MPAMBANO: DUDUBAYA Vs WILLE Mwanae!

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 12

  • @zepinashatibu5149
    @zepinashatibu5149 10 днів тому

    Baba mkweli mtoto muongo mala aliniacha kunilipia ada nikiwa dalasa la tano mala nilienda kwa mama nikiwa form two kweli adabu umekosa 😢

  • @sheillahchisika8414
    @sheillahchisika8414 6 років тому +1

    Dar Kijana kakosa heshima lakini baba msamehe tu ni mwanao

  • @muyaf2051
    @muyaf2051 6 років тому

    Mtoto mvuta bangi huyo. Hakuna adabu kabisa

  • @robertsingombe1643
    @robertsingombe1643 6 років тому

    huyu mtoto hana akili baba ni baba tena anaoneka ni mvuta bangi tu na ninyi wanahabar msiwe mnawapa inrtrvw watu kama hawa. akumbuke yule ni baba ake

  • @hawaynatimam982
    @hawaynatimam982 4 роки тому

    Kwaiyo tatizo kubwa ni kwamba jamaa kaanza mziki bila kumtaarifu baba,

  • @kingkiwango1435
    @kingkiwango1435 6 років тому

    Vita vya panz furaha ya kunguru sasa hapa cjui tutasemaje mana naona media vnajtahd sana kufukunyua hk ktu

  • @OnlyRuky
    @OnlyRuky 6 років тому +2

    Dudu baya kapanick dogo anaongea kiutulivu na kueleka sema ndiyo hivyo wazazi wanadaraja lao

    • @hassanmakacha3942
      @hassanmakacha3942 6 років тому

      Huyo baba lazma apanic kama mzaz ache kupandikiza chuki

  • @shahamohamedy5675
    @shahamohamedy5675 6 років тому +1

    Dogo kapotea sana duu aombe radhi baba ni baba tu

  • @makalanimau4649
    @makalanimau4649 6 років тому +1

    dogo mpumbavu wewe amekuzaa nani,amekulea nani boya wee hautafanikiwa bila baba yako mpuuzi wee,

  • @ramamohammed4334
    @ramamohammed4334 6 років тому

    daa hyu dogo kapotea coz ana danganwa na marafiki wa baya

  • @sahulitv860
    @sahulitv860 6 років тому

    Mtoto kakua eh shida
    Tazama pia hii mwanafunzi amtega mwalimu wake darasani mapaja nje njem.ua-cam.com/video/ZO2SndhkKGc/v-deo.html