SIRI NZITO MUNGU WA MWAMPOSA AFICHULIWA KAFARA ZAKE EV PASCHAL CASSIAN

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 530

  • @angelyolam9528
    @angelyolam9528 3 місяці тому +2

    Ila umetuchosha sana kasian yaani tumekuchoka mno, hubili injili achana na mwamposa, tumekuchoka sana, Kaz Yako kuharibu watu wa mungu,

  • @esteralen3396
    @esteralen3396 2 місяці тому +4

    LABDA ungehubiti Neno La Mungu kuliko kumtumia Nguvu nyingi kuhubiri watu. Yesu amekutuma kufanya hivyo kweli?? Pole sana

    • @ElizabethMakwaia
      @ElizabethMakwaia 2 місяці тому

      Ndivyo Yesu anachotaka. Kumuelewa mtumishi huyu ni neema ya Mungu. Usipoelewa unapungukiwa neema yake. Ukiona humwelewi shika imani yako hulazimishwi.

    • @JohnMashamba
      @JohnMashamba Місяць тому

      Kumjua Mungu si kutuma Nguvu,hata wewe ni mmojawapo unatafuta ulaji tu Amerika si Mbinguni,na niambie Maandiko yaliandikwa na nani.

    • @agapemindset1729
      @agapemindset1729 28 днів тому

      Pole yake.kwa.kweli

  • @KaramaahazyOkero
    @KaramaahazyOkero Місяць тому

    Mtumishi MUNGU akibariki sana kutimiza kusudi ra Mun gu ni gharama kubwa sana Mungu akutie nguvu

  • @EliyaSimoni-w2m
    @EliyaSimoni-w2m 25 днів тому +1

    Mungu atuokoe

  • @ChristerDanisha
    @ChristerDanisha 2 місяці тому +5

    We ufie mbali unaetualibia apostal wetu mungu anakuona

  • @ElizaMoses-g7p
    @ElizaMoses-g7p 2 місяці тому

    Ameen barikiwa Sana baba Mungu akuinue, sema tupone.

  • @zeddmedics
    @zeddmedics 2 місяці тому +7

    Ila binadam mnatumia nguvu nyingi kumchafua mwamposa na mungu alivo wa ajabu mwamposa anazidi kung'ara na Hana mda wakumuongelea mtu zaidi ya kuhubili neno la mungu 🙏🙏🙏🙏

  • @marianthoniaoswald6034
    @marianthoniaoswald6034 2 місяці тому +4

    Acheni kuupiga mwili wa kristo vita wote mnaburi yesu, mambo keki katika amri za Mungu haijaandikwa kula keki ni dhambi

    • @AyubuLwambo-l4c
      @AyubuLwambo-l4c 2 місяці тому

      Sawaaa yesu atapokuja atazihukumu Siri za wanadamu nani aweza kujisitri kwa macho ya mungu?

  • @mariyammariyam-y3u
    @mariyammariyam-y3u 3 місяці тому +8

    Asante yesu Kwa kunipa Neema yakujua maandiko nifunike Kwa dam yako takatifu na family Yang yote ili tuje kwako tusiufatishe namna ya ulimwengu uendavyo❤

  • @MoksMokah
    @MoksMokah 3 місяці тому +2

    Ev.Paschal we are together, I'm Emmanuel from Mombasa Kenya.🙏🙏🇰🇪🇰🇪

  • @EdithaAyoub
    @EdithaAyoub 2 місяці тому

    Mungu akulinde cku zote mtumishi waambie ukweli wajinasue

  • @rascocircle2928
    @rascocircle2928 2 місяці тому +1

    Wew kila mtumishi wa Mungu ni wa uongo em tuambie watumishi wa ukweli walipo!?

  • @HamphleyLucas
    @HamphleyLucas Місяць тому +2

    Wew hupaswi kutenda hayo kaka angu Unaonaje hiyo nguv yote kubwa ungeingia mtaan kushuhudia watu?

  • @JoshuaMaganigani
    @JoshuaMaganigani 3 місяці тому +7

    Mnatupoteza tunaowasikiliza na kutufundisha neno la Mungu.Kila mtumishi afundishe alichoinuliwa na Mungu.Msibadilike kuwa Wana siasa wanaoomba kura.

    • @PauloArogo
      @PauloArogo 2 місяці тому

      Barikiwa mwinjilist paschal

    • @RoseAmilet
      @RoseAmilet День тому

      Anakupoteza vip sasa

  • @ManaseNassary
    @ManaseNassary 25 днів тому +1

    Fanya kazi achana na watu wa Mungu mnafiki wee mbona unaomba sadaka?

