Msukuma Anafunguka Mazito Mkataba wa Bandari I Awaonya Wanaopotosha I Sijahongwa Gari, Nina Hela
Вставка
- Опубліковано 9 лют 2025
- Kutokana na kile kinachoendelea kwenye mitandao ya Kijamii kuhusu bandari ya Tanzania imeuzwa, Mbunge wa Geita vijijini Joseph Musukuma leo amezungumza na wanahabari akiwa Jijini Doodoma.
Umeongea Point msukuma... Mbona Zanzibar Wameingia Mkataba wa miaka 20 na Oman.. Ili watengenezewe Bandari ya Malind na makwapwani... Kunatengenezwa Uzuri Kabisa... Mie naona Sawa tuu wacha Tutengenezewe Bandazi yetu Vizuri Jamani .. Maendeleo ya Inchi ndivyo Yanavyokuwa Mie Naunga mikonoooo🙌
Miaka 100😅😅
Mi nimejitahidi kumwelewa msukuma, Sidhani kama serikali Ina Nia ovu, Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki Raisi wetu Mama Samia, Ninakupenda mama.
Msukuma umenit
Msukuma nilikuamini kwa hili we we sikuamini tena sitakuunga mkono kuuzwa bandari yetu,
Badala ya kushukuru Mungu Kwa Neema aliyokujalia eti unajisifia unamiliki hata ndege wenye ndege hawafi, umbo Mungu akupe Afya njema na hekima ya kuwajibu wenzako
MH MSUKUMA nimekusikiliza vizuri sana. Matarajio yangu ilikuwa kuwa umeona unauita upotoshaji umezidi hivyo ulikuwa na nia ya kuweka mambo sawa. Nilifikiri kuwa unafahamu kuhusu hiyo deal in details, kwamba makubaliano ya awali ni yapi? Sisi kama taifa tutafaidika na nini? Na masuala ya namna hiyo.
ILA ISIVYOTARAJIWA maelezo yako yamejikita kujigawa na kupambana na watu wenye degree, kueleza uzuri wa kimitambo wa bandari nyingine na kuwatishia wale wenye maoni tofauti na wewe.
HOFU YANGU ni kuwa ikiwa wewe ni moja ya wabunge wachache walio active na wenye ushawishi ila huna taarifa zenye mashiko kueleza wananchi kuhusu hiyo deal ya bandari na unatarajiwa nawe unajisifu kuwa utaenda kuamua hilo ikiwakilishwa wananchi nchi yetu ina nani wa kulinda maslahi???
Unaweza kuwa mkweli hujaongwa hata kidogo lakini kwa maelezo uliyoeleza hautoshi kuwakilisha au kulinda maslahi ya wananchi kwenye hilo.
TUFANYE NINI? Nafikiri haina haja ya haraka kwenye hilo, kama kuna makosa yalifanyika tusiendelee kukosea. Ni vizuri wawakilishi wetu na sisi wenyewe tukafahamu in details kuhusu faida tutakazopata kama taifa kwenye hiyo deal? Pia tuone kama hakuna namna ingine na hiyo ndio bora zaidi kabla ya kuingia hiyo mikataba. Kama wewe ni mkweli na haujakuwa influenced tafuta kwanza taarifa ndipo uchangie otherwise bora uchangie tusitishe kwanza huo mkataba mpaka tutakapokuwa tayari..
Mama Samia kuwa na msimo husiyumbishwe wanadamu hawana shukrani hata kidogo
Amelamba asali,musukuma amebadilika kumbe watu wanabadilika alikuwa mtetezi saizi amekuwa mkwelezi nae amekuwa
Nice brother Jamaa aje tupige kazi aise faida ipo kubwa san🎉
leo umejidhalilisha waziwazi,huwa unasema degree hazina issue ukiwa bungeni ila leo unaweka wazi kuwa darasa la saba ni tatizo,pole sana leo umekosea soma acha ujinga jifunze na soma upate uelewa
nilikuwa nakukubali saiv
Msukima kaka nakupa maua Yako 🙏🙏
Ahhh mkataba miaka mingapi?
