Bado siku 2 au tatu kuingia mwezi mtukufu wa ramadhani 2020lakini ramadhani ya mwaka huu tuta ifunga nyoyo hazina furaha😢😢😢😢😢😢yallahbi tunakuomba utuondolee ugonjwa huu kabla hatujanza kufunga kila sehemu corona dah😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
Ramadhan Mubarak Alhamdulillah tumeuona mwezi mtukufu wa huu mwaka 2022 wangapi walitamani lakini wapi wametangulia wangapi wametamani wako mahututii vitandandi tuseme Alhamdulillah 🤲🤲
Mashallah i always remember this kasida is Mashallah it's about Ramadan Mashallah its so cute may allah protect the poeple are get in kasida i give yll thanks Asalamualeykum
2023 Ramadhan soon in shaa Allah may Allah subhanahu wa ta'ala bless us all to live to see this blessed month and to fast. May Allah subhanahu wa ta'ala accept our fasts and pardon us all ameen.
2024 nikiwa wakWanza nipeni like...zangu😢😢😢ikiwa siku yakwanza ramadhani huku saudia....❤❤❤❤
Amin mm pia nikiwa wakwanza uku Qatar❤
Happy ramadhan Kareem
Ramadhan Kareem to all Muslims
000000000000000000000000000000000000000000000000000000⁰000000000⁰00⁰000⁰000000000000000000000000000000000⁰00000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000@@hamisaramadhan22
Inshallah
2011 now 2024 miaka 13 kaswida nzuri sana sijui huyu aliyeimba siku hizi yuko wapi Allah ampe afya njema
2011 now is 2023 ....12yrs and this nasheed will never fade it was be hit all coming ramadhans🇰🇪💥💥
My favorite song though am Christian 🙏🏽 Mashallah
Ma Shaa Allah
MashaAllah
Karibu mgeni wetu,karibu Ramadhani.Allah atufikishe xalama inshaAllah..2020
Wertyuiop
MaaShaAllah kaswaida nzuri sana ki zenji zenji zaid safi sana wana madrasa wetu
Bado siku 2 au tatu kuingia mwezi mtukufu wa ramadhani 2020lakini ramadhani ya mwaka huu tuta ifunga nyoyo hazina furaha😢😢😢😢😢😢yallahbi tunakuomba utuondolee ugonjwa huu kabla hatujanza kufunga kila sehemu corona dah😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
2024 gonga like kama bdo waskiliza hii nasheed 😊
Nice mashallah nice voice.and qut and small boys and girls ...I Love them..I am from India ..and keep it up..
2021 tukowangap waislaam tunao kalibisha mwezi mtukufu wa ramadhan naomba like tujuane
Wengi
Karibu mwezi mwema 2022 inshallah Allah tufanyie wepesi
Ramadhan Mubarak Alhamdulillah tumeuona mwezi mtukufu wa huu mwaka 2022 wangapi walitamani lakini wapi wametangulia wangapi wametamani wako mahututii vitandandi tuseme Alhamdulillah 🤲🤲
inshallah kikubwa uzima atufikishe tena katika mwez mtukufu wa ramadhani
This qaswida reminds me when i was in madrasaa my favourite
Want to become a muslim
Mashallah i always remember this kasida is Mashallah it's about Ramadan Mashallah its so cute may allah protect the poeple are get in kasida i give yll thanks Asalamualeykum
Ahlul deen Aweis Ohioo walykumu msalam
Nani anasikiliza 2021 ndan ya mwez wa ramadhani apite na like nijue Kam tuko pamoja.
tumeukaribisha mwezi wa ramadhani na allah atuepushie na maradhi tuweze kuufunga bila tashiwish
Zimebaki siku chache tuingie tena mwez mtukufu wa Ramadhan Mwenyezi Mungu atakufanyia wepesi tuufikie 23-3-2023 Inshallah
In shaa Allahu
May Allah bless us to complete the holy month of ramadhan in good health. #2022
Kazi nzuri sana ubarikiwe am Christian lakini nimependa sana from +254
Nawe unapendeza dada karibu kwenye dini inayo kubali vitabu vya injili zaburi na torati
Mgeni kweli lakini huenda akaondoka amechukia kwasababu wenyeji hawana mahaba naye mahaba yao yapo mdomoni tu nasimoyoni.
