Kwa kweli Mtu ambaye hamuelewi Mr Lissu namshangaa sana kwa sababu Mr Lissu yuko very clear na ukubwa wa vision yake, ukubwa wa IQ yake, ujasiri wake, ushujaa wake na uzalendo wake, ukweli wake, mtu ambaye CCM na serikali yake wameshindwa kumghiribu na kumnunua .
Sauti ya Watanzania tumeona Mbowe amesema atatoa tamko baada ya siku mbili zijazo. Kama Mbowe atachukua fomu NASHAURI MIUWAWEKE KITIMOTO TUWAULIZE MASWALI YA MSINGI tuwapime.
Nashauri kama mbowe ana hati milki ya chadema hataki wengine kushika hiyo nafasi yake wamwachie chama lake, kuna vyama vingine kama ACT kaongeze nguvu huko, ila ngoja mwenye lichama jmos atakujaje
Ccm wazee wetu wanatetemeka sana kusikia Lissu anakua mwenyekiti , usingizi hawapati tena ,Kama Mbowe atashinda basi chadema haina ukweli wowote bora ccm wenye kila aina ya rungu ila bado kuna makoko watatupia watanzania wataunga ccm mkono kama hana chadema hautakuwa na demokrasia wanayotubiria daily
Mwe.tayari.kusaidia.nchi.yetu.imechaka.vibaya.sana.pia.wasidieni.chama.tawala.wasiu.ize.wenzao.kwani.baba.yetu Mmoja.kuumizana.kunatoka.wapi.watumie.sheria.kuwacheka.kuwazomea.hiyo.baya.sana.wapieni.ccm.msiogope.msema.kweli.mpenzi.wa Mungu
Mr Lissu akili kubwa sana na vision kubwa sana, Lissu IQ kubwa sana, Myself nakukubali sana Mr Lissu na ninakuelewa sana mtazamo wako kwa kweli kabisa kwa sasa hakuna mtu ye yote anaefaa kuwa Rais wa TZ ispokuwa Mr. Lissu .
Sasa kamanda TAL unakiri kuwa Msigwa ni rafiki yako ile hali ametimkia kwa Samia na anamsifu kila siku. Huku wewe unamfananisha Samia na Magufuli. Naona unajichanganya fulani. Au labda tuiweke hivi: Kwa kuwa Msigwa na rafiki yako na Msigwa ni rafiki wa Samia, unaonaje tukisema kuwa wewe ni rafiki wa Samia?. Rafiki wa adui yako ni adui yako, sasa inakuwaje kwako wewe kuwa rafiki wa adui yako ni rafiki yako?. Kuhusu Msimamo unasema unabadilika kutokana na mazingira ile hali unalaumu maamuzi ya Chama kukubali Maridhiano?. Unajiweka msafi sana na mwerevu sana kuliko every body.
Lisu huna jeshi huku unaona maridhiano sio jambo jema na mtu mlioko nae kwenye marithino asiheshimike hiyo sio kweli na hao wajinga wenzako wa sauti ya wtz walioko nje wamekunza
Sikubaliani na mtu anayesema IQ ya lisu ni kubwa si kweli hajafikia hata kuwa na PhD siyo PhD za kina Musukuma, Samia na wengine sina maana ya hizo nina maana ya PhD za kina Kabudi na wa aina hiyo aina ya masomo aliyosoma! Ukikuta kundi la wehu ukawapa mtihani lazima atakuwepo wa kwanza hadi wa mwisho ndivyo alivyo lisu na wengine mimi naamini katika PhD za sayansi tu basi
Japokuwa ninyi ni wasomi lakini sio waelewa Mr. Mbowe kwanza anamshangaa Lissu na ninyi wote kwani ameshasema hii Chadema ni chama chake na amekabithiwa na familia yake na hakuna mtu yeyote atayemsaliti
Kwa kweli Mtu ambaye hamuelewi Mr Lissu namshangaa sana kwa sababu Mr Lissu yuko very clear na ukubwa wa vision yake, ukubwa wa IQ yake, ujasiri wake, ushujaa wake na uzalendo wake, ukweli wake, mtu ambaye CCM na serikali yake wameshindwa kumghiribu na kumnunua .
Mnaosema mbowe asiachiengazi mnatofautina nini na waliotaka magufuli atawale milele, wanaotaka kagame, mseveni n.k watawale milele.
Sauti ya Watanzania tumeona Mbowe amesema atatoa tamko baada ya siku mbili zijazo. Kama Mbowe atachukua fomu NASHAURI MIUWAWEKE KITIMOTO TUWAULIZE MASWALI YA MSINGI tuwapime.
Lissu oyeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!
Leave Magufuli alone. Tundu lisu. Ongea mambo yako na watu walio hair. Rip Magu.
Lisu kigeugeu
Definitely, Lissu deserves to take chadema to another level. Mbowe being understanding will agree with this concept.
Tatizo lako kila ukizungumza ni magufuri au samia.zungumza ukiingia madarskani utaifanyia nini tanzania.
Huyo ana Sfyya Akili matusi mpaka anamtukana Marehemu na bado wstasambaratika
Leadership requires statemenship rather than promptness.
