanAbdalla-x7u 6 годин тому

    Wakati wa kampeni kila mtu hua na mgombea wake ila baada ya uchaguzi tunakua wa moja Lissu sasa ni kiongozi wa Chadema kwa wote acheni hizo kwa sasa

  • @madetetv6576
    @madetetv6576 6 годин тому

    Acheni ujinga kijengwe chama kwa sasa kila mtu alikuwa na upande wake kwenye kampeni mbona mtafukuza wengi sasa kwa hio hali

  • @ChristerKok
    @ChristerKok 4 години тому

    Kama amemkataa Lissu asilazimishwenmtu kumpenda Lissu au Mbowe.

  • @AdamFixes
    @AdamFixes 8 годин тому +1

    Very smart huyu jamaa

  • @simonsadala2386
    @simonsadala2386 2 години тому

    Mpasuko tulio usema ndio huu Chadema inajichimbia kaburi lake

  • @valentinemagige1840
    @valentinemagige1840 6 годин тому +2

    Msomali anamtetea mbelgiji.

    • @laninjeje8290
      @laninjeje8290 2 години тому

      Nmeipenda hii msomali anamtetea mbelgiji😂

  • @GasperKapungu
    @GasperKapungu 8 годин тому +3

    Acheni hayo mambo jengeni chama.wataachia wangapi?

  • @pastorlazarosamwelkilala5795
    @pastorlazarosamwelkilala5795 5 годин тому

    HUYO KIJANA MBONA ANA FANANA NA KANUMBA

  • @richardmakweta8875
    @richardmakweta8875 5 годин тому

    Hivi kweli Kuna shida kwahiyo unatakaje Sasa?

  • @JuliusAkida
    @JuliusAkida 3 години тому

    MULIMCHAGUA WE NYEWE,subilini akimaliza muda wake mmwageni

  • @christopherlissa816
    @christopherlissa816 7 годин тому

    Huyu jamaa anayeongea ni Msomali...

  • @FredLuo-v3e
    @FredLuo-v3e 3 години тому

    Uyu aliisema afu kuzwe ndio kauwa

  • @ramadhanishabani807
    @ramadhanishabani807 2 години тому

    Acheni usenge uchaguzi umeisha kwnn mnaanza ujinga

  • @MariamJeremia-u7e
    @MariamJeremia-u7e 2 години тому

    Uchaguzi umeisha tusameheane tujenge chama mmim nimemsamehe bella dama aliekuwa na maneno machafu,

  • @komuhsengo9796
    @komuhsengo9796 8 годин тому

    Huyu mwenyekiti ni mjinga😂

  • @Goofyplayz-fj3ce
    @Goofyplayz-fj3ce 4 години тому

    Mungure kama Mungure😅

  • @msowamhokole5028
    @msowamhokole5028 7 годин тому

    We sio raia

    • @Educatedmind-k9r
      @Educatedmind-k9r 7 годин тому

      Acha ujinga. Kuwa raia una maana gani kwa ufinyu wa uelewa

  • @BichongolaInvestment
    @BichongolaInvestment 8 годин тому

    Kopo kabisa huyu

  • @AyoubKhatib-p4k
    @AyoubKhatib-p4k 8 годин тому +3

    Wewe chizi kweli ndo maana mbowe alisema iwekwe tume ya maridhiano 😂😂😂😂

  • @JohnKatwanga-l1g
    @JohnKatwanga-l1g 6 годин тому

    Kiongozi wenu nirima

  • @charlzmboya
    @charlzmboya 7 годин тому

    ACHENI UBAGUZI hakuna Cha msomali hapa tupo ki uzalendo ZAIDI ....mungure ni MROPOKAJI tu ...alafu ajitathimini wakati anatoa matamko kwenye press au muhadhara

    • @laninjeje8290
      @laninjeje8290 2 години тому

      Huyu kijana arudi kwao somalia ni msomali 😂😂

  • @abrahamuisrael6161
    @abrahamuisrael6161 6 годин тому

    Hivi nyie chadema mbona wabaguzi sana ,, mbona nyie mnatukana sana kwenye kampeni na hamjawah kufukuzwa nchini,,demokrasia mnayoitangaza ni ipi au ni matapeli tu

  • @gidongailo7174
    @gidongailo7174 8 годин тому +1

    Shida ya CHADEMA kila mtu anafanya kazi na media

    • @lufingomwakisambwe-ow4yc
      @lufingomwakisambwe-ow4yc 7 годин тому +1

      Kufanya kazi na media ni kuzungumza na wananchi acha mazoea ya kishamba wewe

  • @fetehomar27
    @fetehomar27 4 години тому

    Chadema kikipewa nchi hatari sana dah hawa wanachedema wanatakiwa wajitasmini siasa zao mbovu sana

  • @aabedi541
    @aabedi541 8 годин тому

    Tayari ubaguzi na mpasuko

  • @polpaul8432
    @polpaul8432 7 годин тому

    Huyu msomali vipi arudi Kwao Somalia mbona anaongea ujinga tu

    • @bennymochiwa4800
      @bennymochiwa4800 7 годин тому

      Acha ubaguzi

    • @jimpazclimpaz1794
      @jimpazclimpaz1794 7 годин тому

      Ana akili kuliko familia yako yote

    • @stanleymanya438
      @stanleymanya438 3 години тому

      Utampeleka wapi nimdogo wake na HUSEIN MBASHE WAZIRI WA KILIMO SEMA HUYO ANA FANANA MAMA TAKE.😂😂😂

  • @frankmwinuka6298
    @frankmwinuka6298 8 годин тому

    Mtoeni huyo

  • @JohnKatwanga-l1g
    @JohnKatwanga-l1g 6 годин тому

    Huyo fukuzeni hawafai

  • @stevenmilton2504
    @stevenmilton2504 4 години тому

    Upambavu huo

  • @charlzmboya
    @charlzmboya 7 годин тому

    CHADEMA tupo imara kuliko Jana ...natunazidi kupasua anga

  • @leticialubala9721
    @leticialubala9721 3 години тому

    Wajinga tu nyie kwa nini asimshangae mtu anae lopoka hovyo?

  • @emanuelpiniel5277
    @emanuelpiniel5277 8 годин тому +1

    Hawa ni vijana wa ccm,msipotoshwe

    • @Goofyplayz-fj3ce
      @Goofyplayz-fj3ce 4 години тому

      Usituingize CCM kwenye mambo ya Chadema. Acha wamalizane wenyewe!