Nampongeza MH...rais...kwa kuliona hili...maana Ticks....wanatufanya maisha kuwa magumu
Uzalendo! uzalendo! uzalendo!,
Mungu lisimamie taifa langu la Tanzania
Rais kuja kuishi kama ninavyoishi mimi huo ni uongo kaka Joseph 😂😂😂
Uko saii sana msukuma"
Huaga ukiongea jambo nakuamini sana best
Jamaa muelewa na anaonge Points sababu ni Mzoefu (anatumia Bandari Kwa Biashara zake). ATatizo Wapigaji na Watangaza Nia 2023 Wanafanya Fitna kumchamfua mama na Serikali yake
hakuna rorote huyo msuma alikuwa anapoint kipindi cha uongozi uliopita ila kwa sasa ni msaka tonge kama watu wengine sina imani tena huyu msukuma mwenzangu kwaheli🚶🚶🚶🚶🚶
Musukuma ulikoenda hukujifunza kitu,suala la mkataba wa Bandari ya Dar es salaam huujui una vifungo vigumu sana watanzania watakuja kujuta
Aibuu kushindwa kujiendesha acha tu wazungu walazimishe ndoa za jinsia moja tatizo
Nyerere alisema wa Tanzania wakiwa na elimu watazitumia mali zao vizuli matokeo yake mnauza mnawatafta wazungu walio watesa baba zetu msukuma asali uliolamba itakugalm danganyasana Apo kumbuka machoz ya wazee wetu walio mwaga damu kwajili yakufukuza madudu yenu ayo mnayo yaleta inawatazama na itawala nyie na watot wenu acha uongo Tena acha Mungu anakuona ww usidanganye watu
Sawa ngosha lakini watanzania wanawasiwasi na ukomo wa mkataba jalibu kuishauri serikali angalau mkataba wa awali wapewe miaka20 tuwatazame kwanza wakifanya vizuri waongezewe mda sawa ngosha kalibu bukoba
Nibora Kenya ipate ushuru kwa msukuma kuliko kukubali ubovu wa mkataba huu wa bandari ambao sasa mmeupeleka kwenye majukwaa ya kisiasa na mnaosema lazima upitishwe kuna nini mbona mnatumia nguvu kubwa kulikokusikiliz watanzania maskini kama mimi😭😭😭
Magufuli John Pombe
Sasa Hilo bomba linafaida gan mbona mafuta ni bei kubwa
Jamaa huyu ndio mmoja wapo ya watu .ambao ni bendera tu.kama anavyo jisema wa rasaba
Msomi mwenzangu kulkon
Msukuma unacho kiongea unaonaje tukitoka kwenye suala la bandari twende tupate mwekezaji wa kuendesha ikulu ni suala la kuelewana tu na kuandaa andiko jipya la ikulu.
Nimekuelewa sana ulieyasema
Nakuombea Mungu akupe kibali na ujasili ukaitetee nchi
Umeongea vizur na tumeelewa. Swali ni moja, mkataba unasemaje na ukomo wake ni linii!?
Big up
Ila best yangu Islamic inakupendeza sana,hebu njo kwa MUHAMMAD siku moja tukutane peponi Inshallah
kwani kuvaa kanzu na kofia ya duara ni uislamu? hahaha pole sana mii nilizani uislamu wa mtu uko moyoni kumbe uko kwenye makanzu hahahaa
Elewa alichoongeya mwenzako sio kujibu kwa kejeli na ujinga wa hali ya juu
@@ramadhanmahongole9293 Hujitambui we we
Time kaa Sana huko urop Hati Taki mjinga wewe tu wite tuna akili Mavi wewe Hu a usalama uli jenga really Mavi wewe
Ume hongwa. A I wewe Hu a akili
I wish na Bunge lingebinafsishwa pia..
C bora tungetumia hela za kununua ndege kulet mitambo ya bandari???
Nlazma tuwape emerate kwa miaka 100???
Je nchi haiwez kununua mitambooo???
Msukuma Hebu Zungumzia mkataba Mjadala hapa ni mkataba na Sio mwekezaji Jitambue basi broo.
Anko huo mkataba wewe unakusaidia nini ....hoja Ticks ....wanaukiritimba sana ...tunalishwa bidhaa bei kubwa
Musukima nilikuwa nakukubal sana ila kwa hili nimekukaa kabisa
Msukuma usidanganye watu! Watu tunajua mengi sana...
HONGERA MHE. MSUKUMA. MSAIDIE MAMA SAMIA NA WATANZANIA KWA UJUMLA.
