Kama ulitamka chochote kumwomba Mungu kwa ajili ya mtoto huyu! Gonga like tushirikiel na familia Kumshukuru Mungu! Hakika Mungu ni Ebeneza! mpk na feel chozi!!jamani!! 😢😢
Nami nasema Ahsante Mungu,hakika huyu mtoto Mungu ana kazi na yeye tunaomwamini Mungu tuzidi kumwamini hakika Mungu ni mwema sana tuungane na hii familia kumshukuru Mungu
Kweli kila taaluma ina mchango wake katika kugusa maisha ya watu. Nimeona namna Dada mtangazaji alivosikia watu wakimshukuru kwa kazi aliyofanya. A priceless feeling that one
Mungu ni mwaminifu sana na amekuwa mwema. Kwa familia , kwa kweli, hongera kwa jeshi la polisi na vyombo vyote. Vya usalama, Mungu azidi kuwaapigania katika kazi yenu nzito na iliyo na chanmgamoto nyingi .
Ahsante sana Mungu ,pokea sifa ,heshima na Utukufu kwa Matendo yako makuu,hujawahi kushindwa.Mlinde Mtoto Merciana pamoja na Wazazi wake.Mungu wabariki Rais wa Tanzania Mama Samia,Jeshi la Polisi na Watangazaji pamoja na Wote walioomba kipindi cha nyakati ngumu.
Mungu wetu atukuzwe saana,,,,haleluyaaaaaaaaaaaa,utukufu kwa Mungu wetu.hongereni wamama wenzangu kwa maombi,nafurahi pamoja na familia ya melkizedek kutoka Arusha
Atukuzwe sana Mungu kwa kumpigania mtoto huyo pamoja na familia nzima, pia namshukuru huyo mama wa Global tv kwa kazi kubwa alio ifanya kuanzia mwanzo watukio hadi mwisho, Mungu ambariki saana
Asante Gehova, hakika wewe ni Mungu usiyefananishwa na jambo lolote, unastahili sifa na utukufu, baba wa mbinguni unastahili kuabudiwa na kutukuzwa milele na milele🙏🙏🙏
Asante yehova kwa kumlinda huyu mtoto na kumrudisha mikonon mwa wazazi wake salama,naamin Kila mwanamke alieingia labour ametoa machoz baada ya kupata taarifa hii mungu wabariki wamama wote dunian AMEN.
Asante MUNGU wetu mtukufu uliye mkuu Sana, watu kama hawajawahi kupata experience ya kuibiwa mtoto wanaweza kuona ni igizo lakin wacheni MUNGU aitwe MUNGU mkuu ❤❤
Nimefurahi kama nimemzaa huyo mtoto wallah nataman hata kuja kuwatembelea dar mm nipo zanzibar ila nilikuwa namuwaza huyo mtoto kila wangu wakitaka nyonyo usiku jmn😭😭😭😭😭 nimachoz ya furaha na uchungu ndani yake jmn sasa hao washenz wafanywe kama wa kule kongo 😢
Asante Mungu kwa kusikia maombi Yesu😢😢 Utukufu wako atusitaili kugusa ata kidg Wear YESU ni Baba unaejua kupenda na kurejesha vilivyoibiwa mikononi mwetu hakika wewe uwahi wala uchelewi tunakuinulia Utukufuu 🙏🙏🙏🙏nimelia machochi ya frahaaa
Mungu mbele sisi nyuma Hakuna kama Mungu 😢😢😭😭😂😂😂😂😭😭😂😂😂Vilio vya Furaha Mungu Ni Mkubwaaaaa😂😂😢😢😢😢😢😂😂😂Watangazaji Mungu azidi kuwabariki Awape maitaji ya Roho zenu Asanteni Nyooote mliotia nguvu Kwenye tukio hili Asante Mungu 🙏 🙏 🙏 🙏
Haki mungu ampe umri sana na mama mtoto ana subra wallah mana mm nasema kama uyu anae sema sijui mm kama ningemaliza siku mbili wallah mana tumbo la uzazi lilinicheza sana
Asante mungu wa ajibu sana jina lako litukuze milele na milele Niko Zambia lakin niliposikia habari hiii niliumia sana mungu in mwema amejibu maombi yetu❤
Asante Yesu, hakika watu wako wakijinyenyekeza kamwe hautawaacha, Tunakushukuru kwa kurejesha furaha na amani katika familia hii!Sifa na Utukufu ni kwako milele!
