BABA LEVO AWASOMEA WAKENYA LISTI YA WASANII BORA WANAO ANGALIWA EAST AFRICA/WILLY PAUL AOMBE MSAMAHA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 276

  • @JAHSEED001
    @JAHSEED001 Місяць тому +14

    Oya watanzania 🇹🇿na wakenya 🇰🇪sisi ni brother plz tuweni na ujirani mwema kama Mimi ni mkenya naishi tanzania na niuhakika Kuna watanzania wako Kenya so let's stay like brothers en sister Mimi sitaki hayo malumbano tuishini na amani we pray peace kwani Nini hebu i love this country 🇹🇿 it's a peaceful country God bless Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 mungu bariki tanzania kama diamond kakosana na willy hio haituhusu Mimi na wewe hatukukuweko Wala hatujui Nini kawakosanisha tuishi kama kiundungu 🇹🇿🇰🇪

    • @enockRocky-p2y
      @enockRocky-p2y Місяць тому

      Ludi kwenu kilamtu akae kwao

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 Місяць тому

      @@JAHSEED001 shida nyie mnapenda vurugu na sisi hatupendi hizo vurugu. Ulimuona huyo jamaa alivyokuwa ana haha akienda huku na huku na kusukuma watu hovyo kama Pepo limempanda 😂

  • @EliasiMadunda
    @EliasiMadunda Місяць тому +18

    Ndo maana umepata tuzo mwanangu uko good sana mungu akubaliki sana

  • @Mari89wx
    @Mari89wx Місяць тому +12

    Umefanya kazi nzuri Baba levo.👏🏽

  • @jonfredkewe3451
    @jonfredkewe3451 Місяць тому +5

    Baba level we kibo yako Mwijaku

  • @wakolijoel254
    @wakolijoel254 Місяць тому +1

    Well spoken ❤

  • @DennisKinyua-md7nu
    @DennisKinyua-md7nu Місяць тому +2

    Baba levo big up bro uko sawa❤hila ucije ukatazamia piddy nawe kama boss wako

  • @ModdyMoo-j2x
    @ModdyMoo-j2x Місяць тому +2

    When I smile and say “Yeah, I’m fine” it’s really code for “No I’m not okay and I feel like my world is crashing down around me 😮

  • @FkenDmitry
    @FkenDmitry Місяць тому +24

    Kenyans have good music but Tanzania has the best music.

  • @ramadhaniOsujacki
    @ramadhaniOsujacki Місяць тому

    Baba levo uko vizuri sana mnatakiwa kuungana na sii kupigana kwa maendeleo yenu ya muzikie

  • @Gmanartist08
    @Gmanartist08 Місяць тому +10

    Baba levo mbna umewapiga hivo Yani umewafanya wanyonge sana duuuuh noma sn Tanzania💪💪💪

    • @exop-r7z
      @exop-r7z Місяць тому

      Yes ,umeua saanaa

  • @Dinho-Makavel
    @Dinho-Makavel Місяць тому +3

    Uko vizuri baba ake nalevo wambie sie kwenye kiki tulishatokaga zamani saizi tunafikiria kuleta grame tz wanazani wimbo wako kupigwa malekani ni kitu poa sio wambie wapige kazi wafanye kazi nzuri wapige makolabo makubwa namanisha wawekeze kwenye kazi zao mungu atawabaliki

  • @pastor-Chrisfeston1
    @pastor-Chrisfeston1 Місяць тому +1

    Baba levo umewafungua ubongo sana kabisa uko sahihi sana ndo maana nakupenda sana yani❤❤❤❤❤

  • @KamandaNgoy-d3u
    @KamandaNgoy-d3u Місяць тому +1

    Baba levo umekua muchakazi wa daimond unajishusha sana nanjomana Congo tunapenda Ali kiba sana

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 Місяць тому +20

    Kusema ukweli, naishi UK, ukienda kwenye African clubs au pubs,ni nadra sana kusikia muziki wa kenya unless ni kenyan club au pub! Ila Mondi, kila sehemu

