TAARIFA MPYA KUHUSU HALI ya RC MAKONDA - RC KILIMANJARO ANAYEKAIMU NAFASI YAKE AZUNGUMZA na GLOBALTV

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 398

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  5 місяців тому +13

    Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7

  • @fridoliusrushunju9093
    @fridoliusrushunju9093 5 місяців тому +6

    Mungu amjalie afya njema rais wetu makonda tunamwombea🙏🙏

  • @Carolina-sm5zt
    @Carolina-sm5zt 5 місяців тому +16

    Jamani Makonda Mungu wetu wa huruma akulinde huko uliko

  • @sirkingsky108
    @sirkingsky108 5 місяців тому +45

    We jamaa yaan uko very intelligent unaulza maswali technical mnooo czan kama hujasoma psychology kaka

  • @Nabeel_brand_official
    @Nabeel_brand_official 5 місяців тому +34

    Allah amlinde sana Mr president Paul makonda...kuna ktu tunafichwa hapa

    • @nkwazigatsha
      @nkwazigatsha 5 місяців тому

      Sijui Samia na wapambe au mashushu wake wakisoma hii anajisikiaje. Kumbe Makonda ndiye mheshimiwa Rais. Je hiki ndicho kinyago ambacho hakimtishi mchongaji alichomaanisha Nappy Mapepe Nnauye.

  • @EventsClubD
    @EventsClubD 5 місяців тому

    Mama yetu kipenzi Samia kama mama mpenda jamii yake TU ya kitanzania tunaomba kujua kuhusu kaka yetu kipenzi mwanao kipenzi Paul makonda
    👍👍🙏🙏🙏

  • @majidfrolian4904
    @majidfrolian4904 5 місяців тому +3

    Yaani hapo kuna shida sio bure kuna kitu asee watanzania tuingie Kwenye maombi tumwombee Makonda 🙏🙏🙏

  • @ruthdavie1175
    @ruthdavie1175 5 місяців тому +11

    Mungu wa mbingini amrejeshe Mh Makonda

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 5 місяців тому +3

    Kidoogo ajisemee ukweli akashtuka ila mdomo umeweza kumkaba hadi nimekuongezea asilimia KAZI Yako ni nzuri hongera🎉🎉

  • @husseinshabani9522
    @husseinshabani9522 5 місяців тому +42

    Mi mwenyewe nishaanza kupata mashaka na kiongozi Wetu...

  • @aloycemisigalo3983
    @aloycemisigalo3983 5 місяців тому +3

    Namuomba mungu amrudishe salama Azory Gwanda, wenye hila waliamua kumpoteza ila naamini wewe Mungu ni fundi naomba yaliyo gizani yaweze kuwa hadharani na walio husika wote naomba Mungu uwaadhibu kwa walicho mtendea Azory.

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 5 місяців тому +36

    Mmm!!!kunakitu hapanyuma ya pazia. Alllah amludishe salama makonda popote haliko 😢

  • @ndolepeter2770
    @ndolepeter2770 5 місяців тому +37

    Mmh jaman hili litawachafua sana viongozi wetu kuwen makin, pia waweken watu uwazi.

  • @FrenkKahigi
    @FrenkKahigi 5 місяців тому

    Jaman makonda wetu tunakupenda sana mungu awe nawe huko uliko japo hatupajui ulipo

  • @ritapiusnicolaus7068
    @ritapiusnicolaus7068 5 місяців тому +9

    Mungu amtetee Makonda 🙏🙏

  • @HamisMajogoro
    @HamisMajogoro 5 місяців тому

    Mungu ampe wepesi

  • @Machinootz
    @Machinootz 5 місяців тому

    YESU tulindie makonda

  • @carolinemariki4029
    @carolinemariki4029 5 місяців тому

    Mwenyezi Mungu Tunakuomba msimamie RC wetu Makonda asipatwe na lolote. Na kama kuna mkono wa mtu simama nae eeh Mola. RC wetu uko wapi pse ongea tupate amani

