Dudu Baya afichua siri mtoto wake wa kwanza wa kike 'vijana waharibifu tutatoana roho'

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 130

  • @mwisukulu1
    @mwisukulu1 6 років тому +51

    Dudubaya leo amenywea, iyoo KONKI!.......KONKI!.....KONKI! MASTER AMEITAJA KWA NIDHAMU KWASABABU YA BINTI YAKE YUPO😂😂😂😂

  • @boazsebastian358
    @boazsebastian358 6 років тому +19

    msamehe mtoto wako watoto wa siku hizi akili zao moja,hakuna baba mwingine just imagine baba yako angekukataa ingekuwaje samehe dam yako ,konk,konk,konk master oil chafu aichafuliwi nakukubali shabiki namba moja

  • @susanlazaro7492
    @susanlazaro7492 6 років тому +7

    Hongera konki

  • @MOJAZAIDI.
    @MOJAZAIDI. 6 років тому +6

    DUDU NA BINTI YAKE SAFI SANA BABAAAA

  • @tanzaliyaoman471
    @tanzaliyaoman471 6 років тому +9

    Konki konki konki master maria mtot wa mamba

  • @dodoshavu488
    @dodoshavu488 6 років тому +12

    Sura ya baba

  • @salummuhija4435
    @salummuhija4435 6 років тому +16

    Dudu uwe unakumbuka maneno yako sisi mashabiki wako tunakumbuka ulisema kwamba wile akifuata protocol ya kuomba msamaa, akitafuta watu akaenda mpaka kwa bibi yake yaani mama yako wewe akiomba na mama yako akikuita mtayaongea mtayamaliza sasa leo tena unaanza kufananisha na usaliti wakina yuda huko mbona unaenda mbali sana ndugu huyo ni mwanao alafu kumbuka kuna umri ,Wile sasa hivi amekuwa anajitambua na anaonekana anajutia yaliyopita na anakupenda baba yake. Ushauri wangu acha kuweka maneno magumu kwa mtoto bhana leo hapo unajisikia fahari baada ya kuwa na binti mkubwa hivyo embu badilika mambaaa.

    • @luckydavid7475
      @luckydavid7475 6 років тому

      Salum Muhija no uyo wile ni msengeee baba yake acha roho imuume Amemuleaa toka mdogo saanaaa kahangaika nae mpaka anaosmeshwa medium then mtoto from no where unashangaaa eti kaacha shule bila ww kujua iyo ni halali kweliii?? Afuu unaambatana na mama yako alokutelekeza since una miezi hiyo si halali kamkiseaa Sanaaaa ...

  • @maulidijuma1890
    @maulidijuma1890 6 років тому

    dudu msamehe mtt hata ss tunawatoto mungu atasimama tumuombee wote natumsamini mtt kwani kumbuka amli kumi zamungu olewao wasio fata maandiko!!!!

  • @nellymatalanga5033
    @nellymatalanga5033 6 років тому

    Nice one atleast unashughulikia wanao kuna wengine taabu tu

  • @WiseManOfficialTz
    @WiseManOfficialTz 6 років тому +4

    Hongera sana brother

  • @tonywilliams8819
    @tonywilliams8819 6 років тому

    Congrats brother!!
    That is a beautiful daughter

  • @officialblackotz7339
    @officialblackotz7339 6 років тому +3

    Dah bro mbona leo umekuwa mpole ivyo😂😂 kwel leo kisu kko shingon

  • @stevenmsaaada.msaada.389
    @stevenmsaaada.msaada.389 6 років тому

    Safi sana konki. Msamehe tu mtoto mpe tu adhabu yakutosha.

  • @sophicatesalim9757
    @sophicatesalim9757 6 років тому +15

    Msamehe mwanoa tena mtoto wakiume uyo wazazi tunaona mengi na mtoto akinyelea paja alikatwi hasira au chuki ukimuekea atateseka naomba umsamehe