    • @HalimaMichael-x6x
      @HalimaMichael-x6x Місяць тому +3

      Ukweli kabisa ❤

    • @DenisKhafweli
      @DenisKhafweli Місяць тому

      Wewe mziki yako yaimba wapi

    • @errydeo8865
      @errydeo8865 Місяць тому

      @DenisKhafweli miziki ya diamond inapigwa in African clubs n pubs my friend

    • @brunobruntix5177
      @brunobruntix5177 Місяць тому

      Ongea kizungu sasa au Uk you do communicate in swahili

    • @yudachelango6824
      @yudachelango6824 Місяць тому

      ​@@brunobruntix5177what's kizungu mshamba ww

  • @bobbybrayanskiprotich.5575
    @bobbybrayanskiprotich.5575 Місяць тому +3

    Good Message .Invest to get the return

  • @PhillyAmbilikile
    @PhillyAmbilikile Місяць тому +7

    Chawa by professional

  • @dallasmusic6465
    @dallasmusic6465 Місяць тому +30

    Kenya 🇰🇪 na Tanzania🇹🇿 sisi ni ndugu acheni huu ujinga wa wasaniii

    • @PaulineKalume
      @PaulineKalume Місяць тому

      Ww domujinga dungu yako ninani

    • @PaulineKalume
      @PaulineKalume Місяць тому +2

      Huyu Kuma ywaongea nn mumutombe

    • @dallasmusic6465
      @dallasmusic6465 Місяць тому

      @PaulineKalume Sasa huku tutakufira bwabwa wewe... tutakufinya matako vzuri huku nkimwaga kdogo kdogo kwa hyo matako yako nzur

    • @errydeo8865
      @errydeo8865 Місяць тому

      ​@@PaulineKalumeyaani wewe kila sehemu neno unalolijua NI kuma! Try to find new words!! The funny thing is, Una kuma,mamako ana kuma! How stupid!

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 Місяць тому

      @@PaulineKalumematusi yatakusaidia nini

  • @DullyTz-z4w
    @DullyTz-z4w Місяць тому +11

    Camera man. Unajua sana. Baba levo kang'aa

  • @IdrisSudiMwagore
    @IdrisSudiMwagore Місяць тому +17

    Hakuna chawa anajua kuongea kama babalevo 🔥🔥🔥🔥

    • @machariagilbert3475
      @machariagilbert3475 Місяць тому

      Ukweli mutupu

    • @edyteemba1918
      @edyteemba1918 Місяць тому

      Me mwenyewe nimeshangaa mbona anaongea tuu hakuna maswali ​@@machariagilbert3475

  • @uzmondboy_fcm
    @uzmondboy_fcm Місяць тому +1

    Iyo ni kweli 🎉🎉🎉❤❤❤ 12:56

  • @whatsyourtruth.7603
    @whatsyourtruth.7603 Місяць тому +1

    Baba Levo amebonga kama watu Kumi. Sio kama akina Mwijaku, Master na mafala wengine

  • @mauruskimbe5478
    @mauruskimbe5478 Місяць тому +6

    Wewe ni balozi mzuri umeongea kama taifa mungu azidi kukujalia

    • @exop-r7z
      @exop-r7z Місяць тому

      KABISA,kabisaa

  • @henryjuma-s3l
    @henryjuma-s3l Місяць тому +2

    Hi,Baba Levo ahsante brother kwa yako maneno mazuri sana,huna ubaguzi Niko na wewe asilimia100 bro,tangia niione Cheka TU Mimi nakukubali sana,nakuomba mwambie pia Brother Koi Mzungu mwanzo mpe salam zangu Kisha aongelee pia kuhusu hili kiasi tumsikie plz...😂thanks brother

    • @DaimaLecha
      @DaimaLecha Місяць тому

      wil pow mbona tz tulikukubali , usikubali , usitutoe kwenye reli zako sasa mwanetu

  • @mwinyiswaleh8388
    @mwinyiswaleh8388 Місяць тому +2

    Usisahau wakenya wamechangia sana kwa wasanii wa TZ kwa hio usilete madharau.

