TUNDU LISSU AGOMA KUJIBU SWALI LA MWANDISHI WA HABARI UMETUMWA NA MBOWE MASWARI GANI AYO UMETUMWA?

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 49

  • @maryfranknamkumba9182
    @maryfranknamkumba9182 8 годин тому +5

    On the spot dogo
    We need a leader who will tell Samia kile ambacho asingependa kukisia; and that person is Lissu.
    Love you dogo ❤️🙏🏾

  • @saidrakwe8727
    @saidrakwe8727 8 годин тому +4

    Jamaa anajua sana ( lissu is best solution

  • @SamwelAdolf-i6j
    @SamwelAdolf-i6j 4 години тому +1

    Mbowe hafai kwa sasa na mtu pekee anaye faa ni TUNDU ANTIPASI LISU PEKEE❤

  • @kallandoking6561
    @kallandoking6561 6 годин тому +3

    mabadiliko ni lazima kila sector!!

  • @frankpeter4178
    @frankpeter4178 3 години тому

    Straight forward man.....

  • @MrMwache
    @MrMwache 12 годин тому +3

    Lissu ni mtu mzuri lakini Ana mdomo kama alivyosema mwenyewe

  • @JaziraMustafa-g9p
    @JaziraMustafa-g9p 14 годин тому +6

    TUPO NA WEWE TUNDU LISSU

  • @MwakaHappy
    @MwakaHappy 16 годин тому +3

    Upo sawa baba nakushukuru sana tunakupenda sana mungu tutetee tuvushe

  • @GEOFREYRALIKAinaumizasana
    @GEOFREYRALIKAinaumizasana 15 годин тому +4

    Wangu lisu sana baba

  • @rahimsadru-ct4ot
    @rahimsadru-ct4ot 15 годин тому +5

    Tunaenda na lisu sio malamba asali

  • @ceciliamagalabajimmy4391
    @ceciliamagalabajimmy4391 12 годин тому +2

    Safi sana, ila huna kifua kipana😂😂😂😂

    • @dennisjoseph7418
      @dennisjoseph7418 10 годин тому +1

      Kifua ukiwa nacho wewe inatosha

    • @w4058
      @w4058 4 години тому

      Jibu zuri umempa

  • @evancegoodluck6801
    @evancegoodluck6801 7 годин тому +1

    Tundu Antipasi Lisu nikiongozi unaejua mambo mengi nikarama iliyo ipata Kwa MWENYEZI MUNGU ila sizani kama nisahihi Kwa wakati huu ambao chama kimekaa pembeni bila kuzungumziwa kwenye mamlaka Kwa kipindi kirefu ningeshauri tushirikiane na mbowe Kwa kipindi hiki Hadi tupate wabunge na madiwani tufikie angalau 50% ndiyo uingie bila hivyo chama kitakufia ACT itakuwa chama kikuu

  • @dassustephen731
    @dassustephen731 9 годин тому +1

    Inastahili kuwa mwenyekiti.Kwa sasa Chadema imezoofika chini ya Freeman Mbowe.Amejitahidi kwa uwezo wake kwa miaka 20 .Nae Mbowe akae pembeni awaachie wengine wasukume gurudumu

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 15 годин тому +3

    Lissu mdomo mrefu mno na ni hatari😢😢

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 13 годин тому +1

      Sio hatari yuko sawa sema anatakiwa aongeze umakini tu.

  • @LerwenceokuloMolle
    @LerwenceokuloMolle 6 годин тому

    M❤❤🎉

  • @MrMwache
    @MrMwache 12 годин тому +1

    Lissu siyo diplomatic ndiyo maana anapata shida sana. Akasome diplomasia

  • @Justinaija
    @Justinaija 16 годин тому +2

    Lisuu😂😂😂

  • @abelluhende1422
    @abelluhende1422 14 годин тому +3

    Lisu ni mtu mzuri tu apate uenyekiti au la atabaki na ushujaa wake. Binadamu tuna mapungufu mengi mno na hata yeye pia kama binadamu sifa mojawapo ni kuwa na mapungufu.

