Mm sijapenda kabisa swala la umbambamba kuekwa hapa wasafi na naona mshapoteza shabiki zenu wengi mikianza mm maana sijapeda kiukweli bora ingebaki tu uko mkojani tv
HAPA INAONEKANA MENEJA WA MKOJANI "FAMONGA" NDO MNAFIKI MAANA YEYE INTERVIEW YAKE ALISEMA SAMOFI HADAI HELLA YOYOTE ALAFU MKOJANI KAKIRI KWAMBA SAMOFI ANADAI 😂😂
Siwezi kaa tena angalia tamthilia za hawa jamaa sababu sasa wamekosa userious ile nyingine haijaisha washakaa kuanzisha kiki ili kutoa mpya na hii nayo ikienda wataishia kati walete ingine
Kwani lazima uskilize me sjawahi skiliza kupitia hili naanza kuwafatlia, broo skia nkwambie kitu ukiacha mke leo kesho mwoaji anapatikana acha jazba we kenge nini..
Njaa mbaya sana ndgu
Omba yasisikute na ujue kujikaza.
Respect to platinum Diamond
Samofi tulia mtafika mbali na mkojan naipenda sana umbambamba
Mashaa Allah...nmependa sana mlivyo patana...❤
Wasanii hawa wajanja tu
Mkojani na Mimi nataka kazi mm nakukubali nipe kazi kaka
Kumbe hii umba mba mba ilikuwa na uhalsia kwenye maisha ya samofi na mkojani Sasa
Hapa nmethbtisha uhai wa kazi za fasihi Yaan inaishi👍
Dr. Cheni Mungu ata mlipa maana ame pambana mpaka wamepata safi sana
Kupatana ni lazima kwa sababu wote mna mapengo(mwanya) hapo tunategea kazi ziendelee na kazi iendelee ...nawakubari sana nyie ba mwanya boi
Saumu haihitaji poleeee inahitaj hongera
I love you Mkojani gang
Mkojani mungu akujaalie
Kaka mkojani 👍👍👍♥️♥️
Am happy to see again samofi 😂Jambo zuri kuelewana mitihani Tu ya dunia mkojani swaum njema
wahuni tu awa hawakuwa na ugomvi wowote kiki2 izo ogopa sana watu wenye myanya kwenye meno
🤣🤣 nayo ilikua kk kweli Yani wanaleta ugaigai Kwa mashabiki
Ndo changa moto za Maisha lkn Dkt Chen ushaur wako Unatosha sana
Samofi izo dimpoz maasha Allah
Salut ❤
Duh! Kick yenu mmeipangilia vzur na bado mnasema mnaandaa ugomvi mwingine.
Nakuomba sana diamond ukisikiekiliochangu naitaji sana niwedancer wako kaka au msanii wako kaka please
Big up 🦁🦁🦁🦁🦁
Mulikuwa mushayapanga musituzinguwe wala hayataki touchi yapo njenje ni yakupanga ❤❤❤
Good brother
Kweli kabisa mkojani yaishe
Nakubali Sana Mondi...