Jikite kuelimisha sio kurusha vijembe. Ambao hawajasoma ni shida
Antony john
Ifike wakati wene pesa, wenye elimu na wenye vipaji tuheshimiane na kila mtu afanye kwa nafasi yake. Kwenye mambo ya sheria na biashara za kimataifa, Musukuma waachie wasomi. Kuwa na pesa zaidi yao haina maana unaelewa kila kitu kuliko wao. Tumejengwa tofauti na kazi ilotuleta duniani ni tofauti. Nikihitaji nyumba nitamtafuta mwashi sio wew, nikiumwa nitamtafuta daktari sio wewe, nikihitaji kiti nitamtafuta selemala sio wewe na nikihitaji kujua bandari nitawatafuta wataalamu husika sio wewe.
Acha wasomi waplay part yao. wamejengwa kufanya hayo, na wasipowajibika kuhoji na kudadisi kesho ya mimi, wewe, watt na wajukuu wetu haiwezi kuwa salama. Darasani walifundishwa kuiangalia historia, kuyaelewa mazingira ya sasa na kuitabiri kesho yetu tuwaache waisome na kuichambua hio mikataba. kufanya ubabae wa madaraka na fedha kuwaziba midono ni hatari kwa ustawi wa taifa.
Nikuuulize benson wasomi unaowaongelea wako Tanzania ya angani ama? Kama wapo Tanzania ina umri gani sasa na wametusaidia nini😃? They have done nothing for this country.. we gave them power they feed themselves and their families. If I was me I would have gave even 10000 yrs to manage the port .for more than 50yrs they have been benefiting themselves..some big fish have more money than thé government( kuna mijitu imeiba hapo bandari kiasi kwamba wana pesa kuliko serikali) wakati kuna watu wanalala njaa, matibabu duni na mengine kibao. Bandari inafaidisha wachache waondoke mifumo ifanye kazi.
Watanzania tulikua tunalilia kuwa na mifumo bora.. tunapta mifumo tunaanza kupayuka. Mbona hamkua mnapiga kelele siku😂zote wakati bandari ilikua ina fanya madudu mpaka magufuli alipoingilia kati??
@@youandme1593 when things go fine, they go unrecognised! Ni kukosa shukurani tu, ila wasomi wanaisaidia sana jamii.
Huo mkataba usainiwe mara moja hao waizi watoke haraka naamini waarabu naamini waisilamu sana
Et sisi watu ambao atuna elimu kubwa darasa la sana 😅😂 mpeni uliñzi msukumaaa😊
Mfumo wenu wa bunge haupo sawa mnaongwa pesa ndani yay bunge mnauza nchi historia itawasoma
kazi iendelee
Tatizo sio UJENZI wa bandari TATIZO ni Makubaliano Nyuma ya UJENZI....!
Ajira Gani,wakati wenzetu wanatumia robot,WEWE ni HOVYO KABISA huna point za mashiko yoyote,ni mbinafsi,unaelekea kuhusu biashara zako kuliko utaifa,bungeni utapasikia kwa jirani 2025.
Upewe uraisi mzee✌️
Ishu siyo kukodisha ishu ni mkataba umeuelewa we msukuma ,nipe mda wa ukomo na nipe hayo matalajio yasipo fikiwa mtamtoa vip?
Naww kumbe ni mpinga dili?
Tafadhali Msukuma, usitueleze kuwa mnapitisha. Watanzania wanakubali?
Tunakuunga mkono......
Swali liko hapa. Vp watakapoferi mnauaezo wa kusimamisha mkataba😂😂😂. Hakuna
Mzee hayo unayoongelea mbele yako siyo masega ya asali uliyoonjeshwa kama unavyodhani, ni Mizinga ya Nyuki. Endelea kuwachokozea ujinga, Wadudu wamo ndani.
Ok hujaona miaka miamoja je nimingapi
MBONA HUKUTUELEZA WATANZANIA, MARA MLIPORUDI KUTOKA DUBAI?? KWANINI SASA NDIO UNAONGEA!
Mm Ni shabiki wako lakini kwa hili twende polepole
Inasikitisha msukuma nae katekwa
Tunapoteza imani na Msukuma
Fanyeni na tanesco
Kilichowashinda kuweka uongozi dhabiti wa kuweza kuendesha bandari?