  • @saadakiyungi7155
    @saadakiyungi7155 6 років тому

    Hongera dudu

  • @gloriamichael7935
    @gloriamichael7935 6 років тому

    huyu ndo baba wa kweli fujo niwakati watoto hawapo wakiwepo nywiiiiiiiiiii.chondechonde brother dudu baya msanehe mtoto Wile kaka yangu rudisha upendo ule wa kwanza km ulivyoouimba ule wimbo wa mwanangu Wile .kumbuka ule mkataba wetu na Baba yetu wa mbinguni wa kuwa utusamehe makosa yetu km na sisi tunavyowasamehe waluiotukosea samehe brother .leo ni yetu kesho c yetu brother. tunalolijua ni letu brother lkn tusilolijua ni la Mungu Baba .samehe bila kurudi nyumba..the past is over focus the future only nakuomba sana dudubaya punguza hasira .hasira ni mbinu /siraha ya mwovu shetani kukuvutia upande wake kataaa wewe ni mali ya Mungu tu .samahani lkn km nimekukwaza barikiwa sana

  • @fedyrunya1
    @fedyrunya1 6 років тому

    Na kukubali bro God bless you

  • @adamuiddy3183
    @adamuiddy3183 6 років тому

    Mambaaaaaaa nakukubali konk

  • @hamisihassan9018
    @hamisihassan9018 6 років тому +11

    Konki leo unaongea na heshima ama wamuogopa binti yako.

  • @braysonmeleto3129
    @braysonmeleto3129 6 років тому

    una binti mkubwa hivo muangalie hamorapa hachelewagi kuvamia hahahahaaaaaaa

  • @jacobmlagala278
    @jacobmlagala278 6 років тому +1

    Mtoto ni mtoto wako tuu. Unamsamehe unaaza upya. Konki huo ndio ukidume. Halafu kuongelea matatizo ya familia mtandaoni sio vizuri.

  • @elifarajamadangi1753
    @elifarajamadangi1753 6 років тому +5

    hongera konki konki konki master

  • @milanzisalum9305
    @milanzisalum9305 6 років тому

    Ongera sana mkuu

  • @fruitfulmpanduji.6732
    @fruitfulmpanduji.6732 6 років тому +1

    Hongera konk mmmh mmefanana sana na maria mwanao yaani copy kabisa

  • @ibbu-tz
    @ibbu-tz 6 років тому

    Hivyo anavyovaa unaanzaje kuwazuia vijana? Yaani unapita na kapu la nyama mbele ya Simba ukiamini Simba hao watawawinda swala waliopo msituni wakuache wewe uliewarahisishia kuchinja na kuwaletea?
    Dudu Baya usitutishe bana ... 😁😁😁
    KONKI KONKI KONKI MASTER!!!!

  • @deblackmalkia7334
    @deblackmalkia7334 6 років тому

    msamehe mwanao konki konki konki master

  • @ramadhankibwana6425
    @ramadhankibwana6425 6 років тому +1

    Mzee baba umenyweaa Leo akuna cha konk wala kunk

  • @salamaamos4013
    @salamaamos4013 6 років тому +6

    Konki mlango umemshinda kufungua 😂😂😂😂

  • @josephnjeno2582
    @josephnjeno2582 6 років тому +14

    Aisee maria mbona tumekuwa wapenzi mda wote huo hukuwahi kunambia kama konki konki master ndo ba mkwe daah maskini roho yangu mali konki si angenijua si angenifanyia ya mr nice

  • @gracegilbert2882
    @gracegilbert2882 6 років тому

    dah had raha leo konk master kawa mpole balaa

  • @saltanal-amri3950
    @saltanal-amri3950 6 років тому

    Kafanana na willy

  • @emanueliwilisoni3968
    @emanueliwilisoni3968 6 років тому

    Apna dudu msamhe

  • @gggjjahhhh9419
    @gggjjahhhh9419 6 років тому +1

    Mmefanana balaaa

  • @nshonabdll9363
    @nshonabdll9363 6 років тому

    Kumbe mtt mkubwa dudu ss ivibutaozesha

  • @noelbryson7840
    @noelbryson7840 6 років тому

    Sasa kwa dizain hii watoto watakuheshimu kweli ?? Kweli hili dudu baya...

  • @alikhalfani7941
    @alikhalfani7941 6 років тому

    ManshaAllah

  • @ifgodsayyes.nobodycansayno1796
    @ifgodsayyes.nobodycansayno1796 6 років тому

    KONKI KONKI KONKI MASTER MAMBA UNGDKUWA PASTER

  • @josephngonyani361
    @josephngonyani361 6 років тому

    msamehe bro

  • @tungundanya9569
    @tungundanya9569 6 років тому +3

    Mmh hil jamaa kumbe linafamily!