  • @LeylaSaria
    @LeylaSaria Місяць тому +8

    😂😂😂😂😂Ila Kenya wapenden bc wasanii wenu

  • @exop-r7z
    @exop-r7z Місяць тому +1

    Big up saanaa umeongea poiiinti saanaa

  • @emanuelsarara6383
    @emanuelsarara6383 Місяць тому +2

    Muziki umebadilika sana duniani utamzuia dj kupiga muziki wa bongo, utamzuia mtangazaji kupiga muziki wa bongo redioni Kenya ila huwezi kumzuia mwananchi wa Kenya kusikiliza muziki mkali kutoka bongo kwenye platform mbalimbali kupitia simu yake mfano hata bongo tunasikiliza sana nyimbo kali mbalimbali kutoka Nigeria kupitia platform mbalimbali kupitia simu zetu sikuhizi watu hawapendelei kbisa kusikiliza redio wala kuangalia TV, smartphone utandawazi umemaliza kila kitu.

  • @Joehappy-kb2px
    @Joehappy-kb2px Місяць тому +4

    Mimi ni mkenya naishi burundi naona hio n upuzi yani ugomvi tuu

  • @LizenMaker
    @LizenMaker Місяць тому +3

    Kweli

  • @VeronicaMtita
    @VeronicaMtita Місяць тому

    Ukabila unawafanya muwe na roho mbaya sana namuomba mungu tanzania tuzidi kupendana sana tusiangalie ukabila

    • @KENTV11123
      @KENTV11123 Місяць тому

      Thanks sister ❤❤❤❤❤

    • @KENTV11123
      @KENTV11123 Місяць тому

      Ungomvi ni upunzi Tu mm ctambua wasanii wa east Africa mm natabua kina Rihanna , Nicki Minaj etc.

  • @Timostomas
    @Timostomas Місяць тому

    unajua san baba revo

  • @LucasKinasa
    @LucasKinasa Місяць тому +2

    Apo wa kenya wamepata soma 😂😂😂😂😂😂😂

  • @RojaRojas-o7g
    @RojaRojas-o7g Місяць тому

    SAFI KABISA LEVO

  • @HitimanaAbdillah
    @HitimanaAbdillah Місяць тому +1

    Unajua kuongea point mtoto wakwanza wa Simba mtoto wa Simba nae ni Simba ongera mwanangu

  • @Chillah19
    @Chillah19 Місяць тому +1

    Will poul nimsanii mdogo sana kwa apa tanzania anazidiwa adi na yammy

  • @PhillyAmbilikile
    @PhillyAmbilikile Місяць тому +3

    Point sana na Hilo amelisibitisha hamonize wcb hawapigi nyimbo zake lakini hashuki ukubwa anapanda tuu

    • @EdinaSamwel
      @EdinaSamwel Місяць тому

      Acha uongo nyimbo za wasafi wanapiga nyimbo zote acha uongo na unaaa kuwa mkweli

    • @PhillyAmbilikile
      @PhillyAmbilikile Місяць тому

      @EdinaSamwel basi kama wameanza baada ya kumshindwa Ili waonekane wema

    • @EdinaSamwel
      @EdinaSamwel Місяць тому

      @@PhillyAmbilikile siyo kweli

    • @josephkiwale374
      @josephkiwale374 Місяць тому

      Clods hawakuwahi piga nyimbo za mondi nahakuwahi kushuka mbna hlo nalo huliongelei ww tumbili😆😆

  • @kw25tds
    @kw25tds Місяць тому

    salute

  • @lemmyjohn-pk6xc
    @lemmyjohn-pk6xc Місяць тому

    Well token bro,, pili hili tatizo si la Diamond wala willy ni la waandaji ,,

  • @AlexanderMuthwii
    @AlexanderMuthwii Місяць тому

    Inji ngani inaangalia sana .tuanzie apo

  • @marthaasebukwa-qm4hf
    @marthaasebukwa-qm4hf Місяць тому

    Mziki wa ulimwengu hakuna penye unapeleka mtu we depend on gospel God first and respectful

