Burda (yarabibi)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2011

КОМЕНТАРІ • 458

  • @hawajuma4191
    @hawajuma4191 4 місяці тому +14

    Mashaallah hii nyimbo jamani nasikiliza leo Ramadhani ya 2 mwaka 2024 nabado nzuri tuu kama ya huu mwaka 🥰🥰🥰🥰🙏🏽🙏🏽🙏🏽

  • @rehemamhassan4593
    @rehemamhassan4593 3 роки тому +58

    Yani naipenda hii nyimbo Na najivunia kuwa muislam Allah atuongoze kwenye njia njema🤲

  • @VeronicaJoseph-gy6ox
    @VeronicaJoseph-gy6ox Рік тому +5

    Mimi ni msabatho lakini naupenda huu wimbo kwa hata kama sijui maana yake lakini napenda alivyoimba kwa kumnyenyekea mwenyezi Mungu

  • @greezlyarobauz8359
    @greezlyarobauz8359 Рік тому +26

    2023 and we are in ramadhan now I'm still listen to this qaswida ☝️ ramadhan moubarak to all Muslim ❤️🤲 I love you all God bless you 🤲💜💚🥺

    • @mirajijumanne8127
      @mirajijumanne8127 Рік тому +2

      Aamin ... we're together with this qaswida in our holy month Ramadhan

    • @man_killerOG
      @man_killerOG Рік тому +1

      Na mimi hapa

    • @abdouissa5590
      @abdouissa5590 Рік тому

      Omazmolopp9po0ma0p0mam0zp0ppmzo9p9ma9pp002

    • @shabanramadhan2181
      @shabanramadhan2181 10 місяців тому +1

      Bado naisikiliza 2023 mwezi wa 9 ❤tereh 22

  • @tatudijah6773
    @tatudijah6773 4 роки тому +95

    yani naipenda hii jaman hadi machozi some time😪😪😪😍😍😍😍 ,,, 2020 gonga like hapa

  • @jasminedamian8838
    @jasminedamian8838 5 років тому +67

    Walai najivunia kuamia ii dini naipenda alah niongoze vyema

  • @marthadkhan6459
    @marthadkhan6459 4 роки тому +17

    Mashaa allah Qaswida inanigusa kiasi fulani yaan toka nimeanza kuisikiliza asubuh mpaka saivi naisikiliza tu sichoki

  • @rahemaiddi7344
    @rahemaiddi7344 3 роки тому +20

    Mashallah kaswida hii ina nigusa moyo wangu hadi kunitowa machozi na hunituliza nafsi yangu wakati nikiwa na msongamano wa mawazo,ya rabby mbariki mtunzi na viongozi wote kwa ujumla.

  • @alisterlexter1115
    @alisterlexter1115 Рік тому +10

    Am a Christian but I am deeply in love with this song I feel so emotional sometyms I love love itt jamaani

    • @rashidjumamohamed3437
      @rashidjumamohamed3437 Рік тому +1

      Most welcome my dear in Islam.
      Do hurry

    • @UmmYusrah1
      @UmmYusrah1 2 місяці тому +1

      It praises the Prophet Muhammad peace be upon him.

  • @mohamednoti7119
    @mohamednoti7119 3 роки тому +15

    Among of the best Qaswida in the world... MaashaAllaah..♥️

  • @saidseyyid1750
    @saidseyyid1750 3 роки тому +4

    Ya Allah baligh maqaasidana...love this qaswida from Mombasa Kenya Fri 11 2021

  • @Hanifmv
    @Hanifmv 3 роки тому +16

    We really need more chapters from the same person. Please

  • @LuckyLucky-iu2ho
    @LuckyLucky-iu2ho 5 років тому +88

    I really like your voice I'm Christian so I don't understand what you mean but I believe that all is praise to God be blessed

  • @lucascharlescarter
    @lucascharlescarter 5 років тому +51

    Am cristian but i love this kaswida, from the bottom of my heart and i cant stop watching this blessed song from burda...