uko vizuri sanaa
safii
raaby tujaalie tuwe wenye kufanya ibada inshaallah
Ishallah Mungu awazidishie nguvu zaidi
Mwenyez mung ututie nguvu ktk mwez mtukuf wa ramadhan. Inshaall
Mashalah I love this qasida.Ramadhan 2023 may Allah make us reach the next one 2024
Now 2024 Alhamndulillah
Nice kaswaida, with good message, We are very close to Ramadan, Allah atujalie Uhai na uzima na nguvu za kufanya ibada2023
Alhamdhulilah tumshkuru Allah kwa kutujalia kupata ramadhan ya hii mwaka 2023...wenye wametangulia mbele ya haki Allah awajalie mema kwa qabri zao🙏
Wale wa 2021 Ramadan like hapa
Allah
Allah tujaalie tuwe na funga yenye kukubalika
bado siku 1 Kufika iddi 2019 mashaaaAlaaaa
Yarabi tukubalie fungal zetu
@@ashabaruty2251 🙏🙏
Mashallah watoto wadogo hivi
Mashallah qwaswida nzuri sana
Aisha Mohamed
Mashaallah,twamshukuru Allah Kwa mwezi huu2023
mashalla well done thank for yhe nasheed
Muzuri watoto ya Allah 🙏🙏
Kama bd unasikiza hii ramzan 2019 gonga like
2020
Masha Allah!!keep on it with the keeds and succes cum next
Nam nam
Ramadhan Kareem waislamu wenzangu Allah hajulihe tupate fadhila na Neema za mwezi mtukufu
Yaan huyu sheikhe ananikosha yy hachagui wakuimba nao wanafinzi wake wote ma shaa llah Allah akubariki
Mash Allah Uislam ni Raha sana ❤❤❤ I love you Muhammad ibin Abdillah
Masha Allah. karibu Mgeni wetu Adhiimu Ramadhani
Mswahili- Nguli- Makumira. mashallah
Mashaallah mwezi mtukufu mola katujaaliya tuwe wema
Karibu mgeni wetu,karibu ramadhan mola atufikishe salama inshaallah 2022
2022 alhmdulillah tulio jaaliwa kuuona, kwa pamoja tuseme , allhamdulillah🙏
alhamdullah twashkru allah kwa kutufikisha mwezi mtukufu wa ramadhan
Brother
Mashallah
Nakupendasanaaaaaaaaaaaaaaa
mashallah my favourite nasheed
Mashallah nyimbo nzuri sana hii😘😘😘
yaasalam naam karibu mgeni wetu mtukufu Ramandani,utpe yako yaliyo mema
mashallah inshaallah mwenyezi mungu akupe uwezo wa kutoa qaswida nyingine kama hii
Mgeni wetu Karibu kwetu twakupenda sanaaa mtukufu Ramadhan
Inshallah tuko ndani ya mwezi mtukufu sasa
Huyu ustdh qaswida zimetulia sana raha wallah unakwenda rama polepole Tu mashallah
hii qaswida ni moto.jazakaLLAHU kheir.mambo mazuri ni kama haya
Karibu Mgeni Mwema Mtukufu Ramadhani 😍😍😊😊
Mashaallah still listening to this in 2023
Mashalla kwakweli uyu mgeni nimwema sana anaetufutia makosa yetu madogomadogo
mashaallh mungu akupe nguvu
Karibu mgeni mwezi mtukufu bado cku 1 kuufikia mwezi mtukufu 2023 ya Allah tujaalie afya tuweze kuuona na kufunga pia inshaallah
2023 Ramadhan soon in shaa Allah may Allah subhanahu wa ta'ala bless us all to live to see this blessed month and to fast. May Allah subhanahu wa ta'ala accept our fasts and pardon us all ameen.
