Hongera mkuu wa mkoa na huyu muheshimiwa na daresalaam pia fanyeni kama hili dar wako watoto wadogo kibao wanavuta unga,gundi,petrol, bangi na mengineyo ukienda kariakoo kunatisha na hawa watoto ni hatari kweli makala angalia mfano huo nawewe lianzishe pamoja na ombaomba wamezidi jiji la daresalaam viongozi mujiongeze na muwe wabunifu ili tufike pazuri
Na hili msiishie njiani liwe endelevu tushazoea nguvu ya soda gesi ikiisha basi tena huyu bwana anafanya kazi sana hata lile swala la mbao nimuona anafatilia sana kaka piga kazi utafika mbali ila mwacheni alisafishe jini la arusha kwanza badae ndio mtajua wapi mumpeleke (cheo)❤🇹🇿
Kimsingi Dc unafanya majukumu yako vizuri kama Mkuu wa wilaya ya Arusha kwa kufuata maagizo ya Mkuu wa Mkoa ndugu Mongela. Hongereni sana, ila ushirikiano uwe ni wa wadau wote katika operation zote. Pia wauzaji na wasambazaji washughulikiwe kwa mujibu wa sheria.
Nashukuru kuona wajibu wa utendaji kazi wenyu mougu awazidishie oundri mdrefu na swiha zuri ili mokowe taifa manake hawa niwanchi lazima wawe nathamani natwaifa lao hivo ndo ujenzi wataifa ni kuwa nawaraia wema uchimi uzidi kuimarika mougu niwahaki na ndiyo atawalipa hapa nduniani hadi kesho kwa mougu
Hili wazo zuri sana. Kuliko kukamata wauzaji ambao pia ni balaa kuwashika ni vema ukamsaidia mnunuzi ili aache kutumia na automatically muuzaji akose wateja
Mh, mkuu wa wilaya naukibali sana utendaji wako kwa kufuatilia kazi zako na kutenda haki, nakuombea ufanikiwe ufikie viwango vya juu, mh ukimaliza hao bado wapiga debe ni tatizo ndiyo wanaochangia kupandisha bei za nauli kwa udalali wao.
Sijui kama hilo zoezi linaweza kufanikiwa pasipo kuwadhibiti kwanza wale wanaoingiza zile dawa yaani vyanzo bila kufanya hivyo ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu.
SAIDI MTANDA HAKIKA WEWE NI KTK AINA NZURI YA VIONGOZI WENYE UCHUNGU NA TAIFA HILI WENZAKO WALIPATA BAHATI YA KUPATA MADARAKA WAIGE MFANO WA UTENDAJI KAZI WAKO,.
Maskini Vijana wengi wamepoteza fahamu sababu ya Madawa ya kulevia Serikali lazima iweke utaratibu wa kuchunguza hayo Madawa ya kulevia yanaingia Nchini Tansania kupitia Mpaka gani ? Asante
Mmefanya vizuri ila muweke nguvu na mikakati katika kuwatafuta hao wanaowauzia,kuwapeleka sober tuu harafu wauzaji wako tuu mtaani mtakuwa bado hamjatatua tatizo
SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ
u
Hakika kiongozi wangu nimekuwa nikikufuatilia sana kwenye harakati zako za kuwakomboa wananchi wako Mungu akulinde na akusimamie AMIIN!!
Amina
mungu aendelee kukupa nguvu na ujasili
Hapo kwenye basikeli vijana Awataki tena kazi watembeza wazeee na Adi watoto wa shule pi hawa omba omba serekali ingiliye kati
Mungu awape ufahamu hawa ndugu zetu, Asanten viongozi wetu
Hongera mkuu wa mkoa na huyu muheshimiwa na daresalaam pia fanyeni kama hili dar wako watoto wadogo kibao wanavuta unga,gundi,petrol, bangi na mengineyo ukienda kariakoo kunatisha na hawa watoto ni hatari kweli makala angalia mfano huo nawewe lianzishe pamoja na ombaomba wamezidi jiji la daresalaam viongozi mujiongeze na muwe wabunifu ili tufike pazuri
Hongera kwa kuwatreat kama wagonjwa! Lakini mjue mtaendelea kukusanya waathirika bila kikomo kama wauzaji wakubwa hawaguswi na kuchukuliwa hatua
Very wise man, giving them second chance 👏 👍
Maashaallah. MKUU Allah akulipe heri kwa kila hatua
Kazi nzuri DC Arusha mungu akubariki kwenye majukumu yako
Mungu awabarik sana tupo pamja mkuu wamkoa
Kaka asante🙏🙏🙏
Na hili msiishie njiani liwe endelevu tushazoea nguvu ya soda gesi ikiisha basi tena huyu bwana anafanya kazi sana hata lile swala la mbao nimuona anafatilia sana kaka piga kazi utafika mbali ila mwacheni alisafishe jini la arusha kwanza badae ndio mtajua wapi mumpeleke (cheo)❤🇹🇿
Safi sana mkuu wa Police Mungu na awabariki kwa kuwasaidia
Mungu Awatie Nguvu na Afya njema...Viongozi Wetu Awape Busara zaidi zakutuongoza...Allah Awafanyie Wepesi In sha Allah.