  • @AzizaAthumani-g1o
    @AzizaAthumani-g1o 2 місяці тому +1

    Wewe fundisha ulichotumwa na mungu

  • @AsifiweJosia
    @AsifiweJosia 2 місяці тому +1

    Imani yako ndiitakayo kuponya na mpenda San mwamuposa

  • @norahfrank
    @norahfrank 3 місяці тому +1

    Sijui kwann Wakristo tunapigana vita kiasi hiki Ee Mungu

  • @reginambise3531
    @reginambise3531 2 місяці тому +1

    Wewe hubiri neno la Mungu tu achana na habari za kusema watu na makanisa! Anayehukumu ni Mungu peke yake! Usijichanganye broo(Zingatia: acha kuongelea habari z watumishi wa Mungu na makanisa...wewe hubiri neno la Mungu tuu)

  • @AmaniSanga-n9g
    @AmaniSanga-n9g 2 місяці тому

    sawa hao wanamwabudu shetaniii Mungu mwanamke

  • @HappinesNashon
    @HappinesNashon 2 місяці тому +1

    Hubiri habari ya mungu ,usihubiri habari zakuponda watumishi was mungu,kikubwa usihukumu usije ukahukumiwa, mwamposa mbn huwa amhubiri mtu,,,anatangaza habari njema tu ya ujumbe wamungu

  • @lygasauka751
    @lygasauka751 3 місяці тому +5

    Ukisoma Isaya 32:15, inasema kila mti ni Misitu, peleka Injili achana na kupinga pinga watu, Mzee. Utachoka Sana, kwa kufanya kazinambayo sio ya Mungu. Agizo kuu ni Injili, Amri kuu ni Upendo bro, Ukimpenda Mungu utafanya kazi yake achana na Mambo ya kina Mwamposa.

  • @MoksMokah
    @MoksMokah 3 місяці тому +2

    Ndugu Mwamposa we are together I'm Emmanuel from Mombasa Kenya.🇰🇪🇰🇪🙏

  • @naangelamcharo8922
    @naangelamcharo8922 2 місяці тому +1

    Wewe ubiri kutufundisha acha kukandia wenzako fanya kazi ya Mungu tupe neno c maneno ya kukandia wenzako

  • @SophiaUronu-fw9gv
    @SophiaUronu-fw9gv 2 місяці тому +3

    Mungu kamfundisha mwamposa kunyamaza kimya. Asije kuwa kama mataifa.

  • @nuruosward8161
    @nuruosward8161 3 місяці тому +2

    Mnatafuta umaarufu kupitia Mwamposa pole sanaaa Neema aliyopewa na Mungu ni kubwa sanaaaa Iman anayofundisha ni kumuamini Mungu tuu nyie badala mufundishe neno la Mungu mnashinda kukosoa watumishi Wa Mungu

  • @OnesmoDenis
    @OnesmoDenis 3 місяці тому +1

    Hivyo hubiri utukufu wa mungu siyo kuwasema watumishi

  • @athanasmkopi
    @athanasmkopi 3 місяці тому

    Mungu akusaidie sana, hujui unakokwenda

  • @JacklineMroso-gy6ej
    @JacklineMroso-gy6ej 2 місяці тому

    Fanya kazi ya Mungu mtumishi ukweli unauma sana wenye kupona watapona wajehanamu watakwenda kwa ugumu wa mioyo Yao!

  • @evodiajohn7991
    @evodiajohn7991 3 місяці тому +1

    Muhubir Yesu achaaa kuwasema watumishi wa Mungu.

  • @LoveVoice-q7g
    @LoveVoice-q7g 2 місяці тому

    Je wew umejuaje haya congratulations kwa mwaposa maisha marefu

  • @janethesron1111
    @janethesron1111 3 місяці тому +3

    Pole acha kuteseka na karama ya mwenzako

    • @FestoJemsi-lr8pw
      @FestoJemsi-lr8pw 3 місяці тому

      @@janethesron1111 kichwachako kigumu sana kuelewa janethesron soma biblia kila sku loho mtakatifu atakushukia uelewe mengi ya silini 🙏✋

  • @marymwaya9685
    @marymwaya9685 2 місяці тому

    Muhubiri au mtumishi wangu unakosoa maneno is ya Mungu Mtumishi Mtumishi gani

  • @JajiZakayo-fw9mk
    @JajiZakayo-fw9mk 3 місяці тому +6

    Mtumishi mwema ni mzee wetu Mwakasege mwenye busara ya Mungu hajawahi kugusa huduma ya mtu mwingine na kama una ujasiri wa kupinga mbona ujawagusa waislamu na hali unajua ndio wapinga Kiristo kumbe wewe ni muoga wa kufa unajua wakiristo ni wapole na wanyenyekevu wa moyo shambulia waislamu kama kweli una ujasiri wa kimungu

    • @eligiuselias4469
      @eligiuselias4469 3 місяці тому

      Aliye lwambia wapinga Kristo ni waislamu tui?.
      Je Kristo alipingwa au kukataliwa na waislamu?