  • @alphoncewilliam4325
    @alphoncewilliam4325 5 місяців тому +1

    Duuu kwa makonda tarifa na majibu 😢😢😢

  • @MARIAMUBAJUTA
    @MARIAMUBAJUTA 5 місяців тому +20

    Mungu akulinde Makonda wetu

    • @pendowilfredmatahi5770
      @pendowilfredmatahi5770 5 місяців тому +1

      Mi nishajikatia tamaa,kwa majibu haya ya kujikanyaga kanya hivi? Daaahh! 😢😢😢😢

    • @pendowilfredmatahi5770
      @pendowilfredmatahi5770 5 місяців тому

      Mi nishajikatia tamaa,kwa majibu haya ya kujikanyaga kanya hivi? Daaahh! 😢😢😢😢

    • @alphoncewilliam4325
      @alphoncewilliam4325 5 місяців тому +1

      Sina humani eti anakaim duu

  • @ShabaniBakari-p4r
    @ShabaniBakari-p4r 5 місяців тому +5

    Makonda hayupo hai jaman tusidanganywe kama watoto wadogo😢😢😢😢,mimi nimeshaweka msiba mda mrefu maskani kwangu!

  • @MnanilaMrsmnanila
    @MnanilaMrsmnanila 5 місяців тому

    Hii nchi haina amani.wanaoniunga mkono weka like zenu.haiwezekani kabisa hii inchi iwe na amani na ikiwa kiongozi anayesimamia Haki anaupotea ktk mazingira ya ajabu.sasa subirien Mungu anainua watu kwa ajili ya taifa wanapotezwa Sasa kweli Ikiwa Mungu atiacha inchi hii itakuwaje?kiongozi mmepewa kuisimamia Haki jueni hii nchi siyo Mali yenu wenyewe hii nchi mmewekwa kusimamia Haki ya wanainchi.

  • @peacemwesiga
    @peacemwesiga 5 місяців тому

    Mmmmmm
    ❤❤❤❤❤ma
    Konda

  • @Bilioneabichwa331
    @Bilioneabichwa331 5 місяців тому

    Yesu akuponye haleluya

  • @emanuelelias2082
    @emanuelelias2082 5 місяців тому

    Sasa hii nchi yetu itaendelea kwel kwa style hii ya kuwauwa viongozi wetu wanaofanya kazi kwa moyo mmoja na kujitolea ? Asee its very sad😢😢😢😢

  • @faridahalwaily85
    @faridahalwaily85 5 місяців тому

    Makonda yupoo mzima salamah muombeeeni Affiyaa na duwaa kwa wingi….

  • @ConnieJohn-ts9rp
    @ConnieJohn-ts9rp 5 місяців тому +4

    Baba ktk Jina la Yesu Kristo watoto wako tuko mbele zako tunamwombea mpendwa wetu jasili shujaa Makonda POPOTE alipo Mungu ukamwokoe Makonda natuma majeshi ya Mungu yakawapige wote wanaopanga njama mbaya zidi ya Makonda Mungu ukamtetee Makonda uko aliko naachilia upako wa Yesu ukamponye na kufuta kila roho za uhalibifu zimwachilie Makonda akawe mzima, nafuta kila roho za mauti Makonda akawe hai kwa Jina la Yesu ,,na wote wanaopanga njama za kumuuwa Makonda washindwe na walegee hukumu ya Mungu. Iwatafune hao maadui mafisadi wapigwe wazimu mala 7 na Makonda wetu malaika 7 wamuhudumie. Wote tuseme Ameeeeen .

  • @ScopionScopion-zj9cd
    @ScopionScopion-zj9cd 5 місяців тому +2

    duh kweli kazi ipo

  • @zianasalimuhivikunamchunga5224
    @zianasalimuhivikunamchunga5224 5 місяців тому

    Mtajua Mungu atawahukumu mmoja mmoja

  • @shabaniathumani1789
    @shabaniathumani1789 5 місяців тому +21

    Kuna Jambo makonda alikuwa bado anaijenga arusha nivigumu yeye kuomba likizo ,,yaani tumetega sikio tuu mwaka huu tumechoka kuuwawa,,

  • @thelonewolf4429
    @thelonewolf4429 5 місяців тому +24

    Mwenye akili naaelewe jibu lipo wazi . Serikali ya tz mnawivu jamaa anapendwa ila mnamuua tu ivi ivi daah

