Flexibility ni msingi mzuri wa kushinda vita Lisu amesema Kuna matatizo ndani ya chama lazima yaondolewe Kwa ungozi mpya na yeye alijiona ana uwezo wa kukabiliana nayo ndiyo maana kachukua fomu
@@samwelmatemu8873 lakini Lisu sidhani kama ni pandikizi kwani amekuwa pia akiumizwa na mifumo ya utawala uliopo. Pia huyu ndg ni mkweli na muwazi kuliko wengi wetu ambao tunapenda kumpamba mtu hata kama anakosea.
Mungu akulinde na akupe maisha marefu kaka lisu
Amiin yarab
Asante ubarikiwe saaaaana Tundu Lissu
KIONGOZI WA WATU UNAKUWA BUSY SANA ILI KUWEZA KUJIBU MASWALI YA WATU WAKE KIUSAHIHI BILA KUPINDISHA MANENO ILI ASIWAUDHI WATU WAKE . HEKO MR LISSU
Kiufupi haiwezekani ku Escape Chinja Chinja hata kudai reforms Chinja change ipo bahati mbaya
👇🏿
#KATIBAMPYANISASA! #TUSIKUBALITENAKUSHIRIKICHAGUZIBILAKATIBAMPYA !Hiyo ni kushiriki Dhambi!✍️🏿
Hela yote hiyo huwezi kupata gari mkuu?
Flexibility ni msingi mzuri wa kushinda vita Lisu amesema Kuna matatizo ndani ya chama lazima yaondolewe Kwa ungozi mpya na yeye alijiona ana uwezo wa kukabiliana nayo ndiyo maana kachukua fomu
No. No. No.
Kwanini unafanya Kama ugonvi kugombea uenyekiti?kwa mazingara haya Kuna mashaka makubwa sana
wewe ndo una muona mgomvi kwa nini?, au uongeaji wake unakuchanganya? huyo yko hivyo hivyo, kwani amekosea kugombea?
Vipi Tundulisu kwani amefanya mapinduzi ndani ya Chama?, anahofu gani kwa wanachama wake.
Huyu anastahili kufukuzwa kwenye chama hiyu ni mdudu na anaela nyingi ukionahivyo wasali hawa
Wewe utaweza kufanya Nini
Huwezi kuongoza miaka zaidi ya ishirini hutaki kuwachia watu wengine
@@NjitiMohamedmzee uenyekiti wa chadema sio Kama wa ccm jua Hilo.Mateso nimengi watu wanapambana usiku na mchana.Wanacho ogopa kumweka mtu pandikiza
@@samwelmatemu8873 lakini Lisu sidhani kama ni pandikizi kwani amekuwa pia akiumizwa na mifumo ya utawala uliopo. Pia huyu ndg ni mkweli na muwazi kuliko wengi wetu ambao tunapenda kumpamba mtu hata kama anakosea.
Huyu mropokaji simpendi kwa ajili ya mdomo wa huo
Unapenda waongo na matapeli.
Inaonekana mdomo wako Ni mkubwa Kuliko akili yako, pole
@lutufyojason2598 inaekea unatumia makalio kufikiria .
Ata makalio hana kasha uza@@samwelmatemu8873
Inawezekana masikio na ufahamu wako ndio una shida kiasi cha kila unachosikia kinatafsiriwa na uhovyo wa ufahamu wako