OOOH!! Nimefurahi sana Mimi na familia yangu kusikia mtoto hiyo kupatikana akiwa hai JINA LA BWANA LIBARIKIWE SANA, tunamuombea azifi kuwa na agya njema
Hata sisi pia tuko Burundi 🇧🇮 ila tunatokwa na Machozi ya Furaha Mungu Awazidishie nguvu na Afya na huruma mzidi kuwaokoa Watanzania Mam samiya Mungu Akuweke Jeshi la Police Na Watangazaji Mungu Awabarikini na awalinde Mmefanya Kazi Kubwa Mnooooo😂😂😢😢😢😢😂Asante Mungu 🙏 🙏
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
Wow that's awesome
I thanks uu God to return our pray...glory to u Jehovah no one like uu.
Sina chakusema Mimi nasema Wewe Ni Mungu Mkuuuuuuu.
Kama ulitamka chochote kumwomba Mungu kwa ajili ya mtoto huyu! Gonga like tushirikiel na familia Kumshukuru Mungu! Hakika Mungu ni Ebeneza! mpk na feel chozi!!jamani!! 😢😢
Kabisa jaman Mungu ni mwema sana tena sana
Asante mungu kwa wema wako
Hakika moyo wangu uliamin MUNGU atamrudsha ❤❤❤❤ utukufu kwa MUNGU
Tunamshukuru Mungu aliejibu maombi,Kwa familia hii
Hakika Mungu ni Mwaminifu na ni Mwema sana
Ndugu zangu wapendwa, msisahau kumtolea Mungu sadaka ya shukrani kwa kuwatendea.miujiza hii mikuu na ya ajabu sana!
Sanaaa. Na fungu la kumi pia.
🙏 🙏 🙏 ninaamini watafanya sio jambo la kumsahau Mungu,na ikiwa wanamshukuru Mungu kwa Machozi na Maombi.
Basi watakumbuka Inshaalah, Amen🙏
@@valenakomba7686waniletee nyumbani 😂
Ni kweli wakatoe shukrani kanisani kwa ajili yao na mtoto
Kweli kabisa
Yaani nimejikuta nalia tu machozi ya furaha hakika Yesu wetu ni mkuu hashindwi chochote Amen.
Yesu ni mungu au mtoto wa mungu???
😂😂😂😂😅😅😅😅Hebu nisaidie kumuelewesha
Ameen,Yesu Bwana
@@hemedmbondejrjamani jamani wakristo mnakosea!! Yesu c mungu
@@hemedmbondejrAmini unachoamini na usilazimishe kila mtu aamini uaminivyo sio kwa ubaya lakin
Mungu wetu halali wala hasinzii. Nimefurahi sana sana. Asante sana Baba wa mbinguni.
Alhamdullillah 🤲 😢
Alhamdullillah 🤲
Alhamdullillah 🤲
Mungu kamlinda mtoto Tumshukuru🤲 na Azidi kuwalinda Siku zote.
Ya Rabbi 🤲
الهم امين يارب العالمين
Amen
Amen
Mbona nimelia kwa furaha Alhamdulillah 🙏
Nami nasema Ahsante Mungu,hakika huyu mtoto Mungu ana kazi na yeye tunaomwamini Mungu tuzidi kumwamini hakika Mungu ni mwema sana tuungane na hii familia kumshukuru Mungu
Kweli kila taaluma ina mchango wake katika kugusa maisha ya watu. Nimeona namna Dada mtangazaji alivosikia watu wakimshukuru kwa kazi aliyofanya. A priceless feeling that one
Mungu ni mwaminifu sana na amekuwa mwema. Kwa familia , kwa kweli, hongera kwa jeshi la polisi na vyombo vyote. Vya usalama, Mungu azidi kuwaapigania katika kazi yenu nzito na iliyo na chanmgamoto nyingi .
@@AnnamaliaAmani amina
Mungu awakumbuke hata wale watoto wao waliopotea kwenye mazingira tatanishi Ee Mungu mkono wako ni hodari sana na ni mkuu sana.