  • @HashimYahaya-hd3zm
    @HashimYahaya-hd3zm 5 місяців тому +2

    Makonda kama yupo mungu amrinde nafamiria yake amina

    • @fayzfadhil5921
      @fayzfadhil5921 5 місяців тому

      kweri atarindwa pamoja na ruru wa majizo😂

    • @rosemarykimath9337
      @rosemarykimath9337 5 місяців тому

      Ndg umesoma wapi kiswahili una tatizo la r kiswahili ulipata f kabisq😊

    • @willmarmpunga9265
      @willmarmpunga9265 5 місяців тому +1

      😅😅😅😅😅😅

    • @willmarmpunga9265
      @willmarmpunga9265 5 місяців тому +1

      ​@rosemaryki😅😅😅😅😅😅😅😅 ajuh kusoma huyo 😅😅😅😅math9337

    • @EnjoyReonald
      @EnjoyReonald 5 місяців тому

      Kweri ataridwa

  • @benardpeter3562
    @benardpeter3562 5 місяців тому +2

    Daah hatari sana kwakweli hii nchi yetu....

  • @oswardjaphal-cd6np
    @oswardjaphal-cd6np 5 місяців тому +32

    Acha wa endelea kutujaza sumu kwawuwongo wao. Ndo wanatupa hasila na kuto waamini tena. Mukivuka hiili. Ccm. Muombe mungu. Hatuna imani nanyi tena

    • @rabanphotostudionyakanazi_4115
      @rabanphotostudionyakanazi_4115 5 місяців тому

      Yani kwakweli,mtu anayepambana vizuri,anashambuliwa wana

    • @RahmaJuma-yi3gh
      @RahmaJuma-yi3gh 5 місяців тому

      Nikweli maana wanatupa mashaka

    • @taifaramadhan8684
      @taifaramadhan8684 5 місяців тому

      Jemedali Tundu Lissu alipo pigwa Risasi zile lengo kuuliwa watu wengi walikaa kimyaaa ni wachache sana tulo ongea japo mitandaoni na kulaani kitendo kile. ila kwa huyu aaahhh watu wana ongea. Ccm itatawala hadi lini? tunahitaji mabadiliko sasa

  • @mzalendomtokambali6551
    @mzalendomtokambali6551 5 місяців тому

    Mwandishi msomi kweli❤

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 5 місяців тому

    Mnafanya mzaha na maisha ya wanadamu Mungu atawawezeni TU kwa wakati wake mtu unaulizwa swali unaongea unavyojisikia ww utafikili unaongea na wajukuu zako uliyozoea kuwadanganya

  • @EdithTelemark
    @EdithTelemark 5 місяців тому

    yaani danganya toto ila IPO siku litajulikana Mungu akuinue ewe makonda umeonyesha kujali wanyonge

  • @johncharles2686
    @johncharles2686 5 місяців тому

    Msiwe na Shaka mheshimiwa Yuko salama na Hana tatizo lolote la kiafya. atarudi soon❤

  • @AlHamra-k4u
    @AlHamra-k4u 5 місяців тому +4

    Mbona majibu ya Rc kilimanjaro yana laleta utata hapa Kuna kitu nyuma ya panzia mnatulixha matango pori. Watanzania tunajua mlichokifanya. Viongozi mnajitengenezea kutowaamini kabisa. Tunaomba Mh Makonda awe salama arudi salama.

  • @upendomapile1234
    @upendomapile1234 5 місяців тому

    Hii nchi Ina mengi 😭😭😭

  • @WilliamSamwel-re3ic
    @WilliamSamwel-re3ic 5 місяців тому

    Makonda hata Kama amepumzika hawezi Acha kuzungumza tena anavyopenda kupiga kazi

  • @itanzaniaAS
    @itanzaniaAS 5 місяців тому

    WAOMBE SANA MAKONDA ASIKUTWE NA JAMBO BAYA. AREJEE KAZINI Vinginevyo NI AIBU KUBWA KWA TAIFA

  • @DeogratiusAndrew-zi7zv
    @DeogratiusAndrew-zi7zv 5 місяців тому +31

    Hii watanzania mjifunze kitu, hapo kwani muandishi ana uliza maswali ya akili lakini kiongozi anakwepa kujibu,nini kimefichwa na mjifinze kumsoma anae jibu anaongopa lisije likapasukia mikononi mwake,

    • @pendowilfredmatahi5770
      @pendowilfredmatahi5770 5 місяців тому +5

      Anaeulizwa majibu yake yanadhihirisha kabisa anajikanyaga kanyaga unaona kabisa anakosa la kujibu,na akijibu unaona kabisa ana hofu ya anachojibu. Hapa kuna kitu,sidhani kama huyu baba yuko salama jamani.

