"JIMBO LA ARUSHA MJINI NI LA LEMA HATUMTAKI MWINGINE"BABA BONY AANIKA UKWELI LEMA ANAKUJA KUGOMBEA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 38

  • @aloycemisigalo3983
    @aloycemisigalo3983 2 дні тому +2

    Wewe baba boni ni noma sana, huwa nakufatilia mahojiano yako aiseee we noma. Asante sana mzee wetu.

  • @dianamakyara4210
    @dianamakyara4210 2 дні тому +2

    Lemaaaa tunakusubiri✌️✌️

  • @NellyMadeni
    @NellyMadeni 2 дні тому +1

    Lema apewe Arusha❤❤❤❤

  • @yahyayunus2892
    @yahyayunus2892 День тому +2

    Yaani mzee wangu uko wazi kweli. Ubarikiwe

  • @hamphumichael7194
    @hamphumichael7194 День тому

    I love you Tanganyika

  • @IsaacKalenge
    @IsaacKalenge 2 дні тому

    Kweli baba Born,Tunataka Tanganyika yetu

  • @Omarimakuka
    @Omarimakuka 2 дні тому

    Uongo😊😊😊😊

  • @mataypanga5262
    @mataypanga5262 День тому

    Huu muungano ni halali kabisa
    kwa sababu watu wa Zanzibar na Tanganyika tunafanana kwa
    mila na desturi.
    Nnchi jirani zetu wa jumuiya ya
    Africa Mashariki hawana hawalazimiki kujiunga nasi kwa sababu hawana na tabia,mila, desturi,tamaduni zinazofanana na sisi.
    Kwa Tanganyika na Zanzibar tunafanana karibu kila kitu ndio maana tumeungana

  • @ChristerKok
    @ChristerKok 2 дні тому +1

    Sio lazima maandamo,ustarabu unaweza kurekebisha kila kitu bila magonvi.

  • @DenisKanza-n3b
    @DenisKanza-n3b 2 дні тому

    3:24 3:26 😢

  • @MwakaHappy
    @MwakaHappy День тому

    Hahaaa kimeumana

  • @mbondelotv8380
    @mbondelotv8380 2 дні тому

  • @kiboshokiboshomungumkubwa7789
    @kiboshokiboshomungumkubwa7789 2 дні тому +1

    Huyu ni mmachame kwende wewe kichaaa

  • @halimamasai2234
    @halimamasai2234 2 дні тому

    Labda Makonda aondolewe Arusha ndo Lema atashinda 😂😂😂

    • @sewandomkuchu9267
      @sewandomkuchu9267 2 дні тому

      Makonda asiibe tu kura.. hivi hivi hamna kitu ..

    • @halimamasai2234
      @halimamasai2234 2 дні тому +1

      @@sewandomkuchu9267 jina la Lema kwa sasa Arusha halina maana tena

    • @ProsperReuben-fg6uh
      @ProsperReuben-fg6uh День тому

      Arusha hatujawah kishindwa hata wenyewe wanajua ndo maana humskii yule mgambo

    • @sewandomkuchu9267
      @sewandomkuchu9267 День тому

      Mtu yoyote aliye CCM hata akienda kusali ni bure tu!!

    • @halimamasai2234
      @halimamasai2234 День тому

      @ we peleka usenge wako huko unausafigani na hiyo roho yako chafu

  • @NkwabiMasanja
    @NkwabiMasanja День тому

    Lemaaa rud

  • @DenisKanza-n3b
    @DenisKanza-n3b 2 дні тому

    😅

  • @AlfanMwiru
    @AlfanMwiru День тому

    Lema ni boya kama maboya mengine tu msenge yule

  • @James-sz4ec
    @James-sz4ec 2 дні тому

    Rema tunakusubili liwalo na liwe

  • @mindicarrashid3131
    @mindicarrashid3131 2 дні тому +1

    Timu lisu ilamfuate nyayo zamboe, kwenye maandamano lazima mtangulie nyinyi nafamili zetu nasi tutafuta

    • @AndrewKisava
      @AndrewKisava 2 дні тому

      Mbona ,walisha andamana sana na watoto wao? Wewe mpumbavu ni

    • @mindicarrashid3131
      @mindicarrashid3131 2 дні тому +1

      @AndrewKisava nimekubali mm nimpumbavu, ila wewe ni ng,ombe, huwezi kuwa na mawazo yakibinadam, nini maana yademokras, nimawazo yakila moja ww unaamini wazo lako nami naamini langu

    • @mindicarrashid3131
      @mindicarrashid3131 2 дні тому +1

      @@AndrewKisava alie pewa kapewa, unammbeza mm Samia, wakati ukoo wenu hamjawahi simamisha hata balozi wanyumba kumi, amakweli wewe nizaidi yangombe jike hadi watoto wake wanakula

    • @JumanneKigori-fm1nn
      @JumanneKigori-fm1nn 2 дні тому +1

      Punguza uchawa chadema ni 1

  • @philemonmollel7630
    @philemonmollel7630 День тому

    hakuna.kitu hapo.lema.hanq lolote

  • @tumahai157
    @tumahai157 2 дні тому +1

    LEMA oyeeeeeee

  • @moddy8744
    @moddy8744 2 дні тому +2

    Acheni ubaguzi nyie hamna kazi na chuki zenu

  • @UrioStanley
    @UrioStanley День тому

    LEMA NI MWAMBA WA KASKAZINI ARUSHA INAMTOSHA

  • @hanceramadhani
    @hanceramadhani 2 дні тому

    Makonda Nan bwana lema ndo mwenye mkoa wake

  • @TemekeBoy-v9c
    @TemekeBoy-v9c 2 дні тому

    Chadema imshaangamiaa