  • @raliyashariffyahya2156
    @raliyashariffyahya2156 2 роки тому +6

    mashaAllah no words wlhi such a lovely nasheed to listenn🥰.I listen to it n always realise this world is temporary 🥺

  • @Val_halla001
    @Val_halla001 4 місяці тому +1

    I listen to this and get Eid flashbacks. My Dad loved this so much. Allah grant him janna 🤍

  • @abdulfaridq3743
    @abdulfaridq3743 4 роки тому +6

    Farida
    Napenda ndungu zangu wote waagali kam ram swaleh Alfani swaum na waislam wote

  • @shairaniadam1752
    @shairaniadam1752 Рік тому +5

    From Tanzania 🇹🇿 love you 🎵 ❤❤❤❤❤

  • @suzaneballa7172
    @suzaneballa7172 Рік тому +3

    I'm Christian and I love this qaswida ❤ God is love ❤️

  • @francisnicholaus5590
    @francisnicholaus5590 4 роки тому +39

    2020 twende nayo naipenda hata km siielewi

  • @masoudtalib5908
    @masoudtalib5908 4 роки тому +21

    Masha Allah, wale wa Zanzibar tujuane hapa October 2019

  • @hilalbagrasein688
    @hilalbagrasein688 Рік тому +17

    I’m still wondering why is this beautiful qasida not having more than 10M views

  • @husnajohn212
    @husnajohn212 5 років тому +23

    mashaallah allah tuongoze ktk njia iliyo sahihi insha allah wallah sichok kuiangalia hii kaswida allah akulipe kher

  • @suhailamakulilo6501
    @suhailamakulilo6501 5 років тому +12

    Ilove you so much nimeangalia Leo tena talehe 11. 6. 2019

  • @mannubibo571
    @mannubibo571 6 років тому +19

    MaashaAllah nzuri sana nafurahi mukiandika maneno ya qaswida juu km hii.ni rahisi kuijuwa kwa haraka...

  • @yu-jb1wy
    @yu-jb1wy 9 років тому +12

    Mashallah very beautiful I see my brother mahad he looked so innocent those days

  • @bintykigan7014
    @bintykigan7014 6 років тому +29

    Mashaa Allah nikiangalia hii kaswida napata hisia chozi hunitoka

  • @jasminjuma6390
    @jasminjuma6390 3 роки тому +3

    30/10/2020 hakika sichoki kusikiliza hii qaswida mashaa allah tabarakallah

  • @laudadeusredemptorysidinda2750

    I'm Christian, but I really love this song.

  • @karimkingwande5409
    @karimkingwande5409 6 років тому +11

    masha llah huni fariji sana ninapo isikiliza

  • @dionisiahenriques6944
    @dionisiahenriques6944 Рік тому +7

    Dezembro na escuta dessa cassuita de paz entre irmãos.quem está aí 2022 .😍❤️🔥🇲🇿

  • @user-if2sn8es1n
    @user-if2sn8es1n Рік тому +2

    Am Christian but i like this song since my childhood

  • @ibnhalalmedia1822
    @ibnhalalmedia1822 3 роки тому +6

    1/6/2021 Keeping Covid-19 at bay ❤️❤️❤️ JAZAKUMULLAHU KHEIRAN KATHIRAN 🤲

  • @hamisiserenge8483
    @hamisiserenge8483 6 років тому +136

    sichoki kuangalia na kusikiliza hakika rahaa sana weka lake yako hapa

  • @jabirjuma6663
    @jabirjuma6663 5 років тому +24

    Nimeangalia tena Leo 1/2/2019

  • @annamanjoli1703
    @annamanjoli1703 4 роки тому +8

    Naupenda sana huu wimbo,ingawa sielewi anaimba nini.

    • @pendomaduhu9374
      @pendomaduhu9374 2 роки тому

      Mashallah ,naipenda nyimbo hii mm

    • @AbubakarTwaha
      @AbubakarTwaha 8 місяців тому +1

      Anaimba : ewe mlezi wetu ulotukuka tukubalie makusudio yetu na utusamehe madhambi yetu yanayotuzuia kuwa karibu na mungu pia ututunze kwenye utukufu :: huo ni ubet wakwanza.