    • @pendowilfredmatahi5770
      @pendowilfredmatahi5770 5 місяців тому +4

      Anaeulizwa majibu yake yanadhihirisha kabisa anajikanyaga kanyaga unaona kabisa anakosa la kujibu,na akijibu unaona kabisa ana hofu ya anachojibu. Hapa kuna kitu,sidhani kama huyu baba yuko salama jamani.

    • @LugomeRisasi
      @LugomeRisasi 5 місяців тому +6

      Kama wamemuumiza makonda.tusikae tu kwa kunung,unika ila tuonyeshe nguvu ya Uma ikoje tumuombe MUNGU awaazibu wahusika

    • @DeogratiusAndrew-zi7zv
      @DeogratiusAndrew-zi7zv 5 місяців тому +4

      @@LugomeRisasi kuna mambo yakuomba Mungu nisawa lakini Mungu ametupatia akili sisi tuwe na sauti moja ya pamoja bila woga , kutokuogopa tuungane kama wenzetu nchi jirani kenya,Uganda nk,

    • @hellenngwilla550
      @hellenngwilla550 5 місяців тому +2

      Hapa kuna kitu jaman eeh Mungu msaidie mtumishi wako Makonda tunataka kumwona jaman kwan kuna shida ganiiiii???

  • @AdamJohn-r1c
    @AdamJohn-r1c 5 місяців тому

    Piyaa nawatakaa muwee makinii Sanaa binadamu anakawaida ya kuifazii kituu moyoni mwakee

  • @angelatarimo1969
    @angelatarimo1969 5 місяців тому +1

    Eti wamempanga mtu anafanya maxoezi wamevisha Tshirt wameiandika MAKONDA nyuma wanatudanganya ni yey. Hakuna mtoi huku tunaelewa vizuri

  • @RichardMassawe-dq9us
    @RichardMassawe-dq9us 5 місяців тому

    Ni haki yetu kujua taafifa kuhusu taarifa ya kiongozi wetu mteuliwa au mchaguliwa lakini kuhusu hili- naomba maswali yasiwe mengi.MUDA utaongea.Mimi binafsi sijui chochote na sifosi kujua chochote ila muda utaongea...Yaani kila mtu anaongea hili mwingine anaongea lile na mitandao ndio inatuchanganya zaidi hatujui mkweli wala muongo.Mimi namsubiri Raisi wangu kipeenzi atoe neno.

  • @allymohamed2724
    @allymohamed2724 5 місяців тому

    WANA HABARI WA SASA, WANAJIKITA SANA KUTAFUTA MIPASHO BADALA YA HABARI ZA MAENDELEO

  • @Pixxmoleli
    @Pixxmoleli 5 місяців тому

    Mungu atawalaani mpaka mshangae

  • @kingnyamafutv8646
    @kingnyamafutv8646 5 місяців тому +1

    Mmmh MUNGU tusaidie wa TANZANIA

  • @am2323tze
    @am2323tze 5 місяців тому

    Wana shida CCM. Mtu akiwa anaelekea kuwa kiongozi hawamtaki. Wanataka jitu pumbavu maneno mengi rushwa tele tele.

