Jamani about care wote wanatakiwa kujaliana but sisi wanawake wengi tunategemea wanaume ndo wafanye dinner flowers many surprises but girls ata na sisi we can do it for them
Wooooooow exactly!asnt mama umesema ukwel kabsa wenye kukuelewa watabadilika ila kwny haya maneno yako mama najua wanaume weng watakupinga,, barikiwa sn mama MUNGU akutunze🤛🤛🍬🍬🍏🍏
Ww ili upendwe akujali asikumbuk kuchit lalazima umti mumeo na uwe chini ya mumeo kama huwez hilo umefel hiyo ndoa itakuja ikushinde au migogor isio isha
Kumbe maadili inaharibika hivi kuwasikiza watu kama hawa nd mana ckuhz wanawake hawaoleki wanazaa hovyo hovyo tu wanachana hovyo tu wanadanga hovyo hovyo hovyo
Mama yanguuu Wewe Dada Mimi ninaugomviii na Mama yangu mzazi anahitaji nioe Mama hataki mirupoo yaani mkali mbaka akiita kwake uwa najipanga kwanzaa najitafuta Itakuwajeee nita tokaje tokajeee leooo
😂😂 hiyo kbs ilipotokea Millard cjui kwenye chumba gan moyon mwako Kama n nyuma za uzungun BAC n Kule underground 😝,hii interview kwakweli inanifunza mengi sanaaaa ,mm n msichana mdg w miaka 25 n niliolew nikiwa n miaka 23 lkn Sasa nimeondoka ktk ndoa baada y kupata manyanyaso kiac ch kupata matatizo y presha Ila nilipata msaada w kidaktar na viongoz w dini n Sasa Niko vzr il naungana na anti sadaka kunaviti vya kuvumilia Ila co kila kitu
Wanawake huwa wana kitu cha kukupima na kukujaribu mwanzoni mwa mahusiano kabisa. Hasa mwanaume wanakuwa hawajui kuwa mwanamke wako ana kupima au anakujaribu matendo au vitu anavyo kufanyia, Usipojua ili basi inakuwa ujui tabia yake wanamke wako. Bali huyo wanamke ndio anapokujua udhaifu wako na kuutumia kama fimbo ya kukuchapia, Kuendesha mahusiano yenu, Huku wewe mwanaume ukiumia na mahusiano bila kujua wapi ulipokosea. Kikubwa ni kuwafundisha wanaume kujua kuwa wanawake ni watu wa kukupima na kukujaribu mwanzoni mwa mahusiano ndio mtambue hili, baaada ya hapo ndio anategeneza tabia ya mahusiano yetu wote wawili. Basi, Kuwa makini kutegeneza misimamo wewe mwanaume, Mwanzoni mwa mahusiano kwenye zile hatua ya kila mwanamke kukupima na kukujaribu, Ili tabia ya mwanamke ijegeke kwenye misimamo yako na wewe mwanaume, Ndio utakuwa sehemu salama na kufuraiya mapenzi yenu. Notes: Madhara yake usipotambua, Utafirithika kiuchumi kwani anakuwa anataka kitu kwa radhima, Usipompa mnagombana. Kukuumiza kichwa kwa matendo yake ambayo ulikosea mwanzo kujua jinsi gani ya kutegeneza misimamo yako ili uweze kuenjoy mahusiano yako mbele. TAMBUA NA UJUWE KABISA. Mahusiano ni kama nyumba, Unatangulia kujenga na uje kuishi ndani yake. ( Hii ndio uweke kichwani wewe mwanaume). #HonMichaelDeusdedityKessy.