    • @Pendopasilika
      @Pendopasilika 3 місяці тому

      Mpinga kristo anaweza akawa mkristo au mwislam husomi biblia? We unafikili waislam wote hawaendi mbinguni wapi watakao kwenda nikama vile wakristo wapo ambao hawatakwenda na wengine wataenda waislam na ni taifa ambalo MUNGU alimbalikia Ishumail mtoto wa Ibrahim Alie zaliwa na msichana wa kazi kwa hiyo mpinga kristo niyule anaepinga mafundisho ya YESU na kufuata mafundisho ya shetani

    • @DeusdeditMichael
      @DeusdeditMichael 3 місяці тому

      ​@@PendopasilikaMBINGUNI HATUONDI KWA DINI BALI KWA NENO LA KRISTO.
      MARKO 16::16
      AAMINIE NA KUBATIZWA ATAOKAKA, ASIYE AMINI ATAHUKUMIWA.
      YOHANA:3:5
      YESU AKAJIBU, AMIN,AMIN, NAKUAMBIA MTU ASIPOZALIWA KWA MAJI NA KWA ROHO HAWEZI KUUINGIA UFALME WA MUNGU.
      WALA SIYO SINI HIYO, BALI NI WOKOVU. UNAPASWA KUOKOKA.

    • @Pendopasilika
      @Pendopasilika 3 місяці тому

      @@DeusdeditMichael Ni kweli tunakwenda kwa njia ya wokovu ambalo ni neno la kristo lakini je? Na kwenye hizo keki mie naona hiyo ni miujiza ya kipepo MUNGU akubariki

    • @DeusdeditMichael
      @DeusdeditMichael 3 місяці тому

      @@Pendopasilika IBADA YA KUMUABUDU YESU KRISTO HUFANYIKA SAWASAWA NA NENO LA KRISTO. AMBALO LINATUAMBIA KUTUMIA JINA LAKE PEKEE.
      YOHANA 14:13-14
      YOHANA 16: 23
      YOHANA ; 16:26
      (Soma)
      YAZIDIYO HAPO, YANATOKA KWA SHETANI.
      2WAKORINTHO 11;14
      (Soma)
      Neno linasema; Mwisho wao utakuwa sawasawa na kazi yao.

  • @emmymgotta8830
    @emmymgotta8830 3 місяці тому +13

    MR. C. MBONA UNATUMIA NGUVU NYINGI SANA KUMPINGA MWAMPOSA? AISEE UTAINGIA MBINGUNI UMECHOKA SANA.

    • @DEBORAHMASANJA-yz3go
      @DEBORAHMASANJA-yz3go 3 місяці тому

      Je wewe sawa

    • @kelvinkelvin2469
      @kelvinkelvin2469 2 місяці тому

      ❤❤❤❤❤❤❤

    • @nataliedayana9824
      @nataliedayana9824 2 місяці тому

      😂😂😂 mbingun uyu akanyag ngooo badala haubir neno kakazan kukosoa yeye kama nai ndo mahn anakipand uso sabbu ya wivu 😂

    • @kelvinkelvin2469
      @kelvinkelvin2469 2 місяці тому

      @@nataliedayana9824 of corse

    • @dassustephen731
      @dassustephen731 2 місяці тому +1

      Mjinga Sana Huyo Hana akili Anaowapa ahubiri neno la Mungu na siyo kuahambulia Mwamposa.Kama Mwamposa anawapotosha watu basi Mungu ndo atamuhukumu na siyo wapiga kelele kama wewe.Idiot

  • @GermanaPaul
    @GermanaPaul 2 місяці тому

    Pole Sana,kila mtu anaamini panapomsaidia

  • @YOSHUAMWAMPETA
    @YOSHUAMWAMPETA 3 місяці тому +6

    Nakushauri ACHA KUWAZUNGUMZIA WATUMISHI WENGINE, FANYA KAZI ALIYOKUPA YESU Walete watu kwa Yesu kwa KUWAFUNDISHA WATU WOTE WAMJUE YESU NA KUDUMU NDANI YA YESU KRISTO WA NAZARETI.