  • @ElizabethMipawa-uq1io
    @ElizabethMipawa-uq1io Рік тому +2

    Asalaam aleykum kwa kwel huu wimbo naupenda japokuwa Mimi so muislamu but napenda Sana qaswida na mawaidha ya kiiislamu Allah awape ujuzi zaidi watunzi Hawa ili tuendelee kumsifu mungu hasa katika kipindi tunachoingia Cha Ramadhani

  • @chidyboy9514
    @chidyboy9514 Рік тому +3

    No one can sing qasda now more than him , i feel lije crying when listening 😢

  • @yasynally1908
    @yasynally1908 3 роки тому +9

    2020,still remembering this qaswida.....Burda

  • @rahmatahmed1871
    @rahmatahmed1871 3 роки тому +2

    Assalam Aleikum warahmatullah wabarakatu....wallah imenigusa Sanaa Hi I Nasheed mpaka nahisi machozi yatakakunitoka....yaa rabby waghfirlana warhamna jaamia Muslim wa muslimat😘🙏

  • @jasminjuma6390
    @jasminjuma6390 2 місяці тому +3

    4/5/2024 nimerudi kuiskiliza tena hakika haichoshi ❤❤❤

  • @SAM_163
    @SAM_163 3 роки тому +9

    Aisee mimi Ni mkristo lakini Naipenda Sana hii kaswida. Imeimbwa kwa hisia sana na Nzuri sana sichoki kuisikiliza@ TANGA -TANZANIA❤🌹💞💞❤🌹💞💞🌹❤❤🌹💞💞🌹❤

  • @nehemiatv665
    @nehemiatv665 7 місяців тому +2

    Mimi sio mwislam ila naipenda sana nyimbo hii kila napo kuwa radioni naicheza.

  • @EdinaSanga-ym9fw
    @EdinaSanga-ym9fw Місяць тому

    Naupenda Sana hu wimbo jaman, japo sielew maana yake ila nikisikiliza napata amani sana moyoni mwangu, ❤❤❤❤

  • @sultanshamte4110
    @sultanshamte4110 4 роки тому +4

    Mashaallah nice qaswida 🙏🙏🙏

  • @rehemamgunga8854
    @rehemamgunga8854 2 роки тому +3

    Imagine that nice voice am 22yrs now but this reminds me those days when I was 7yrs i our madrassa

  • @araphatabdallah3363
    @araphatabdallah3363 2 роки тому +1

    ❤️❤️hisia nilizonazo juu ya Qaswida Allah ndo anajua🤲🤲😭 2021 .....

  • @mohamadalhabibo8953
    @mohamadalhabibo8953 Рік тому +1

    MaashaAllah I have seen this video in 2012 till then I lost it but alhamdulilAllah to day I have found again

  • @MsafiriJuma-mb4sl
    @MsafiriJuma-mb4sl Місяць тому

    The nasheed of my heart,I feel so proud when tuning into

  • @alecpayne18
    @alecpayne18 11 років тому +11

    This video is amazing, mix of cultures subhanallah beautiful song

  • @AminaAmina-xz9bt
    @AminaAmina-xz9bt 3 роки тому +2

    MashaAllah mashaAllah 20/4/2021 naipend san Allah awape maisha maref muendlee kudumish din yetu islam hakik inapendez Allah atuongez njia iliyo sahihi Amiin

  • @fatumaissa2087
    @fatumaissa2087 3 роки тому +1

    I really like this song 😍😘😍 nikisikiliza uu wimbo najisikia kubalikiwa wallah ❤

  • @issaoyaya6357
    @issaoyaya6357 2 роки тому +8

    MashaAllah still on it 2022..it's my favorite Qaswidaa

  • @rashidimohamedi426
    @rashidimohamedi426 4 роки тому +5

    Kama bado unaangalia 2020 gonga like twende.

  • @Sameer-cd1yn
    @Sameer-cd1yn Рік тому +1

    Allahumma Swalii Ala Sayidinna Mohamadin Waalihii Waswahii Wasalaam Wasallim Tasliiman Kathiiraan..

