PAUL MAKONDA: HISTORIA YAKE/NILIBEBA MCHANGA/UKWELI WA JINA LA MAKONDA/ELIMU NA UTAJILI WAKE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 лип 2024
  • #DULLYSANTZ#SANTZMEDIA#paulmakonda
    FUATILIA HISTORIA YA PAULMAKONDA ELIMU YAKE NA NYOTA NA UTAJILI WAKE
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 58

  • @richardburengengwa6998
    @richardburengengwa6998 8 місяців тому +9

    Siku moja uyu mzee mweshimiwa atakuwa RAIS wainchi ya Tanzania mimi siyo Tanzania alakini nakuaga namfatilia sana, MUNGU akuwezeshe mzee

  • @user-bq9me7st6z
    @user-bq9me7st6z 3 місяці тому +5

    Nakupenda bure makonda

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 9 місяців тому +6

    Nampe nda Makonda Eewe mwenyezi Mungu mpe wazfa mkubwa serikalin

  • @AlliyHamisi-z4k
    @AlliyHamisi-z4k 11 годин тому +1

    Jamani makonda mungu akuvushe kwenye atali

  • @asanthlewanga3941
    @asanthlewanga3941 День тому +1

    Kwanini mnasoma historia yake au amefariki mnatuficha jamani mimi naumia sana

  • @safiaothman5175
    @safiaothman5175 5 місяців тому +1

    MWENYEZI MUNGU SUBHAANAHU WATA'ALA AMWONGOZE KATIKA MAJUKUMU YAKE ,AAMIIN YAA RABBAL 'ALAAMIIN.

  • @user-mg6gt9hk9o
    @user-mg6gt9hk9o День тому +1

    Jaman jamn mtuweke wazi yuko wapi Rc makonda? Nanikwanini mnatusomea historia fupi ya mkuu wetu wa mkoa?????

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 3 місяці тому +1

    Mtani wangu ongera sana.Kumbe ni mwanangu wa kwanza ndio maana nakupenda sana.❤❤❤👍👍By Mngoni .

  • @sarahkingunza1516
    @sarahkingunza1516 9 місяців тому +2

    Hongera makonda Mungu akutunze akupe uhodari zaid

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  9 місяців тому +1

      Usiache kutufuatilia SAN TZ MEDIA

    • @marcokaroje8980
      @marcokaroje8980 5 місяців тому

      Historian hii ya Makonda sijui kama iko sawa 1998 alitakiwa awe kidato cha pili lakini yeye alikuwa tayari amemali shahada ya awali na ameanza kufanya vibarua?Nina mdogo wangu wa umri kama wake 1998 alikuwa kidato cha pili umri wake ulikuwa miaka 16 yeye makonda alikuwa anasoma sekondari na wakati huo anachimba shahada ya kwanza chuo kikuu basis ndiyo maana anamwakilisha Rais wetu kama mnavyomwona ni MTU pekee katika nchi hii na Africa kwa ujumla

  • @costantineelisante8587
    @costantineelisante8587 12 днів тому +1

    Muguampe Maishamarefu bab yet po kristian makonda

  • @epimackjohn461
    @epimackjohn461 24 дні тому +1

    Inasaidia nini Historia hii kama binadamu wote wana historia za aina zao na ni zao ?

  • @ekkymumba8566
    @ekkymumba8566 Рік тому +2

    Awe kasoma hajasoma mie nampenda hivyo hivyo💯💯✅️

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  Рік тому +1

      😂😂 umetisha sana,ila usiache kutazama SAN TZ MEDIA

  • @CostaAntino
    @CostaAntino День тому +1

    Tupeukweli isiwe ya magufuli

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 9 місяців тому +1

    Nampenda makonda na ukoo wake wote mwaaa😍

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  9 місяців тому +1

      Usiache kutufuatilia Neema mengi mazuli yanakuja

  • @benjaminbill6727
    @benjaminbill6727 Рік тому +3

    Huyu Jamaa nampenda buree 💯💯

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  Рік тому +2

      Vzr Endelea kuufuatilia SAN TZ MEDIA

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 9 місяців тому

    Asante mtangazaji kwa kutuhabarisha,tupe na viongozi wengine.Makonda hoyoooo

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  9 місяців тому

      Endelea kutufuatilia Amina ahsante kwakuwa nasi karibu sana

  • @AshuraMsangi-dl7ry
    @AshuraMsangi-dl7ry 9 місяців тому

    Hongera kaka yetu makonda mungu akutunze na kukulinda katika uongezi wako. Malaika wa mungu wakutunze