  • @abcdefgger
    @abcdefgger 6 років тому +3

    Nice nice

  • @jamesngundateresia2600
    @jamesngundateresia2600 6 років тому +12

    Kweli ukubwaa dawa
    Naona unakuwa mkwee sasa ANGALIA DAYMOND HAPO

  • @nkwabitz233
    @nkwabitz233 6 років тому +2

    bintiii mzuriii

  • @shaloboy3861
    @shaloboy3861 6 років тому +7

    Konki awezi teseka uzeeni

  • @kiluwasalum5002
    @kiluwasalum5002 6 років тому +1

    Simba ajamuona swala uyo mmmm angalia

  • @mohamedsadiki1575
    @mohamedsadiki1575 6 років тому +4

    dudu mwanao mh

  • @claralassonn8833
    @claralassonn8833 6 років тому

    Mwanao akinyea mkono utaukata?

  • @jamilijuwly1564
    @jamilijuwly1564 6 років тому

    Mashallah

  • @subirachuttar6490
    @subirachuttar6490 6 років тому

    Hivi Sami Sago na wale wengine mliotajwa kuwa ni mashoga, Kwanini msitumie hii opportunity mkamjaza mimba huyu binti ili tupate muendelezo wa Konk konk konk Master?.

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan6365 6 років тому

    Kwa ushaur wangu msamehe mtoto wako, kila mtoto hakosi changamoto, mapungufu ni lazima kwa mtoto.

  • @njeerysalum5862
    @njeerysalum5862 6 років тому

    kuuaa makinii msichanaa asikulambee maanaa babako nimbayaaa

  • @Chillaxingpics
    @Chillaxingpics 6 років тому

    Hapa ukikosea number unaezajikuta pabaya

  • @TangaTVonline
    @TangaTVonline 6 років тому +6

    wakwanza hapa

    • @zaiiomary8970
      @zaiiomary8970 6 років тому

      Huyu dada kafanana na wile mashaallah

  • @mariammwanga5680
    @mariammwanga5680 6 років тому

    Acha uongo mtt anasoma bunju et internet school

  • @florambwambombwambo1322
    @florambwambombwambo1322 6 років тому

    msamehe mwanao mtoto akinyea mkono haukatwi baba

  • @manawaaporinary9635
    @manawaaporinary9635 6 років тому

    Dudu baya konki konki konki master

  • @michaelhumbi2728
    @michaelhumbi2728 6 років тому

    Konk3 ana shine 2

  • @getrudamatoto1979
    @getrudamatoto1979 6 років тому

    Binti mremboooo

  • @mwanajumaomahundumla6504
    @mwanajumaomahundumla6504 6 років тому +9

    Wamefanana

  • @ashasabuni6275
    @ashasabuni6275 6 років тому

    naomba msamehe mtoto wako siunajua watot wa siku izi msamehe2

  • @exaverymchilo5721
    @exaverymchilo5721 6 років тому

    Unaakili mkuu hakuna zaidi ya shule

  • @maggiefaith1758
    @maggiefaith1758 6 років тому

    watoto ni hazina

  • @neemajavan4125
    @neemajavan4125 6 років тому

    binti mzuri

  • @mursilmursal
    @mursilmursal 6 років тому +1

    Chunga simba awachi yeyote

  • @Dr.zaidi4
    @Dr.zaidi4 6 років тому

    Baba kumshikia mtoto ambaye ajavuka 25 years haifai.

  • @suleimanseleman1324
    @suleimanseleman1324 6 років тому

    Muweke mbal na diamond huyo atamkula sasa hiv

  • @hashtagdarling4738
    @hashtagdarling4738 6 років тому

    Mambo ya umeme

  • @fediliaulomi4969
    @fediliaulomi4969 6 років тому

    leo konki aongei ujinga

  • @shadyajm6534
    @shadyajm6534 6 років тому

    mtoto kiunu kinaonekana mbele yababa yako ndio utamaduni gani

  • @isaacmakiro1140
    @isaacmakiro1140 6 років тому

    maria mwenyewe sura ngumu ka jiwe

    • @ufgvhhuv7661
      @ufgvhhuv7661 6 років тому

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂umeniwahi mie

    • @zaitunabdalla1319
      @zaitunabdalla1319 6 років тому

      Baki nayako laini

  • @noelbryson7840
    @noelbryson7840 6 років тому

    Acha kulaani mtoto fala wewe!! Wewe mwenyewe wazazi wangekulaani usingefika hapo!! Kama we ni baba bora ungekuwa na mke pamoja na watoto wako mnaishi pamoja!! Sasa jitu zima linaishi ghetto, Si bora hata yule mtoto wako ana akili sana..