Acheni ujuaji kujidai mnayajua eleza bayana siyo mafumbo na mitihani hayo yote umeeleza ni majarbu hakuna mwanaume rijali atakae kubadi labda uwe na homoneImbalance Yaani mwanamke akupime kwa kuliwa live na mtu mwenye kukuzidi uwezo ktk thamani na vitu eti ujisemee anakupima huo ni ujinga,urofa,upumbavu kiwango Cha Rami 🤔
BAADHI YA MABINTI ULAZIMIKA KUWAZA KUOLEWA KUTOKANA USUMBUFU WA WANAOWALEA. APEWI CHAKULA, MAKOFI , MATUSI, MWISHOWE WANAWAKE WENZAO WANAOWALEA, AMBAO NDIO MARA NYINGI HUWA WANATENDA HIVI KWA MABINTI
Kuanawatu wanaitwa taf women n htar sana kwnye ndoa ndo wanaongoza kutfuta libwata msiombe mkutane nao kwny ndoa wanaume tunapaswa tuwe makn sana kwenye swala zima la kuoa
Ili mwanamke apendwe na mume anapaswa amtii mume wake sio awe hivyo juu ya mwanaume hataweza hawz pendwa labd amfanye msukule atapata mapenz ya uwongo ya dawa ambayo hayafikagi mbali
@@plumbingtanzaniaplumber7570 tutatii vipi watu wasotupenda ngoja nikupe siri ya mwanamke Ukimuonesha mapenzi atakupa zaidi ya kile unachompa hiyo ndo nature yake Chanzo cha kila kitu ni wanaume ndo man sasa wengi wanawake wanajiamulia kufanya yao Kama huamini fanya uchunguzi bila kuegemea upande sisemi kama tupo kamili wote
Wanawake ni haki yao kufanyiwa ukatili wa KIJINSIA. Lazima uwapige uwatoe ngeu. Huwezi kuwa Mwanaume kamili bila kumpiga Mwanamke mangumi, mateke na mikanda. Wanawake wenye akili wameshaisha zamani sana. Sasa wapo hawa wa usawa. Hawa wanawake wa namna hii tusiwaache salama. Tuwatembeze vipigo mpaka Yesu arudii
He we una matatizo Gani? Apigwe mama Yako ,dada zako na watoto wako uone kama inafaa, kama huwezi ishi na mke acha usioe lakini sio kupigana ,afu msifikiri wanawake hawawezi kuwaumiza ni vile wanaheshimu na huruma pia ,isingekua hivyo dkk mbili tu wanakusahau
Mashallah aunty sadaka Allah akujazie kheri maneno kuntu
Mama upo vizuri karibu home hapa tmk tupate supu ya Kongoro na nipate maneno 2 mazuri
Nampenda sana Aunt Sadaka, natamani kukutana nae
Jamani about care wote wanatakiwa kujaliana but sisi wanawake wengi tunategemea wanaume ndo wafanye dinner flowers many surprises but girls ata na sisi we can do it for them
Wow! I love you so much auntie. You have touched my heart
We mama umenikosha Sana❤️❤️
Nakupenda sanaaaa Aunt sadaka umenena vemaaaaaaa sanaaaa
Waaaaaaooooooooooo live long my mother
Wooooooow exactly!asnt mama umesema ukwel kabsa wenye kukuelewa watabadilika ila kwny haya maneno yako mama najua wanaume weng watakupinga,, barikiwa sn mama MUNGU akutunze🤛🤛🍬🍬🍏🍏
Aunt Sadaka you made my life ❤️ thank you
Waooo...I love this woman....the insights are 👌👌👌...got you
Aunt sadaka i appreciate you, umeongea ukweli, thank you🙏🏾....
