Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Nawashukuru sana wanna ndugu bado nahitaji support yenu ili tusogee
P1
Nahitaji namba yako
unajua sana
Mwanangu ww unajua adi bc
umenyoosha na huna mbwembwee
Misukosuko yako haimuhusu jimmy wala seba😂😂 mloelewa iyi wekeni likes apa, jamaa n fundi kiac chake...
🤣🤣🤣
Noma
Hivi amemaanisha nini??
@@expert5898 watoto wa juzi hamuwezi kuelewa izo n tamthilia ikiitwa Misukosuko kacheza Seba na Jimmy
@@abdulmohd6880 Ni utoto au ni mtu ambaye haangalii movie?
Ebana dulla tutafutie hichi kiumbe Tena bana please bro...huyu ni genius..DUGA MAWE🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥😘😘😘
ANJUA
Wanaoendelea kuipiga hii repeatedly. Gonga like
nimeiskilza zaidi mara 20
Dah,umeona T-Shirt yake imeandikwa ZigZag,kaua Hip Hop imebaki kwenye ma Underground,respect Dunga Mawe
MAUNDERGROUND NDO WANAFANYA HIP HOP INANG'ARA.
Oyaaah dunga arudi tena ni waandishi wachache waliobakia nchin wanaweza andika hivi Duga mawe
😎hawa ndio watu wakuwaleta kwenye 10 za maangamizi coz beat zote amezingamiza yani ni noma km corona
Hii ni hardcore rap..kama ilivyoandikwa Tshirt yake..Zig Zag, Genius!
Mamae kabla ya ku watch nacoment kwnz, jamaa n mkali balaa, nikisha watch ntakuja kutengua au kuthibitisha kauli yangu...
Mamae Duga kweli kama p mawenge unavyonata na beat na unavyojaa kwenye beat🤙🤙
Dogo yuko njema sana kuanzia uandishi, flow, pumzi & confidence
Kuna kidemu kinatisha kwa virungu vya chips🤣🤣🤣🤣 like hapa kama na wewe inatisha
Tisha kwa, mkuki
Namuona jr kanyoosha mikono juu uyo mtoto noma dulla nae ndo hana hata lakusema, tuache utani hip hop ndo mziki unaosound vizuri kwenye masiko.
duga mawee n noumaah(|||゚д゚)(|||゚д゚)
Duuuh @Duga_mawe yuko tofauti na niliowah kuwaona planet_bongo ana flow hatak story nying katisha sana
Dunga mawe respect to broooo we nimnomaaaaaaaaaaaa
Amemalizaaa🔥 hio ndio rapping and kickin knowledge
Dogo ameongea kimafumbo,nadhani mumepata ujumbe wenzangu...ameweza sana.
Huo msitu Ni balaaaa
Jamaa katisha sanah 🧠 haitaj fuel kjn
Team mond na Kiba huwezi elewa hapa
duu haha
Unayumba
huyu jamaa n mkali nmekubali...from 254
Hiki ndo nachomaanisha 🔥🔥🔥🔥🔥@dugamawe
Hi sasa ndo yenyewe ....hii jiwe kweliiii duuuuu pumz ya kutosha ...full comfidence
Sioni comments za mastaa kwa maana hawaoni nini ni wivu tyu .like zenu munaona mstaa wanawivu kwa hii talent
dah huyu jamaa balaa jingine kbsaa wangu....nikisema uchafu wanang semen kusanya
Jamaaa kauwa Sanaa Moja ya dakika 10 Bora sanaa 🎉
Number one motooo 🔥🔥🔥🔥
Iko njema sanaa.ongezaa juhud zaidii
Duga mawe nginja nginja😂😂😂😂
Hatariiiii shaaaaa
Umetisha mwanangu duga mawe
Daaah umetisha sana bro! Ww ninoma duga mawe kwel
Show kali (good job) unajua sana
Safi sana dogo nimekuelewa sana man kaza2 utafika mdogo wangu
Ndugu umetisha kinoma
duga is completely zigzag 🔥🔥
Hata mke mmoja hudumaza akili..💪umeuaaa sanaaaa mwanaaa
=>Nimeona DK 10 kama vile 2 maana Duga Mawe kakiwasha bila kustak had raha... Baada ya rip Ngwea Na Zila anafuata Zuga kwa kughani
Kinachoskika kwenye msitu wanakuwepo wahaya.Respect DugaMawe
Ur killed it duga mawe
Oyoooooooo heeeeeeee vibe izo wazeee kama unakubali like kwachin tuishi umuu
Bro salute unajoa mpaka unaboa!!!
