Rais Samia ahutubia washiriki wa Siku ya Kiswahili duniani New York

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 лип 2024
  • #HabarizaUN #UmojawaMataifa #Kiswahili #UNNewsKiswahili
    Pata taarifa ya habari, makala, habari kwa picha , mahojiano na matukio kuhusu masuala ya kibinadamu, SDGs na mengine mengi kutoka Idhaa ya Kiswahili ya Umoja wa Mataifa. Ni "Habari za UN" kutoka makao makuu ya UN New York City.

КОМЕНТАРІ • 3

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 2 дні тому +1

    Ubarikiwe saana Mhe SSH , Hotuba imejitoleza na imeleweka vizuri

  • @arthutmathenge4511
    @arthutmathenge4511 День тому

    Hongera sana rais Suluhu Hasan!

  • @mtzhalisi2232
    @mtzhalisi2232 2 дні тому +1

    Kweli mama... Kiswahili kwa sasa kipo mbele... Tanzania🇹🇿 moja