Mgeni wetu, karibu kwetu. Mashaallah
mwenyezi mungu atujaalie mwezi mtukufu wa ramadhani 2018 inshallah tuwe wenye kuvuna mema
Ma shall a nzuri saana
Walai mumenikumbusha nikiwa madrasaa
Allah awajalie hapa nduani na kesho haera in shaa Allah
Counting days to rmadhan 2024 inshaAllah
siku Mbili kuingia Ramadan 2019
Shukran zote ziende kwa muumba mbingu na ardhi kwa kutuletea mwenz mtukufu ramadhani 🤲🤲🤲
MashaAllah nataka qaswida ya mv spice iloimbwa na Madrasa tul Qadria
Karibu mgeni wetu mungu atupe nguvu tuweze kufunga funga zote amin
mashaallah nic qaswida
Karibu mwezi mwema..penda xana hii qwasida,kama uko hapa 2023 sema Alhamdulillah 🤲🤲
Ramadhan Kareem to all Muslims 2023. Alhamdulillah ❤❤
Hatuchoki kukusikiza shekh Allah awalipe mema insha'Allah bdo siku kumi ramadhani 2023
2023 allah atujaalie tuwe Wenye kuifunga Ramadan inshaallh
Am posting this today first day of Ramadhan 2024 ,Allah accept our fast and bless us.Karibu Ramadhan❤❤❤
Ameen❤
Mgeni wetu Karibu Kwetu 2023, Mtukufu Ramadhan 🙏🙏🙏🙏
magnifique kassuda
Very powerful... Masha Allah 🎉🎉
Maa Shaa Allah!!!!! Uislam mtamu sana
Karibu Mgeni mwema, 2022 zimebaki siku 6 YA ALLAH TUFIKISHE RAMADHANI.
Mashallah dah hii kaswida imnkumbusha mbal
mashaallah mungu awape nguvu inshaallah
Amin
@@wasafifamily6251 dççcçççççççxçç
MashaAllah , Allahumma balighana ramadhan
nzuri sana masha-Allah
Tunamshukuru Mungu kwakutufikisha kwamwezi mtukuufu🤲
Kaswida nzuri sana Mashallah ina miaka mitano lakini kama ndo kwanza imetungwa juzi.
Nice one
Kabisaaa
Kma unasikiliza qasida hii 2020 gonga like na kipind kigumu Cha gonjwa kubwa la Corona
karibu sana mpenzi wetu twakukaribisha
Ni ipenda sana hiyi qaswida
Karbu RAMADAN 2021, Allah utusamehe madhambi yetu .bado siku tano tuu inshallah tutazifikia.
amiini yaraabi
Happy ramadhan kareem to all muslims❤❤Allah akubali swaum zetu
Alhamdu lillah qaswida nzuli Sana
Allah atufanyie wepes ktk mwez mtukufu wa ramadhan
fav song
2024 ramadhan 1 day remain inshaallah
Mashaallah qaswida haichuji naipenda sana hii
Ishalaah mola akulinde na azidi kukupa nguvu nyimbo nzuri sana
Maashallah ni 2021 lkn bado qasda inafanya vizur sana
Allah atufikishe Ramadan 2021 xalama..penda hii qaswid xanaa.
Kalibu mgeni mtukufu ramadhani🤲🤝💞❤️🇹🇿alhamdullillah
Zimebaki siku chache kufika mwezi mtukufu wa Ramadhani.... اللهم بارك لنا في رجب و شعبان و بلغنا رمضان
Allah akbar mungo ampe umri n pia kher njema
mashallah karibu mgeni wetu mtukufu Ramadhani raby mola tupe mwanzo mwema na mwisho mwema
Ust Hafidh unajua zaid ya ssana
Allah atufikishe Ramadhan 2021 InshaAllah
mwenyezi mungu atujaalie mwezi mtukufu Wa ramadhan InshaaAllah
Musaibrahim Aly amii
mwenyezi mung atujalie
Ya Allah tuongoze katika mwez huu mtukufu wa ramadhani utujalie uzima
Musaibrahim Aly
amiin