  • @salama1113
    @salama1113 5 місяців тому

    Matango yenyemiba tunalishwa hapa😂😂😂😂

  • @JustinaMunuo
    @JustinaMunuo 5 місяців тому

    Eee mungu ingulia kati msaidie makonda popote alipi

  • @barakarobert1029
    @barakarobert1029 5 місяців тому +27

    Mwandishi una maswali mazuri sana

    • @twiseghekisilu8845
      @twiseghekisilu8845 5 місяців тому

      Na muhusika ana manibu mazuri pia

    • @fridaminja7191
      @fridaminja7191 5 місяців тому

      Hii ndo global bwana, yan napenda San hii chanel wako vizuri sana

  • @regnethmtemanyongo2237
    @regnethmtemanyongo2237 5 місяців тому +1

    Nimemkumbuka sana

  • @DaudiMazengoMasterDTEM
    @DaudiMazengoMasterDTEM 5 місяців тому +1

    Global mpo viziuri na mkuu wa Mkoa kaimu kajibu vizuri

  • @SamoraTabaga
    @SamoraTabaga 5 місяців тому +2

    Hapo nashituka sana

  • @michaelmaziku991
    @michaelmaziku991 5 місяців тому +5

    Hii ni nchi ya ajabu sn yaan wananchi wanahoji yuko wap kiongozi wao halaf watu wanaficha kwan kun dhambi gn km kwl yupo salam akajitokeza huko alipo ili kuwatuliza wananchi wake hp kuna jambo sio bure

  • @ceciliaonyango5367
    @ceciliaonyango5367 5 місяців тому

    Likizo ya mwaka? Mtuelezee makonda yuko wapi?

  • @emmanuelkereto4344
    @emmanuelkereto4344 5 місяців тому +8

    Kama umeelewa kama mimi gonga like na tumuombee Makonda popote alipo.

    • @AnneHarold
      @AnneHarold 5 місяців тому

      wewe umeelewaje?

  • @alphoncewilliam4325
    @alphoncewilliam4325 5 місяців тому

    Ata kwa magu ilikua hivihivi mala anatusalimia anaendelea vizuli duu😢 mashaka tayali

  • @zaramuneer3257
    @zaramuneer3257 5 місяців тому +2

    mmmmh Mungu tumbe macho ya rohoni tuone sawsaw

  • @josephchacha7456
    @josephchacha7456 5 місяців тому +1

    Tanzania ninchi yetu lakini unapokuwa kama.kiongozi au hata kama.unanguvu yakuongea kiasi gani usiwe unajioendekeza KWAKILA mtu kwasababu Tanzania ninchi ya chuki Tanzania haitaki kuona mtu anawasaidia wananchi yaani Tanzania inataka wale viongozi wenye cheo ndoo waseme wao kama.wao.asa makonda kayatimba ndoo watu mpunguze vipaumbele

  • @monicamwainunu7908
    @monicamwainunu7908 5 місяців тому

    Mkono wangu wa kulia unauma sana

  • @allyrashid1235
    @allyrashid1235 5 місяців тому

    Sina uhakika sana ila nikikuacho mm kuwa mkuu wa mkoa akienda likizo humpendekeza mkuu mmoja wa wilaya moja wapo iliyopo kwenye mkoa wake kukaimu nafasi hiyo hadi yy atakarudi kutoka likizo

  • @JosephKaka-nh3co
    @JosephKaka-nh3co 5 місяців тому

    Huyu jama alie kaim office n mnafki sana ngoja tuone hapa tutajuana

  • @Zubaiba
    @Zubaiba 5 місяців тому +1

    Jamani mbona nimepata hofu kubwa kwa anayejibu maswali,eee mungu mlinde makonda kwa ufalme wako

  • @ullujaffariyohani1186
    @ullujaffariyohani1186 5 місяців тому +1

    Unajua hii Nchi ni ngumu sana yaani watu hawataki maendeleo ya nchi yao wanaona ufisadi ndiyo wanaotaka ukiwa mkweli wao hawapendi

  • @ShabaniBakari-p4r
    @ShabaniBakari-p4r 5 місяців тому +2

    Siasa ni mchezo mchafu sana,makonda ana tatizo kubwa lililomkuta ambalo hawataki kulizungumzia😢

  • @Peaceman-S
    @Peaceman-S 5 місяців тому

    Sasa kiongozi kama huyu kujieleza anayumba sasa anachoongoza nn hapo asee Mungu kam sio mimi Basi nifanikishe ili mtoto wangu aje anyooshe na alete heshima ya taifa Langu😡😡😡😡🔭🤲🤲

  • @vero57
    @vero57 5 місяців тому +4

    Mbona anaongea kama ana sizia???😮😮 sasa munaficha nini??? Sisi ndiyo tuliwachagua lazima tujue kinacho endelea!!!