  • @asiahmariam3942
    @asiahmariam3942 6 років тому

    Ni binti yake kwel damu nzito kuliko maji

  • @banshbansh2329
    @banshbansh2329 6 років тому

    msamehe tuu mwanao usiongee maneno makali utampa lana mtoto

  • @dodoshavu488
    @dodoshavu488 6 років тому +1

    Mbayaaaaaaaa 😄😄😄😄😄😄😄😄

  • @daudimalangu1708
    @daudimalangu1708 6 років тому +7

    Mueke mbali na chibu huyo.....

  • @paulotungumageti3461
    @paulotungumageti3461 6 років тому

    mambaaaaaaa

  • @frenknyakata
    @frenknyakata 6 років тому

    Mpumbavu sana hata kama anaozesha mjinga sanaa

  • @mayaally2512
    @mayaally2512 6 років тому

    msamehe mtoto hayo maneno no mabaya sana kwa mtoto wako hata kama unamuacha kwa mabaya yake ila msamehe .usiongee tu kama unaongea

  • @hassangomai8884
    @hassangomai8884 6 років тому

    konk uyo mariya muweke mbali na simba simba ananjaaa atakula nyama bila wewe konk konk konk mast kujuwa

  • @josephinemakungu8447
    @josephinemakungu8447 6 років тому +3

    chewing gum vipi

  • @davidkawesa3365
    @davidkawesa3365 6 років тому

    Konk maneno yako yazamani lakini ni mapya kwa sasa Usaliti ni kifo kabisa

  • @rizikijohn4594
    @rizikijohn4594 6 років тому +1

    kooonki koonki koonki master

  • @zarinahqueen5894
    @zarinahqueen5894 6 років тому

    Huna lolote wewe unajuwa nimangapi urio mkoseya mama ako

  • @mohamedsadiki1575
    @mohamedsadiki1575 6 років тому +1

    yule anaeuza mihogo coco beach mbon wamtenga

    • @luqmanmbwana7425
      @luqmanmbwana7425 6 років тому

      Yule haja mtenga ila wewe hukujua kitu tu hapo. Kama utakumbuka wile ndiye mtoto pekee aliye kuwa arushwa sana na babaake kuliko mtoto hoyote kati ya aliokuwa nao. Ila sema tu mtu ukimpenda sna halafu akizingua unaumia mnoo. We chunguza utajua mengi tuu wille anamuuma sanaaaa

    • @mauahussein9833
      @mauahussein9833 6 років тому

      Mohamed Sadiki unamjua

  • @samuelgodfreymwambashi8835
    @samuelgodfreymwambashi8835 6 років тому

    Msamehe nwanao wewe.

  • @amurikakombe7213
    @amurikakombe7213 6 років тому

    Ila huyo binti ana sura mbayaaa 😂😂😂

    • @marygoshashi1566
      @marygoshashi1566 6 років тому

      Amuri akombe we sengerema kweli...wewe una nzuri??

    • @msafirisalum8436
      @msafirisalum8436 6 років тому

      Kumkashifu mungu brooo kauli hiyo

    • @hanskieke7422
      @hanskieke7422 6 років тому

      Umetizama familia yako kwanza

    • @annaelia5743
      @annaelia5743 6 років тому +1

      looo ya kwako umeiona au
      ni kioo kinadanganya

    • @rostamkamazima1012
      @rostamkamazima1012 6 років тому

      We ndio maana umeolewa kwa sura yako nzuri

  • @kaliwa.nyandaganji2581
    @kaliwa.nyandaganji2581 6 років тому

    Konki jichunge kwa maria mond ataonyesha kua hana malinda

  • @hasiyakeniyausiachiebabu7634
    @hasiyakeniyausiachiebabu7634 6 років тому

    we msamehe mtoto wacha bifu unamsamaha ulianzaje

  • @jemima86
    @jemima86 6 років тому

    Mzazi aina gani wewe dudu tena Una refer Kwa Bibilia Mungu akusamehe. Ikiwa mwana mpotevu alisamehewa na babake na wewe Una ukamilifu gani mbele ya Mungu??? Mwili mkubwa akili hakuna. Mtu mzima ovyo nkt