    • @LydiaOnesmo
      @LydiaOnesmo 3 місяці тому +1

      Kwakweli kabisa yaani Mimi ananikela saana Yuko busy to kuchafua watumishi,

    • @LydiaOnesmo
      @LydiaOnesmo 3 місяці тому

      Kwakweli kabisa yaani Mimi ananikela saana Yuko busy kuwasema vibaya to unajua Mtu Mara nyingi aliyeshindwa hutaka kufanya na wengine washindwe to

    • @Kamkono
      @Kamkono 3 місяці тому +1

      Ni kweli kila siku anatufundisha Mungu wa MWAMPOSA, atufundishe Mungu wake. Mimi binafsi siamini kama ndicho alichotumwa na YESU.

    • @LydiaOnesmo
      @LydiaOnesmo 3 місяці тому +1

      @@Kamkono nakwambia wewe Acha to Ndo hivyo atuoneshe Mungu wake kafanya Nini Juu yake na kupitia Yeye na Kwa wengine Huku anapopasema kila siku shuhuda ni nyingi saana

    • @Pendopasilika
      @Pendopasilika 3 місяці тому

      Kweli sikio la kufa halisikii dawa

  • @bethmahela2182
    @bethmahela2182 3 місяці тому +1

    Sijawahi kumuona huyu pascal kasian,akihubiri naona aanawapinga watumishi wa mungu,mungu akusamehe tu

    • @rehemadaudi550
      @rehemadaudi550 3 місяці тому

      Sio huyu tu yupo na mwingine yeye hadi anatukana❤

    • @JoyceMbise-zr2xh
      @JoyceMbise-zr2xh 3 місяці тому

      Ndo wito alioitiwa

    • @rehemadaudi550
      @rehemadaudi550 2 місяці тому

      @@JoyceMbise-zr2xh hakunaga wito wa namna hiyo msitufanye km hatujui neno. kuna mahali amesema kwenye maandiko we ni nani unayekitoa kibanzi cha mwenzio. wakati kwako kuna boriti? wakemee dhambi za watu wote ili yule anayezitenda ahukumiwe abadirike, kutaja jina la mtu ni uchochezi

  • @RiyamAbed
    @RiyamAbed 3 місяці тому

    Imani yako ndo itakayo kuponya acha kukifikiria mwmpos yeye anafundisha neno ra mungu kazi yako nik🎉ua naiman na kire unacho fundisha make mungu anacho kiangaria niimani yako amin

    • @TumainiMamuya
      @TumainiMamuya 2 місяці тому

      Kwel broo fundisha neno la mungu achanana na mambo ya kuwaongelea watu mwenzio ameinuliwa waza na wewe mungu akuinue kama mwaposa huna kabisa maneno mengne watu wanashida na kiu tafuta vtu utakuwa juu tuu kama mwenzio acha wenge

  • @orsolinaleonsminja6436
    @orsolinaleonsminja6436 3 місяці тому +1

    Mimi ni Mkatoliki na Nina amini Sana mafundisho yanayofindisha kabisa Katoliki la Roma, hakuna WA kutoa huko. Imani yako ndiyo inayokuponya.

  • @RobsonMathew-eb3ec
    @RobsonMathew-eb3ec 2 місяці тому +1

    pastor paschal sijaluelewa kila mtumishi wamungu kwako unasema anakosea na hakuna mwanadamu aliye kamilika nadhani hata wewe unamapungufu mengi sana na ujakamilika

  • @IfandaHamisi-ju2lz
    @IfandaHamisi-ju2lz 3 місяці тому

    Mungu ni mwingi wa rehema

  • @JoanathaNovath
    @JoanathaNovath 2 місяці тому

    ❤❤❤ iko kweri kabsaa waambie waache hyo tbia

  • @boniphaceemmanuel6604
    @boniphaceemmanuel6604 2 місяці тому +1

    Muombe Mungu akupe upako na miujiza wewe na ukoo wako kwani kanisa lako linajaza kama unayemsema😂😂 TUMIA AKILI MUNGU NDO AYEUKUMU NA SIO WEWE ,

  • @gospeltv2415
    @gospeltv2415 3 місяці тому +11

    Mtumishi mhubiri yesu yakina mwamposa waachie wao

    • @corrolesscps
      @corrolesscps 3 місяці тому +1

      YESU Kristo ni yule yule Jana na leo na kesho, na Neno la MUNGU wa Mbinguni MUNGU YEHOVA wa Ibrahim, Isaka na Yakobo. Ndie anaehubiriwa na Mwamposa , na MUNGU ni pendo, aliupenda ulimwengu akamtoa Mwanawe Pekeee kila amwaminie ataokoka

    • @DeusdeditMichael
      @DeusdeditMichael 3 місяці тому +1

      @@corrolesscps BWANA YESU AMETUAMURU KUTUMIA JINA LAKE PEKEE (MARKO 16;17)
      HIVYO YAZIDIYO HAPO NI YA SHETANI.

