Achaneni na hayo mambo yakushindana nyie kumbukeni huu ni wimbo wa injili,,,,hayo yametoka wapi ya huyu ndo greatest pelekeni huko kwa mond na kiba na wengine huko hatutaki ivyo vitu kwenye wasanii wa injili izo ni pepo
Hakika Mungu anajua kutenda kupitia viumbe vyake, huyu kaka anakitu Cha kipekee Sana si hivi tu amini na kwambia Mungu kakupa zawadi ya kipekee tunajivunia uwepo wako Kama umebalikiwa na hii nyimbo sema amina❤️💯☝️👈
Naomba wapendwa mkaweza kuitazama kazi hii yangu ambayo nimefanya cover ya Goodluck,,mimi ni mkenya ila naipenda sana tanzania ua-cam.com/video/EpiyWhc9G_c/v-deo.html
Hakuna anaye tujua Wala hatuna connection na hatuezi sema ni elemu ju wengi wamesoma sana but ni jobless...tumeekwa mahali na mungu❤️❤️ forever grateful ❤️🙏
Kweli kabisa, kuna baadhi yetu tunaishi hii dunia kibishi tu maana hatutakiwi, sura zetu hazitakiwi, wazazi wetu lalahoi yaani tangu unazaliwa mpaka unakua mtu mzima hautakiwi popote ila unapeta tu kwa neema za Mungu, huu wimbo kama unaimba kuhusu maisha yangu yote.
+254🇰🇪 imekubalika iwe hit song....angepewa mabilioni tungetupwa mbali sana.This song is sooo amazing.Top top +254🇰🇪 tulike hapa upendo wetu kwa Goodluck.The Ministry
Aki, bila connection ni ngumu, thank God He's the greatest connection we need and I know He'll come through big, ni sisi tutakua connection za watu wengine in Jesus name
Uzuri Mungu apokei rushwa ni neno dogo lkn ukiliyafakari linauzito sana maana jebu tafakari kama ulivo na maadui ulionao kama Mungu angepokea kahongo rafiki ungeshasepa kitambo tungeshakusahau hebu piga like kwa hili songi alooo
29 may 2024, i pray God will fulfil all the desires of my heart..i will come back with a testimony....like my comment so that I'll be back to listen to this masterpiece 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Good luck nakuombea Kwa Mungu akulinde Sana,wewe ni gospel singer mkubwa hapa duniani,Mungu ndiye alipenda uwe hivyo ilivyo,kazana Kaka lazima ufike mbali.
Greetings from Nairobi, Kenya 🇰🇪.... A beautiful, real and meaningful song. Contemporary, displaying the current scenarios in Nations. Hakika nina shukuru Mungu kwakua hapokei rushwa....je tungelikua wapi? MOG Goodluck Gozbert, thank you for the powerful song. May God bless you
Naomba wapendwa mkaweza kuitazama kazi hii yangu ambayo nimefanya cover ya Goodluck,,mimi ni mkenya ila naipenda sana tanzania ua-cam.com/video/EpiyWhc9G_c/v-deo.html
For whoever needs this, Deutronomy 10 verse 17: For the LORD your God is God of gods and Lord of lords, the great God, mighty and awesome, who shows no partiality nor takes a bribe. (Found it :00)
I love it, expecially kwa ss hapa kenya na our current situation , kenya tumshukur mungu apokei rushwa, maana wengine wangekuwa deported somali without reason. Thank you Goodluck and GOD bless you for touching pple souls with reality.
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭Mungu wangu huyu wimbo umenikumbusha mengi sana Kati kawatu walioonekana kutopata kitu nimwo Asant God kwa mukono wako nimepaka kicheko kwa sababu hupokei ruswa. Mutumishi wa mungu ubalikiwe sana na sana
Na wengine tuna gundu mabifu kama yote mtu hujamkoseh anatamn ufe daaahh kaka apa walai umeniliza aky nakupenda bule😢😢😢😢 nmelia hii kipande imeingia mpk kweny moyo walai daahh big up brother wangu be blessed kaka be blessed again
i think those who disliked this video are not human beings, they are from the other dark side of the universe, may be ''He........'' kazi njema kaka. (Kenya)
This song directly talks about me with all that I have in life. I may not 100% understand the language but spiritualy I love and live for it. Mungu hapokei rushwa
A true reflection of the contemporary societies. Everything is bribed. Graduates are jobless and the illiterate are working and getting rich. In tandem with Late Robert Mugabe's sentiments. Thank you Gozbert and God continue to bless you brother. Much ❤ from 🇰🇪 🇰🇪.