  • @anithanithaa2651
    @anithanithaa2651 3 роки тому +1

    Hii Kaswida Huwa naipenda japo hat sjui maneno yake ila huwa najiskia vzur sana kuiskia

  • @user-lt2mw6zm2n
    @user-lt2mw6zm2n 4 місяці тому

    Masha Allah naipenda sana hii qaswida esp nikiwa na huzni ni kitulizo changu. Alhamdhulillah.

  • @ukhtyreynah6205
    @ukhtyreynah6205 2 роки тому +6

    My special lovely qaswida 😍 2022

  • @user-wt9wl7cp5c
    @user-wt9wl7cp5c 4 місяці тому

    Naipenda San hii qaswida jaman hat niskilize mara ngap cjawahi choka❤️

  • @cabylake2320
    @cabylake2320 Рік тому +2

    Mashaallah 💓💓💓

  • @hamasahaji2798
    @hamasahaji2798 5 років тому +12

    Kila nikiangalia tadhani ndio imetoka jana! naipenda sana wala hainikinai kuiskiza!

  • @nzarajawa2107
    @nzarajawa2107 Рік тому

    I love the qasida mashallah it make me remember the golden years of our beloved prophet peace be upon we love our prophet

  • @malickmiraj2389
    @malickmiraj2389 6 років тому +3

    Mashallah,,jazaqum kherii ya ustadhi

  • @user-hv1we1qp4n
    @user-hv1we1qp4n 5 місяців тому

    Maashaallah Mungu amuongoze mtunzi wa hii kaswida

  • @asterialaurent9017
    @asterialaurent9017 5 років тому +2

    Mashaallah kaswida hii inaniburusha kila nikiickiliza. Allah sw awalipe kheri nyingi wote mlohucka kuitengeneza.

  • @josejohnhalindogo8336
    @josejohnhalindogo8336 2 роки тому +1

    Nimeisikia kwa mara ya kwanza 2012. Hapo nikaanza kuitafuta mno bila kuijua jina. Nimefanikiwa kuipata mwaka huu, 2022.

  • @Qeek_Smart
    @Qeek_Smart 5 років тому +30

    Me Christian lkn hii nyimbo siichokagi yaan sijuwi niseme najikutaga wapi jaman

    • @alikhamis2013
      @alikhamis2013 4 роки тому +2

      yani kama machozi yanataka kutoka ivi

    • @jeannotkesheni7121
      @jeannotkesheni7121 3 роки тому +1

      Kweli

    • @kingflamingo6071
      @kingflamingo6071 3 роки тому +3

      Welcome to islam❤️❤️

    • @user-xh5vl6eh6i
      @user-xh5vl6eh6i 2 місяці тому

      ​@@alikhamis2013 Yani Mimi nikiusikia hata njianin natamani niusubirie uwishe kwanza ndo niondoke😊😊😊

  • @shakilaseif3510
    @shakilaseif3510 3 роки тому

    Masha Allah nampenda mtume Muhammad s a w Allah niongoze katika kheri

  • @abdihassanow529
    @abdihassanow529 6 років тому +4

    MashaAllah good taswida

  • @NIHORIMBERESILVIE-gf4sv
    @NIHORIMBERESILVIE-gf4sv 4 місяці тому +1

    😢❤❤🤲🤲naipenda hii inaliza Sana

  • @naimamalekela812
    @naimamalekela812 7 місяців тому

    naipenda sanaaa hii qaswida sitamn ck iishe sijaisikiliza😘

  • @mustakimutwaliki6203
    @mustakimutwaliki6203 4 роки тому +17

    2020 naiskiliza so nice

  • @saidishariff383
    @saidishariff383 4 роки тому +2

    Iko poa yarabibi mustafa bilmaqaa swidana

  • @yassersahel4273
    @yassersahel4273 11 років тому +7

    masha allah alla qaswida

    • @abdubob4778
      @abdubob4778 6 років тому

      kiukwel hii qaswida naipenda sana niisikilizapo moyo unapata faraja saana

  • @sammynthenge9606
    @sammynthenge9606 7 років тому +9

    I really love this song

  • @user-sz5kd8zl3g
    @user-sz5kd8zl3g 7 місяців тому +1

    mi mkrist lakin naipenda sna❤

  • @abdallahernesti9967
    @abdallahernesti9967 3 роки тому +2

    Nyimbo nzuri sana

  • @zeithundama.khamisdama.kha3537
    @zeithundama.khamisdama.kha3537 9 років тому +5