  • @alexnyamsky6255
    @alexnyamsky6255 Місяць тому

    Noted

  • @jofrayanthony9769
    @jofrayanthony9769 Місяць тому +2

    Alikiba pia bado

  • @irenenjuki7796
    @irenenjuki7796 Місяць тому

    Wanaangaliwa kiaje

  • @FredEden-j9e
    @FredEden-j9e Місяць тому +1

    Nipo Australia sijawahi sikia miziki ya Kenya kwenye club za huku ila diamond na wasanii wa Tanzania zinapigwa daily

  • @ramadhaniOsujacki
    @ramadhaniOsujacki Місяць тому

    Kenya na tanzania mnatakiwa kuwa kama watoto wa baba mmoja na mama mmoja jaribuni kuyamaliza yenu hasa nyie wasanii wetu wa kenya na tanzania

  • @Riziki.boniphace.sabore1234
    @Riziki.boniphace.sabore1234 Місяць тому

    Wakenya jamani nawapenda sana acheni hizo mambo yenu yakujiona mnajua kuingia bungeni sio nizamu nzuri nikama wewe nibaba alafu mtoto wako nijambazi haifuraishi wazazi na jamii kwaujumla

  • @FredAchi-i2k
    @FredAchi-i2k Місяць тому

    Fact

  • @AmosiTimoteo
    @AmosiTimoteo 28 днів тому

    Willy Paul bado sana ajipange

  • @StivinMwaipopo
    @StivinMwaipopo Місяць тому

    sasa mbn willy paul sjamuona hata top ten

  • @Starboy-c8y
    @Starboy-c8y Місяць тому

    Ka feki namba

  • @JaphetRimba
    @JaphetRimba Місяць тому +3

    Ungeongea mbaya kma juzi ulivosema unamkujia willy paul

    • @MajaliwaMhungati
      @MajaliwaMhungati Місяць тому

      Sasa unamkujia ndio kiswahili Gani 😂😂😂😂😂😂

  • @Chillah19
    @Chillah19 Місяць тому

    Mkubwa ni simba la masimba dangote 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @nicholasmulinge6661
    @nicholasmulinge6661 Місяць тому

    Wakenyan tunangalia gospel

  • @LundulaJohn
    @LundulaJohn Місяць тому

    Njoo tu tupo Kenya hapa sety very,

  • @askofu_muziki5992
    @askofu_muziki5992 Місяць тому +2

    Apo pa kazi uongo

  • @JerryNnnnnn
    @JerryNnnnnn Місяць тому

    Mbona akasahau kusema watu wenye walimuwatch diamond sana huu mwaka ni wakenya kwa all platforms.so undugu nizaidi ya hizi vita vya kibinafsi

  • @RoseMadatta
    @RoseMadatta Місяць тому

    ❤❤🎉🎉🎉

  • @erickmironga8374
    @erickmironga8374 Місяць тому +2

    We Kenyan we are after respect ,we don't mind about your staters,we mind only our GOD, kumbuka mwenye amekuweka juu ndio vile vile amerudisha jini

    • @natupe123
      @natupe123 Місяць тому

      Heshima hailazimishwi inakuja yenyewe

  • @gudayakutemile577
    @gudayakutemile577 Місяць тому +1

    Unaungana na naniiiii pua

  • @lunangabenjamin3121
    @lunangabenjamin3121 Місяць тому +1

    Isinge kuwa israel mbonye kuziba kati tano bora zote zingetoka wcb.