Hiyo mifumo mibovu kaiweka nani Mr Dr? Siyo chama chenu? No we are not that much stupid. Kama ni kweli huo mpango ni mzurini kwa nini za Zanzibar hakuna hata moja? No we are not that much foolish Mr Dr sir
Zungumzia mkataba ambao unaonekana hauna muda maalumu pia kipato au tija tutakayoipata na mgawanyo wa asilimia za mapato ,pia zungumzia mkataba kumiliki ardhi na anga na maziwa na bahari
Tanzania ya Viwanda bila kuwa na Uwekezaji Mkubwa katika Uchukuzi hususani Bandarini bado tutakuwa nyuma Kimaendeleo. Bandari ya Uingereza la London Gate Away na Southampton zote zinaendeshwa na DP World ya Dubai. Naomba tumuunge mkono Mheshimiwa Rais Samia. Tanzania Imara Kazi Iendelee🇹🇿🇹🇿
Hatukataiii kwa Conditions ganii boss .... Acha kufata upepo
Hoja siyo kuwekeza hoja ni maslahi gani Kwa taifa? Imekuwapo mikataba mingi ambayo ilipigiwa debe sana na matokeo yake ni 0
Masharti yaliyopo katika mkataba wetu ni sawa na Southampton?acha kujizima Data bro,hata Mimi darasa la nne B nisingekubali kusaini masharti ya kijinga
Basi hawa waarabu wapewe mkataba wa miaka 10 tu kwanza tuone na vifungu vya kumpa ardhi mwarabu vifutwe.
Mbona nguvu inayotumika ni kubwa kuna siri gan
Umeona eee
Nachukia sana
KWANINI WASIPELEKWE VIJANA WASOMI KUJIFUNZA TECHNOLOGY HIYO NA BAADAE SERIKALI IWEKEZE KTK TECHNOLOGY HIYO?
MSUKUMA, mkataba wenyewe umesoma ? au umesimliwa
Msukuma kumbe hela ni SABUNI ya roho umetusaliti baba
Viongozi wetu mungu awaguse acheni uzembe jamani uwo ujamaaaa na walabu mmeanza lini ??? Msukuma mbona tunakuamini alafu unaongea fyongo
Kumbe kweli inabinafsishwa eeee
Uwekezaji ni mzuri.
...swali ni kwamba:
Terms na conditions za mikataba waliyowekeza nchi za nje kama marekani na Canada ni sawa na hizi za mkataba wetu....?
Kama ni sawa wekeni mikataba mezani watanzania tuijadili maana nchi ni yetu sote.
Tatizo ni kwann mkataba hauvunjwi na nikwann uwe ni wamilele
Mi nabariki kabisa hilo serikali haiwezi kutufanyia jambo la kutuumiza wana nchi wake
Ni vilaza kweli .
Ety Sia akistaafu ataish kama sisi.
Ataish wapi. ??
Tanganyika au Zanzibar...?
Lugha zinakua tamu sana...
Hii mikataba si ndio wabunge hawahawa pale bungeni walipitisha mikataba ya madini???
JPM akaja akasema tunalogwa na nani kwenye mikataba????
UKO SAFI KWA UFAFANUZI.....WALE JAMAA WANA MTAJI MKUBWA NA VIFAA BORA
Kina Msukuma wamehongwa na warabu ili waupingie debe mkataba.
Swala ni muda wa mkataba,na serikali iwe huru kuwaangalia,hayo yote tunajua,ili wakileta ubebari tunawakataa,wasije kuleta utumwa ndani ya nchi yetu wenyewe.
Inamaana tanzania hatuna uwezo wakuendesha bandar
Ndio maana nashangaaaa inamaaana
Wanaopinga hili la bandari wengi ni wakwepa kodi, wanaogopa njia zao zitashindwa kufanya kazi endapo tutaanza kuiendesha kisasa
Msukuma watu awajakataa muwekezaji watu wanataka kujuwa mkataba unasemaje sio maneno sema mkataba unasemaje
Hahahahaa kufika Dubai kumemuvuluga bila kuangalia mazara ambayo Tanzania inaweza ikasilika na watu wake
Kiufupi mm cijaelewa hapa ni ishu mkataba ni wamda gani halafu kwanini bandari isiwe chini ya serikali
Kibaraka wa serikali,na mnafiki na msaliti mkubwa
Wewe Musukuma umeusoma mkataba?
