Alfu hapo kwa hyo video,kuna mukusanyika kwa wanaume na wanawake kiholela,ambpo hyo pia katika deen si sahihi,jamani tujiepushe na vitu vya haraam vitu ambyo Mungu na Mtume Wake wametukazana tujiepushine in shaa Allah
Allah anijaalie nipate mume mwema na mwenye hofu ya Allah na ajue dini anifunze na mie nijue dini nitamsikiza kwa kila atalosema ispokuw lile ambalo ni haram kwa Allah na kwa waislam amina thumma amina 🤲🏼
Hii qaswida huwa naipenda kipindi sijaolewa nilimani kuolewa na kweli nikaolewa basi wee ilipigwa hii nilifurahi sanaa hatimae leo ndoa yangu inamiaka minne naisikiza leo tarehe1 mwezi wa12.2022 Alla awaweke mlioimba hii qaswida
Asalaam aleikum warahmthullah wabarakathuh how are you all?najua hii kina kinaongelea kheri kubwa katika deen(harusi),ila muziki ama utumiaji wa ala za muziki si sahihi katika uislamu,tujiepushe nazo in shaa Allah
Nan tuko. Hapo 2024 ❤
🔥🔥
,
Tuko utele apa
❤ 1:29
Mwenyezi mungu anijalie na mm inshallah nipate stara kabla sijafa nipate kuonja ndoa na mm😢😢
Amin inshaallah kwa sote 😢😊
InshaAllah
AMEEN thumma AMEEN mwezimungu akutakabalie Dua yako na INSHAALLAH utuombee pia kwa wale bado hawajaoa
insha'Allah Fanya Ibada za usiku Kwa wingi kipnzi Millie mola wako insha'Allah
Badoo hujaoa
I'm a Christian and I like this song....it'll play on my weddings majaliwa💯
Wish u all the best
💖💖💖💖 All the best
Wishing you a long happy life with ypur husband
Me too a Christian but the way I love qawsida❤❤❤
Sijui kwann naipenda hii qaswida aisee lazima niicheze nikipata kuolewa hata ka ya mkekaa
muombee allaah atkupaa ukitakachoo
Alfu hapo kwa hyo video,kuna mukusanyika kwa wanaume na wanawake kiholela,ambpo hyo pia katika deen si sahihi,jamani tujiepushe na vitu vya haraam vitu ambyo Mungu na Mtume Wake wametukazana tujiepushine in shaa Allah
MashaAllah sikuya yaharusi yangu nitaipiga hii kawaida naipenda sana😗😗😗😗InshaAllah
Dah kama Harusi yangu ijirudie , MashaAllah nampenda sana mke wangu
Allah akuhifadhie na awazisishie mawaadha
Allah nijalie ndoa na Mimi
Allah anijaalie nipate mume mwema na mwenye hofu ya Allah na ajue dini anifunze na mie nijue dini nitamsikiza kwa kila atalosema ispokuw lile ambalo ni haram kwa Allah na kwa waislam amina thumma amina 🤲🏼
Inshallah mie npate mke km weye anickze kwa yalo mema🙏🙏
@@jimmylouisy4021 insha Allah
Mashaallah
Mashaallah allah akupe hitaj la moyo wako
amiina
Hii qaswida huwa naipenda kipindi sijaolewa nilimani kuolewa na kweli nikaolewa basi wee ilipigwa hii nilifurahi sanaa hatimae leo ndoa yangu inamiaka minne naisikiza leo tarehe1 mwezi wa12.2022 Alla awaweke mlioimba hii qaswida
Maashaallah
Ndoto Zang kuolewaa inshaaaaallah Allah anifanyie wepe🙏
In sha ALLAH
Seco Almakhashni mume wa kukuoa umeishapata
Inshaallah Amiiin
@@issakatety3535 mungu aku ongoze
Seco unapatikana wapi
Yaan mashaallah hii qaswida ni nzr xn mana mpk msomjai sauti yke ni nzr xn mashaallah mashaallah ❤❤❤❤
Allah atupe mwenza wa kheri n sisi inshaallah.....from Qatar
Ameen yaarabbi 👏 alamin
@@jaymwinyi6957 ejofdnl
Wk5❤️
Nipo Burundi mariam jina lizuri
Farid Uwezo enzi hizo kabla ya kuwa cameraman
mashaallah na mm nahitaji oa mke wa kiislamu Allah nifanyie wepesi
Inxhalwaaa
😂😂😂
Miye Niko single,🇧🇮
Asalam aleikum.harus yako imeshatimia.