    Sauti nzuri ya quran huniweka relaxed

  • @HassanJaphari-rx7jy
    @HassanJaphari-rx7jy 7 місяців тому

    Ni mwaka 2023 lakini kama ndo kwanza imetoka leo kumbe ni ya mwaka 2009-2010 mwezi mtukufu wa Ramadhani. Naipenda hii Qaswida

  • @tajiguapo3743
    @tajiguapo3743 Рік тому

    2023 Alhamdulilah naangalia Tena hii video, tumshukuru Allah kwa uhai

  • @Hyden_tz
    @Hyden_tz Рік тому +1

    My fav qaswida 🙏🏽

  • @kajjaaziz9563
    @kajjaaziz9563 4 роки тому +1

    mashaallah abdul Aziz from uganda

  • @rashidhabib1445
    @rashidhabib1445 6 місяців тому

    هو الحبيب الذي ترجى شفاعته 🤲

  • @KhadijaSaliminiMashaaAllahAlla
    @KhadijaSaliminiMashaaAllahAlla 4 роки тому +2

    MashaaAllah nice qaswida.Allah akulipe Ustadh Mahad kila lenye kheri ktk maisha yako yote.

  • @azizihamis1247
    @azizihamis1247 6 років тому +2

    Qaswida nzuri sana,imetulia hadi raha

  • @SeanHunter-sw5jv
    @SeanHunter-sw5jv 5 років тому +4

    MaashaAllah

  • @bonifaceignace9962
    @bonifaceignace9962 2 місяці тому +1

    Hii nyimbo ilitoa mchango mkubwa sana katika safari yangu katika ISLAM......ALLAH AWABARIKI WOTE WALIOHUSIKA NA HUU WIMBO.....AMIYN

  • @shanihhindo9623
    @shanihhindo9623 6 років тому +3

    I heard it for the first time 2008 radio kheri,faraja kwa umma....hivi radio kher ipo Bado!? very heart melting nasheed....

  • @fatinaally7080
    @fatinaally7080 2 роки тому

    Kusemakweli nimetokea kuipenda sana hvyo ahsante kwalo mngu akujalie mema

  • @mkalalafadhili1921
    @mkalalafadhili1921 2 роки тому

    maashAllah its fantastic qaswida

  • @HAmmar0121
    @HAmmar0121 3 роки тому +4

    Beautiful❤
    اللهم صلى على محمد و ال محمد و عجل فرجهم

  • @ahmedfarid2921
    @ahmedfarid2921 Рік тому

    Jazakkah llahu kheir

  • @ibrakipingu4071
    @ibrakipingu4071 6 років тому +8

    Mashaallah

  • @chidyboy9514
    @chidyboy9514 Рік тому

    May Allah keep him fil jannah

  • @bintiaislam9274
    @bintiaislam9274 2 роки тому

    Naipenda burdaa sana mungu atusamehe madhambi yetu🙏 🇰🇪

  • @guyehirbo7033
    @guyehirbo7033 4 роки тому +4

    My favourite song ❤

  • @khadijadidah6610
    @khadijadidah6610 Рік тому +1

    This song humbles me❤

  • @muhsinihassan8245
    @muhsinihassan8245 2 роки тому

    From Kingdom Saudi Arabia 🇸🇦🇸🇦🇸🇦

  • @robinvanasnar7982
    @robinvanasnar7982 8 років тому +8

    i really love it

  • @Hanifmv
    @Hanifmv 5 років тому +12

    Is there more chapters. Beautiful recitation of Qasida Burda

    • @barakaurassa552
      @barakaurassa552 5 років тому

      Naipend San hii qaswid mash Allah siichoki kuisikiliza na pia KuitizaMa

    • @nadiasalum4917
      @nadiasalum4917 Рік тому

      Maashallah ❤❤❤