Katikavitu huwanapenda kwenye nyimbo zako niufariji tu nikiwa nahofuyo yoyote yakidunia natafuta nyimbo zako ubarikiwe sana dini yng nayako tofauti ila napenda sana nyimbo zako ubarikiwe 🙏🙏🙏
Kama unasikiza huu wimbo 2024 nipe like.... listening this song while crying ju sina connection 😢😢oh God BLESS me😢😢
Mungu angekuwa anapokea rushwa masikini tungeteseka sana 2:24
😅
Hii nyimbo sijawahi Acha kusikiliza toka imetoka so kila siku kila mwaka lzm nisikilizeee
kapotea saiv na mchungaj joe devi
Imgn watching now on 27th Oct 2024
Hii mwaka lazima ni vuke ng'ambo kwa Jina la yesu ❤ 2024 here we goooo🎉🎉🎉🎉
Utavuka tu mungu ni WA wote kikubwa kila ufanyalo mungu awe kiongozi wako
Amen
Ak4q7∅c99uíi07😢ww8⅞0plkm@@NaomiGodlove-e2d
Hey did you vuka?
Amen
Anaejihisi kwa kusikiliza wimbo huu mungu anakitu anatenda kwake tujuane kwa like
Mungu ni mungu kweli🤗
Bwana asifiwe. Napenda huu wimbo basi mnipee like🤗
Chukua bila rushwa
Uzuri yesu achukui rushwa sijui ingekuwaje mungu ni mkuu sana
Niko hapa kwa mara ingine tena wale wa 2021 tujuane 🇰🇪🇸🇦
Bjr
Mimi nienock orango0712247299 nikokenya Kam musanii
Nipo
My 1st time to hear this sound
Mm pia nip 2021 mwezi 7
Hallelujah 🙏,I can't stop listening 🎧 to this song.
Kama unabarikiwa na huu wimbo eka like yako.🇰🇪🇰🇪🇰🇪in the house
I lyke your songs
Its a Blessing indeed,naeza iskiza 10000 times in a day
Indeed it's good that God doesn't take bribes as many of us would completely be destroyed by our enemies. Gods love is pure.
Tupo 👍
Endelea hivo nduguyangumungu akufikishe mbali unatujaza Imani huku kenya
Waiting from Tz🇹🇿🇹🇿🇹🇿... Mungu hapokei rushwa kama unakubali gonga like
Mungu hapewi rushwa yy ni mwenye haki kwa Kila binadamu.
2021 Mungu hapokei rushwa.. anaitwa Mungu aki💗.pita na like
Kama mnapenda Hii song aki mnipee likes ❤
Gozbert the greatest gospel singer in Tanzania naomba like tu twend sawa👍
The best in East Africa💝
Achaneni na hayo mambo yakushindana nyie kumbukeni huu ni wimbo wa injili,,,,hayo yametoka wapi ya huyu ndo greatest pelekeni huko kwa mond na kiba na wengine huko hatutaki ivyo vitu kwenye wasanii wa injili izo ni pepo
@@joyjilien5432 asante sana kwa kutambua hilo
@@antipascann2797 ndio waache wasituletee mashindano kwenye nyimbo za mungu
Exactly
Hakika Mungu anajua kutenda kupitia viumbe vyake, huyu kaka anakitu Cha kipekee Sana si hivi tu amini na kwambia Mungu kakupa zawadi ya kipekee tunajivunia uwepo wako Kama umebalikiwa na hii nyimbo sema amina❤️💯☝️👈
Kaabisa naamini
Amina
Amina,hakika ni kwa neema ya Mungu.Ubarikiwe Goodluck
Naomba wapendwa mkaweza kuitazama kazi hii yangu ambayo nimefanya cover ya Goodluck,,mimi ni mkenya ila naipenda sana tanzania ua-cam.com/video/EpiyWhc9G_c/v-deo.html
@@stellawadson1747 amina
Wapi Kenyans 🇰🇪. Our love for Gospel is un explainable
Beyond explanation 🇰🇪🇰🇪❤️♥️
Tupoo😊
Tupo🙏🙏👍❤️❤️❤️❤️
Tupo❤
Tupo❤
Hakuna anaye tujua Wala hatuna connection na hatuezi sema ni elemu ju wengi wamesoma sana but ni jobless...tumeekwa mahali na mungu❤️❤️ forever grateful ❤️🙏
Kweli kabisa, kuna baadhi yetu tunaishi hii dunia kibishi tu maana hatutakiwi, sura zetu hazitakiwi, wazazi wetu lalahoi yaani tangu unazaliwa mpaka unakua mtu mzima hautakiwi popote ila unapeta tu kwa neema za Mungu, huu wimbo kama unaimba kuhusu maisha yangu yote.