Jaamaa Yupo gud mnooo Anachana tofaut na walowai kufika
again and again duga mawe so good
Sijui kiswahili Ila mwanangu nimekuelewa 👌🏿👌🏿🤣🤣🙌🙌
👍👍👍👍Yeah confidence iz available
Really meaningful of MC
Dah jamaa Ana Tisha sana
Shuhuri ipo jamaa hapumui 🙌🙌🙌🙌 🔥🔥🔥🔥
😀😁
Uandishi umetisha sanaaa✍✍
keep it up unajua
Nakubali mwananguu we nomaa
Kweli NGINJA, NGINJa hiiii..Excellent
DJ ANAZINGUA BHANA BEAT GANI SASA IZO ANABANA SANA DJ
Duuh katisha sana, mchizi anachora sana mistari shule, unajua sana mwanangu mawe
duga mawe yuko vzr xana😮😮😮
Interviews, famous around the corner stay tune Unaweza no comment
Unajua sna suga mawe
Duga mawe
Kazi nzuri balaaa
Nani wee unanijadili ati nitafeli,mi mtumbwi siendi shelly..🔥🔥 alafu ati naamini mke mmoja saa ingine hudumaza akili..😂😂
noma sana sana mzee wa mawe hii ni kama paris
Jamaa anajua sana huyu ni mungu wa rap
Braza Jr please please awa wahuni kama awa tuwape dakika 20 mhuni anajua mpaka baaaaasi ani
Kama unakunari pindi la Kumi za maangamizi gong like twend xaw ..😎
Daaaah do go anatisha
Dogo Ni Mtata Kinoma Tunaomba Namba Zake Hapa
Collins MakanTa 0789341149
Shukrani
Jamn naomben nisaidie niingie kumi za maangamizi 0623332226
Noooooma aiseeeee uko vizur, umetisha kama mkuki
Dogo apate mtu wa kumbeba mzeee ana ngoma nyingi sana Kali
duga mawe wenizaidi maweee kwenye beat wenimoto dullah mshikeni mkono
Siyo poa duga mawe anaweza nimekubali
Duga mwisho mzeee ananata sana kwenye beat salute
Ameuwa Sana nazan n modal Wang baada ya mbeya boy chuma
Unajua brooo duga mawe nimekubali kwl maraper wngine wanabebwa
2023 nasikitika mpaka Leo hii talent haijapanda mainstream daaaah😢😢😢
Dahhh kuna wa2 wana rap jamani 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥akili nyingi duga mawe
Noma sana uyu dogo
Duh mwana kinoma sanaa uyu ndo Eminem👍👌
Much Respect, naizimia tasfida mzee.Naburudika kinyama. Sichoki sikiliza.Naweza sikiliza track moja kutwa nzima. Huwa nasafiri kifikra.
Wanaojua sana huzeeekea ndani ya fani ..Hiii ndo mifumo ambayo ipo bongo pekee
Oyaaaaaaa!! Duuuh
Uyu jama ni Mzima sana kbsa uyo niwangu mwa Iyi 2020 ni nzima sana
Daaah Jamaa anajua had anakera
Anajua mpka bac yan❤❤
🔥🔥🔥🔥🔥 next Fid Q
Asee uyu mwamba hip hop ipo damuni sio kinyonge..anaimba hip hop toka moyoni kbs
Noma sana jama duga stones
Owowowowowowoowowo kauwaaaaaaaaaaaaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Unajua adi unaboa Broo , noma San , dk 10 ni chache sana weken ata 20 iv
Eti mke mmoja hudumaza akili#anajua hadi anaboa, Hipohop forever
Mwana mkali sana saaana anautundu sana wakuchambua yaani ni mwandisha mzuri pia
Dah #Duga 🗣️🔥anahuandshi wakikubwa BIG UP🤜
Wowoooooooh nomaaaaaa
Naam DG we n mkubwa kwa fikra umewazd kifra be blessed
Aisee Kali sana
Yuko vizuri jamaa anaweza sana anatisha kweli
Da Dunga noma sanaKkkk kusanha uchafu
Dogo anajuaaaaa sana sema anatumia speed sana
SUGA MAWE Respect 🔥🔥🔥
Kaka, kijana yupo juuuuuuu, saaaaaan, hongera sana
Umetisha duga
Duga mawe ni noma nimekubali huo moto
Huyu jamaaa noma sana mbona ana pumzi sana mistari mikali sana
Nawashukuru sana wanna ndugu bado nahitaji support yenu ili tusogee
P1
Nahitaji namba yako
unajua sana
Mwanangu ww unajua adi bc
umenyoosha na huna mbwembwee
Misukosuko yako haimuhusu jimmy wala seba😂😂 mloelewa iyi wekeni likes apa, jamaa n fundi kiac chake...
