Maswala ya kukadiria Kodi yanatumia vigezo viwili. 1. Mapato yako 2.Matumizi yako. Ni vizuri Msukuma awe mwangalifu kutangaza matumizi yake. Lakini hata hivyo wanaichi watafurahi walikuwa ulipaji Kodi wake.
Wabunge wetu ni matajiri sana. Hata ubunge wao ni element tuu kuepuka kuumia ikitokea ajali,, lkn hawajachukua ile dhima ya kuea mbunge, yaani mwakilishi wa wanchi bungeni, kuwa msemaji wa wananchi wao jamani. Naona wengi wanaongea wao kama wao. Rudini majimboni kusanyeni maoni ya wananchi wenu mjue mbichi na mbivu. Ili mpeleke maamuzi ya kutoka kwa waliowatuma!!! Hizi mali mungu awatunzi ziongezeke kwani nayo ni fahari ya nnchi yetu. Mungu awape afya njema!!!
Tumamjua msukuma anapesa akiwa hajawa mbumge anamiliki pesa na magari lowasa mwenyewe alienda kwenye Jimbo lake akashindwa sema anachangia kushawishi tu lakini swala lapesa Hilo tunamjua kitambo
MSUKUMA. HAWEZI KUHONGWA LABDA ASHINDWE. KUUSOMA. MKATABA NA KUSHINDWA KUFAFANUA KISHERIA. HILO TU MSUKUMA AWE MACHO NALO TUNAMUOMBA MSUKUMA ATAFUTE WANASHERIA ANAOWAAMINI.WAMFAFANULIE MKATABA. NA ATUSMBIE. NI WA MIAKA MINGAPI?.
Waarabu wameshakulambisha asali mzee, kula baba ila angalia uckate kamba, Kuna baadhi ya wabunge ni matajiri sana wanapenda kuwa wabunge Kwaajili ya kutetea maslahi ya mali zao, Yani cc sjui tumerogwa hivi wanfikiri wale jamaa wkija kuweza huku labda na cc nchi yetu itakua kama Dubai hiyo tusahau, kwanza sehemu alizo kaa mwarabu watu ni masikini na elimu duni, tena tunawarusha jamani haya ngoja tuone wakubwa wshaamua.
Serikali haina dhamira ya kuuza bandari, elimu ya lasaba siyo issues yawezekana yeye ana ueledi mkubwa kuliko unavyodhani wewe ugonjwa huu wakudharau wenye elimu ya chini ni jeraha kubwa sana.
BREAKING NEWS! USIKUBALI KUPITWA na HABARI ZA GLOBAL TV. JIUNGE na WhatsApp Group Now: chat.whatsapp.com/Kh8n9Xk0OWJ...
Nakukubali sana piga kazi kamanda
Mh msukuma mim nakukubar sana kaka hata kama unaongwa lakin unajitahid kuishauli serikali wewe na mh mpina🤝🤝
Ndio maana huwa nasema kila siku mungu na biashara ndio kila kitu
Umebadilika sana ww kunakitu umepata kwajili ya kutulagai watanzani
I really love you hon. Musukuma
Safi sana
❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Hata ukihongwa kwani ni vibaya kama na wao wakihitaji wakahongwe tuu
Ungekuwa hujaongwa usinge tumia nguvu kubwa kutaja utajiri wako( something went wrong)
Uko sawa king msukuma
Jaman achen kumjadili msukuma anamiradi mikubwa kuliko wabunge wote ni mbunge wakuigwa
Nakukubali hojazako musukuma zuli sana
Msukuma oyee! Tunaokufahamu tunakuelewa
Hongera sana mheshimiwa msukuma najuwa unajiamini na mpambanaji
Mh';:' safari za ARABUNI NDIYO MATUNDA YKE HAYO!;
Mwachen msukuma
Msukuma,ni tajiri mkubwa sana,kanda ya ziwa pamoja na kishimba
Umeongea ukweli kabisa mwaya
Wa kanda ya ziwa ndio tunamjua vizuri
Kwani ukiwa tajiri ukipata hela ama kitu cha thamani cha haraka haraka utakataa
Maswala ya kukadiria Kodi yanatumia vigezo viwili.
1. Mapato yako
2.Matumizi yako.
Ni vizuri Msukuma awe mwangalifu kutangaza matumizi yake.
Lakini hata hivyo wanaichi watafurahi walikuwa ulipaji Kodi wake.
Msukumaaa
Watu wanatamani watanzania Kuwa masikini.keep it up kaka ...I dislike poverty
Kweli MUNGU Ni mgawa riziki.