Nashauri kama mbowe ana hati milki ya chadema hataki wengine kushika hiyo nafasi yake wamwachie chama lake, kuna vyama vingine kama ACT kaongeze nguvu huko, ila ngoja mwenye lichama jmos atakujaje
ACT na ccm?
🙏👏👏
Lisu Chadema Saccoss ni ya kikabila uache ufanye kazi
Ccm wazee wetu wanatetemeka sana kusikia Lissu anakua mwenyekiti , usingizi hawapati tena ,Kama Mbowe atashinda basi chadema haina ukweli wowote bora ccm wenye kila aina ya rungu ila bado kuna makoko watatupia watanzania wataunga ccm mkono kama hana chadema hautakuwa na demokrasia wanayotubiria daily
Lisu hana msimamo na ni mwanasiasa uchwara anaetumika na mataifa ya ulaya
Naona urais kwa makonda na siyo kwa lisu
Wa mbagara au temeke
Mwamba lisu, unatosha, mbowe apumzike alinde heshima yake, kama mwenyewe alivyowahi kusema, kwamba mwaka 2024 ataachiangazi.
Samia anaingiaje hapo? Jibu maswali uliyoulizwa
Mwe.tayari.kusaidia.nchi.yetu.imechaka.vibaya.sana.pia.wasidieni.chama.tawala.wasiu.ize.wenzao.kwani.baba.yetu
Mmoja.kuumizana.kunatoka.wapi.watumie.sheria.kuwacheka.kuwazomea.hiyo.baya.sana.wapieni.ccm.msiogope.msema.kweli.mpenzi.wa
Mungu
HUYO ABIUYUDI NI CHAWA MKUBWA WA MBOWE ANAJULIKANA TU...NA KWA SASA NDIO TUNAAANZA KUIAMIN KAULI YA MSIGWA KWAMBA CHADEMA NI DACCOS YA MBOWE..
Mpambanaji Lisu unanikosha sana kwasababu hujawai kupepesa Kwa Kila jambo unalolisimamia
Hayosi.maswali.wakati.ukifika.mtu.anamua.au.kuamua.wakati.ukifika.ukiona.nyoka.yuko.karibu.fimbo.uliyonayo.unapigia.mambo.yawe.sawa.kucheza.mpra.kufunga.goli.upenye.wotewote.kupiga.shuti.upate.goli
Cc.m.wanajua
Ikitokea mwenyekiti akifa , nani atashika kiti?
Huyu mtu siyo tu ni hazina kwa chama chetu lakini na taifa pia.
Mr Lissu akili kubwa sana na vision kubwa sana, Lissu IQ kubwa sana, Myself nakukubali sana Mr Lissu na ninakuelewa sana mtazamo wako kwa kweli kabisa kwa sasa hakuna mtu ye yote anaefaa kuwa Rais wa TZ ispokuwa Mr. Lissu .
Sasa wewe mbona unakuwa muhuni? Mbona Lisu kugonbea uenyekiti nyie viazi mnaimia nn?
Sasa kamanda TAL unakiri kuwa Msigwa ni rafiki yako ile hali ametimkia kwa Samia na anamsifu kila siku. Huku wewe unamfananisha Samia na Magufuli. Naona unajichanganya fulani. Au labda tuiweke hivi: Kwa kuwa Msigwa na rafiki yako na Msigwa ni rafiki wa Samia, unaonaje tukisema kuwa wewe ni rafiki wa Samia?. Rafiki wa adui yako ni adui yako, sasa inakuwaje kwako wewe kuwa rafiki wa adui yako ni rafiki yako?. Kuhusu Msimamo unasema unabadilika kutokana na mazingira ile hali unalaumu maamuzi ya Chama kukubali Maridhiano?. Unajiweka msafi sana na mwerevu sana kuliko every body.
Rafiki wa adui yako ni adui yako na rafiki wa rafiki yako ni rafiki yako. Samia ni rafiki wa msigwa ambaye ni rafiki yako hivyo.........
Kichwa hicho
Lisu huna jeshi huku unaona maridhiano sio jambo jema na mtu mlioko nae kwenye marithino asiheshimike hiyo sio kweli na hao wajinga wenzako wa sauti ya wtz walioko nje wamekunza
Swali lenyewe halieleweki. Inaonyesha hata muuliza swali uwezo wake wa uelewa ni mdogo sana
Inahitajika genius wa Hali ya juu kukuelewa ulichokiandika
Sikubaliani na mtu anayesema IQ ya lisu ni kubwa si kweli hajafikia hata kuwa na PhD siyo PhD za kina Musukuma, Samia na wengine sina maana ya hizo nina maana ya PhD za kina Kabudi na wa aina hiyo aina ya masomo aliyosoma! Ukikuta kundi la wehu ukawapa mtihani lazima atakuwepo wa kwanza hadi wa mwisho ndivyo alivyo lisu na wengine mimi naamini katika PhD za sayansi tu basi
Lissu hapepesi muwazi hiyo ndio tabia yetu watu wa singida.
Si kweli Kabudi ni wa wapi? Mbona yeye muongo sana