🤣🤣🤣
Noma
Hivi amemaanisha nini??
@@expert5898 watoto wa juzi hamuwezi kuelewa izo n tamthilia ikiitwa Misukosuko kacheza Seba na Jimmy
@@abdulmohd6880 Ni utoto au ni mtu ambaye haangalii movie?
Ebana dulla tutafutie hichi kiumbe Tena bana please bro...huyu ni genius..DUGA MAWE🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥😘😘😘
ANJUA
Wanaoendelea kuipiga hii repeatedly. Gonga like
nimeiskilza zaidi mara 20
Dah,umeona T-Shirt yake imeandikwa ZigZag,kaua Hip Hop imebaki kwenye ma Underground,respect Dunga Mawe
MAUNDERGROUND NDO WANAFANYA HIP HOP INANG'ARA.
Oyaaah dunga arudi tena ni waandishi wachache waliobakia nchin wanaweza andika hivi
Duga mawe
😎hawa ndio watu wakuwaleta kwenye 10 za maangamizi coz beat zote amezingamiza yani ni noma km corona
Hii ni hardcore rap..kama ilivyoandikwa Tshirt yake..Zig Zag, Genius!
Mamae kabla ya ku watch nacoment kwnz, jamaa n mkali balaa, nikisha watch ntakuja kutengua au kuthibitisha kauli yangu...
Mamae Duga kweli kama p mawenge unavyonata na beat na unavyojaa kwenye beat🤙🤙
Dogo yuko njema sana kuanzia uandishi, flow, pumzi & confidence
Kuna kidemu kinatisha kwa virungu vya chips🤣🤣🤣🤣 like hapa kama na wewe inatisha
Tisha kwa, mkuki
Namuona jr kanyoosha mikono juu uyo mtoto noma dulla nae ndo hana hata lakusema, tuache utani hip hop ndo mziki unaosound vizuri kwenye masiko.
duga mawee n noumaah(|||゚д゚)(|||゚д゚)
Duuuh @Duga_mawe yuko tofauti na niliowah kuwaona planet_bongo ana flow hatak story nying katisha sana
Dunga mawe respect to broooo we nimnomaaaaaaaaaaaa
Amemalizaaa🔥 hio ndio rapping and kickin knowledge
Dogo ameongea kimafumbo,nadhani mumepata ujumbe wenzangu...ameweza sana.
Huo msitu Ni balaaaa
Jamaa katisha sanah 🧠 haitaj fuel kjn
Team mond na Kiba huwezi elewa hapa
duu haha
Unayumba
huyu jamaa n mkali nmekubali...from 254
Hiki ndo nachomaanisha 🔥🔥🔥🔥🔥@dugamawe
Hi sasa ndo yenyewe ....hii jiwe kweliiii duuuuu pumz ya kutosha ...full comfidence
Sioni comments za mastaa kwa maana hawaoni nini ni wivu tyu .like zenu munaona mstaa wanawivu kwa hii talent
dah huyu jamaa balaa jingine kbsaa wangu....nikisema uchafu wanang semen kusanya
Jamaaa kauwa Sanaa Moja ya dakika 10 Bora sanaa 🎉
Number one motooo 🔥🔥🔥🔥
Iko njema sanaa.ongezaa juhud zaidii
Duga mawe nginja nginja😂😂😂😂
Hatariiiii shaaaaa
Umetisha mwanangu duga mawe
Daaah umetisha sana bro! Ww ninoma duga mawe kwel
Show kali (good job) unajua sana
Safi sana dogo nimekuelewa sana man kaza2 utafika mdogo wangu
Ndugu umetisha kinoma
duga is completely zigzag 🔥🔥
Hata mke mmoja hudumaza akili..💪umeuaaa sanaaaa mwanaaa
=>Nimeona DK 10 kama vile 2 maana Duga Mawe kakiwasha bila kustak had raha... Baada ya rip Ngwea Na Zila anafuata Zuga kwa kughani
Kinachoskika kwenye msitu wanakuwepo wahaya.