🙏🏽
❤
Mungu wetu hachelew Wala Hawaii ila anajibu Kwa wakati atatenda yote
Amina
Amina
Ahsante sana Mungu ,pokea sifa ,heshima na Utukufu kwa Matendo yako makuu,hujawahi kushindwa.Mlinde Mtoto Merciana pamoja na Wazazi wake.Mungu wabariki Rais wa Tanzania Mama Samia,Jeshi la Polisi na Watangazaji pamoja na Wote walioomba kipindi cha nyakati ngumu.
Ooh Mungu ni mwema nimefurahi sana mtoto mdogo hana hatia malaika wa Mungu
Alihamdulilah usiseme eti watanzaniya tu hata sisi wakenya mna uzazi ni mumoja uchunqu niuleule WA leba🇰🇪
Tunashukuru ndugu zetu wa kenya Kwa kua pamoja Kwa Ili,
Tunawashuķuru wakenya na .mataifa mengine yote waliokuwa pamoja nasi katika kipindi hiki
Kabisaaa Alhamdulillah
Umenena vyema
Hata sisi wa Rwanda tunamushukuru mungu kwakutenda miujiza asante baba
Nimelia machozi ya furaha hakika MUNGU wewe ni mkuu sana kwetu Asante hata sasa umetusaidia
Mungu wetu atukuzwe saana,,,,haleluyaaaaaaaaaaaa,utukufu kwa Mungu wetu.hongereni wamama wenzangu kwa maombi,nafurahi pamoja na familia ya melkizedek kutoka Arusha
Huyo mtt Atakuwa mtu Mwenye bahati sn katika maisha yake insha Allah lkm unaamini go ga like
Dada kuna watu wengi pia wameomba sana kwa ajili yenu na mtoto hakikia huu ni ushindi na sifa kwa Yesu
😢
Nguvu ya Mungu haijawahi kushindwa na chchte 🙌🙌
Mungu ni mwema🙏
Mungu wetu ni mwaminifu hajawahi kumuacha mwenye haki wake aangamie🙏🙏
Mungu alinde Jeshi letu la Tz na umlinde mtoto na wazazi wake Asante mungu 🤲🤲🙏🏽
Amina
Amina
Hata hvy, nikumshukuru Mungu kwa yule mama aliye mtunza mtoto kwa muda wote aliyekuwa naye.
Angekuwa mwema asingemtesa mwanamke mwenzie siku zote hizo angemsalimisha mtoto police.hadi akamatwe na polisi ndio wale wale tuu hana lolote.
Alhamdulillah i'm so happy to hear this good news
May the almighty guide you to the straight path
Atukuzwe sana Mungu kwa kumpigania mtoto huyo pamoja na familia nzima, pia namshukuru huyo mama wa Global tv kwa kazi kubwa alio ifanya kuanzia mwanzo watukio hadi mwisho, Mungu ambariki saana
Nimeamini jamani police hawalali ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤from Capetown South Africa Asante yesu ❤❤❤❤❤
Asante Gehova, hakika wewe ni Mungu usiyefananishwa na jambo lolote, unastahili sifa na utukufu, baba wa mbinguni unastahili kuabudiwa na kutukuzwa milele na milele🙏🙏🙏
Hata mm najisikia kulia nimesema mungu asant
Mungu wetu ni mwema..asnte Mungu kwa hili 🙏🙏
Asante sana mungu, awatunze awaongoze vema ktka maisha yenu yote ,tunashukuru pia jeshi la polisi kwa jitihada zenu mpaka mtoto amepatikana Asante.
MM KAMA MKENYA NIMESKIA FURAHA SANAAA ALLAHMDHULILAH
Da!!! Nimelia sana! Itoshe tu kusema Asante Yesu kwa kuwa umetenda. Hakika Yesu ni Bwana. Sifa, heshima na utukufu ni kwa Mungu juu mbinguni.
Asante YESU mtoto kupatikana akiwa salama nimelia kwa furaha,hakika ashukuriwe MUNGU wetu aliye juu
Amen
Asante bwana Yesu hakika wewe ni Bwana wa majeshi
Mungu ni mwema kila wakati ❤
Aminaaaaaaa,utukufu kwako mwokozi Yesuuuuuu,asanteee sanaaaaa .