Mashallah.naipenda
Sana
Allah nijaalie ndoa na mm
dah hii qaswida ipigwe kwenye spika kubwa bhana kama ujaoa utatamani ukaoe siku hiyo hiyo😀😀😀
😂kwa kwel
🤣🤣🤣🤣🤣
Hahaha hakika
Hahahaha 😂😂😂
Umeona eee
MashaAllah hii video niliitafuta mpaka nikakata tamaa.
Sasa mimi ndo napata leo 2021 ni hatari naona kama njozi
FARID UWEZO hongera sana sikujua kama waweza imba.
Mungu nijalie na mm sku nisherehekee kama hvi jmn🙏🙏🙏
Alhamdulillah (wallahi kuoa raha) my Wedding Song Ma sha Allah
Mungu nami anijalie nionjee ndoa kabla sijapumzik katika hii dunia
Amiin yarrab
Maashaallah Baaraka llahu feeq..wallahi hii qaswidah haikongi 2022 ..bado iko conk ..Kila la kheri inshaaallah kweli ni kharous si msibah
Mola wangu yangu itakuwa lini namimi wazazi wangu wafuraike nijalie mume mwema namwenye kutambua Dini
Allah atakujaalia inshaallah
In Shaa Allah
inshaallah kw harusi yangu ❤itachezwa
Ivi uyu kaka yupo Wp jaman 😢
Qaswida nzuri sana❤❤❤❤😊😊naipenda sana
Mwenyezi mungu niajalie niipate stara kbla y kifo chngu Amiin yarab🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲
Nijalie mung nam niolewe jaman
Maskiniii umeongea kwa uchungu
Utaolewa taafta mtu mwenye malengo na weww
Inn shaa Allah, ama tayari?
Mashaalah kaka farid uwezo. ..assassins nzur sana. Imba Na nyingine
Hatari sana hii kaswaida❤
Masha Allah! Naipenda inshaallah mola anijalie n mm katika ndoto zngu z kuolewa ntaitaka hii nyimbo kuekewa kwa kharusi yngu amiin...
Inshaallah allah atafanya wepes
Inshaallah ALLAH akujalie upate mwenye kheri na wewe
mungu tujalie uzima wenye mwisho mwema
Nikisikiliza nakumbuka siku ya ndoa yangu
InshaAllah mwenyzi mungu kuna siku ataitikia dua zangu 🤲🤲
Must be played in my wedding In sha Allah
MashaAllah farid umeweza
Ndo nilikua najiuliza hapa huyu mbona kama farid uwezo? Kumbe ni yeye
Waooh 2024❤❤❤❤
Can't wait my wedding jamani 🙏 Mungu nijalie
Inshaallah ❤️❤️❤️
Ndoto zangu kuoa lnshaAllah nitaowa.