Respect DugaMawe
Ur killed it duga mawe
Oyoooooooo heeeeeeee vibe izo wazeee kama unakubali like kwachin tuishi umuu
Bro salute unajoa mpaka unaboa!!!
Jaamaa
Yupo gud mnooo
Anachana tofaut na walowai kufika
again and again duga mawe so good
Sijui kiswahili Ila mwanangu nimekuelewa 👌🏿👌🏿🤣🤣🙌🙌
👍👍👍👍
Yeah confidence iz available
Really meaningful of MC
Dah jamaa Ana Tisha sana
Shuhuri ipo jamaa hapumui 🙌🙌🙌🙌 🔥🔥🔥🔥
😀😁
Uandishi umetisha sanaaa✍✍
keep it up unajua
Nakubali mwananguu we nomaa
Kweli NGINJA, NGINJa hiiii..
Excellent
DJ ANAZINGUA BHANA BEAT GANI SASA IZO ANABANA SANA DJ
Duuh katisha sana, mchizi anachora sana mistari shule, unajua sana mwanangu mawe
duga mawe yuko vzr xana😮😮😮
Interviews, famous around the corner stay tune
Unaweza no comment
Unajua sna suga mawe
Duga mawe
Kazi nzuri balaaa
Nani wee unanijadili ati nitafeli,mi mtumbwi siendi shelly..🔥🔥 alafu ati naamini mke mmoja saa ingine hudumaza akili..😂😂
noma sana sana mzee wa mawe hii ni kama paris
Jamaa anajua sana huyu ni mungu wa rap
Braza Jr please please awa wahuni kama awa tuwape dakika 20 mhuni anajua mpaka baaaaasi ani
Kama unakunari pindi la Kumi za maangamizi gong like twend xaw ..😎
Daaaah do go anatisha
Dogo Ni Mtata Kinoma Tunaomba Namba Zake Hapa
Collins MakanTa 0789341149
Shukrani
Jamn naomben nisaidie niingie kumi za maangamizi 0623332226
Noooooma aiseeeee uko vizur, umetisha kama mkuki
Dogo apate mtu wa kumbeba mzeee ana ngoma nyingi sana Kali
duga mawe wenizaidi maweee kwenye beat wenimoto dullah mshikeni mkono
Siyo poa duga mawe anaweza nimekubali
Duga mwisho mzeee ananata sana kwenye beat salute
Ameuwa Sana nazan n modal Wang baada ya mbeya boy chuma
Unajua brooo duga mawe nimekubali kwl maraper wngine wanabebwa
2023 nasikitika mpaka Leo hii talent haijapanda mainstream daaaah😢😢😢
Dahhh kuna wa2 wana rap jamani 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥akili nyingi duga mawe
Noma sana uyu dogo
Duh mwana kinoma sanaa uyu ndo Eminem👍👌
Much Respect, naizimia tasfida mzee.
Naburudika kinyama. Sichoki sikiliza.
Naweza sikiliza track moja kutwa nzima. Huwa nasafiri kifikra.
Wanaojua sana huzeeekea ndani ya fani ..
Hiii ndo mifumo ambayo ipo bongo pekee
Oyaaaaaaa!! Duuuh
Uyu jama ni Mzima sana kbsa uyo niwangu mwa Iyi 2020 ni nzima sana
Daaah Jamaa anajua had anakera
Anajua mpka bac yan❤❤
🔥🔥🔥🔥🔥 next Fid Q
Asee uyu mwamba hip hop ipo damuni sio kinyonge..anaimba hip hop toka moyoni kbs
Noma sana jama duga stones
Owowowowowowoowowo kauwaaaaaaaaaaaaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Unajua adi unaboa Broo , noma San , dk 10 ni chache sana weken ata 20 iv
Eti mke mmoja hudumaza akili#anajua hadi anaboa, Hipohop forever
Mwana mkali sana saaana anautundu sana wakuchambua yaani ni mwandisha mzuri pia
Dah #Duga 🗣️🔥anahuandshi wakikubwa BIG UP🤜
Wowoooooooh nomaaaaaa
Naam DG we n mkubwa kwa fikra umewazd kifra be blessed
Aisee Kali sana
Yuko vizuri jamaa anaweza sana anatisha kweli
Da Dunga noma sana
Kkkk kusanha uchafu