Alihamdulilah hakika mungu ni WA pekee Sana ashukuriwe Kwa neema zake
Asante yehova kwa kumlinda huyu mtoto na kumrudisha mikonon mwa wazazi wake salama,naamin Kila mwanamke alieingia labour ametoa machoz baada ya kupata taarifa hii mungu wabariki wamama wote dunian AMEN.
Mungu ni mkuu hufananishwi na kitu chochote Baba
Amina wapendwa wangu nimekuwa nanyi katika kila hatua Mungu ni mwema mtoto huyu kupatikana akiwa hai amen
HAKIKA MUNGU NI MWEMA SANA MAJANGIRI HAWO WALOPATWA NA HOFU YA MUNGU KWAJUU YA HUYU MTOTO GONGA LIKE 💋💋💋💋💋
Asante MUNGU wetu mtukufu uliye mkuu Sana, watu kama hawajawahi kupata experience ya kuibiwa mtoto wanaweza kuona ni igizo lakin wacheni MUNGU aitwe MUNGU mkuu ❤❤
Dah asante Mungu ww hujawah kushindwa,akutefemeae ww hawez aibika🤲🤲🙏🙏😭
Aisee asante kwa jeshi la polisi maana tuliwaza mengi sana aisee👏👏👏
Hongera police Asante mtangazaji kweli tunafuraha sana MUNGU atukuzwe
Asante sana Mungu hakika ukuu wako umeonekana Asante sana dada Imelda Mungu akutunze wewe ni muandishi wa kuigwa Mungu akubariki sana 🙏
Mungu asifiweee. Mtoto Mungu amlindee
Mungu ujawai shindwa
Niseme wewe ni Mungu🙏🏼🙏🏼
Asante sana Mungu wetu,,hujawahi kushindwa🙏😍🙏💃💃💃💃
Asante Mungu mkuu ,tunaomba uendelee kiwalinda watoto wetu tunaowaacha nyumbani na mabint.
Am greatful to God almighty for his mercy and protection upon that child am a Kenyan my heart was touch and played glory to God 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Ubarikiwe Dada wa Global TV kwa kazi njema neema ya MUNGU ibaki juu yako na kanzi nzuri ya Mama samia sulyhu asani
Amina Mungu ni kila kitu.❤❤
Wewe ni Mkuu Mungu wetu🙏🙏🙏🙏
Utukufu kwa Mungu aliye juuu😭😭😭😭😭😭😭
Hakuna kitu Mungu anashindwa 🙌🙏
Nmelia kwa furaha eeeh Mwenyezi Mungu tulindie familia zetu zidi ya hatari mbaya
Mungu hana mpinzani. Alhamdulillah Amepokea maombi.
Mungu wetu hufanya njia ata pasipo njia🙏
Hakika Mungu atabaki kuwa Mungu, binafsi nimefurahi mno. Mungu awabariki wote ambao kwa namna moja au nyingine mmeshiriki kwa kupatikana huyu mtoto.
Nimefurahi kama nimemzaa huyo mtoto wallah nataman hata kuja kuwatembelea dar mm nipo zanzibar ila nilikuwa namuwaza huyo mtoto kila wangu wakitaka nyonyo usiku jmn😭😭😭😭😭 nimachoz ya furaha na uchungu ndani yake jmn sasa hao washenz wafanywe kama wa kule kongo 😢
Nilitamani kusikia watekaji wameuawa Kwa rlisasi wakati wanawakimbia na Askari wetu kuliki kuwatunza na Kula Kodi zetu!