  • @aboudasilver6541
    @aboudasilver6541 5 місяців тому

    Mbona anajiuma uma Huyo jamaa daaaaah 😢

  • @EMAPLUSTV
    @EMAPLUSTV 5 місяців тому +3

    MUNGU MUUMBA WA MBINGU NA NCHI TUNAMKABIDHI MKUU WA MKOA WA ARUSHA PAUL MAKONDA MIKONONI MWAKO TUNAAMINI YUPO SALAMA KWA WEMA NA FADHILI ZAKO

  • @MATIKO9640
    @MATIKO9640 5 місяців тому

    As long as kasema anaongea naye na kasema atamtafuta tena aongee naye, itoshe kuamini yupo rikizo na rikizo yake inaenda vizuri na itaisha salama. Sina cha kuongeza. MUNGU amtunze.

  • @mako331
    @mako331 5 місяців тому

    Hawa watu Mungu anawaona! Wakitaka kukumaliza wanakuinua kwanza ili ukipotea hata wao wanajifanya kuhuzunika!! Kama una akili umeelewa

  • @winifridakasibu2900
    @winifridakasibu2900 5 місяців тому

    Ivi Kuna nn mm sielewi ,mungu tusaidie

  • @stanleynombwe4865
    @stanleynombwe4865 5 місяців тому

    Rais samia mbona yupo kimya 🤔🤔🤔🤔

  • @newforcejv9721
    @newforcejv9721 5 місяців тому

    Maongezi Yako toka mwanzo Hadi MWISHO unatetemeka na pia UNAONYESHA WAZI muongo

  • @LeahMkwabi
    @LeahMkwabi 5 місяців тому

    Hayo majibu 😂😂😂 hayana ushawishi wowote 😮😮😮

  • @tobiusjtz7607
    @tobiusjtz7607 5 місяців тому +2

    Hatari hii

  • @marcoenock4596
    @marcoenock4596 5 місяців тому +2

    Mh kwa majibu tuu tayar tuna mashaka na Hali ya mpendwa wetu

  • @johnsfabian4070
    @johnsfabian4070 5 місяців тому +1

    Please please Tanzania 🇹🇿 tupee makonda kiti cha rais

  • @sultansallah8772
    @sultansallah8772 5 місяців тому

    Uwezo mdogo sana wa kujibu maswali

  • @NaftaryMgoye
    @NaftaryMgoye 5 місяців тому +2

    Hata aliyekaimu anapiga chenga live anajua alipo na kilichompata Makonda😢

  • @AbelAnthony-sw8si
    @AbelAnthony-sw8si 5 місяців тому

    Kwahiyo hapa kama Makonda atakuwa mgonjwa inamanisha Tanzania tunamkosi kupata viongozi wawazi kama Makonda na JPM au kanda yaziwa tunamkosi kuwa naviongozi wawazi

  • @YahayaKunga-le7mr
    @YahayaKunga-le7mr 5 місяців тому +4

    Umelaaalaaaaa yoooooooooo

  • @mawazoaliselemani
    @mawazoaliselemani 5 місяців тому

    Kwani mboni Hawa wanasiasa wanapenda uongo?kwani mtu ukisema Ukweli utadhurika nini?anamung'unya maneno kama sisi ni watoto wadogo bhana😢

  • @ramiamisanya9873
    @ramiamisanya9873 5 місяців тому +1

    Mbona anajing'ta ng'ata!!
    Kuna kitu sio bure.....!!!