😢hugs lawrence
It's true Maina..Hii Dunia Ina mambo mengi.
Pole cn
+254🇰🇪 imekubalika iwe hit song....angepewa mabilioni tungetupwa mbali sana.This song is sooo amazing.Top top +254🇰🇪 tulike hapa upendo wetu kwa Goodluck.The Ministry
It hits close to home. All our leaders Wangekuwa mbali na sisis tungetupwa mbali sana.
@@PhleGmatic1 very true
🇹🇿
Wimbo. Mnzuri
Kwel mungu hapokei rushwa ndo maana hafanani na binadam
Kwa wale wanao penda mziki mzuri hauwezi kuikwepa hii ngoma.❤️
Sana yani
Nakubari
Ukweli
Kweli
Hii ni nyimbo ya injili acha kuita ngoma uhuni paleka huko kwa Yesu Kristo hakuna lugha za kihuni.
Tunaotizma zaidi ya mara moja like twende sambambaa
? M7o
❤
Nimeipenda iyo
Sisi maskini ndio huu wimbo unatugusa sana...mungu tupe connection jameni😢
Egtchwiffcuoetan ndungu,
Aki, bila connection ni ngumu, thank God He's the greatest connection we need and I know He'll come through big, ni sisi tutakua connection za watu wengine in Jesus name
Kweli mungu apewi rushwa.....ningeuawa na watu😅😅😅😅😅
Uzuri Mungu apokei rushwa ni neno dogo lkn ukiliyafakari linauzito sana maana jebu tafakari kama ulivo na maadui ulionao kama Mungu angepokea kahongo rafiki ungeshasepa kitambo tungeshakusahau hebu piga like kwa hili songi alooo
kweli
Wakenya tupite na like 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
2024 Bado naenjoy na kubarikiwa na huu wimbo kama uko na Mimi like hapa
When am down I play this song on repeat mode 😭😭 God your great full
29 may 2024, i pray God will fulfil all the desires of my heart..i will come back with a testimony....like my comment so that I'll be back to listen to this masterpiece 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Am a muslim but I love this song badly😢😢😢😢 nahisi imegusa big part of my life😮😮
Ni kweli.
Kama kuna mtu anachukiwa na wengi bila sababu gonga like tujuane
Ndyooo
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪Nairobi,KENYA.
Wangapi tumebarikiwa na huu wimbo nipitieni😍😍😍😍😍😍😍
Oh yes,uzuri ni kwamba Mungu hapokei rushwa what a song.
Mob love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Unanibariki sana goodluck gozbert , like kwako zije kama zotee yaaani.
sure pia me nabarikiwa
Jamani yaani u sang my life
This wonderful song mtu anadislike😭😭😭
More love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
I love this song since day one
Jamni nmchelewa lakini naomba like ❤❤
Kama umeguswa na huu wimbo gonga like wapendwa
Am a Ugandan but I like Good lucks music though I don't understand kiswahili very well. Mungu ni mungu kweli
Good luck nakuombea Kwa Mungu akulinde Sana,wewe ni gospel singer mkubwa hapa duniani,Mungu ndiye alipenda uwe hivyo ilivyo,kazana Kaka lazima ufike mbali.
Hallelujah 🙏🙏🙏
Nyimbo zinazoguza mioyo 🙏🙏🙏nani ameguzwa like basi
Mimi
Mungu akubariki ndugu yangu
A very good message may God bless u
@@godibukwo mn
@@ayieraevans8408 to
Home boy 😍 rock city moja. Kama una mkubali huyu kijana kutoka moyoni please like hapa 👍🏾
Safi
Sikia hii 🙏
Titok brought me here nilikwambia natafuta nkini by Samson,,,,,kumbe ni Good luck
It'll be over soon I trust the process because THE Almighty GOD is molding me
Hakika God hapokei rushwa,a nice song,msanii Bernard Kyalley, watching the hit🔥🔥🔥🔥 from 254..Kenya
Hakika ume sema ukwli
Amazing song kila ukisikiliza lazima moyo unampa Mungu sifa
👋🏻👩🏻🍼😂😎🥸
@@dianashanayashanaya8663 2WWWWWWWWaqq
Na wengine tuna damu mbaya Mtu akikuona anatamani ufe Mara Butiama Tz 🔥
This song wipe away my tears...we go through difficulties but God heals our problems.