Amin
Mh safi sana mji kaz unayo fonya nikuingwa sehemu zote wachukue mfano kwako
Ahsante sana kiongozi aliechukua huo uamzi
Upo sawa mkuu
MUNGU akubariki sana
Baba umefanya lamaaana mungu akuongozeee
Kimsingi Dc unafanya majukumu yako vizuri kama Mkuu wa wilaya ya Arusha kwa kufuata maagizo ya Mkuu wa Mkoa ndugu Mongela. Hongereni sana, ila ushirikiano uwe ni wa wadau wote katika operation zote. Pia wauzaji na wasambazaji washughulikiwe kwa mujibu wa sheria.
Wamebadirika hadi sura jamani, Mnaouza waoneenihuruma Hawa vijana🙏.
uyu wa kwanza ananifurahisha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nashukuru kuona wajibu wa utendaji kazi wenyu mougu awazidishie oundri mdrefu na swiha zuri ili mokowe taifa manake hawa niwanchi lazima wawe nathamani natwaifa lao hivo ndo ujenzi wataifa ni kuwa nawaraia wema uchimi uzidi kuimarika mougu niwahaki na ndiyo atawalipa hapa nduniani hadi kesho kwa mougu
Noma sana
Jamani mmefanya jambo zuri sana
Mashaallah mashallah kiongozi m/mungu awabariki
Vizuri Baba
Allah akutilie wepesi wa Maisha yako na mwisho mwema
safi mku;
Heri ya Mungu wasaidieni jamani kazi nzuri
safi sana
Arusha hakufai Kwa bangi, mirungi, gongo, madawa ya kulevya
thanks for it
Safa sana mkuu umewasaidia sana
Ila Arusha🙌🙌🙌
Nimewapenda bureeee mkuuu wa wilaya hoyeee
Mungu akubariki sana kiongozi Kwa hatua nzuri...
Safi sana🙏🏼🙏🏼
Hili wazo zuri sana. Kuliko kukamata wauzaji ambao pia ni balaa kuwashika ni vema ukamsaidia mnunuzi ili aache kutumia na automatically muuzaji akose wateja
Maskini mungu wasaidie wabadilike wadogo sana
Safi sana aisee
Wafanye kazi badala ya Bangi
Subuhanallah wengi duuu mtihani
Wana tisha jamani duuuu 😢😢😢
Muheshimiwa kazi nzur sana hongera ukimaliza na hao bado na hawa huku shivaz wale makahaba
Kweli kabisa
Mimi nafikiri hao sio wahalifu Wanabiasharika
Napenda anavyowauliza😁😁😁😁😁😁😁😁
Mh, mkuu wa wilaya naukibali sana utendaji wako kwa kufuatilia kazi zako na kutenda haki, nakuombea ufanikiwe ufikie viwango vya juu, mh ukimaliza hao bado wapiga debe ni tatizo ndiyo wanaochangia kupandisha bei za nauli kwa udalali wao.
Mungu awanusuru vijana wetu, awaepushe na bangi
Mngewahusisha viongozi wa kiimani hao vijana wengi wangebadilika mapema sana,
Nimekukubali kiongozi Sina Cha kukulipa.
Usimsikilize hata mmoja hapo hao wote ni mateja peleka rehab wote hao
😂😂😂😂😂😂🙌
Sijui kama hilo zoezi linaweza kufanikiwa pasipo kuwadhibiti kwanza wale wanaoingiza zile dawa yaani vyanzo bila kufanya hivyo ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu.
Wakamatwe wenye kuuza ndio hao watu wanaumiza
Safi mkuu WETU.
Allah akubariki kiongozi wetu🤲
Said mtanda unaifanyia haki ARUSHA
Ahsante eeee jombaaa eeeejombaaaa
📌 shetani huyu jmna ana haribu vijana
Boraaa Arusha ilikuwa ina RUSHARUSHA palishakuwa hapakaliki KABISAAA
Aha ahaa ahaaa eti siyo wote.
