Matangazo ya Dira ya Dunia TV Jumatano 31/07/2024

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 жов 2024
  • Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili / @bbcnewsswahili

КОМЕНТАРІ • 27

  • @AmaniMoshi-g6q
    @AmaniMoshi-g6q 2 місяці тому +6

    Mungu ibariki Israel ishinde vita hii Kwa utukufu wa jina lakoo. Maaana taifa hili ndilo ulilolichagua kwa jina lako.

    • @allyaboud7224
      @allyaboud7224 2 місяці тому +1

      Allah will protect his religion .

  • @balakamwampashi8617
    @balakamwampashi8617 2 місяці тому

    Mungu akupenguvu yaushindi kutoka taifa kubwa buniani

  • @ZHING.Tech.
    @ZHING.Tech. 2 місяці тому

    safi sana naona unamkalibia salim kikeke

    • @fatmaomar5783
      @fatmaomar5783 2 місяці тому

      Habari zake ni 3 tu lakini anapotrza wakati kumhiji mtalamu mnada mrefu. Salim kikeke tafauti

  • @mosesmbeke6137
    @mosesmbeke6137 2 місяці тому

    Hongera sana

  • @imanimulumbilwa6056
    @imanimulumbilwa6056 2 місяці тому

    Ongera sana kijana wetu,kwa ubunifu wa kulipia maji

  • @JaphetMachibya
    @JaphetMachibya 2 місяці тому +1

    Polen wa kenya

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 2 місяці тому +2

    Wanajificha eeh
    Km wao wanaume kweli wajitokeze, Israel inakula vichwa tu

  • @kafitiwilliam8358
    @kafitiwilliam8358 2 місяці тому

    Daaaa

  • @mwamakaassely2260
    @mwamakaassely2260 2 місяці тому +2

    Wakenya hawajui kiswahili, Roda Roda jifunze kiswahili fasaha , kwa zile symptoms, # Kwa zile dalili .

  • @kafitiwilliam8358
    @kafitiwilliam8358 2 місяці тому

    Daaaa israelii hatarii sanaa

  • @PeterTembo-e3r
    @PeterTembo-e3r 2 місяці тому +1

    Unafanya kosa nyumba ya jilani unakimbilia kwa baba ako wanakuja wanakuchapa mbele ya baba ako 😂😂😂

  • @khamis9187
    @khamis9187 2 місяці тому

    Allah atampa ushindi mwenye haki ya ardhi ya palestina na ghaza kwa ujumla..

  • @Faya884
    @Faya884 2 місяці тому

    Israel💪

  • @princejohn7754
    @princejohn7754 2 місяці тому

    Inashangaza sana BBC ni kituo cha karine nyingi lakini taarifa ya habari haionyeshi niyasiku gani tarehe gani mwaka gani sisi tunasikiliza tu

  • @mpefu_4936
    @mpefu_4936 2 місяці тому

    Kaka weka naomba Yako tukutafute uniwekee namimi hapo nje

  • @EdwardKisota
    @EdwardKisota 2 місяці тому

    Hatama Israel itawaua wapalestina wengi. Lakin nchi za kiarabu Zina nguvu na ushirikiano mkubwa Sana sambamba na itikadi za dini ya kiislamu

  • @FatumaAdam-s1s
    @FatumaAdam-s1s 2 місяці тому

    Kuvunjika Kwa koleo sio mwisho wauhunzi

  • @mpefu_4936
    @mpefu_4936 2 місяці тому

    Tuletee mita za kulipia nikitumia Arusha

  • @jacobmathew475
    @jacobmathew475 2 місяці тому

    Nisaidieni namba za mbunifu wa sarafu ya maji

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 2 місяці тому

    Sahivi ni 3
    Israel imekula kichwa tena

  • @khamis9187
    @khamis9187 2 місяці тому

    Izrael hana nguvu yoyote yakupambana na wanaume wa hamas, anaepigana na hamas ni marekeni na umoja wa ulaya bila kumsahau muingereza.

  • @MohamediIdi
    @MohamediIdi 2 місяці тому

    Naamini kwamba. Hakuna muda mrefu haki ya Palestine itafikia .kwani hata isa bin Mariam au yesu waliotaka kumuua ni hao hao. na mungu aliwalaani! Tuwaombee amani iwafikie tu.

  • @Dieudonnemasango
    @Dieudonnemasango 2 місяці тому

    Sisi ni waafrika siyo waisrael,vita vyahoo avituhusu

    • @amaskaisimbi9130
      @amaskaisimbi9130 2 місяці тому

      Vinaturuhusu, kwasababu israel ikishindwa watatukujia ,Hao majambazi wa makundi yawaslam , hatutaaponyoka. Let's pray ushindi kwa israel ni usability kwetu. Angalia sudan, Somalia,....

  • @imanimulumbilwa6056
    @imanimulumbilwa6056 2 місяці тому

    We need president Trump