Nimependa sana mama mungu akubariki sana watu tumejisahau sana ktk haya maisha
Waooh bora kuwa mkweli
Asante sana❤
Aunt:niambiye nafasi ya mwanamke ni ipi
Frida: aloohh mhhhh vido
😅😅😅😅 made my day 😅😅ila aunt kichwa kwa kwel apewe muda tena
Mama hongera
Huyu Mama anaongea ukweli kabisa ,mie na mwanamke lakini nalijua hilo kuwa wapo wanaume wasio cheat.Yani akiamua kuwa na mtu wake mmoja ni huyo tu.👍🏻
Ni kweli dia wapo
Ww ili upendwe akujali asikumbuk kuchit lalazima umti mumeo na uwe chini ya mumeo kama huwez hilo umefel hiyo ndoa itakuja ikushinde au migogor isio isha
@@plumbingtanzaniaplumber7570mmmh haya bwana😢
@@plumbingtanzaniaplumber7570akataa Kuna wanaume na Malaya 😂kama katulia katulia kma ni mchepuko hta ukambeba mgongon Hana shukran atakuchit tu
Kwl
Wapo wengi tuu wanaume wasio saliti wenzi wao
Kweli uyomama anasema❤
Manshallah ❤❤❤❤
,😂😂😂ety vido nae anasema tupo duuh😂😂😂
Amiina mama umesema ukweli
Mbona Kama sifa za wanaume wanaozungumzwa hapa Ni wa kuchorwa?😀😀😀😀😀, Yaan kwa namna hii Ni Kama wanaume tunazidishiwa majukumu Sana😀😀😀😀
So impressive
Kumbe maadili inaharibika hivi kuwasikiza watu kama hawa nd mana ckuhz wanawake hawaoleki wanazaa hovyo hovyo tu wanachana hovyo tu wanadanga hovyo hovyo hovyo
Kabsa Yani anawaz ni namna gani anawez kupunguz maumivu
Wanawake wasasa wanapenda pesa nyingi sana
Sio kweli
Anti sadaka umenipona na umenitowa kwenye dipretion
Mm ndo nmelia kabisa kam kanivua joto la roho
Mama yanguuu Wewe Dada Mimi ninaugomviii na Mama yangu mzazi anahitaji nioe Mama hataki mirupoo yaani mkali mbaka akiita kwake uwa najipanga kwanzaa najitafuta
Itakuwajeee nita tokaje tokajeee leooo
😂😂 hiyo kbs ilipotokea Millard cjui kwenye chumba gan moyon mwako Kama n nyuma za uzungun BAC n Kule underground 😝,hii interview kwakweli inanifunza mengi sanaaaa ,mm n msichana mdg w miaka 25 n niliolew nikiwa n miaka 23 lkn Sasa nimeondoka ktk ndoa baada y kupata manyanyaso kiac ch kupata matatizo y presha Ila nilipata msaada w kidaktar na viongoz w dini n Sasa Niko vzr il naungana na anti sadaka kunaviti vya kuvumilia Ila co kila kitu
𝘼𝙐𝙉𝙏𝙔 𝙎𝘼𝘿𝘼𝙆𝘼 𝙖𝙥𝙚𝙬𝙚 𝙢𝙖𝙪𝙖 𝙮𝙖𝙠𝙚
Mama we unaishi kwenye ndoa au unaishi na watoto tu
Nakubar sana anty🙌🙌🙌🙌🙌
Fifi❤
Received 🥰
Ukweli
Huyo mmama anaish na mume kweli hata watt wake sidhani
Njoo mafundisho sasa aya
Huyu nayee huyu anachochora
Vidox yupo unga tuu haelewi lolote😂😂😂
❤
ASANTE KWA SADAKA YA ELIMU YAKO YA JAMII
Wanawake huwa wana kitu cha kukupima na kukujaribu mwanzoni mwa mahusiano kabisa.
Hasa mwanaume wanakuwa hawajui kuwa mwanamke wako ana kupima au anakujaribu matendo au vitu anavyo kufanyia, Usipojua ili basi inakuwa ujui tabia yake wanamke wako.
Bali huyo wanamke ndio anapokujua udhaifu wako na kuutumia kama fimbo ya kukuchapia, Kuendesha mahusiano yenu, Huku wewe mwanaume ukiumia na mahusiano bila kujua wapi ulipokosea.
Kikubwa ni kuwafundisha wanaume kujua kuwa wanawake ni watu wa kukupima na kukujaribu mwanzoni mwa mahusiano ndio mtambue hili, baaada ya hapo ndio anategeneza tabia ya mahusiano yetu wote wawili.
Basi, Kuwa makini kutegeneza misimamo wewe mwanaume, Mwanzoni mwa mahusiano kwenye zile hatua ya kila mwanamke kukupima na kukujaribu, Ili tabia ya mwanamke ijegeke kwenye misimamo yako na wewe mwanaume, Ndio utakuwa sehemu salama na kufuraiya mapenzi yenu.
Notes: Madhara yake usipotambua, Utafirithika kiuchumi kwani anakuwa anataka kitu kwa radhima, Usipompa mnagombana.
Kukuumiza kichwa kwa matendo yake ambayo ulikosea mwanzo kujua jinsi gani ya kutegeneza misimamo yako ili uweze kuenjoy mahusiano yako mbele.
TAMBUA NA UJUWE KABISA.
