MAFUTA YAMEGUNDULIKA TANZANIA ? MAJIBU HAYA HAPA "KUNA UJAZO WA TRILIONI 47 BAHARINI"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 152

  • @prudencemushi6948
    @prudencemushi6948 4 роки тому

    U have articulate it well

  • @d.a.t3383
    @d.a.t3383 4 роки тому +20

    Mungu Unatupenda. TUNATOA ASANTE Ee YESU WETU

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 4 роки тому +55

    Wale tulioskia mafuta tukaangalia mafuta ya mwili wa huyu Mzee baba tujuane tu

  • @alexbenedict5378
    @alexbenedict5378 Рік тому

    Duh

  • @geofreymajaliwa9294
    @geofreymajaliwa9294 4 роки тому

    Napenda sana habari zenu azina chumvi na uongo ongera sana miladiayo

  • @kerrymwaisobwa371
    @kerrymwaisobwa371 4 роки тому +1

    Sasa mbona inauzwa Kwa bei kubwa kama ipo nyingi?..

  • @zefamange7281
    @zefamange7281 4 роки тому +12

    MLIWAUZIA GESI YETU WACHINA, WEWE NA KIKWEKWE SAIZ MNATUCHANGANYA TUU

    • @ibrahkimesu2402
      @ibrahkimesu2402 4 роки тому +2

      Mpuuzi sana huyu eti gesi lazima ukaiuze Japan. Sisi tunauziwa gesi bei kubwa wakati tunayo hapa hapa. Majizi makubwa haya

    • @brobabuu3973
      @brobabuu3973 4 роки тому

      @@ibrahkimesu2402 Kweli

  • @AllyHamran
    @AllyHamran 2 дні тому

    Mumegundua kwenye kina cha bahari kubwa au Zanzibar.

  • @SEMANKA97
    @SEMANKA97 4 роки тому +1

    30bil.nauhakika si bei halisi sema kila unapoenda kuuliza aina ya uwekezaji unakutana mtandao ni mmoja wa kuibia dunia akina BP, Statoil e.t.c 30bil.inaweza kujenga jiji lolote kubwa dunia tokea msituni.

  • @hermanclemence7728
    @hermanclemence7728 4 роки тому +8

    Millard unazingua

  • @applechai
    @applechai 4 роки тому

    Ajira chache sana

  • @mahmoodfurutuni2464
    @mahmoodfurutuni2464 4 роки тому +3

    Muheshimiwa rais wetu mpendwa wataalam Kama hawa ni kuwatumbua , gesi hiyo ibaki kwetu watanzania watumie kwa bei nafuu na viwanda vyetu

  • @lovenessvisent9408
    @lovenessvisent9408 6 місяців тому

    Miili yenu tu inaashiria hamfikirii sana mnakula ovyo mnaibia wananchi

  • @gilbertvicent4229
    @gilbertvicent4229 4 роки тому +8

    Humu ndani kwenyewe gesi ni ghali inabidi wananchi watumie kuni na mkaa tu.
    Hatuoni faida ya hayo maelezo

    • @pauldaniel5685
      @pauldaniel5685 4 роки тому +3

      Gilbert Vicent ndipo uwezo wako wa kufikilia umekomea hapo ndiyo maana hauoni faida ya maelezo hayo

    • @Mronlinetz
      @Mronlinetz 4 роки тому

      ua-cam.com/video/iocL99T5LSk/v-deo.html

    • @Mronlinetz
      @Mronlinetz 4 роки тому

      @@pauldaniel5685 ua-cam.com/video/iocL99T5LSk/v-deo.html

    • @gilbertvicent4229
      @gilbertvicent4229 4 роки тому +1

      @@pauldaniel5685 ..WEWE HATA MAANDIKO YAKO...uwezo wa kufikili...NENDA KAMALIZIE DARASA LA PILI ILI UJUE UNACHOKIANDIKA...VIJANA HAWA WAMESHINDWA SHULE LAKINI WANATAKA WATOE MAONI ..NA MAANDIKO YA LUGHA YANAWASUMBUA ALF WANATOA KASHFA...
      RUDI SHULE ALF UKIMALIZA UJE TUBISHANE KWA HOJA