❤
Amena hua nabarikiwa sana
Amen.
Amen. My 1st time to hear this song ooh very true naamini mungu hapokei rushwa katika Biblia imekataa. Heri kumtegemea Mungu. 🇰🇪
Greetings from Nairobi, Kenya 🇰🇪.... A beautiful, real and meaningful song. Contemporary, displaying the current scenarios in Nations. Hakika nina shukuru Mungu kwakua hapokei rushwa....je tungelikua wapi? MOG Goodluck Gozbert, thank you for the powerful song. May God bless you
IMO
I just like what you said..nemcy...God bless
Aise mungu akuzidishie kipaji kijana
Naomba wapendwa mkaweza kuitazama kazi hii yangu ambayo nimefanya cover ya Goodluck,,mimi ni mkenya ila naipenda sana tanzania ua-cam.com/video/EpiyWhc9G_c/v-deo.html
Hakika ubarikiwe sana ujumbe nzuri... 💕💕💕💕
Who's still listening to this in 2023 by show of ✋...just the information is enough for the Day 🙏🙏🙏🙏
Finally its out uzuri ni kwamba mungu hapokei rushwa nyimbo nzuri sanaa mtumishi
much love from kenya 🇰🇪
I can't get enough of this song. ..
Ameni.kweli.mungu.hapokei.rushwa.angepokea.rushwa.sisi.masikini.tungekuwa.wapi?.yesu.atupenda.wote.sawa.ubarikiwe.mtumishi.wamungu
It's my first time to hear this song from TikTok. I swear I can't get enough of it. Uzuri ni kwamba Mungu hapokei rushwa🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
HOW MUCH LOVE I HAVE FOR THIS SONG IS MEASURELESS❤🇰🇪🇰🇪
Wangapi wanajua apokei rushwa.... Leteni likes
Nabarikiwaa xana🙏🙏kweli mung mungu ametupa vicheko walala hoi🤔🤗
Goodluck gozbert wewe fund wewe mundishi muzur sana
For whoever needs this, Deutronomy 10 verse 17: For the LORD your God is God of gods and Lord of lords, the great God, mighty and awesome, who shows no partiality nor takes a bribe. (Found it :00)
🇰🇪Wengine baba zetu walala hoi na mama zetu hoehae, wasomi kibao na ni jobless, much love Goodluck 4rom kenya we love u❤️💖
I love it, expecially kwa ss hapa kenya na our current situation , kenya tumshukur mungu apokei rushwa, maana wengine wangekuwa deported somali without reason. Thank you Goodluck and GOD bless you for touching pple souls with reality.
ua-cam.com/video/DDLt1sD23fY/v-deo.html
Sikiliza hii👇
ua-cam.com/video/DDLt1sD23fY/v-deo.html
Ni kwa neema ya Mungu
Tunavuka mapito kwa neema ya mungu tu😍
Tanzania you are blessed as country with talented singers. Shikilia hapo bro
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭Mungu wangu huyu wimbo umenikumbusha mengi sana Kati kawatu walioonekana kutopata kitu nimwo Asant God kwa mukono wako nimepaka kicheko kwa sababu hupokei ruswa. Mutumishi wa mungu ubalikiwe sana na sana
Kali saanaasa
Unadhani angepewa kesho yako angebinya ukafie mbali. Ahsante sana mungu hujui kukosea barikiwa mno goodluck mungu akutunze
Everything in the song is amazing,just amaaazing!!!!!God bless you Goodluck,much love from kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nhn
Ba hisi nimebarikiwa AMEN AND AMEN AND AMEN AND AMEN 🙏🙏🙏🙏
Mungu akubariki san kk unanibariki sna
Kwanza Mungu angekuwa mkenya tungekufa sote, matajiri wa baki peke yao. Am glad our God hana kabila. Mungu wetu hapokei rushwa
Duuuh! Umeniacha hoi 🤣🤣🤪😝
Tuachie,huo wimbo basi
🤣🤣🤣🤣🤣 Savage
Hallelujah more blessings 🤝🤝🤝🇰🇪🇰🇪🇰🇪Kenya in the house, wapi likes zao
Kenyans we have real love and support for you 🔥
Nimeskiza hii like 30 times leo
Here December 2024, mungu hapokei rushwa kweli wangetumaliza kitambo, but the spirit of God is upon us praise God wana wa mungu🇰🇪🇰🇪🇰🇪
True our God cannot be bribed. Your blessings are yours and nobody else can change what God has ordained to be yours 🙏🙏
very true
Can't get enough of this song,tunawekwa mahali kwa neema ya mungu 🙌🙌🙌🙏🙏🙏
Thank you God for the gift of life,ni kweli hupokei rushwa
Glory to God...Kama unakubaliana na hizi lyrics nipe like tukisonga. Receive more love from kenya🇰🇪🇰🇪
Na wengine tuna gundu mabifu kama yote mtu hujamkoseh anatamn ufe daaahh kaka apa walai umeniliza aky nakupenda bule😢😢😢😢 nmelia hii kipande imeingia mpk kweny moyo walai daahh big up brother wangu be blessed kaka be blessed again
I just met this song today in tiktok and I cried watching it.. How God can nvr be corrupted...