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  9 місяців тому

      Endelea kufuatilia SAN TZ MEDIA pia usiache kubonyeza batani nyekundu iliyoandikwa subscribe

    • @user-zd3ds6vt7u
      @user-zd3ds6vt7u 8 місяців тому

      Wasukuma hawanaga mbamba sababu niwasemakweli hawanatamaa hawatakidhuluma maana wahurumasana

  • @user-yt5ue4vj5b
    @user-yt5ue4vj5b 2 місяці тому +1

    Nahis kuwa rahisi uyu jamaa😊

  • @zainabubalama8869
    @zainabubalama8869 Рік тому +2

    Tumekumiss ukuu wa mkoa Dar 💯

  • @mungholomakalanga8958
    @mungholomakalanga8958 Місяць тому +1

    MUNGU mwema akutunze mwanangu

  • @mwanyongamama4407
    @mwanyongamama4407 Рік тому +1

    Naomba no.ya Poul Makonda tafadhari

  • @hashimchaoga9566
    @hashimchaoga9566 3 місяці тому +1

    Mtu amalize chuo kikuu halafu achome mkaa na kazi za ajabu miaka ile???!!! Hizi habari zina mashaka .Ina maana Mhe Gwajima alimzingizia mengineyo?

  • @user-qu1mq2ik2e
    @user-qu1mq2ik2e Місяць тому +1

    Watu hutoka mbali but God's time is the best

  • @jonsondsflosa5619
    @jonsondsflosa5619 9 місяців тому +1

    Jaman tuache mahixtoria hixtoria haya tufunduxhane jinxigani ya utaftaji wa pexa nyingi mahixtoria haya wara hayatujengi cho,chote

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  9 місяців тому +2

      Swala lako zuri tunakuahidi kulifanyia kazi Johnson

  • @JamesJuma-zy8cn
    @JamesJuma-zy8cn 9 місяців тому +2

    Wasukuma inaonyesha ndo nguzo ya nchi hii

  • @jonsondsflosa5619
    @jonsondsflosa5619 9 місяців тому +2

    Kuna baadhi ya vijiji wanajua bado raixi nyerere.

  • @ashaali7154
    @ashaali7154 Рік тому +3

    Vyeti feki hivyo acha kutudanganya.

  • @hashimchaoga9566
    @hashimchaoga9566 3 місяці тому +1

    Habari zingine ni feki

  • @prospergirimwa7120
    @prospergirimwa7120 День тому +1

    Achauongo mjinga wewe,makonda hakuwahi soma chuo kikuu mwanza .
    Makonda amesoma chuo cha uvuvi nyegezi na dipoloma yake alichukua mbegani bagamoyo kozi ya taaluma ya samki baadae ndo akaenda arusha kutafuta digrii .

  • @JamesJuma-zy8cn
    @JamesJuma-zy8cn 9 місяців тому +1

    Hata mm nataman kuwa mwanasiasa kama ww

  • @mutalemwamarcelventure.mae2058
    @mutalemwamarcelventure.mae2058 9 місяців тому

    Kwani wanachuo na Wana siasa Wanapatahaje hizo pesa ijapokua hawajawai Fanya kazi siku nyingi jamanii twambiheni na çc

  • @hashimchaoga9566
    @hashimchaoga9566 3 місяці тому +1

    Kachoma mkaa Mbezi Luis??!!! Mtu ana digrii halafu achimbe mchanga miaka ile ya zamani?

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  3 місяці тому +1

      Kwani kuchimba mkaa ni nini??

    • @hashimchaoga9566
      @hashimchaoga9566 3 місяці тому

      ​@@SantzmediaMkaa huchomwa misituni na Mbezi Luis ni jijini Dar hakuna misitu ya kuchoma mkaa. Mchanga wala hakuchimba kwani miaka ile ukimaliza digrii kazi nje nje. Fake news

  • @karenstephen8738
    @karenstephen8738 5 місяців тому +1

    Wewe kanjanja wahead unatuletea utopolo tupu

  • @kivyerabanduka1854
    @kivyerabanduka1854 5 місяців тому +2

    Huu uongo

  • @jonsondsflosa5619
    @jonsondsflosa5619 9 місяців тому +1

    Hii nchi nimaxkini burudani za nn