  • @MwitaBoy-l5k
    @MwitaBoy-l5k Місяць тому

    Diwani kigoma anajua

  • @Starboy-c8y
    @Starboy-c8y Місяць тому

    Ila Leo umenyenyekea ww levo

  • @vincentsamuel1796
    @vincentsamuel1796 Місяць тому

    Hapa mim nasema akuna acha kugombana juu wa mtu mmoja Bora kuwa kitu kimoja ndio tuendelee kufanya kazi pamoja wivu na chuki sio faida

  • @Ridhwanihassani
    @Ridhwanihassani Місяць тому

    Bila paddy hama llte

  • @fullstory01
    @fullstory01 Місяць тому

    hiki kinaonyesha inafaa tusuppot sana mziki wetu wa kenya

  • @SaidiSalumu-z9v
    @SaidiSalumu-z9v Місяць тому

    Oya wakenya wanazalau Sana wamzalau dam yet aokakuma waaze abague kakuma t

  • @itsOmmyd
    @itsOmmyd Місяць тому

    Kumbee baba levoo huwa unaongea point iviii😂😂😂

  • @avrainespoppit8468
    @avrainespoppit8468 Місяць тому

    Shenzi sana,huna adabu

  • @4806lency
    @4806lency Місяць тому

    Badala ya kumaliza mate yenu tumekubaliana asikuje huku tena

  • @Charlesokoth-kc6dc
    @Charlesokoth-kc6dc Місяць тому

    Oooh Baba na levo kama kweny ila Sisi tuna tambua mungu

  • @robbykofficial9901
    @robbykofficial9901 Місяць тому

    Kama wakenya wengeelekeza machungu kwa ruto tungekuwa sawa.

  • @Boyfromtanzania
    @Boyfromtanzania Місяць тому

    Lesson learned to Kenyans
    😂😂

  • @josephatSwai
    @josephatSwai Місяць тому

    Mbona unasema mkenya watanzania unawaja Kwa majina kweli cc watanzania a tuna ulabila

  • @KamandaNgoy-d3u
    @KamandaNgoy-d3u Місяць тому

    Ninyi wa tanzania tatizo lenu muna mu stuko wa hela sana, nanjomana shobo zenu zishie uko uko mukija kwetu Congo mutapigwa sana

  • @mash3775
    @mash3775 Місяць тому

    Mkitaka kujua diamond na poze walitafuta Kiki diamond angeperfom iyo siku mm niko sure Kuna wakenya hawangejua so wote wa natafuta kiki

  • @KamandaNgoy-d3u
    @KamandaNgoy-d3u Місяць тому

    Niko Congo kwanini stafu ya wasafi inapenda kushsha levo ya wasani wengine kwani yéyé dm njo anaimbaka tu dunia mzima?

  • @twahasaid1172
    @twahasaid1172 Місяць тому

    Wafundishe wakenya hawajuyi kuimba dj toa hiyo takataka

  • @JosephWanyonyi-i1e
    @JosephWanyonyi-i1e Місяць тому

    Sisi Wacha tukimbie na tuongee kisungu kuimba hatuko

  • @Unju-q4e
    @Unju-q4e Місяць тому

    Chukulia mfano Diamond angepigwa Kenya 😂😂 hao wakenya tungeenda kuwapigia hukohuko kenya ndio ingekuwa mwisho wa uwepo wa wakenya 😂😂 Am just joking but it could be serious

  • @RafaelMolel-e9i
    @RafaelMolel-e9i Місяць тому

    Uwakika bro❤❤❤😂

  • @reachmanofficial2627
    @reachmanofficial2627 Місяць тому +1

    Wee.....uko tanzania......

  • @musasulaiman8881
    @musasulaiman8881 Місяць тому

    Waganda wako wapi

  • @SeverinoLuis-j1h
    @SeverinoLuis-j1h Місяць тому

    We Willy Paul ongeza sauti kudadeki yupo na shemeji yako😂😂😂😂

  • @jofrayanthony9769
    @jofrayanthony9769 Місяць тому

    Jux ayupo marioo ayupo

  • @IsacManuel-b4y
    @IsacManuel-b4y Місяць тому

    Acha kuongea kwa woga wakenya tumewazidi kilakitu muziku mpila wamebaki na kingeleza tu km VP kilamtu tusiende na Wao wasije tuone na situdio kilamtu apige ngoma za kwako tu