Mweshimwi rais samia mteue huyu mkuu wilaya Arusha au mpandishe cheo awe mkuu wa mkoa kwaukweli anapiga kazi sana bigap sana
Kweli wajirekebishe..
Zombi stendi kuu Arusha yuko wapi?.
SAIDI MTANDA
HAKIKA WEWE NI KTK AINA NZURI YA VIONGOZI WENYE UCHUNGU NA TAIFA HILI
WENZAKO WALIPATA BAHATI YA KUPATA MADARAKA WAIGE MFANO WA UTENDAJI KAZI WAKO,.
hakika mkuu wawilaya unastaili kuwa mbungee waarushaa hakika unaweza nakuona uchaguzi unao kujaa ukiwa bungeni
Duuh hao watu wote wamekaa kwenye gari sio poa
Nawaletea na kijana wangu njoo na usa wameshindikana
Yan kamata kamata ya kukamata mateja bora ije dr
Blessings from Germany 🙏🙏♥️💐🌹👍🇰🇪🇩🇪
Yaan hadi nimecheka
Hahahahaha ety nani mimi apa😊 lakini kiswahili cha arusha dahh
Tunashukuru sana joomba😂
Wapelekwe sobber house mbalimbaliii
Hii vita iwe Nchi Nzima kwa watumiaji na wauzaji mtawaokoa vijana wengi
Maskini Vijana wengi wamepoteza fahamu sababu ya Madawa ya kulevia Serikali lazima iweke utaratibu wa kuchunguza hayo Madawa ya kulevia yanaingia Nchini Tansania kupitia Mpaka gani ? Asante
Ni bora kabiza mwenyezi mungu awasaidie waache kabisa
Jjombaaaa.bangi mbaya
Mmefanya vizuri ila muweke nguvu na mikakati katika kuwatafuta hao wanaowauzia,kuwapeleka sober tuu harafu wauzaji wako tuu mtaani mtakuwa bado hamjatatua tatizo
Wapelekwe mashambani wakalime wajue kufanya kazi
Kweli inabidi kuwasaka. Ila viongozi wa mitaa wafuatilie kuwapata na kuwasaidia
Jiji LIMECHAFUKA ni hatari jomba watu wakasetiwe makichwa huko lembe bana chuga irudi imara saluti kwa waliokubaliana hili jambo arif
Yaani utadhani mizimu jamani. Dah😪🥺
Kamata wote hao
Mje Mwanza jamani bangi hatar
Apo mmesaidia watumiaji mtusaidie na wauzaji jmn ni wengi saana ndo wanaharbu ata vijana wadogo
ila uyu mtangazaji namkubali sana anatangaza kitu unamuelewa safi sana
Muwatafutie kazi sio kuwalundika soba wakitoka wanafikia mtaani hawana shughul
Mnafanya kazi nzuri ila wakukamata wauzaji Bado haowakienda soba watendelea kuhalibu watoto wetu kamata wausambazaji kwasababu tumonao mtani safisha saplaya msiwaache hao
Mweshimiwa bila walezi wa kidini hapo kazi ya serikali itakuwa ngumu kidogo japo kwakias inasaidia
KWA hali hii nchi inaenda pa haya sana
Namuona Izibulah ndio wa kwanza kushuka kwenye gari
agustin miez6 kwake hamna inshu hahahahhaha
Tena huko wakafanye na kazi za serikali wasiende kula bure hali ngumu
Kat ya majiji hil jij la kibabe naona mnapoteza mda wenu
Udc wako unautendea kazi broo, hakika wee ni creative sana kwenye uongozi wako, unaongea kwa haiba nashauri mamlaka ya uteuz upewe nafasi ya juu
Wapangiwe sehemu mbalimbali same morogoro mtwara dodoma mbali na arusha kumaliza MTANDAO WAOOO
Mie naona hili liwe tanzania nzima afu iwepo msako wakunasa wale wote wanao uza vitu hivyo kuhalibu vijana wetu.
Wakikaa chumba Moja itakuwa atari
Arusha mtakamata wengi kwakweli kwasababu uko matukio ya ualifu yamezi Sana.
Dar lini jamani?
Nishida sana jamani vijana wanaangamia sana kunawanaotajilika sana kisa bangi jamani
Kwa hili kama siyo nguvu ya soda ni bora.lakini baada ya hii hatua nini kinfats