RECAP: DIAMOND amedanganya kulipwa BILIONI 2.3 mbele ya RAIS RUTO?? Ukweli huu hapa, REMA & RIHANNA?

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 січ 2025
  • Bongo5 is a dedicated to creating the best content for you, our audience!
    We hope you enjoyed this video, and ask you to please like & subscribe to our channel if you haven't yet. Have you had a great experience with our channel? Let us know in the comments below!
    #entertainment #news #music #funny

КОМЕНТАРІ • 113

  • @MuganzaIlkando-l7v
    @MuganzaIlkando-l7v 19 днів тому +9

    Diamond platnumz deserves because is the beast incarnate

  • @BarbaraPatience-qt9cc
    @BarbaraPatience-qt9cc 19 днів тому +17

    Yaani Wewe ndio unajua music kweli! .Huyu Coslo ni taajiri Mombasa! Watanzania munasikiza mwijaku Sana....Yule mwijaku NI mwehu jamani

    • @MaMa-gp1pw
      @MaMa-gp1pw 16 днів тому +1

      Lakini billioni mbili uongo mtupu labda western miuzishiabs wakisasa

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 19 днів тому +12

    Huo ni ukweli ame pewa pesa ndefu sana

  • @MwombeKevin
    @MwombeKevin 19 днів тому +7

    Diamond platinumz super star 🌠 bana

  • @tekashichannel
    @tekashichannel 19 днів тому +12

    Diamond platnumz 🦁 is a king 👑 of Africa

  • @JacksonKachila
    @JacksonKachila 19 днів тому +6

    Uko saw🎉🎉

  • @hadijandope6991
    @hadijandope6991 14 днів тому

    Wala sioni tatizo nashangaa na watu kutoamini. Amesema amelipwa hiyo amount mbona tusiamini. Keep up Diamond

  • @MosesMzungu-v9j
    @MosesMzungu-v9j 19 днів тому +3

    Diamond ni level nyingine banaaa amelipwa

  • @mudibojaffar9269
    @mudibojaffar9269 19 днів тому +4

    Kalipwa kaka

  • @AzizMansur-uz1yv
    @AzizMansur-uz1yv 19 днів тому +8

    Wewe ni chawa wa diamond kabisa hujawahi kuongeya vibaya kuhusu diamond mjinga sana

    • @Anthonyzombie-d2s
      @Anthonyzombie-d2s 19 днів тому

      Mbn wamakonde mnaumia san?ndug yenu yup.mloganzila anatafuta mashepu

    • @eleven-in5qw
      @eleven-in5qw 19 днів тому +1

      Mwambie msanii wenu afanye kazi hapa hatuzungumziii wanawake kazi pekeake

    • @daudiofficial143
      @daudiofficial143 19 днів тому +1

      Always wabongo mnawapinga wasanii wenu akili zenu fupi sana ko ulitaka ulipwe wewe au😂

    • @sulleymernmannarah7930
      @sulleymernmannarah7930 18 днів тому

      ​@@Anthonyzombie-d2s😂😂😂

    • @MsalabaniReko
      @MsalabaniReko 18 днів тому

      Sasa kama ilo baya alipo ataongea atalitolea wapi au unataka aseme uongo

  • @AbdulSindano
    @AbdulSindano 18 днів тому +4

    Kalipwa

  • @PaulWekesa-z8o
    @PaulWekesa-z8o 18 днів тому +3

    True bro

  • @Newpowerog
    @Newpowerog 19 днів тому +5

    We na mond akili mavi

  • @ERICKMAKENGO-cc9bk
    @ERICKMAKENGO-cc9bk 18 днів тому +3

    Yeah really amelipwa fedha kiasi kikubwa

  • @EdsonyMashaka
    @EdsonyMashaka 19 днів тому +4

    Kweli k aka

  • @donbrighter
    @donbrighter 19 днів тому +4

    Dollar Million 1 bro

  • @Rukaka_jr
    @Rukaka_jr 18 днів тому +4

    Sasa kama kapewa kwann watu wanaumia, tutafute hela jaman na sio kupunguza sifuri kwenye hela za watu 😂😂😂😂