    • @emmanuelbonifase1114
      @emmanuelbonifase1114 4 роки тому +1

      Nakuunga mkono kale kamtungi kadogo ka gesi elf 20 kagunia kadogo ka mkaa elf 6 amua mwenyewe unataka nin ges au mkaa

  • @ngwanafabian7532
    @ngwanafabian7532 4 роки тому +3

    Mradi wa LNG ni wa kitambo sana kila siku unazungumziwa bila matokeo yoyote ni afadhari mkae kimya siku ikifika ndo mlizungumzi maana mnatuchosha

  • @mwilemwasenga7066
    @mwilemwasenga7066 4 роки тому +2

    ayo umeanza umbea sasa

  • @muddymkamba352
    @muddymkamba352 4 роки тому

    Tunahitaji viongozi wenye weledi sana kufika mbali na taifa letu

  • @gibishinchambi1971
    @gibishinchambi1971 4 роки тому +1

    Mbali na matumizi ya misitu kwa wananchi kwann tusianze kutumia kwa wingi kwa wananchi wote?

  • @calvinamon4125
    @calvinamon4125 4 роки тому

    Sauti

  • @katojunior7506
    @katojunior7506 4 роки тому +2

    Lakn bdo bei ya gas ipo juu

  • @brunorichardphocus1367
    @brunorichardphocus1367 4 роки тому +3

    I trust this guy at all , am just saying

  • @robertchazya2351
    @robertchazya2351 4 роки тому

    Gas au mafuta??!!

  • @kwelimsema4666
    @kwelimsema4666 4 роки тому

    Ajira 5000 tuu??😳😳😳😳😳😳😳

  • @paulsimbeye7216
    @paulsimbeye7216 4 роки тому +1

    Ni neema juu ya neema

  • @Seifndimbaye
    @Seifndimbaye 3 місяці тому

    Hata mkigundua hmuwez weka bei nzur ges tunaiyona ss

  • @masachihorticultureunitcol711
    @masachihorticultureunitcol711 4 роки тому +2

    Hata hiyo gas iliyopo ni utajiri mkubwa Sana tutakaoupata ni kama nchini quatar

  • @kulwanyanda521
    @kulwanyanda521 4 роки тому

    Mmeshaanza kuwa waxinguaji ......kichwa cha habari n.a. uharisia wa habari haviendani.......uhakika ulishaanza kutoweka

  • @emmanuelbonifase1114
    @emmanuelbonifase1114 4 роки тому

    Tatizo ni bei ya gesi bei ya gesi bei ya gesi

  • @keziakatondomusic1540
    @keziakatondomusic1540 4 роки тому +6

    Ivi ile gas ya mtwara inatumikaga wapi??

    • @5facts60
      @5facts60 4 роки тому +2

      Ni Umeme ndio maana sasa hivi hkuna mgao hata mabwawa ya kikauka c unasikiaga kinyerezi 1-2 ndio hiyo gas

    • @barakaeleneus7859
      @barakaeleneus7859 4 роки тому +2

      ndo tunapikia

    • @juliuskabalika5212
      @juliuskabalika5212 4 роки тому +1

      Kwa miungu wetu weupe!

    • @ibrahkimesu2402
      @ibrahkimesu2402 4 роки тому

      Gesi tu tunayotumia kwenye umeme ni chini ya asilimia 5, ingine yote inasafirishwa kwenda kuuzwa nje. Hapa ndio kwenue ufisadi mkubwa wa kina JK na kina Membe.

    • @keziakatondomusic1540
      @keziakatondomusic1540 4 роки тому

      @@ibrahkimesu2402 Duuuh hatari hatujui lini tutafunguka..je hua wanatoa mapato ya 95% namna yanaingia na kunufaisha nchi??

