Kama umesikia unaitwa wapi na unatokea wapi like hapa joo!! Salute kwa weremura walahi nimerudia Mara toop lkn sijakinahiwa na style Kali ya dogo ya michano!!
Jama ana style Kali ya kuflow sema ryhme zake ni za musoma...akikaa town hata miaka miwili na waliofika mjini...jamaa atatisha Sana'a mungu amsimamie ameeen
@@apiovlwiwa2576 labda kama utakua umenielewa vibaya...jamaa mkali sana wa flow...ya akiswitch atatisha zaidi akichukua flow akaifanya zaidi kwenye modern flow na uandish akachanganya na swaga...kuna lugha naikosa kueleza vizuri...jamaa mkali watoto wa mjini wanasema akifika mjini atatisha zaidi haina maana nimemzalau kua wamusoma hapana bro....
uyo weremula ni combination ya flow zifuatazo...nawasikia 1.kala jeremiah 2.langa kileo 3.mangwear 4. montrah da future 5.godzillah package flan ivii anajua sana jamaa akomae kwenye uandish maana flow anazo nyingi
Umesahau na mchizi wangu kutoka A-Town wanamuitaga Stopper Kama hujasanuka sikiliza Ngoma ya mtu tatu kaka. Huyu homeboy hatar sana. Ntakutafuta homeboy
This is the best free style I have ever seen in this channel this were mulah is on fire 🔥🔥🔥 Every time I visit this channel I don't tire listening to him ...much love from Kenya ❤❤❤
Nahic ujumbe umefika coz dj leo katisha kajua kwenda na style ya uchanaji wa mchiz.. ndo mana mchiz kwnye coment tu inaonesha kiasi gan katisha.. kwaufup Dj katisha na mchiz katisha.. nice
Dk 10 za maangamizi Ndio my favorite kipindi nimesikiliza floor nyingi lakini huyu were muller ni shida anajua mnoo ,kwa siku narudia kuangalia hii floor zaidi ya Mara 3.big up were muller
Oyaah dullah watu kama hawa c ndo tunawatakaaaaa muhuni anajuaaaaa gonga like kama umemuelewaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Nani kagundua huyu jamaaa ana michano Kama ya KALA JEREMIAH agonge like hapa
Asante saaana weremuraaaaa umefny niongoze kwa like👏👏👏👏👏
Were Mullah.. Talented kubwa sana hii. 2023 still listening 🎧
Same here
2024 still watching
Huyu Kijana ako sawa........wapi likes from KENYA
Kama umesikia unaitwa wapi na unatokea wapi like hapa joo!! Salute kwa weremura walahi nimerudia Mara toop lkn sijakinahiwa na style Kali ya dogo ya michano!!
Huyu jamaa Mkali sana, akili ndogo haziwezi elewi. Flow ya biashara 100%
Kweli an kaniacha nimeduaa michano yake adimu sana yakipekee
Aliemkubali dj kwa mpangilio mzuri wa Beats gonga like
⬇👍🏿
Sure DJ kaende nae kwa utulivu sana
Sanaaa
Nadhani hii ndo michano ya mwaka,nipe likes Kama unamkubali weremura.eastafrica radio leta weremura manze kwa interview Tena ana michano Kali.
Huyu jamaa yupo simple and clear unajua, body music dance, ana flow vizur kinyama 2022
Chalii we ni professional kwa floo“kaza kwenye uandishi “
kweli aisee, huyo jamaa uandishi bado
Wtf😂,,uandishi 0% kweli? Acheni izo anajua kucheza na maneno saaana
Jamaa kilicho mbeba kwanza anajiamini sana hana hofu yyte big up were mura... Unajuwa sana mwenetu
Jama ana style Kali ya kuflow sema ryhme zake ni za musoma...akikaa town hata miaka miwili na waliofika mjini...jamaa atatisha Sana'a mungu amsimamie ameeen
Rama Kulaga #Rymes za Musoma tena?😂😂 daah Wabongo bhana, jamaa ni mkali mazima tu!
@@apiovlwiwa2576 labda kama utakua umenielewa vibaya...jamaa mkali sana wa flow...ya akiswitch atatisha zaidi akichukua flow akaifanya zaidi kwenye modern flow na uandish akachanganya na swaga...kuna lugha naikosa kueleza vizuri...jamaa mkali watoto wa mjini wanasema akifika mjini atatisha zaidi haina maana nimemzalau kua wamusoma hapana bro....