  • @RichardCharo-zx3sy
    @RichardCharo-zx3sy Місяць тому

    Mbona huku address issue ya p didy namna hio

  • @africakiujumla1
    @africakiujumla1 Місяць тому

    WIIL PAUL ashindane na HARMOLAPA

  • @twahasaid1172
    @twahasaid1172 Місяць тому

    Hakuna ubaya ubwele tu dj toa hiyo takataka

  • @Davida-vi7ef
    @Davida-vi7ef 18 днів тому

    Huyu jamaa angekuwa na degree sijuwi angekuwa wp😂

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY Місяць тому +1

    baba level leo nmejifunza inatosha
    kweri wewe semaji kuu maana uyo
    bwana mdogo hanalala mika kuwa
    course he speak picture its not good
    why mr willpaul you say smoll picture
    in boudcast why make sure you have tride next day about promotion

  • @OnderiGilbertOG
    @OnderiGilbertOG Місяць тому

    Hii argument ya TV mara radio mara youtube si relevant na stori inaendelea😂who's this nah.

  • @nickojeremy163
    @nickojeremy163 Місяць тому

    Most nini?

  • @JamesMwandoje
    @JamesMwandoje Місяць тому

    😅😅😅😅😅😅😂😂😂😂😂.....bba levo

  • @victormaina1310
    @victormaina1310 Місяць тому +2

    diamond is very greedy. harmonize said it . evidence iko kwa kalatasi.

    • @SaidKasomo
      @SaidKasomo Місяць тому

      Or may be wakenya mnapenda ganda la ndizi (mtelezo). Its just a half empty, half full kinda thing.

    • @ZuraAdam
      @ZuraAdam Місяць тому

      ​@@SaidKasomomkunduo achana na wakenya sai hatutaki diamond kabisa

    • @SaidKasomo
      @SaidKasomo Місяць тому

      @@ZuraAdam punguza hasira usijenyea kwa mdomo wewe. "Diamond hatumtaki na mmejaza nyimbo zake kwa simu". Panzi nyie

    • @victormaina1310
      @victormaina1310 Місяць тому

      wtf

  • @leesibia2748
    @leesibia2748 Місяць тому

    Huyu upuzi wako wa kuzoea wasanii wa Kenya hatuutaki my friend

  • @SalumMusa-f5l
    @SalumMusa-f5l Місяць тому +5

    Wape somo aw maskini wa akili

    • @MuffyDollars
      @MuffyDollars Місяць тому +1

      Bro chunga kauli yako... Watu wako kwenye maelewano na uwiano mzuri ww unashadadia usenge.. Oya wake up😅😅

    • @VincentGamboMuye
      @VincentGamboMuye Місяць тому +2

      Utapigwa mafinger

    • @mansoorabdul332
      @mansoorabdul332 Місяць тому +2

      Ww wajiona unaakili kunguni mmoja ww

    • @salimsoyo8118
      @salimsoyo8118 Місяць тому +2

      Msenge mkubwa tangaza amani kidagas

    • @coolbz133
      @coolbz133 Місяць тому +2

      Tulia ww kapakwe mafuta ya PDD ww na huyo muimbaji wako diamond

  • @GloriaWangui-xo4lk
    @GloriaWangui-xo4lk Місяць тому +1

    Ukweli ni kwamba willy Paul alimzima Mondi

  • @derrickwanatanzega5047
    @derrickwanatanzega5047 Місяць тому

    ETI NI WANAFANYA NN HAO 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @LouisPadiri-im4xm
    @LouisPadiri-im4xm Місяць тому

    Mbona nyie movie za Nigeria 🇳🇬 mlizuhiya 😂😂😂

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 Місяць тому

      Lini?

    • @danieljulius1872
      @danieljulius1872 Місяць тому

      Hatujawah kuwa huo ushamba,bongo hakuna mindset za kimaskini

  • @ZuraAdam
    @ZuraAdam Місяць тому +3

    Tunatoa Diamond wenu uyo , sasa ni wakenya

    • @SaraJinalangu
      @SaraJinalangu Місяць тому

      Unahisi kwa week tu mtampandisha aswafe kwanza sio lelema kama mnavyoongea unahisi muziki unasikilizwa Kenya tu apambane paulo wenu afike walipo wenzake apunguze chuki