  • @edwinrobert3507
    @edwinrobert3507 4 роки тому +6

    Tunausubiri kwa hamu huo mradi wa LNG kuwepo kwa TCF 47 za gesi Tz ni neema

  • @omarmohd1882
    @omarmohd1882 4 роки тому +2

    big up milady ayo

  • @hassaname3534
    @hassaname3534 4 роки тому

    nyinyi watanganya msije mukachi zanzibar tz tushachoka kutawaliwa

  • @donaldelisha758
    @donaldelisha758 4 роки тому

    Munakosea kwenye kichwa cha habari kinasema kivingine na taarfa inazungumzia kivingne

  • @erickwanjarajr5707
    @erickwanjarajr5707 4 роки тому +1

    Nyinyi mnawaza soko LA inje wakati soko LA ndani amuja kidhi, ni watanzania wangapi wanatumia gesi? Bei zenyewe si rafiki kwa wengi.

  • @mbonimanakisenya6868
    @mbonimanakisenya6868 4 роки тому

    Huyu jamaa Leo Ni mwisho kuangalia channel yake

  • @denicejoseph8632
    @denicejoseph8632 4 роки тому

    Mna oji au mnasikiliza 2 km adisi

  • @baltzrluus3287
    @baltzrluus3287 4 роки тому +1

    *mi nahisi mafuta tunayoyatafuta yapo kwenye mwili wa huyu jamaa, badala ya kwenda baharini huo utafiti uanzie kwake.*

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 4 роки тому

    Nchi hii sio maskin jaman

  • @ericernest2099
    @ericernest2099 4 роки тому

    Tyshatajirika tayari

  • @ramadhanjuma6175
    @ramadhanjuma6175 4 роки тому +5

    Misleading headline bwa mkubwa😂😂😂

  • @machaggechacha3422
    @machaggechacha3422 4 роки тому +3

    Haya tena msaini mikataba ya kipumbavu na ya kisenge mnyang’ anywe mali asili yenu. Mabwege! Acheni Magufuli awawekee nchi kwenye utajiri na mstari sahihi.

    • @kelvinjohn6851
      @kelvinjohn6851 4 роки тому

      😁😁😁😁😁😁😁😁 una jazbaa

  • @barakarobert9516
    @barakarobert9516 4 роки тому

    Bai ya gesi ishke kwa soko la ndani ili tulinde misitu yetu

  • @inocentfrida7735
    @inocentfrida7735 4 роки тому +4

    uyo jama ndohmafuta ama nini mm sijaelewa

  • @ukwelinauwazitv2615
    @ukwelinauwazitv2615 4 роки тому

    Huyu muandishi anajishusha hadhi

  • @lovenessvisent9408
    @lovenessvisent9408 5 місяців тому

    Mimi nimegundua mafuta kwenye mwili wako

  • @michaelsiweya6500
    @michaelsiweya6500 4 роки тому

    Milard ameuliza ..hivi mafuta yamegunduliwa Tanzania? Sasa wengine wanawaka kama vile wamemwagiwa upupu bwana

  • @Anti-socialSocialClub
    @Anti-socialSocialClub 4 роки тому +2

    TITLE OF VIDEO: Tanzania yagundua mafuta
    FIRST LINE IN VIDEO: tanzania bado haijagundua Mafuta

    • @festomdalahela5246
      @festomdalahela5246 4 роки тому

      Umesahau alama ?

    • @omaryjuma6086
      @omaryjuma6086 4 роки тому

      Nn xx maana yake au tuelewe nn
      Hapa ndo wanapoyumba cjui wanajua hatutasoma

  • @saidbanga
    @saidbanga 4 роки тому

    KWANZA WATUAMBIE LINI WATAPUNGUZA BEI YA GESI..!
    KUNA NCHI ZINAUZA GESI MTUNGI MKUBWA KWA DOLLAR 5 TU WAKATI TZ MTUNGI MKUBWA UNANUNUA MPAKA DOLLAR 40 MTUNGI MDOGO UNANUNUA KWA DOLLAR 15-20 HAPO BADO GESI ETI INAPATIKANA NCHINI KWELI..?

  • @MajaxiFx
    @MajaxiFx 4 роки тому +2

    Wana lindi oyeee

  • @zahoroathumani3020
    @zahoroathumani3020 4 роки тому

    Hiyo ni gesi siyo mafuta

  • @youngbob9761
    @youngbob9761 4 роки тому

    zanzibar mbona mambo mazuri sio Tanzania ?...