  • @CheloDangote
    @CheloDangote 18 днів тому +4

    🔥🔥🔥🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 goma

  • @ramayonline2281
    @ramayonline2281 17 днів тому +1

    Diamond Platnumz ataendelea kuwaamiza vichwa sana haters

  • @johnmasha7851
    @johnmasha7851 19 днів тому +12

    Hizi ujinga adanganye wa Tz ashawazoea

    • @emmakicham4664
      @emmakicham4664 19 днів тому

      Aty diamond ametambulisha huyo billionaire 🤣🤣🤣🤣the guy ametambulika coz he has money🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @ErickCosmas-r8h
      @ErickCosmas-r8h 18 днів тому +1

      Wakenya diomond anawanyoosha kweli mtaisoma namba kwa wasanii wa Tanzania na hizi nyimbo zenu za kikenya za kishamba kwanza Tanzania uwezi kukuta mahali popote inapigwa nyimbo za Kenya wasanii wenu awajui kuimba

    • @johnmasha7851
      @johnmasha7851 18 днів тому +1

      @@ErickCosmas-r8h we dinywa msee

    • @johnmasha7851
      @johnmasha7851 18 днів тому

      @@emmakicham4664 baana

    • @DavisKashvant
      @DavisKashvant 16 днів тому

      kwanini sasa hakutrend kitambo​@@emmakicham4664

  • @AliMfundo-q1k
    @AliMfundo-q1k 18 днів тому +3

    So walishindwa kumlipa Ali kiba juu aliitisha pesa nyingi wajua King n King so bro acha kudanganya watu basi juu inaonysha Diamond hakulipwa hyo pesa, Ali kiba alikataaa juu ni pesa ndogo, Kings salute for King kiba

    • @noahmbaru9117
      @noahmbaru9117 18 днів тому

      Si ndo apo sasa😂

    • @InosentRogart
      @InosentRogart 17 днів тому +1

      Alikib ni msanii mdogo na Hela anayotaka ni kubwa wakaona acha ikae Bora wamchukue msanii mkubwa

  • @MohrkeyMalaz
    @MohrkeyMalaz 19 днів тому +3

    To cut the story short juu ni Diamond wenu yes amelipwa... Kuna kitu kingine ama iyo tu

  • @Zanzibar2023Zanzibarzanzibar
    @Zanzibar2023Zanzibarzanzibar 18 днів тому +4

    American wana Msemo wao fake it until you make it Jamaa anajua kutengeneza attentions his very Smart mana media za Chochoroni zote zinazungumzia $ML.1 now sasa uwepo wa Raisi Ruto inaingiliana na nini Malipo ya Wasanii, alafu kama Wlaikataa kumlipa Ali walisema Nyingi then watoe ML1$, alafu mbona Kishafanya Shows nyingi za Weddings Zanzibar

  • @ramazanitresornikobiba172
    @ramazanitresornikobiba172 19 днів тому +6

    Hakulipwa hio pesa acha porojo sasa rais ruto alilipwa pesa ngapi???unazungumza mwenyewe ya kwamba ally kiba alimchaji pesa nyingi

    • @HamisiMstafah
      @HamisiMstafah 19 днів тому

      Acha ushamba ww, Ruto alipwe yeye ni msanii au

    • @rayrayza2496
      @rayrayza2496 18 днів тому

      😂kwani ruto nae ni msanii

  • @AunyuGad
    @AunyuGad 17 днів тому

    Hate it or Love it Diamond cant be compared to anyone in East Africa

  • @allenkwaya8594
    @allenkwaya8594 17 днів тому

    Msanii wakwanza Tanzania kwa uwongo ni Diamond...wapili Baba levo

  • @CrintonJohn
    @CrintonJohn 17 днів тому +1

    🔥🔥🔥🔥👐

  • @mohamedmanga8391
    @mohamedmanga8391 18 днів тому +2

    Shida ya watanzania ni kwamba kenya tukisema million nyinyi mnasema billion, hiyo pesa kwa Khosla ni kitu kidogo sana mbona mwashangaza.