Pesa ya bandari lazma mtumie nguvu nyingi kujinasua .hahahahahah
Clouds mwambien msukuma dada yake naomba mtaji jamani
Uwekezaji ni kitu kizuri sana tatizo ni mkataba.Bila ya kuwa na mikataba mizuri inayolinda maslahi ya nchi hatuwezi kupata tija katika uwekezaji.Tusirudie makosa kama ya TICTS na IPTL au hata Urafiki na Tazara mwisho wa siku ni sababu ya vita.
Swali? JE NI MKATABA UPI AMBAO UMESAINIWA TANZANIA AMBAO UNAWARIDHISHA WATANZANIA KWA ASILIMIA %
hujui kilichopo kwenye mkataba wala hujausoma unafuata upepo
😂😂😂 hapo kwenye kuishi maisha kama ya kwetu rais ni UONGO..!!
Viongozi wengi wazalemdo wamewekwa kusimamia bandari mwisho wasiku wanaishia kujinufaisha na familiazao mapato ya bandari hayaonekani Rais yuposawa acha abinafsishe tupate kingi zaidi kwa naendelea ya nchi.
Tuambie ile gari yako mpya umeitoa wapi?
DP world yupo vizuri kwenye uwekezaji katika sekta ya Bandari katika nchi za Africa alizowekeza ni Senegal,Djibouti,Somaliland,Somalia,Mozambique, Angola ,Togo..
Una any data zozote za ku-support hii deal?
@@kambamazig02024 google utapata taarifa. Na kwa africa Djibout, senegal, somalia, Mozambique ni kati ya nchi zenye rank kubwa kwa bandari, istoshe Djibout ni ya kwanza kiafrika na 16 hivi kidunia. Bandari yetu mwaka juzi ilikua ya 361 kati 380 duniani, ila mwaka jana tulikua kama sikosei 316. Tumepanda na kwa mara ya kwanza tumeipita bandari ya Mombasa kenya ambayo ni ya 326 kama sikosei.
Tatizo ni hizo terms, kama tukiona zinatu favour, sio mbaya wakawekeza.
DP world ....wapo vizuri maana Ticks waondolewe tuu
Docter mwamba ila?
Ukiona nguvuu ya ushawishi inakuwa kubwa sana basii juaa hilo jambo siyo jema ....Jambo jema halijawahii kutumiaa nguvuu kubwa ya ushawishii.... HATUKATAII UWEKEZAJIII ...NDIOO LAKIN UWEKEZAJII UNA CONDITION GANI WEKENI CONDITIONS WAZI NCHII HII NI YETUU SOTE SIYOO YA FAMILIA AU WATU FULANI ....HATA KAMA WAMEWEKEZA LONDON SIJUII SOUTHAMPTON...LAKIN CONDITIONS ZINAMATTER SANA MAANA NDIZO ZINAZOUMIZAAA....
Ah. Hali Si shwari.
Viongozi wa taifa wakianziwa na rais wanathubutu kukimbia kukabili ukilitimba Kwa kukodisha bandari.
Shame on us Kwa kuchagua viongozi wasi na uwezo wa kutumia rasilimali tulizonazo mpaka wampe mgeni ... Kwa mda usiojulikana.
Kwa mda usiotaka kusemwa.
Huyu ameshapewa gari huko Dubai anakuja hapa kupiga debe.
Mkataba wenyew umeandikwa kwa kiingereza anao uwezo wa kujua kimeandikwa nn we msukuma?? Watanzania hawakatai uwekezaji, ila wanakataa masharti ya mkataba
Wewe ni mbwa Huna lolote soma vipengele vya mkataba
😂kwahyo Dubai mlijifunza nn danganya washamba wasitembea. Cha msing atutakk mkataba wa milele..msitulazimishe kwa Maslai ya matumbo ya wachache
Wewe bwege kilichoandikwa kwenye mkataba huo ni lugha ya kisheria je unakijua au unabwabwaja tu
Wewe tumia ilicho pewa tu lakini Mungu atakuwadhibu. Una nini unacho jifunza basi biashara hata sisi tunafanya biashara kama wewe lakini si mazezeta