    • @LydiaOnesmo
      @LydiaOnesmo 3 місяці тому +1

      @@gospeltv2415 kabisa yaani Yuko busy na kina mwamposa badala atangaze Jina la Yesu Tanzania nzima imjue

  • @evodiajohn7991
    @evodiajohn7991 3 місяці тому

    Mungu akuongoze MTU wa Mungu

  • @AnnaGhama
    @AnnaGhama 2 місяці тому

    Wewe unawivu nawatumishi wa mungu Anya kazi ulioitiwa acha mungu ahukumu mwenyewe

    • @LilianSilas
      @LilianSilas 2 місяці тому

      Iyo ndiyo kazi ambayo MUNGU alikuitia??? Au kiki na wivu wa kishetani?

  • @ROZITHOMAS-y4q
    @ROZITHOMAS-y4q 2 місяці тому

    We kama una Mungu tuonyeshe zaidi maana watu wana shida.
    Tunataka upako aliouacha yesu

  • @pastorsthenksrojaskapunga6843
    @pastorsthenksrojaskapunga6843 3 місяці тому +3

    Zaburi 30:3
    [3]Umeniinua nafsi yangu,
    Ee BWANA, kutoka kuzimu.
    Umenihuisha na kunitoa
    Miongoni mwao washukao shimoni.
    O LORD, thou hast brought up my soul from the grave: thou hast kept me alive, that I should not go down to the pit.

    • @CharlesMisungwi-f8t
      @CharlesMisungwi-f8t 3 місяці тому

      Hakuna binadamu.awezaye kukuombea ili Mungu afute maovuyako isipokuwa wewemwenyewe kujiombea kabula yakifo chako. ndiyo maana hataka bulayakifo chaYesualijiombea yeye mwenyewekabula yakifochake kwakuwa yeye duniani hakuwanataji la uunguali alibebeshwa madhaifu ya binadamu ili kujumuikanao.

  • @renatus5687
    @renatus5687 3 місяці тому +2

    Wewe nae c li ombaomba tu unafikitu tu wakusema wengine kila siku si ufanye yako au unajikuta mungu wa duniani Fanya kazi uombaomba tu

  • @athanasmkopi
    @athanasmkopi 3 місяці тому

    Simama kwa nafasi yako muhubiri Mungu , sio kumhubiri watu kajipange upya

  • @SophiaMeizon-kq3bp
    @SophiaMeizon-kq3bp 3 місяці тому

    Mungu awape hekma watumish wake waihubr kwel ya Mungu na sio kufata Oman potofu, swez mzungumzia mwamposa sabu sjamfahamu kiundan zaid, ila wateule kuwen macho hz ni Siku za mwisho shika sana ulcho nacho asje mtu kukunyang'anya

  • @genevievesunday
    @genevievesunday 2 місяці тому

    Mungu hafananishwi na chochote Asante Kwa ujumbe mzr Mungu akubariki sana pokea maua 🎉🎉kwa utukufu wa Mungu.

  • @AlexJohn-j9j
    @AlexJohn-j9j 3 місяці тому +1

    Tufundishe basi mungu wako,acha kufuatiria Imani za watu,

  • @samsonphilipo7153
    @samsonphilipo7153 3 місяці тому +5

    Hata ukiwazungumzia unapoteaa muda kwasababu MAANDIKO yalikwisha tabiri manabiii wa uongo au watumishi wa uongo watakuwepo so huwezi kulizuia ,wewe unachotakiwa wafundishe watu kweli ya NENO la Mungu ,wamjue Mungu only that,Yesu NDIE atakayehukumu siku ya mwisho

    • @salimucvales7495
      @salimucvales7495 3 місяці тому +1

      Wewe lijinga pumbu ndo walewale

    • @remigiusrwechungula7047
      @remigiusrwechungula7047 3 місяці тому +2

      Fact, afundishe kweli yake, asitumie muda wake wote kuwa ATTACK hawa watu.

    • @ConfusedChicken-ze9fz
      @ConfusedChicken-ze9fz 3 місяці тому +1

      Kama Mwamposa atumiwi na Mungu na miujiza inayotendeka kwenye ya arise and shine ni feki basi nyie mliowatumishi wa kweli fanyeni basi hiyo miujiza ya kweli tuone na kama hamwezi