  • @ZeyanaKhamismashaka
    @ZeyanaKhamismashaka 16 днів тому

    Kalipwaa bhnaaa

  • @NiceB-o9m
    @NiceB-o9m 19 днів тому +5

    Uhakik kalipwa banh mwenye wivu mnateseka mkiwa wap😂😂😂😂

  • @IkoUwasi-it6qy
    @IkoUwasi-it6qy 19 днів тому +5

    Msanii kuimba kwenye harusi hakushushi Brand bali inategemea makubaliano yenu ya kipesa na aina ya harusi ni ya watu gani davido kafanya hivyo india hata wamarekani kadhaa wameshawahi kufanya hivyo muhimu ww mwenye harusi upo tayari kumlipa msanii na kumbuka hao wenye harusi ni matajiri so pesa kwao siyo ishu ndio maana wamesema harusi imechukua gharama kubwa

    • @AllyNzisabira
      @AllyNzisabira 18 днів тому

      Wanafanya hivyo ila kwa kulipwa héla ndefu mno maana utayapokea matusi na vitu vingine vya kukuponda ko bora upondwe ila umeingiza mkwanja

  • @NeemaThomas-s2x
    @NeemaThomas-s2x 19 днів тому +2

    Kwenye hizo b7, B 2 zake zimo

  • @Manumwarome001
    @Manumwarome001 18 днів тому +2

    Sisi tunaoishi mombasa tunajua ukweli diamond hakulipwa iyo hela ni uwongo

  • @makameniga9566
    @makameniga9566 18 днів тому +3

    Njaa inakusumbua ww

  • @shwaibukhatibu2838
    @shwaibukhatibu2838 19 днів тому +3

    Hii harusi ilikuwa apperform alikiba kuna namna mazingira yanaonyesha

    • @AllyNzisabira
      @AllyNzisabira 18 днів тому

      Alikiba alitaka pesa ndefu ambayo haiendani na jina lake😂😂😂

  • @JeanJeandamancenJaden-h8p
    @JeanJeandamancenJaden-h8p 19 днів тому +2

    Alikiba amekata kuasababu nidongo

  • @Smart_overseas_education
    @Smart_overseas_education 16 днів тому

    Mzee wa i guarantee you😂😂😂

  • @VeroniqueNgoy-f3q
    @VeroniqueNgoy-f3q 19 днів тому +3

    Africa mashariki ulipwe b 2 akuna kitu kama hicho.

    • @VailethMwaikambo
      @VailethMwaikambo 18 днів тому

      Tatzo hauna Hela siyo kosa lako cz ht akil ya kulijua Hilo hauna

    • @VeroniqueNgoy-f3q
      @VeroniqueNgoy-f3q 18 днів тому

      @VailethMwaikambo Africa mashariki ulipwe b 2 akuna kitu kama hicho

    • @ramayonline2281
      @ramayonline2281 18 днів тому

      Ila angeitwa Rihanna,Davido ungekubali…???😂😂😂😂😂alaf msanii anayetokea Tanzania unakataa..!!!!

    • @VeroniqueNgoy-f3q
      @VeroniqueNgoy-f3q 17 днів тому

      @ramayonline2281 ttz amtumii akili.

  • @Divar01-tx8wl
    @Divar01-tx8wl 18 днів тому +2

    Sasa kam.alikiba wameshindwa kumlip diamond wamewezaje yani kiufup yeye diamond ndo kapata kaela kadog Iyo Ni ku trending tu brooo tun jua ww Ni shwa WA diamond KO utusumbu diamond alisha jijua yeye Ni muong na watu tulisha mzoeza aka danganye vijijini uko

  • @BisiMayala
    @BisiMayala 17 днів тому

    💪💪💪

  • @RonnieBertin
    @RonnieBertin 19 днів тому +2

    Inakuhusu nini hata kama amefanya bure

  • @amanrashid7061
    @amanrashid7061 18 днів тому +2

    Mbn wa kina Bieber walienda kwa amban

  • @RajabJuma-m2n
    @RajabJuma-m2n 19 днів тому +3

    Wewe tushakuzoea sikuzote nimtetezi huna jipya

  • @CelineRio-uh7rp
    @CelineRio-uh7rp 18 днів тому +1

    Alipwe ao asi lipwe iyo ni maisha yake bro😅

  • @mustafamsati9599
    @mustafamsati9599 18 днів тому +2

    Hahaha kumbe sikuiz unamjua vizuri kua chibu ni mzee wa kuongeza sifuri?