Asante Mungu kwa kusikia maombi Yesu😢😢 Utukufu wako atusitaili kugusa ata kidg Wear YESU ni Baba unaejua kupenda na kurejesha vilivyoibiwa mikononi mwetu hakika wewe uwahi wala uchelewi tunakuinulia Utukufuu 🙏🙏🙏🙏nimelia machochi ya frahaaa
Asante Mungu kwa Rehema na Neema yako 🇦🇪🇦🇪😭Mungu wewe ni Ebenezer 🙏🙏🙏♥️💡
Nimejikuta nalia kwa furaaha jmn Asantee MUNGU
Hakika wewe ni MUNGU uyatendae magumu tusiyoyaweza ninakutukuza BABA yangu ASANTE ASANTE❤❤
Mungu mbele sisi nyuma Hakuna kama Mungu
😢😢😭😭😂😂😂😂😭😭😂😂😂Vilio vya Furaha Mungu Ni Mkubwaaaaa😂😂😢😢😢😢😢😂😂😂Watangazaji Mungu azidi kuwabariki Awape maitaji ya Roho zenu Asanteni Nyooote mliotia nguvu Kwenye tukio hili
Asante Mungu 🙏 🙏 🙏 🙏
Hakika wewe ni Mungu asante Yesu asante Yesu wewe ni bwana ameen,,nmelia jamn
Haki mungu ampe umri sana na mama mtoto ana subra wallah mana mm nasema kama uyu anae sema sijui mm kama ningemaliza siku mbili wallah mana tumbo la uzazi lilinicheza sana
Yaan huyu dada ana Mungu asee siyo rahis
Asante Yesu! hakika wewe ni mkuu sana
Asante sana Mungu kwa kusikia maombi ya watoto wako
Mungu Asante sana wewe ni Mungu unatenda miujiza umemrudisha mtoto merensiana salama utukufu my wako utukuzwe daima
Mungu katenda asante Mungu
Alhamdulilah tumefurah sana Allah azidi kuwalinda na mtoto wenu kipenzi
Glory to God.Hallelujah
Asante Sana Mwenyezi Mungu kwa muujiza huu
Asante mungu wa ajibu sana jina lako litukuze milele na milele Niko Zambia lakin niliposikia habari hiii niliumia sana mungu in mwema amejibu maombi yetu❤
Asante. Mungu kwa kumfunika mtoto wetu, jina lako litukuzwe.
Duuuuuu wajina wangu jamani Mungu akupe maisha marefu
Asante mungu kwa kuwasiliza maombi yao, kwakweli utabaki kua mungu tu
Sifa,utukufu,heshima pokea Mungu wetu
Muwe mnatuonesha sura jaman tufurahie wote❤❤
Asante Yesu, hakika watu wako wakijinyenyekeza kamwe hautawaacha, Tunakushukuru kwa kurejesha furaha na amani katika familia hii!Sifa na Utukufu ni kwako milele!
mungu wewe ni ebeneza sifa na utukufu kwako hallelujah 🎉🎉🎉🎉🎉
OOOH!! Nimefurahi sana Mimi na familia yangu kusikia mtoto hiyo kupatikana akiwa hai JINA LA BWANA LIBARIKIWE SANA, tunamuombea azifi kuwa na agya njema
Alhamdulillah mungu azidi kumhifadhi mtoto wetu
Asante Yesu
Asante sana
Hata sisi pia tuko Burundi 🇧🇮 ila tunatokwa na Machozi ya Furaha Mungu Awazidishie nguvu na Afya na huruma mzidi kuwaokoa Watanzania Mam samiya Mungu Akuweke Jeshi la Police Na Watangazaji Mungu Awabarikini na awalinde Mmefanya Kazi Kubwa Mnooooo😂😂😢😢😢😢😂Asante Mungu 🙏 🙏
Asante MUNGU uliye hai
Asante Mungu wetu wa Mbinguni kwakuwa umetenda kumrudisha mtoto akiwa hai,jina lako lihimidiwe ,wewe nimkuuu sana,matendo yako yanatisha
Asante Mungu usiyeonekana ,had nmejikuta natokwa na machozi kwa furaha ama kwel aombae kwa imani hujibiwa asante sana Mungu
ALHAMDULILLAH 🤲🤲🤲🤲😭
Mungu ni mkuu sana.Ahimidiwe milele na milele
Mungu mwema
Asante yesu maana nilikuwa namuwazia mtoto acha mungu aitwe mungu amejibu maombi
Asante Mungu
Utukufu kwa Mungu❤❤
Alihamdulilah 🇰🇪🇰🇪
Asante YESU na Asante Watanzania wote kwa Maombi najua wengi waliingia katka maombi
😭😭😭😭Asante Mungu kwa hili