    • @ConfusedChicken-ze9fz
      @ConfusedChicken-ze9fz 3 місяці тому +1

      Nilichogundua watumishi wengi wanaoshambulia wenzao wana Roho ya kifarisayo misishangai kuona watu kama hawa mm nashangaa sana badala ya kuhubiri injili wanahubiri mambo ya watu oh yule hivi oh yule vile is that a gospel? Biblia inasema kwenye matendo ya Filipino alishuka Samaria napale Samaria palikuwa na mtu mmoja mashuuri jina lake aliitwa Elima mchawi aliwashangaza watu wengi kwa uchawi wake lakini siku moja mtumishi wa Mungu alipokuja Mungu akamtumia Filipino kwa miujiza mikubwa sana watu walifunguliwa sana hata yule .mchawi akaonekana si kitu kwahiyo na hawa watumishi wanaoshambulia wanatakiwa kuudhiirissa za Mungu kama na kama hawawezi basi wakae kimya wasitabishe watu wakati wao hawawezi kuwasaidia

    • @nataliedayana9824
      @nataliedayana9824 2 місяці тому

      Uyu nae ni muongo mahn anasimang watumish wa mungu na kuukum wakt yeye ni mwanadam 😂😂

  • @FestoYohana-ll4wk
    @FestoYohana-ll4wk 3 місяці тому +7

    ww siyo mtumishi wa mungu una majungu usihukumu atakae hukumu mungu peke yake

    • @SilviaDaud
      @SilviaDaud 2 місяці тому

      Hakili2 ndoumekosa ww

  • @djfoxfoxthedj65
    @djfoxfoxthedj65 3 місяці тому +2

    Kila siku maji ya upako hakuna upako isipokuwa neno lenyewe wazee tusali kwa imani akuna maji wala kitambaa waku tuwe makini shinda zisitufanye tukae mbali na mungu wetu🙋‍♂️

  • @SifaelaYoram
    @SifaelaYoram 3 місяці тому +1

    Bwana yesu asifiwe,,,,kila anayetazama hizi clips na kumsikiliza asome,injili ya mathayo 7:1 na kuendelea usihukumu usije kuhukumiwa

  • @StellaJoseph-m1q
    @StellaJoseph-m1q 2 місяці тому

    Mungu ambariki sana mtumishi wa mungu ( mwamposa) amjarie umri mrefu

  • @WilfredChomo
    @WilfredChomo 2 місяці тому

    Fundisha neno la Mungu ,Usimjadili mtu.
    Unajidhoofisha

  • @YuenPonsiano
    @YuenPonsiano 3 місяці тому +1

    Usiogope mungu akulinde

  • @MahraKhan-gd7pb
    @MahraKhan-gd7pb 3 місяці тому +2

    Watu wametekwa ufahamu watu wanahitaji ikomboz wa fikra YESU atusaidie kujua neno lake na kupata maarifa ya neno lake

  • @JamesMassawe-km7fn
    @JamesMassawe-km7fn 3 місяці тому +2

    Jamani mbona wachungaji na manabii hawatumii muda mwingi kubuni mbinu za kuleta ukombozi na uponyaji na amani wanajitahidi kukosoa wenzao ? Nakuwapinga wenzao tafuteni amani watu wapone mtapata baraka

  • @AishaThabit-yr4mn
    @AishaThabit-yr4mn 2 місяці тому +1

    Fanya yako usiwaongelee wenzako mungu anakuona

    • @PhennyBunde
      @PhennyBunde 2 місяці тому

      UENDA MUNGU NDO KAMTUMA ILI WATU WAFUNGUKE MACHO NA KUJUA UKWELI

  • @JastineValentine
    @JastineValentine 3 місяці тому +1

    Ubarikiwe na bwana

  • @samelychesham3309
    @samelychesham3309 2 місяці тому

    Nikweli kabisa maaandiko yanasema jima latest linatosha hakuna kuambatanisha na kitu chochote ila jina la yesu latosha ila watu wengi hasa akina mama wanafuata miujiza

  • @theresiamateru6426
    @theresiamateru6426 3 місяці тому

    Watu hawana Imani na Mungu sasa hivi Wana imani kwa hawa manabii wa uongo wanaojitokeza kila siku

  • @gracenelsonmutalemwa
    @gracenelsonmutalemwa 3 місяці тому +1

    Anae hukumu siku zote ni Mungu pekee usimuhukumu mwanadamu mwenzioo.