Inshaallah kheri 💖💖💖💖
Aamin
Inshallah Allah atakapo niletea mume huu wimbo utapigwa kwa harusi yangu
Inshaallah 👏 ALLAH akuitikie ombi lako
Nzuri sana hii kaswida jamn...Masha Allah
Mungu anijaalie namie nipate wepes kuoa 😢
Inshaallah nikiolewa razima ipingwe❤❤
2021 Mashaallah naipenda hii qaswida
Ndoto zangu nikuolewa na mwislam mwenzangu eeeeeeh mola ninyooshe baraka hz kwangu
Ushampata au bado
@@alimakame1293 🤣🤣🤣🤣🤣tupo mbn anaangaika sana
Kweli unacho sema
Aziza Bado hujaolewa
Hii Qaswida naipenda sana na niliitafuta sana , ndo nmeipata leo 2021
Wale wa 2022 tujuane kwa like
Maa Shaa Allaah
Bado ladha yke iko pale pale
Kabisa yanikumbusha harusi yangu
Muumini Ally,,, kweli kuoa raha
@@muuminially4154 mashulula jida
My wedding song Alhamdulillah
Eeh ya rabbana nijalie mke nami nipate kuoa
Inshaallah kwa waimbaji wa qaswida hii jamaaaa
Mashallah
Qaswida nimipenda
hizi ndo qaswida ila saiz kuna nyimbo tu wallah
Mungu anijalie ndoa na mimi🙏🙏🙏 amina
Naiwe kheir juu yako Inshaallah
😪😪😪 amina 🙏
Mashaallah
Wamelingana mahaba wakioonana huxhiba xherehe iyooooo harusi imeshatimia xafi xana kiongoz
Mashallah Allah niajalie ndoa na mm
fatuma ally inshallah
Umeongea kwa uchunguu
Mpaka natamani ku silim
You are most welcomed
Khakika kharusi ni jambo la furaha
In shaa Allah
May Allah grant us good spouses
Farid saaa si angeendeleaga na hiziiii nyendo
Jaamn kuolew lay mung nisaidie na me nioelew inxhallah
I am from louisiana i dont understand kiswahili but hii qaswida ni kali kinoma
Mashallah mashallah mkojuu
Allah nijaalie nipate mke mwema inshallah
Inshallah
@@MaryamAli-qt4wz maryam Ali 😘😘🙏
Ameen thumma Ameen
Na iwe kheli kwetu inshallah
All away from Djibouti
Djibouti no kwema hukoo?
On the way to dat city
💖💖💖💖💖 mashaAllah mashaAllah
mashallah waimbaji wetu
❤❤❤haichuji kwa kweli miaka na miaka siku ya harusi yangu jaman mbona nitainuka nakucheza 😂😂😂😂😂
Mashaallah
Masha allah anajua kuimba
.ila kwa sasa haimbi anashuti video movie miziki hayupo tena huku na pia kasuka marasta
Jmn kwann sasa??
Msomaji ni Farid Uwezo,saiv video shooter wa filam
Waooo mashaallh❤
Nani tuko 2024
Na tamani ni olewe ni nzur sana
Asalaam aleikum warahmthullah wabarakathuh how are you all?najua hii kina kinaongelea kheri kubwa katika deen(harusi),ila muziki ama utumiaji wa ala za muziki si sahihi katika uislamu,tujiepushe nazo in shaa Allah
Mashallah nice song my favorite song ever
Nc
Nani tuko hapa 2023
Kaka Farid uwezo albabu Rudi kaka kwenye hii njia upo vizur sana
mnzuri kwakweri
Mola atujaalie ndoa mimi na kipenzi changu othman,hii qaswida na ichezwe pia
Mashallah ❤️
Qaswida nzuri
Mashaallah❤❤
Khakika kuolewa laaa
Natamani kuolewa mimi
Maashaallah
2020
Ushaolewa
Allah anijaalie nipate mume mwema jmn kuolewa kuheshimiwa
2023 Allah atufanyie wepesi
Tunaoangalia 2024 11 April
Waaooo I like this qaswida
2024 mupo hapa au nipo mm t
Naipenda japo nimkristo
Mashallah
I love this qaswida
Adiii raha karibu kwenye uislam Angie laika
Ilove this😍😍😍😍😍
Tunao iangalia hii video 2023 tujuane apa Allah atujalie na sisi tutimize jambo la harusi
Mashallah Leo 4-11-2023 naipenda sana hii kaswida
Mashaallah 💓❤️❤️❤️❤️😍
MashaAllah.❤
Mashaallah 🙏 Allah nijaalie
Allah atakujaalia
Mashallah inshallah allha anifanyie wepesi niweze kamilisha ndoto ya kuolewa November long.....
Jamani namani namm ije itokee niolewe
Nymbo nzuri sana