Acha swaga kwenye hela zetu na kuwatukana watanzania
Wao kina nani wake na hoja ilhali CCM ndo tumejaa bungeni 😂😂😂😂
Hizo zakoo sisi tunaongelea taifa
Nakumbuka kipind lowasa anataka urais 2015 alienda na ndege yake ........kwenye hili wamuache tuh
Washakula pesa hao za waarabu nasemaje kwenye hili la bandari mtatuua
Kwa jinsi ninavyokujua msukuma hapa hutupigi swagwa umepewa kitu unyamaze
Tanzania kwakweli wanaletewa mambo mazuri wanaona wanapigwa hawajui hapa ilipo wanapigwa
Wabunge wetu ni matajiri sana. Hata ubunge wao ni element tuu kuepuka kuumia ikitokea ajali,, lkn hawajachukua ile dhima ya kuea mbunge, yaani mwakilishi wa wanchi bungeni, kuwa msemaji wa wananchi wao jamani. Naona wengi wanaongea wao kama wao. Rudini majimboni kusanyeni maoni ya wananchi wenu mjue mbichi na mbivu. Ili mpeleke maamuzi ya kutoka kwa waliowatuma!!! Hizi mali mungu awatunzi ziongezeke kwani nayo ni fahari ya nnchi yetu. Mungu awape afya njema!!!
Hela zetu izooo mwizi wewe
Wamwache msukuma hako ka gari kwake ni kama budget ya keki nyumban kwako unapo kuwa na birthday 😂 Joseph kasheku kaka Angu wamwacheeee
😅 just q❤❤❤
Tumamjua msukuma anapesa akiwa hajawa mbumge anamiliki pesa na magari lowasa mwenyewe alienda kwenye Jimbo lake akashindwa sema anachangia kushawishi tu lakini swala lapesa Hilo tunamjua kitambo
Kwa kweli jamaa aanahela mda mrefu ameishi korogwe sana helkopita anazo mbili kabra ya kuwa mbunge lakini pia ana mabasi mengi
Kwani ukihongwa zinakataa kuingia
Baada ya kupata uongozi ndo ulinunua
Mwizi haibi kwa vile ni maskini
Hali kadhalika rushwa haichagui kwamba huna
Dhambi ni dhambi tu!
Kwahiyo usiambie lolote kiss unandege na unamiliki maliki Mali
Hanarote
MSUKUMA. HAWEZI KUHONGWA LABDA ASHINDWE. KUUSOMA. MKATABA NA KUSHINDWA KUFAFANUA KISHERIA. HILO TU MSUKUMA AWE MACHO NALO TUNAMUOMBA MSUKUMA ATAFUTE WANASHERIA ANAOWAAMINI.WAMFAFANULIE MKATABA. NA ATUSMBIE. NI WA MIAKA MINGAPI?.
Waarabu wameshakulambisha asali mzee, kula baba ila angalia uckate kamba, Kuna baadhi ya wabunge ni matajiri sana wanapenda kuwa wabunge Kwaajili ya kutetea maslahi ya mali zao, Yani cc sjui tumerogwa hivi wanfikiri wale jamaa wkija kuweza huku labda na cc nchi yetu itakua kama Dubai hiyo tusahau, kwanza sehemu alizo kaa mwarabu watu ni masikini na elimu duni, tena tunawarusha jamani haya ngoja tuone wakubwa wshaamua.
Think big mkuu
😂😂😂😂😂
Sawa mbunge nakuomba unisaidie kumsomesha mtto wakaka angu mzazi wake katangulia mbele za haki baba yke kavunjika anatakiwa kuwekewa chuma
Ndio wewee tajiri! Kwanini unapiga debe eti sawa bandari iuzwe kenge wewe darasa la msingi, hovyo kabisa au unatafuta uwaziri 😢
Serikali haina dhamira ya kuuza bandari, elimu ya lasaba siyo issues yawezekana yeye ana ueledi mkubwa kuliko unavyodhani wewe ugonjwa huu wakudharau wenye elimu ya chini ni jeraha kubwa sana.
Unajua maana ya kuuza
@@charlesngwembele4541 wanadhani jmbo rahisi
Kaongwa Uyu Anaongea Pumba2
Mbona nawewe ukahongwe na kama kahongwa ndo bahati yake😂😂
Mudowangu chadema mududu chadema hawatakusaidia chochote
Wivu wa maendeleo ya mtu
Kahongwe na wew
BIxxxx
Ushalamba asali wewe.
😂