  • @HamphleyLucas
    @HamphleyLucas Місяць тому

    Kaka unapotea sio Mungu aliekutuma unene hayo

  • @DutoEmanuel
    @DutoEmanuel 3 місяці тому

    Mwambie yesu akuongezee salio

  • @floramisafi5738
    @floramisafi5738 2 місяці тому

    Tumwombe mungu atsaidie jaman😅
    0:00

  • @samsonphilipo7153
    @samsonphilipo7153 3 місяці тому +2

    Madhabahu ni kwaajili ya kumzungumzia Yesu kristo pekee yake na sio kumzungumzia mtumish yeyote,watumishi wa Mungu wapo na WA shetani wapo USIPOTEZE MUDA kuwajadili watu kwenye madhabahu Bali tumia madhabahu kujadili mambo yahusuyo ufalme wa Mungu

    • @FestoJemsi-lr8pw
      @FestoJemsi-lr8pw 3 місяці тому

      Muurize humuelewi usiogope mfwate what'sapp yupo hapo kwaajili Yako

    • @YOSHUAMWAMPETA
      @YOSHUAMWAMPETA 3 місяці тому

      ANAGOMBANA NA MUNGU

    • @ElizabethMubanga-mn1np
      @ElizabethMubanga-mn1np 3 місяці тому

      You too you are not fair

    • @samsonphilipo7153
      @samsonphilipo7153 3 місяці тому

      @@ElizabethMubanga-mn1np ni USHAURI tu nimetoa sijamzungumzia mtumish wa Mungu yeyote vibaya

    • @helbalchota9417
      @helbalchota9417 3 місяці тому

      Hata ninyi hamjuw asipotaja watu watajuwaje kuwa wamepotea Iv huwa mnasoma biblia gan?maana huwezi kusoma au kutumia biblia bila kutaja watu?

  • @dorcaskomba-z4q
    @dorcaskomba-z4q Місяць тому

    Tatzo hujui nguvu ya Mungu wewe, the power of God has no limit, can conquer every where it doesn't matter on water, cake, soil or whatever
    So you just focus on what you believe

  • @PefHana-yt9wf
    @PefHana-yt9wf 2 місяці тому

    Chizi huyu mchungaji feki. Fanya kazi yako au tangulia mirembe

  • @feddymwanga5462
    @feddymwanga5462 3 місяці тому

    Tumwachie Mungu vyote ni imani

  • @EliasMoyo-g3p
    @EliasMoyo-g3p Місяць тому

    Ila nyie munae waabudi binadamu kuliko mungu endeleeni kuwaabudu muacheni mungu alie hai na kutenda

  • @AnnaMarthias
    @AnnaMarthias 2 місяці тому

    wewe uhukumiyo ni mungu acha unafiki unaya yamani sana ya mwaposa hunajeuri

  • @EliaEmmanul
    @EliaEmmanul 3 місяці тому +7

    Mtumishi Mimi na kutia moyo endelea vivyo hivyo Mungu akutie nguvu

  • @wakywenaky3674
    @wakywenaky3674 3 місяці тому +3

    Tangu umeanza kuwasema wenzio vibaya sijaona hata mmoja amekujibu ,wala hakuna aliyeanguka ,kaka fanya yako mwenye mamlaka ya kuhukumu ni MUNGU,huo muda unaopoteza kujisifa na kuwaponda wenzio ungewekeza sana kuombea watu wamjue huyo MUNGU wako

    • @MoksMokah
      @MoksMokah 3 місяці тому

      You are right

    • @JasminMneney
      @JasminMneney 3 місяці тому

      Kweli kabisa ndugu yangu​@@MoksMokah

  • @elishampoki8751
    @elishampoki8751 3 місяці тому +2

    Injili ya fitina ni injili ya kusemana. Vibaya watumishi,
    Tunawaomba mutuhubilie neno la Mungu ili roho Zetu zikamuone Mungu, acheni kusemana vibaya mnawachanganya watu waongo ni lazima wawepo na wa kweli nilazima wawepo Hapo ndipo utumishi unanoga walio wa Mungu watakwenda kwenye ukweli waliowashetani watakwenda kwenye uongo ,
    Ukiacha kuhubili injili ya Yesu ,ukanza kuwasema watumishi unaowaona waongo hapo unamsaidia shetani kufanya kazi

  • @ephraimmwidunda7136
    @ephraimmwidunda7136 3 місяці тому +4

    Mhubirini MUNGU, na Mwanae
    Mpendwa Yesu Kristo. Achana na kuhubiri mapungufu ya wenzio. Mbona wengi wenu m asema ' Mungu ameniambia.. ' Nani alikuona au kusikia ukiongea na MUNGU? 😅

  • @EliasMoyo-g3p
    @EliasMoyo-g3p Місяць тому

    Tunajua wengine amutakubali kuambiwa ukweli akuna neno la mungu itakayo itaji pesa mtu yeyote ana nena neno la mungu ni zadaka tu sio pesa na zadaka aina kiwango ni chocho kitu Ulicho nacho sio ivyo walivyo manabii wa uwongo apana

  • @JacksonMfinanga-bd4zb
    @JacksonMfinanga-bd4zb 2 місяці тому

    Ata yesu alitenda miujiza kwanini Nas tusifate miujiza

  • @emanuellyatuu731
    @emanuellyatuu731 2 місяці тому

    Jamani acheni ujinga wa kutukanana kwani hamsomi maandiko ? Zitafakarini hizoroho kama zimetokana na Mungu au laa

