Dah! Umeitaja SIRI YA KIFO umenifanya niende baadae kuiangalia tena. Ile tamthilia bana mlicheza. Kila nikiangalie ile kazi naona NDUPE ndio inafata ktk ubora wa kazi mlizotoa. Zilizosalia zote sijazielewa hata kidogo.
@@nassyzznassyzz7111 Muuza Maiti kuna scene zilitaka kuingiliana na SIRI YA KIFO. Hakukuwa na ubunifu ktk kazi ile. Afadhali NDUPE niliipenda kwasababu ya ubunifu wa kubadilika kwao uigizaji na aidia. Kama Chendu kutojihusisha na ushilikina, Chumvinyingi kuwa serious, uwepo wa Mkono Mkonole n.k
Hadi nlishangaa kwenye Simba mweusi hukujiziba jicho...much love kisofa
Kisofa familiaaaa KBS mungu akuwekee kk
Katika familia inayofanya vzuriii ni chumvnyingi gang. Mnajua Sana sema watu roho zao visokolokwinyo😂
Kisofa kaa silencer kaa kwa kutulia umeupiga mwingi sana ...kwenye simba mweusi❤❤
Kisofa 😂😂😂😂😂😂😂wanifurahisha sana kakamzuri
Namkubali Sana mwana kwetu 🎉🎉
Namkubali sana kisofa🎉🎉🎉❤❤❤
kumbe mzri kweli ksofa❤❤❤
Mmbo hayoooo mambo sasaaa kisofa unaweza sana jombaaa😅
Kisofa ni msanii wangu borà wa mwaka ingaw chumvi n kisanga
Mwamba anajua sana....
MAMBO HAYA
MAMBO SASA
😂😂😂 kisofa yuko sawa sanà.
mkojani kelele tu ila kisofa umetulia yani mimi naifatilia sana simpa mweusi kwa sababu yako
Penda sana kisofaa ..mamboo sasaaa
Maaaambooo sasa😂😂
Kisofa upo vizuri mkojani udambudambu umeisha
Tuletee na nyau
Nakukubal San kisofa
Mkojani mkubwa sana kwenye sanaa hawezi akamuiga huyu mkojani unazungumzia majuto zamani sana huyu mgeni kwenye sanaa
Wrong title 😅
Lakini imeenda
Kisofa duuh nimecheka
😂😂😂
Baaaaad
Kisofa hana pigo za mkojani... Mi wote nawafuatilia kazi zao
Dah! Umeitaja SIRI YA KIFO umenifanya niende baadae kuiangalia tena. Ile tamthilia bana mlicheza. Kila nikiangalie ile kazi naona NDUPE ndio inafata ktk ubora wa kazi mlizotoa. Zilizosalia zote sijazielewa hata kidogo.
Muuza maiti usisahau

Mmmmmmmh baaad