Mahusiano ni kama nyumba, Unatangulia kujenga na uje kuishi ndani yake.
( Hii ndio uweke kichwani wewe mwanaume).
#HonMichaelDeusdedityKessy.
Acheni ujuaji kujidai mnayajua eleza bayana siyo mafumbo na mitihani hayo yote umeeleza ni majarbu hakuna mwanaume rijali atakae kubadi labda uwe na homoneImbalance Yaani mwanamke akupime kwa kuliwa live na mtu mwenye kukuzidi uwezo ktk thamani na vitu eti ujisemee anakupima huo ni ujinga,urofa,upumbavu kiwango Cha Rami 🤔
na huyo vidox si ana cheat na mama kuki
🥰🥰🥰🥰🥰🥰💃
BAADHI YA MABINTI ULAZIMIKA KUWAZA KUOLEWA KUTOKANA USUMBUFU WA WANAOWALEA. APEWI CHAKULA, MAKOFI , MATUSI, MWISHOWE WANAWAKE WENZAO WANAOWALEA, AMBAO NDIO MARA NYINGI HUWA WANATENDA HIVI KWA MABINTI
Kuanawatu wanaitwa taf women n htar sana kwnye ndoa ndo wanaongoza kutfuta libwata msiombe mkutane nao kwny ndoa wanaume tunapaswa tuwe makn sana kwenye swala zima la kuoa
Mbona makasirko kaka badilika kuwa mume mwema uone mahaba ya mkeo hutaki baki single
Ili mwanamke apendwe na mume anapaswa amtii mume wake sio awe hivyo juu ya mwanaume hataweza hawz pendwa labd amfanye msukule atapata mapenz ya uwongo ya dawa ambayo hayafikagi mbali
Sio makasiriko huyo anapotosha
Utaamini ninachasema siku ukikutana na mwanamke wa hivyo utajuta
@@plumbingtanzaniaplumber7570 tutatii vipi watu wasotupenda ngoja nikupe siri ya mwanamke
Ukimuonesha mapenzi atakupa zaidi ya kile unachompa hiyo ndo nature yake
Chanzo cha kila kitu ni wanaume ndo man sasa wengi wanawake wanajiamulia kufanya yao
Kama huamini fanya uchunguzi bila kuegemea upande sisemi kama tupo kamili wote
Wanawake ni haki yao kufanyiwa ukatili wa KIJINSIA. Lazima uwapige uwatoe ngeu. Huwezi kuwa Mwanaume kamili bila kumpiga Mwanamke mangumi, mateke na mikanda. Wanawake wenye akili wameshaisha zamani sana. Sasa wapo hawa wa usawa. Hawa wanawake wa namna hii tusiwaache salama. Tuwatembeze vipigo mpaka Yesu arudii
Una matatizo ya akili tafuta tiba
@@baeyanka5264 wewe ukatae au ukubalii. Hilo tushajadili. Usipite anga zetu. Hatuna huruma na kiumbe Mwanamke...
He we una matatizo Gani? Apigwe mama Yako ,dada zako na watoto wako uone kama inafaa, kama huwezi ishi na mke acha usioe lakini sio kupigana ,afu msifikiri wanawake hawawezi kuwaumiza ni vile wanaheshimu na huruma pia ,isingekua hivyo dkk mbili tu wanakusahau
@@BabaBalingasi-hp6gd mama yako asingekua na huruma na kiumbe mwanaume basi usingezaliwa mbwa kama wew...una utindio wa ubongo sio bure
@@emmadora7848 hahaha etii nini? Wanawake mnaweza kutuumiza Wanaume? Haha hizo ndoto Dada ulizonazo aisee zinachekesha. Yaani nyie hamtuwezi hata tukifunga macho. Nyie weak. Hamna nguvu kabisa.. Hivyo nakushauri usithubutu. Tutawaumiza vibaya sana
Mwanaume lazima atawale ameumbiwa utawala kama hutk kutawlwa bac usiolewe kaa hivo ivo danga danga mpaka mwisho dunia
Mbn unaumia sana😅😅😅
Watka kuoa mke umfanye house girl
👌👌👌 umemaliza kaz
Hawa watu wanatesa sana tuoa sab tu tupt watt
@@plumbingtanzaniaplumber7570 VIDO_BHANA.