@@rama2ification nakuelewa mkuu ANA STYLE NA SWAGGER ILA UANDISHI BADO KIDOGO
uyo weremula ni combination ya flow zifuatazo...nawasikia
1.kala jeremiah
2.langa kileo
3.mangwear
4. montrah da future
5.godzillah
package flan ivii anajua sana jamaa akomae kwenye uandish maana flow anazo nyingi
Umesahau na mchizi wangu kutoka A-Town wanamuitaga Stopper Kama hujasanuka sikiliza Ngoma ya mtu tatu kaka. Huyu homeboy hatar sana. Ntakutafuta homeboy
Kama umeon weremura ana flow kama kalajeremia like zenu.............💥💥💥💥💥💥
Vation Tz hakika akunapingamizi
Nakuku bal were mula Bg up San🎶🗣️
Hakuna kitu kama hicho
Nilivyopendeza siwezipita nilikopa, nimekubali mara kuna marapa mkuuu salute weremura oooooyyyyy oyyyyy
huyu jama ana flow ya kipekee haigii...he so dope from 254
Jamaa nimependa the way ananyooka💥💥💥🙌🏼🙌🏼🙌🏼
This is the best free style I have ever seen in this channel this were mulah is on fire 🔥🔥🔥
Every time I visit this channel I don't tire listening to him ...much love from Kenya ❤❤❤
Noma sana mzaz
Lala salama baba ingawaje ulienda bila kunipa hug...lakini Mimi ndie Solomon uliniacha nilinde boma...uliskia hio? Piga like
Oa uo ndo mstari wangu pendwa🎉
Baba yupi ? Alale salama
musoma tuna tisha sana big up sana weremura💪💪
Mnatisha sana
Ndy✌🏾
Ppppp
Nakubareee man mula
weremula weremula!kali sana254 tuko locked konga like ka umekubali kumi xa maangamizi
Mwamba anajua..nmependa swagger 🎤🎧
Mwamba ana floo ya kipekee sana, hatumii nguvu karelax
hujamuona toxic wewe
Aahh Toxic ni baba la michano hususan freestyle huyo ni noma mzee
Were mulah ni Moto sana zaid ya uyo tocix, uyu ni balaaaaaa mzeee
@@kassimabdalla1987 noma noma hiphop mabegani mzee
namuona Roma ka mbwiga_ tuliolewa like apa,
style kali
sound safi
michano mikali
awa mdio ma rapa sasa.
Kanda maalumu like hapa
9:43 degere victoria hkuna papa
Mass town,stand up
Anasound kama Wakiafrika, noma sanaa ✌✌💪💪💪💪
sanaa
Nakubar were mulah
Am still listening to this and its November 2022, Huyu kijana Hatari sana......Flow iko sawa
Wakiafrika wapili uyuu🔥🔥🔥🔥🔥
😂unachati kingereza na hujui noma sana. Wapi likes za Kenya
Simple but sure. Full confidence
King of flows may be new Ngwair ✍
Nahic ujumbe umefika coz dj leo katisha kajua kwenda na style ya uchanaji wa mchiz.. ndo mana mchiz kwnye coment tu inaonesha kiasi gan katisha.. kwaufup Dj katisha na mchiz katisha.. nice
HUYU JAMAA SIOMTU MZURI AISEE
I always enjoy to see how Jr Junior brings the positive energy to the show.... 😁😁💪🔥🔥
Same to me for sure
For real Jr's energy his felt🇰🇪
Jamaaaa yupo safi hawa ndo wanaafa sana kusikiliza hip hop good
Tembo Mlawa hip hop safiii
Damn!.. Wakali wengi sana Bongo! Jamaa kipaji kikubwa mbaya. Nimekua shabiki leo leo nimekujua. .. 💥🔥
Duuh huyu mwamba dakika ya 5:08 katembea vizuri mpaka kapitiliza Ani🤣🤣🙌🏼🙌🏼🙌🏼😀
Aah dadeki jamaaa ana confidence kinoma, flow kali afu hizo dakika mbili za mwisho nimetamani zisiishe 😁🔥🔥🔥
niko na wewe mzee
Full mwembamba nilivyo nyoka kama umeskia ves iyo gonga like twende sawa
Wajina
Jamaa unaweza ukweli kabisa mungu amsaidie apate support .sound like kalajeremiah
This guy is fire, damn.
❤poa kabisa
mpangilio mzuri kama huu wa bit ilifaa utumike kila siku
Xplastaz
Upo sawa ila hawataelewa raia
Where mula where mula
Huyu kaka anajua jmn👌❤❤🔥🔥
Wamusoma like hapa tumsapoti huyu dogo
Jamaa ana kipaji hayuko ki-underdog kabisa!!