  • @DaluNdeyanka
    @DaluNdeyanka 14 днів тому

    hivi ni diamond ama ni wasafi kwa ujumla zuchu je

  • @mtazycomedy
    @mtazycomedy 15 днів тому

    Mondi unatred sana akija kwako

  • @VeroniqueNgoy-f3q
    @VeroniqueNgoy-f3q 19 днів тому +2

    Ilitakiwa aseme ambae alimuita afanye show.

  • @ErastoNzibonera
    @ErastoNzibonera 19 днів тому +1

    Shida ni yule mmakonde wa Harmonise wa darasa la saba ndo anabwekabweka akisikia bilion ajui ata kuesabu

  • @MelvinMwakale
    @MelvinMwakale 18 днів тому

    Uongo yeye sahiii anachukua chochote kitu

  • @AllyNzisabira
    @AllyNzisabira 18 днів тому

    Watanzania tushawazoea husamini vya watu from no where ila akiwa mtoto wao gere zazidi sijui kwa nini wakati akiwa chini wanatamani apande juu akishafika juu wanaanza kunongwa na kumshambulia wakitaka ashuke aisee

  • @MsalabaniReko
    @MsalabaniReko 18 днів тому

    Mimi nasimama na ww diamond anastaili kbsa mana anajielewa sana ww jamaa unajua

  • @DAN-O-MWANA
    @DAN-O-MWANA 19 днів тому

    Kama walishindwa kumlipa Alikiba waliwezaje kumlipa mondi
    Bwana Sema unalipwa
    Na nikushauri Bure kaka pesa inapoteza thamani Yako

  • @HajiAliSaid
    @HajiAliSaid 18 днів тому +4

    Yani akuna mtu muongo duniani kama daimondi panya lodi kabasa

  • @gabrielpott3325
    @gabrielpott3325 18 днів тому

    Wa tz sisi niwapumbavu saana huwa hatupendi kuviheshim vyakwetu tunakalia majungu2 yakipumbavu babu me nakuunga mkono uko sawa

  • @OmarGeraldo-i8v
    @OmarGeraldo-i8v 18 днів тому

    We Kaká Kwa kupotosha watu unaongoza

  • @hajjiomary2383
    @hajjiomary2383 17 днів тому

    Sasa billion 2 mbona pesa ndogo sana wakinga wa kariakoo wanazo kibao izo

  • @mtazycomedy
    @mtazycomedy 15 днів тому

    Kwan Tanzania ukidanganya unafungwa bax afungwe

  • @MaMa-gp1pw
    @MaMa-gp1pw 16 днів тому

    Uongo hamna kitu.billioni mbili hawezi lipwa

  • @MasterJay-vr6dc
    @MasterJay-vr6dc 18 днів тому +5

    hiyo pesa hakulipwa,nyie watu wa media hamuelewi...kila anacho andika mondi nyinyi amnaamini niukweli

    • @AllyNzisabira
      @AllyNzisabira 18 днів тому

      Wew usieamini tuhakikishie Sasa kama sio ukweli maana hâta mahakama huandika kitu muhusika hutamka kama wew unapingana nae basi tuhakikishie

  • @HusseinLwambi-k6p
    @HusseinLwambi-k6p 15 днів тому

    Diamondi alijileta tu kujionyesha kama anapendwa kenya aliposikia king kiba alilikataa dili hilo

  • @GilbertRuvugo
    @GilbertRuvugo 19 днів тому +1

    Diamond hajalipwa izo hela hata.... hatukubaki ata.
    Acha wongo dogo

  • @allenkwaya8594
    @allenkwaya8594 17 днів тому

    Uongo

  • @WilbertMagambo-sr1lz
    @WilbertMagambo-sr1lz 17 днів тому

    Huo ni uongo mtupu sifa ndo maisha yake

  • @jumajay8496
    @jumajay8496 19 днів тому

    Diamond hajalipwa hio hela wala hakukua na sherehe ya kulipwa hio hela wacha bilioni 2.5 hata milioni 20 za tanzania hajalipwa lkn watanzania kwa makigambo nyinyi ndio world champions.