  • @josephndimi6135
    @josephndimi6135 4 роки тому

    Ayooo tv Nani aliye kurogaa maana headline nyingine maelezo menginee duuu hizo Ni dalili za njaaa

  • @allykthetop623
    @allykthetop623 4 роки тому +4

    Ushaanza kuwa kama wale watafuta views bwana Millard

  • @drackjohn8805
    @drackjohn8805 4 роки тому +2

    Kilichotuponza wengi hatujaangalia hio alama ya ulizo.😁

  • @hamadshein498
    @hamadshein498 4 роки тому +1

    Huyu atakuwa kapaka mafuta y nchi nzima.

  • @magellasaid28
    @magellasaid28 4 роки тому

    Huyu jamaa ameelezea vzr sn hata mtu ambae hajaenda shule anaelewa

  • @sadamtwaha5754
    @sadamtwaha5754 4 роки тому

    Hai ingii akilin kabisa yaan watanzania 2na 2mia miaka alafu Muna uza gesi nje ya nchi jaman hivi kweli ina ingia akilin

  • @theleo3899
    @theleo3899 4 роки тому

    Ushaanza mizinguo bro

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 4 роки тому +1

    Tatizo bei itakua juu tuu

  • @nyarinkya6102
    @nyarinkya6102 4 роки тому

    Mimi ningekuwa serikali kuu ningeachana na umeme wa maji nikawekeza zaidi kwenye gasi. Maji ningetumia kulima

  • @allymadunda7931
    @allymadunda7931 4 роки тому

    Lile bomba LA mafuta pale Tanga limefikia wapi mkuu

  • @geoffreychurchkayora1230
    @geoffreychurchkayora1230 4 роки тому

    Mqambie uyo jamaa apunguze unene ni hatari Sana

  • @hapakazitu7364
    @hapakazitu7364 4 роки тому

    pleased tuanze na soko la ndani then tuhamie na huko nje

  • @luluamri370
    @luluamri370 4 роки тому

    Yaani magu angeendelea kuwa raisi kwa kweli...ili aijenge tanzania na hizi lasilimali

    • @Mronlinetz
      @Mronlinetz 4 роки тому

      ua-cam.com/video/iocL99T5LSk/v-deo.html

  • @kelvinfongv899
    @kelvinfongv899 4 роки тому

    Umeanza uchizi au sio usipe NDE sanaaa kujiona wa mana tutajitoa

  • @hassanabdalla2741
    @hassanabdalla2741 4 роки тому

    Gesi ghali sn humu nchini. Km tuna gesi nyingi basi iuzwe kwa bei ya chini ili kila mwananchi afaidike ndio baadae muize nje ya nchi

  • @konceptualagency4837
    @konceptualagency4837 4 роки тому

    Mangufuli hajaipa gas kipaumbelaa kabisaaa

  • @Rolemodel_wa_taifa
    @Rolemodel_wa_taifa 4 роки тому

    Ayo unayumba sasa soon utafail endapo utaendelea hivi

  • @edsoniminani7061
    @edsoniminani7061 4 роки тому +5

    Hiii video imenikera Millard Ayo nawe umeeanza uongo Sasa umeandika Nini mbona Ni tofauti na maelezo ?

    • @japhetnnko7398
      @japhetnnko7398 4 роки тому

      Kuna Alana ya ulizo kwny kichwa ch habar ujaona

    • @bakariyusufujuma
      @bakariyusufujuma 4 роки тому

      Hujaelewa ameuliza swali na majibu yake ndio hayo alisema msemaji

    • @miltonmachage2462
      @miltonmachage2462 4 роки тому

      Msimlaumu uyuu anajia kiswahili cha mdomo mdomo cha darasani hakuna kitu yan hata alama za maandish hajui lipo lipo kazi lawamaaa

    • @msetikebwasi6895
      @msetikebwasi6895 4 роки тому

      watanzania hali inatisha. -@???!!!!""###=/vina tuchanganya ati!!

    • @kamanda007
      @kamanda007 4 роки тому

      Hakuna tatizo..umeelewa message I hope

  • @machaggechacha3422
    @machaggechacha3422 4 роки тому

    Chimbeni basiiiiii. Mambo kusema sema tu kazi hakuna. Mmetuchosa na kiswahili kingi.