  • @shadrackjuliuskaboya5239
    @shadrackjuliuskaboya5239 3 місяці тому +4

    Kaka wew kinacho kuuuma nini ya kina mwamposa waachie wenyewe wewe Muhubiri tuu kristo na maisha mengine mbinguni niushauri wangu tuuu*

    • @DeusdeditMichael
      @DeusdeditMichael 3 місяці тому

      @@shadrackjuliuskaboya5239
      2TIMOTHEO:4:2
      2 lihubiri neno, uwe tayari, wakati ukufaao na wakati usiokufaa, karipia, kemea, na kuonya kwa uvumilivu wote na mafundisho.
      2 Timotheo 4:2
      BASI, TUNAWEZA MSAIDIA PASCAL KAMA KUNA MAHALI AMEENDA NJE YA NENO HILO.

    • @PhennyBunde
      @PhennyBunde 2 місяці тому

      LAZIMA ASEME UKWELI ILI WATU WAJUE KULIKO KUNYAMAZA ILHALI KUNA WATU ANGEWAOKOA KWA KUSEMA UKWELI

  • @MtongaLine
    @MtongaLine 2 місяці тому

    Wee acha kuomba hela kwa wapagani ni vizuri kuomba kwa God

  • @JamesSichimata-w1u
    @JamesSichimata-w1u 3 місяці тому +4

    Wewe mwenyewe tutakuamini vipi

  • @mercykariithi7919
    @mercykariithi7919 12 днів тому

    Ushenzi na ushetani mambo leo

  • @AnithaRobert-l4k
    @AnithaRobert-l4k 2 місяці тому

    Acha mwamposa afanye kazi aliyopewa na yesu

  • @sneckyBoe
    @sneckyBoe 2 місяці тому

    Binadam hana jema ata cku moja

  • @SelemanZakalia
    @SelemanZakalia 3 місяці тому +3

    Cassan paza sauti nakuyakemea mungu atakulinda

    • @obinasimbeye1750
      @obinasimbeye1750 3 місяці тому +1

      Sio kazi yake hiyo ya kung'oa magugu ni kazi ya Mungu

  • @EDINASIMON-c5t
    @EDINASIMON-c5t 3 місяці тому

    Wew utateseka sana,achana na kalama za watu utafika uendapo umechoka

  • @FelicitaTakimazi-pl2ne
    @FelicitaTakimazi-pl2ne 3 місяці тому

    Huna maarifa pastor kachaji kichwa

  • @beinafuu6219
    @beinafuu6219 3 місяці тому +1

    Mnaumia sana mbona jaman

  • @nicholausmlonde7435
    @nicholausmlonde7435 2 місяці тому +1

    Acheni awaambie ukweli makasiliko yann sema baba wapate kuponaaàaaa

  • @CountryWizzy-zn4iu
    @CountryWizzy-zn4iu 3 місяці тому

    Acha majungu usimchafue mtumishi wa mungu. Fanya miujiza ya mungu wako tuone.huna lolote

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 3 місяці тому +3

    Shetani hana nguvu kufanya miujiza zinazotendeka katika kanisa la Mwamposa.

    • @DEBORAHMASANJA-yz3go
      @DEBORAHMASANJA-yz3go 3 місяці тому

      Pole sana tena Sana umedandia imani kwa mbele eeeh Mungu akuhurumie sana

  • @njelenjetv
    @njelenjetv 3 місяці тому +2

    Yaani mpaka umtaje mwamposa ndio Kiki yako pole sana

  • @AileenLema-r8e
    @AileenLema-r8e 3 місяці тому +1

    kama kweli Mungu tunayemwabudu yupo hai na aishi
    tumwachie yeye atoe hukumu ya haki
    huwezi kuhukumu maana hata ww mwenyewe unatumika.kuwachafua viongozi wenzako
    huewezi kuhubiria watu habari za kanisa lingine
    Mwache.Mungu mwenyewe apitishe Mundu kuvuna ngano na magugu
    ww una jicho lipi la kufichua uovu wa wenzako?

  • @SereneIcyComet-gd5we
    @SereneIcyComet-gd5we 2 місяці тому +1

    Huu mchungaji hafaai Hana lolote maana anaonyesha kuwa neno la mungu limegeuka kiwanja cha wanasiasa. Labda nataka niulize kitu Sasa yeye mbona anahitaji manabii wote wafungiwe makanisa yeye ataweza kutusaidia matatizo yetu au anataka tuwarudie waganga wa kienyeji???