I totally depend on God, everything and anything in my life is all about God,He's my connection indeed
very good
Very true
Thanks
My favourite ♥️🎉❤....I can clean the whole house listening this song ❤❤❤😂😂😂and brush the whole compound
Hakuna anayetujua wala hatuna connections ni kwa neema tu ya mungu tu!😭😭😭🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽
Ndani ya Bahrain 🇧🇭 🇰🇪 🙏🙏🙏😢😢Tunawekwa mahali kwa neema ya Mungu,Tunavuka mapito kwa neema ya Mungu 💃🏾💃🏾💃🏾💃🏾.
The vocals,the message not forgetting the dance moves..Can't get enough of this song
This song always make me fill contactable and strong coz my God is watching 😎😎 over me he is in control of every challenges in life
I really love how this man sings with a lot of passion.. I always find myself singing his song... God bless u very much
🇰🇪🇰🇪
Bwana akuinue
Amina
ua-cam.com/video/Wur-PUJIwNw/v-deo.html
Personally I love how he's so passionate about music he loves and feels the music
kweli mungu ni mwingi wa huruma ametupa vicheko bila manoti💯🤲🙌🛐✝
Watu wa kufunga 2024 na Gozbert weka ✅
Thank u for this beautiful song from Congo DRC 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
likes za wakenya🇰🇪 and y'all strangers i said you will see 2025 no matter what
From Nairobi nipewe likes za wimbo tamu😍😍
Thanks God, br you blessed us by this song. God is all what we need
wakenya kujeni hapa
Esther huu wimbo naipend san 🎉🎉🎉🎉 Yan nikiusik huwa nasikia laha San mungu akusaidi uendelee kutowa nyimbo Kam hiz🎉🎉🎉
i think those who disliked this video are not human beings, they are from the other dark side of the universe, may be ''He........'' kazi njema kaka. (Kenya)
This song directly talks about me with all that I have in life. I may not 100% understand the language but spiritualy I love and live for it. Mungu hapokei rushwa
He is talking about the fairness and fraternity of God
A true reflection of the contemporary societies. Everything is bribed. Graduates are jobless and the illiterate are working and getting rich. In tandem with Late Robert Mugabe's sentiments. Thank you Gozbert and God continue to bless you brother. Much ❤ from 🇰🇪 🇰🇪.
Indeed boy
Hapo kwenye dam mbaya hapo aah Ni shida xana
sisi ni wa divine connections
Miongoni mwa waimbaji ninaowafuatilia nini wewe #goodluck_gozibet...
Hii nyimbo itaishi sana . . More Life to you
I can not get enough of this. Thank you for the good work you are doing GoodLuck Gozbert. Mungu akubariki. Love from 254 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
👏🏽🙏🏽👌🏽That all is truly ☝🏽 beautiful song be blessed from kenya 🇰🇪 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪👌🏽👍🏽✊🏿
Nani mwngne hachok kuusikiliza huu wimbo aweke like hapa❤❤
Katikavitu huwanapenda kwenye nyimbo zako niufariji tu nikiwa nahofuyo yoyote yakidunia natafuta nyimbo zako ubarikiwe sana dini yng nayako tofauti ila napenda sana nyimbo zako ubarikiwe 🙏🙏🙏