  • @HabibaMohamed-h3n
    @HabibaMohamed-h3n 18 днів тому

    Pesa yote iyo apawa mwimbaji uku sisi wakenya twateseka kazi hatuna biashara hatuma

  • @fridahaly9749
    @fridahaly9749 16 днів тому

    Sadala ashazoea kudanganya wabongo basi mnamuamini kila kitu hata kiwe cha uongo..tz artist a known to be liers

  • @abdullahkazungu4025
    @abdullahkazungu4025 13 днів тому

    Hio pesa yenye kalipwa kuna mtu uko Tz anaeza simamia ata nusu ya hio harusi?? Alafu wa tz mjingambe mseme mnapesa .

  • @SalmaLigeni
    @SalmaLigeni 19 днів тому

    Sasa inamaana arikiba alitaka bei Gani mbaka wamekataa wamesema kubwa kwaiyo mondi amechukua ndogo et

  • @kelvinpiko524
    @kelvinpiko524 18 днів тому

    Diamond muongo sana,ata Chris brown alilipwa 90M.....yeye ni zaidi ya brown kweli acheni uongo Diamond anafake sans

  • @fidelitymrina8652
    @fidelitymrina8652 18 днів тому +1

    Kulipwa kalipwa ila Sio icho kiasi Di anatabia yakuongeza no sikunying akuanza leo

  • @JoelMukulu-f4i
    @JoelMukulu-f4i 19 днів тому +1

    Iyi msani ukubwa wake ume changiwa Pia Na Sisi mashabiki kumusapoti mpaka alipo sasa. Na ni asante kwasababu diamond Ana litambua iko. M'y Justin Bieber is platnumz

  • @NepomsenSelestin
    @NepomsenSelestin 18 днів тому

    Shida ya bongo wamejawa chuki2 na wivu yani diamond wanamchukulia kama anda dogi kabisa yan daah ila watanzania tupunguzeni wivu jaman tusipende kudharau wasanii wetu bwan

  • @kelvinpiko524
    @kelvinpiko524 18 днів тому +1

    Diamond stop faking life

  • @JoeZeno-q1b
    @JoeZeno-q1b 19 днів тому

    Bro acha uchawa, kama kuna msanii muongo TZ ni Diamond! Atoe Evidence ili tuamini mbona raisi

    • @agogomgagagigigogo
      @agogomgagagigigogo 19 днів тому +2

      😂😂😂sasa unaumia mwanaume mwenzio akipata mkwanja,mbona Rema alilipwa bilioni 7 kwny harusi kule India ,shida iko wap kwan ndugu,Acha wivu

    • @vanjay8685
      @vanjay8685 19 днів тому

      Uamini wewe na nani😂😂😂, uamini usiamini hupunguzi wala huongezi chochote nyamaza tu

    • @emmakicham4664
      @emmakicham4664 19 днів тому +1

      ​@@agogomgagagigigogorema sio level ya huyo pliz😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @NSHIMIRIMANAMARIAMMARIAM
      @NSHIMIRIMANAMARIAMMARIAM 19 днів тому

      Wivu utakuua ,kwenda Diamond ni Super star

    • @TeophilBuilding
      @TeophilBuilding 19 днів тому

      Sema ww unatombwa akili unaamin mpak kutombw choko ww Kwan huamin kua uyo choko anawez kudanganyw izo ndege mlizoaidiw ziko api matako ya mama Ako hadharan​@@agogomgagagigigogo

  • @hamisibakari342
    @hamisibakari342 18 днів тому

    Ongele wapumbavu wenzio sio unamungelea MFALME ametulia zake huko wewe Unashoboka Kila mtu Anamaslahiyake FALA WEEE

  • @ShebbyTheparadiso-hf6fz
    @ShebbyTheparadiso-hf6fz 18 днів тому

    Hahaha kashindwa kumlipa ali kiba na kaweza kulipa diamond hiyo point imetosha

  • @khaloiyse
    @khaloiyse 19 днів тому

    Bro wewe ndiomana Kila nikiona video Yako siwezi kuipita hivi hivi kwasababu wewe unaongeaga maneno ya mana sana

  • @johnmichaellukindo21
    @johnmichaellukindo21 19 днів тому

    Usituchanganye na wewe por tontería!