Nani kasikia tutaanzisha ugomvi mwingine,,,,,,
Mwandish hii habar umeandka lkn inaonyesha chuk zako katk content ulioandka et diamond patinumz
Nani kamuona ray,mshana mtoto wa masaki 😀
Mm nilijua tu umbambamba mpaka maisha ya kweli
Pesa inaweza kuwagombanishaa
Walikua na mipango hawa,..tuliosoma cuba, Mond anataka kufanya nao kaz ndan ya wasafi
Kama umeskia neno mkojoni cheka halafu vunga kausha weka kwenye kifungashioni😂😂😂😂😂
Hiii ni maigizo tuu. Kiki bana
Lakin mkojan Ako roho safi
Na wee mkojani kumbe kwenye movie tu kuwaka kule kumbe kwenye serious unagwaya ivo
R yhei brothers
Mkojani namba 1
Kiki za mtandaoni twaijua hiyo
Wanavaa kanzu za bule lakini Maisha yao hayaakisi kuvaliwa kwa kanzu
Uyo samofe anaonekana mkorofi na mbabe hana busara sasa yy aliwezaje kuamn kwmba mkojani anawez kumdhulumu anaonekana Ana roho mbaya
Santaa umbambamba start
samofi miyayusho sana😀😀
Uchawi uwe ama usiwepo Mimi burdan ndo nataka Toka kwenu
Iyi Kiki niyakwanza
Ukimuona Cheni toa nano kiki...sawa sawa na kukuta habari za udaku kwa Ayo
Lkn samofi ananifurahisha ati latatu b 🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂 subhana Allah Alhamdulillah
Haki mkoja hayuko sawa bado
Ni jambo la kumshukur mung na napenda Sana muvi zenu
Kiki hiyooo
Chemistry yenu nzur achen ujinga fanyen kaz
Mmeskia mliokuwa mnaskiliza upande mmoja
Km umeona mkojani ametoa ulimi nje...apo inaashiria hayupo Sawa na huyu jamaaa Kwa sababu amemtangazia vby mitandaoni
Umesha chafuliwa hahaaaaa😅😅😅😅
Wacheni upuzi wa kugombana kipuzi munapo gombana ndio munaanguka kikazi
Mm sijapenda kabisa swala la umbambamba kuekwa hapa wasafi na naona mshapoteza shabiki zenu wengi mikianza mm maana sijapeda kiukweli bora ingebaki tu uko mkojani tv
We mchawi senge ww
Acha chuki hv ingekuwa inaoneshwa clouds tv ungesema kuwa huangalii halafu usipoangalia wewe Kuna ambao wameongezeka zaidi kuliko ambao hamuangalii
sasah pia kupitia wasafi washaongza mashabik wa kwanza mimi
Potea ww tuko milion tumeongzeka ,ww una chuki na diamond
Nenda tu hakujapungua kitu kwa ww kutoangalia chuki tu kwa 💎💎
Bc imekuwa kazi Wana Habari wapata kazi
Kma unavyowajuwa
Punguzeñi kiki,,,,hapo hakuna ugomvi ni jinsi Gani mnavyowazarau mashabiki wenu,,ugomvi huu hauna tofauti na michezo yenu Ile comedy😮
Ugaigai
Tatizo nyote mna mwanya msikosane😂😂
HAPA INAONEKANA MENEJA WA MKOJANI "FAMONGA" NDO MNAFIKI MAANA YEYE INTERVIEW YAKE ALISEMA SAMOFI HADAI HELLA YOYOTE ALAFU MKOJANI KAKIRI KWAMBA SAMOFI ANADAI 😂😂
Maswaiba wote wana mianya😂😂😂😂
Sio kweli acha shobo
Punguzeni njaaa
Kiki hiyo
Kiki hii
Huu ni ushoga wa kiki yaani hadi mwezi mtukufu mwafanya ufala
Wasenge Tu awa
Mna tuectia au vep......
Nop mkojan tunaomba umbambamba jmn
Pesa bana 🤣🤣🤣
Nimesema kwamba mkojani Hana tatizo ila ni samofi mwenyewe tu
Bongo Ilojaaliwa kiki
Made up by wao
Ttegemee ubambambalin
Siwezi kaa tena angalia tamthilia za hawa jamaa sababu sasa wamekosa userious ile nyingine haijaisha washakaa kuanzisha kiki ili kutoa mpya na hii nayo ikienda wataishia kati walete ingine
Kwani lazima uskilize me sjawahi skiliza kupitia hili naanza kuwafatlia, broo skia nkwambie kitu ukiacha mke leo kesho mwoaji anapatikana acha jazba we kenge nini..
Msinge kubali hizo interviews zao hao wata anza kuimba hao kuwachokonoa na kuwagombanisha upya achaneni nao haoo wajinga
Hii ni kiki tuh jamaa hamna lolote
Mkojon 😂
Akuna lolote wametengeneza kiki wakikuw na njaa zao,,,
Na UA-cam umbambamba iwepo
😅
bas rudishen umbambamba
Leteni umbambamba
Kiki hiyo