Wakilisha Ma homie!!!
Shila wadu watarudi kwa uongoo
god blessing you
Dah sana tu mwanangu tuwakilishe
Nice flow broo ,Musoma town 1st rapa to be in planet bongo
Were Mullah 🔥🔥🔥 rep+254🇰🇪✅
Very nice flow huchoki kusikiliza keep it up
Kama wa mkubali huyu dogo ngonga like hapa
Ako wapi were muullah this guy is big 🎉🎉
Daaaaamn!! Faiyaaaa
Watching from Kenya, this is ICONIC 💯💯🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Were mulah yuko vizuri mzamin asiwe na Shaka na mulah
Jamaaaani anajuuuua🤟🤟🤟🤟
Dk 10 za maangamizi Ndio my favorite kipindi nimesikiliza floor nyingi lakini huyu were muller ni shida anajua mnoo ,kwa siku narudia kuangalia hii floor zaidi ya Mara 3.big up were muller
😁😁😁🤝🤝
Musama stend up 🤘🤘🤘🤘
Nov 2020 watching this talented dude
Still 2022 watching now
Massive talent listen fro!m 5:16 mints amazing were mulah ,somebody get him a deal he could make for Tz to the world @The fire La reaction
😄daaah ety "waambie wananchi unaitwa wapi unakaa wapi" nakubal uwezo wako bro....👍😂😂
😂😂😂nimeskia pia hio
Umetisha mkumbwa we unajuw boy Nice rapa 💥💥
Hii pia tutaifikisha millioni moja kama ile ya mbeya Boy Chuma. 💯💯💯
Fantastic ñ well talented
daaaah akika were mura ni atar asa siafanye mziki mazima mbona anaweza sana
Anajua sanaaa....
Unaitwa wapi unatokea wapi...JR umeua ...
Kijana hatari huyu...msupport tumuone screens..Much love from🇰🇪🇰🇪🇰🇪
mauwaji ya kutisha🙌🙌🙌
From 254 kali sana mwanangu 👊👊👊👊
254 Musoma Mara Tanzania
Jamaa ana flow kali sana kama Motra the future ila kama yeye pia
noumaaaaa sanaaaaa Jamaa anajua
Dj nimekukubali, umemukubali jamaa ndomaana utaki kumuangusha ukiguswa unagusika....bravo.
uko vizuri jamaa anajua
Silagi sembe simba tanasha dona hahahahhaa kama umeelewa hii gonga like
Verse ya kwanza tu unajua kabisa jamaa anajua 👊
jamani, anaejua io instrumental ya kwanza alioanza nayo....... jina lake🙏🏾
Ana swag heavy 🔥
Aaah aaah jaman jaman wa2 awatoki lakin uwezoo ni noma
unajua jamaaa😍😍😍
Were muraaaaq
Sharaout🙌🙌🙌🙌
flow kama za jaremiah
salute mtani#WEREMURA
Damn!! This guy is underated, this is by far the best.
#Musomaa_Hahaaha✊👊#Mapanga na #Sime ndan ya #Eatv👍
Umeuwaa man
flow kalii hii... imebidi nimerudia kutazama...na rep 254
Yaan jamaa..katisha...ila...ningeomba...wapewe dakika 5 tano yeye...na TOXIC ...ili kieleweke....mjengoni hapo
Jamaa anajua ila kwa toxic hafui dafuuuu ile no chafuu broh🔥🔥🔥
@@saimonsilva6209 kweli ila wangepewa battle mkubwah
Toxic namba nyingine
Toxic tmk ni noma huyu mkurya ana kalishwa
Toxic baba lao akuna tz apo
You killed it weremura
KAZI nzuri
All the way from Mass town (Mara). You murdered it brooooo
Oya simchokaga Mwanangu❤❤❤❤❤❤❤ from kanda ziwaaaaa
Mkali sanaaa jamaaa
GO MAKE US PROUD MJOMBA🔥🔥🔥
That's ma G 🔥🔥🔥🔥
baba la baba umetishaaa musomA tuko motoo unawasha vinu tuu muller 🔥🔥🔥 homieboee
Kama umeona jr michano ya weremura imemchanganya mpaka kapoa ngonga like hapa 😂🤣🤣
Naic
Nimekubali sana
Hakuna kumuita underground hyo kijana .... Sema were mulah were mulah
Michanoo on point very fire
Noma sana nakubali sana anajua #bngmark