  • @JohnKuhoka
    @JohnKuhoka 5 годин тому

    Uko ok

  • @VolvoMwamakula-ci2we
    @VolvoMwamakula-ci2we 4 години тому

    Tundulisu chadema musipo mpa uongozi icho chama kinaenda kupotea mpeni lisu uongozi

  • @leonmamboy
    @leonmamboy 7 годин тому

    Ndugu zangu mulizeni huyu mtu pandikizi mbona mapema sana? Mtu anaishi ndisazi mwilini mwambieni ache kuvuruga chama chetu,kama ataendele sisi tutafunga tutamkabithi kwa mungu, pia ajue anaishi kwa maombi yetu ,

  • @HellenLemilya
    @HellenLemilya 6 годин тому

    Ccm ni chama zoefu kazini,kama mkishinda 2025 tunawaomba kwa lugha ya kiswahili watupe katiba ya kunufaisha watanzania kwa usawa bila uupendeleo wa aina yeyote

  • @judikaswai7248
    @judikaswai7248 6 годин тому

    ila kuna mambo ya kuongea kwenye vikao vya ndani vya chama na kuna vyakuongea na wananchi hadharani .
    utakuwa unakivua chama nguo

  • @MrMwache
    @MrMwache 12 годин тому

    Jibu swali hata kama ametumwa na Mbowe

  • @JeshiAbdallah
    @JeshiAbdallah 12 годин тому +1

    we mpinzani wa kwel mbowe kunawcwc mkubha wa kua chawa wa ccm

  • @HijaSaid-t6c
    @HijaSaid-t6c 26 хвилин тому

    Lisu fundi lisu sio mamluki

  • @DaimaNyakunga-jb6do
    @DaimaNyakunga-jb6do 8 годин тому

    Ondoeni mbowe anahongeka

  • @franklenard3186
    @franklenard3186 15 годин тому +1

    Kumechemuka

    • @evelina9621
      @evelina9621 12 годин тому +1

      Huwezi.tumikia.mabwana.wawili.biasharà.na.siasa.mbowe.uko.na.biashara.huwezi.kuwa.mkali.kukemea.utawara.uliopo.madarakani.watakubana.umejitahidi.kusukuma.chama.uamuzi.wako

  • @kingwandeinvestment8002
    @kingwandeinvestment8002 10 годин тому

    Ushairi wangu kwa lisu baki kua makamu. Mwenyekiti

  • @sethmwakangata1871
    @sethmwakangata1871 13 годин тому

    Mbowe Hana uadirifu au

  • @salummohamed2689
    @salummohamed2689 11 годин тому

    Hivi haya yote ya nini, mbona kipyenga kimepulizwa kazi iliyobaki ni kwenda kuchukua fomu, wakati wa kampeni yote haya utayasema. Kwa sasa ni vurungu!

  • @yasinkiaze2352
    @yasinkiaze2352 15 годин тому

    Huna jipya lisu

  • @charlesjoseph1081
    @charlesjoseph1081 16 годин тому +1

    We ni Shiva tu ondoka na domo lako

  • @josephatdunda1937
    @josephatdunda1937 14 годин тому +1

    Mme copy Hadi wimbo wa CCM kwa samia

    • @jeunajuatv817
      @jeunajuatv817 11 годин тому

      Huo wimbo sio wa Samia ni wa zamani San ww labda ni wa ef2

  • @JohnKuhoka
    @JohnKuhoka 5 годин тому

    Llsu

  • @AbuubarmackJuma
    @AbuubarmackJuma 14 годин тому

    Kama unaaminika kule ubeligiji mama Samia alikupa shilingi ngapi wewe kichaaa kweli ...hizo alizopewa mbowe naona zinakuuma sana ndo maana umeamua kuua chama chenu

    • @gaagwasaugustino2584
      @gaagwasaugustino2584 12 годин тому +2

      Acha uzombi! kwani wewe ni chama gani? au ndiyo machawa mnaotumwa kumchafua TUNDULISSU? TUNDULISSU ANAFAA KUWA MWENYEKITI WA CHADEMA TAIFA KWA SASA TUNAENDA NA TUNDULISSU. Huyo bibi yako alikwambia alimpatia sh.ngapi!???

  • @JeshiAbdallah
    @JeshiAbdallah 15 годин тому

    Ushauli wa bule tundu wakizingua waache nenda chama kingine wanachoxha akili yako hao mbwa ww unataka mabadiliko hao wanataka kula watakuzingua mbwa hao

  • @KostaJoseph
    @KostaJoseph 13 годин тому +2

    SAMIA MITANO TENA

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 13 годин тому

      Hata kumi

    • @epimackjohn461
      @epimackjohn461 7 годин тому +1

      Nafasi hii anaiweza sana ila nadhani UMAKINI mkubwa sana unahitajika katika KINYANGANYIRO hiki kiendeshwe kwa UWAZI na usimamizi muhimu .

    • @bahiyalumelezy3016
      @bahiyalumelezy3016 2 години тому

      🖐km kawaida👍💚💛