  • @petertemba6594
    @petertemba6594 5 місяців тому +5

    Mwenye D 2 Kasaelewa

  • @lindaelifissoosuloo
    @lindaelifissoosuloo 5 місяців тому

    Nyiee haya Yana Tisha kwa sasa

  • @IsayaMpalanzi-qu7iv
    @IsayaMpalanzi-qu7iv 5 місяців тому +3

    Tuweni makini yaleyale ya jpm

  • @evaristmbuya6220
    @evaristmbuya6220 5 місяців тому

    Kuna shida kubwa hapa maana anajiumauma sana

  • @rosemarykimath9337
    @rosemarykimath9337 5 місяців тому +13

    Tz ni nchi yetu mambo mengi semeni ukwel

  • @fadhilimusa9732
    @fadhilimusa9732 5 місяців тому

    Hatumsikii hata raisi akimzungumzia makonda tumeachwa gizani

  • @noonelike6382
    @noonelike6382 5 місяців тому

    Hv Kwa nn wananchi hasa wa Arusha muungane wote Kwa pamoja kushinikiza serikali Ili mumuone hadharani japo Kwa dakika kadhaa hivi na muheshimiwa makonda, kuliko hzi mambo za kusua sua. Mkuu ajitokeze hadharani kuzungumza na watu wake wa Arusha Ili kuondoa hzi taaruki, hii issue siyo ya kawaida.

  • @augustinejacobs9657
    @augustinejacobs9657 5 місяців тому

    likizo kama ya kocha alieondoka simba nae alienda likizo, ila makonda anaweza

  • @monicamsile2284
    @monicamsile2284 5 місяців тому +12

    Yaleyale ya Magufuli! Anatafutiwa ugonjwa hapo Makonda, ili mwisho wa siku waseme alikuwa anatatizo la muda mrefu, ila sijui kwann hawagundui kuwa wanafahamika wanachokifanya, au ni makusudi kwasababu hawafanywi chochote hata kkama inafahamika, ni bora wafanye hadharani tu maana hata hiyo amani inayozungumziwa na uhuru kwasasa Tanzania ni uongo hakuna tena

  • @nathanpallangyo5244
    @nathanpallangyo5244 5 місяців тому +24

    KWANI TANZANIA KUNA VITA? TUKIAMBIWA UKWELI SHIDA IKO WAPI, KUNA MAMBO YA KUFICHA KUNA MENGINE YA KUWEKA WAZI TUU.

    • @jumannemalungo5018
      @jumannemalungo5018 5 місяців тому +3

      Usili umezidi nchi yetu

    • @dorothyannan8184
      @dorothyannan8184 5 місяців тому +1

      Mkiwa mmemtenda Makondaa.Hio zambi itawarudia mara 100000

    • @ZainabuOmary-ys8oq
      @ZainabuOmary-ys8oq 5 місяців тому

      tutaomba kila dini kwa ajili ya makonda mtetea watu

    • @latifasuleiman7527
      @latifasuleiman7527 5 місяців тому

      Kweli kilicho chema hakidumu inasikitisha mpaka nimeingia hofu

    • @taifaramadhan8684
      @taifaramadhan8684 5 місяців тому

      Hata Tundu Lissu wetu nae alipigwa Lisasi. lengo ilikua ni kumuua. na walo mpiga eti hadi sasa hawajulikani wala serikale ya wakati ule haikuunda tume ya uchunguzi. nasi bado tuna uchungu na maumivu yale japo watu wengi walikaa kimyaaa hawakupaza sauti japo mitandaoni kama hivi wanavyo paza sauti hapa

  • @hajihassan5433
    @hajihassan5433 5 місяців тому +2

    Serikali semeni ukweli kuhusu RC . Kufa ni mkataba wa kiumbe na Mungu wake na kunaweza kutokea wakati wowote, lkn akifa RC wetu kama Magu hatutaelewana kamwe.
    Likizo ya Mfanyakazi ni mwezi mmoja kila baada ya mwaka wa UTUMISHI, RC ana miezi 5 tu Ofisini kaenda likizo ya nini? Angekuwa mwanamke tungedhani kateuliwa RC akiwa mjamzito kaenda kujifungua, lakini dume kabisa. Ipo namna!

  • @PhilipoMwita-b2x
    @PhilipoMwita-b2x 5 місяців тому

    Endelea kujichanganya tuanamtaka makondaaaaa
    Hivi kwanini jamni mtu anaewatetea wananchi anakua hadumu mwisho wake hua wamajonzi
    Patrice Lumumba aliuwawa,sokoine aliyekua wazir enzi za Nyerere alitengenezewa ajari
    Makonda nae ndokamahivo wanajikanyaga

  • @mosesibmshangamshanga7885
    @mosesibmshangamshanga7885 5 місяців тому +26

    Makonda ndokwanza katimiza miezi mine.. likizo yanini?