  • @sultanhamad4924
    @sultanhamad4924 4 роки тому

    Naona Millard ayo umeanza kutuchoka watanzamaji wako hatujakuzoeya kutudanganya sio poa

    • @jumamwesa3170
      @jumamwesa3170 4 роки тому

      Soma vizuri mkuu aafu usisahau ile alama ya ulizo mwisho ,utagundua kuwa hakudanganya

    • @sultanhamad4924
      @sultanhamad4924 4 роки тому

      @@jumamwesa3170 lakini hata hivyo habari nzima anaifahamu hakukua nahaja yakuanza nahayo maneno sasa hapo alikua anamuuliza nani

  • @peterdeus6093
    @peterdeus6093 4 роки тому

    Wew uliekuwa unaandika mafuta ulikuwa unamaanisha ya huyu jamaa au?

  • @msetikebwasi6895
    @msetikebwasi6895 4 роки тому +3

    Huyu mbona mgeni,ni nani?

    • @godfreywebiro4058
      @godfreywebiro4058 4 роки тому +1

      Kwn ww kila mtu unamjua.

    • @fredducaunt1724
      @fredducaunt1724 4 роки тому

      Fisadi huyo, yupo kazini muda wote toka uongozi wa Kikwete hajulikani Hata kwa kazi anayoifanya

  • @muddymkamba352
    @muddymkamba352 4 роки тому

    Sasa mnauza nje si tunaumia vichwa namna ya kununua gesi daaah,kumbe tungenuNua gesi sawa na bure

  • @hallin9561
    @hallin9561 4 роки тому

    siasa tu mamae,, gesi mtungi kilo6 mdogo tunabadirisha kwa elfu 23 (Tsh23,000) nchi imelaaniwa hii

  • @jisamjoseph4558
    @jisamjoseph4558 4 роки тому

    Mafuta yote anayo huyu jamaa mwilini

  • @ramadhankisila452
    @ramadhankisila452 4 роки тому

    Msomi na mtendaji akiliongelea jambo huwa hadi raha kama hapa mkuu anaflow tu kama maji yanashuka mlima ingekuwa mwanasiasa hapo ni kisanga

  • @ferouzmasoud4741
    @ferouzmasoud4741 4 роки тому +2

    Kaka milard hapa umetuzngua bhn 🤔 me nmekuja fasta nlpo ona Tz tuna mafuta

  • @Mronlinetz
    @Mronlinetz 4 роки тому +1

    ua-cam.com/video/iocL99T5LSk/v-deo.html gusa na hii

  • @fgfe5242
    @fgfe5242 4 роки тому +6

    oya checkini channel yng alf gongeni like comment na sub. Tutashinda pamoja

  • @edwardngavuti346
    @edwardngavuti346 4 роки тому

    Kuweni makini na matanfazo yenu bac

  • @st99ngeni35
    @st99ngeni35 4 роки тому

    Hivi Millard Ayo unajisikiaje unapomislead watu ktk taarifa zako?! Shame on you. Ktk hicho kichwa habari hakuna kitu GESI bali umeandika mafuta na kiasi cha lita ambazo hukusema ni za kitu gani. Taarifa za namna hii za kihuni huni zinakupunguzia weledi na umahiri ulioujenga kwa miaka mingi na tukakuamini sana Ayo. Sasa unataka kuhari kazi maani hii sio mara ya kwanza kufanya hivi

  • @Mops9090
    @Mops9090 4 роки тому +1

    Mafuta ya kujipaka

    • @Mronlinetz
      @Mronlinetz 4 роки тому

      ua-cam.com/video/iocL99T5LSk/v-deo.html

  • @melaumoringe6679
    @melaumoringe6679 4 роки тому

    maandiko tovauti na maelezo

  • @japhrystar2597
    @japhrystar2597 4 роки тому +3

    mafuta kwene mwili wako au mana we mwenyew hapo ni mafuta ya kutosha

  • @farhatfarhat3816
    @farhatfarhat3816 4 роки тому

    Mafuta ayo apo yanaongea

  • @selemanrobert7914
    @selemanrobert7914 4 роки тому

    mtuwangu wa nguvu na wewe umeanza kuandika heading za kipumbavu.... duh sasa sijui ntamwami nani tena?