Magoli yote | Yanga 5-1 ASAS FC | CAF CL 26/07/2023

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 вер 2024
  • YANGA VS AS AL SABIEH: Yanga SC imefuzu raundi ya pili ya hatua za awali katika michuano ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika kwa kishindo ikiipa kipigo cha jumla cha mabao 7-1 ASAS ya Djibouti kufuatia ushindi wa 5-1 iliyoupata leo katika mchezo wa marudiano.
    Waliotikisa nyavu kwenye game ya leo iliyopewa jina la #MaxDay ni Max Nzengeli dakika ya 7 na 90+2, Hafidh Konkoni dakika ya 45, Pacome Zouzoua dakika ya 55 na Clement Mzize dakika ya 69 huku ASAS nao wakipata bao kwa penati dakika ya 85 kupitia kwa Tito Mayor
    Mechi zote mbili zimepigwa hapa Azam Complex, Chamazi, Yanga wakiwa wamshinda 2-0 katika mchezo wa kwanza…..
    Haya hapa magoli yote sita…
  • Спорт

КОМЕНТАРІ • 266

  • @jumannezengo3437
    @jumannezengo3437 Рік тому +13

    Jamani Leo mie niwakwanza naombeni like zangu I love you YANGA

  • @shadyasalum192
    @shadyasalum192 Рік тому +12

    YANGA TAMUUU KAMA WEWE WANANCHI LIKE TUJUANE 🤣💛💛💚💚like tujuanee😂😂

  • @stanastana3199
    @stanastana3199 Рік тому +7

    Yanga ni moto sana huu msimu,mm ni mkenya napenda yanga sana 🇰🇪 🇰🇪

  • @AfricanKid-mu9lo
    @AfricanKid-mu9lo Рік тому +9

    Asanteeeeeeee sana mungu babaa wabarikii wotee waliosababisha sis tufurah wana yangaa😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉

  • @user-wg4kk7eb8n
    @user-wg4kk7eb8n Рік тому +14

    Kama wewe ni mwananchi weka like hapa❤😅

  • @nkosiyabomasuku1795
    @nkosiyabomasuku1795 Рік тому +7

    Dakika ya 7, jezi namba 7 na mpira mboga 7.
    Daima mbele, nyuma mwiko 💛💚

  • @gabonmaseru2686
    @gabonmaseru2686 Рік тому +7

    Hongera sana Mtani,Moto wa msimu uliopita nauona bado unawaka,
    Twendeni zetu CAF ,tutajua mbele kwa mbel ila kikubwa tuendelee kufanya vizur kwenye CAF ili ligi yetu na Taifa letu lizidi kuwa bora katika Rank za Ligi baran Africa,
    Pia tukiendelea kufanya vizuri tutazid kuongeza Points kwa ngazi ya Vilabu hatimae nasisi tunajihakikishia timu 4 kila msimu ,
    Good work Mtani wangu ,#Yanga Africans 👏👏👏

  • @chacha-255
    @chacha-255 Рік тому +13

    LIKES za MAX ziwekwe hapa
    Yani max 🙌 kafunga la kwanza afu kaweka na la mwisho kama motisha 😅
    Mechi Za Yanga Zioneshwe Mahospitalini Hii Itasaidia Kuwapa Wagonjwa Furaha Nakupona Kabisa

  • @muddymuzungu4357
    @muddymuzungu4357 Рік тому +2

    C est notre equipe que nous connaissions auparavant.
    Felicitations Dar jeune Africain🎉🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @MazandaAlly-zk9hz
    @MazandaAlly-zk9hz Рік тому +7

    Hii pass ya max ni hatali Sana ebu icheki alafu unipe like zangu

  • @bigshipsounds
    @bigshipsounds Рік тому +5

    Azam Asanteni kuja Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪... Sisi mashabiki tunatarajia mtageuza mchezo wa mpira

  • @user-gy3vu3gh2z
    @user-gy3vu3gh2z Рік тому +5

    Max day imebambaa sanaa 🥰

  • @mahmoudaziz4717
    @mahmoudaziz4717 Рік тому +2

    I love you yanga 💛💛💛💛💛🇹🇿

  • @Manshyne
    @Manshyne Рік тому +6

    MAX DAY NI MOTOOO.... YANGA HII ITACHUKUA KOMBE LA KLABU BINGWA AFRICA MSIMU HUU

  • @official_seeme
    @official_seeme Рік тому +63

    Mnipe like zangu tu💚💚💚💚🇹🇿

    • @PillySaimon
      @PillySaimon Рік тому

      Sawa kaka 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 na hapo bado sana

    • @Andrea-ll5bh
      @Andrea-ll5bh 9 місяців тому

      @@PillySaimon chaguw

  • @user-qw6qr6vz4t
    @user-qw6qr6vz4t Рік тому +1

    I love you yanga kwanana hii tutazd kuipenda

  • @kambonamajaliwa5466
    @kambonamajaliwa5466 Рік тому +7

    Kama umesikia mtangazaji akisema zalan gonga like

    • @aronjonathan3297
      @aronjonathan3297 Рік тому

      Nmeskia kbsa 😂😂😂

    • @kambonamajaliwa5466
      @kambonamajaliwa5466 Рік тому

      @@aronjonathan3297 yaani Hawa jamaa wakikutana na wabovu daah ndo maana mtangazaji kakosea akijua ni zaalani

  • @janethalbert2636
    @janethalbert2636 Рік тому +5

    Max 100

  • @gelishonkinunga
    @gelishonkinunga Рік тому +4

    Yanga bingwa cafcl😅😊💚💛🏆

  • @alicenice1711
    @alicenice1711 Рік тому +4

    Kiukweli pira gamondi litatuuwa❤❤🎉

  • @sabaschiwangu371
    @sabaschiwangu371 Рік тому +6

    Azam Complex kuanzia leo uitwe Young Africans Complex Center maana Yanga ndio wanautendeamhaki huu uwanja

  • @HAMIDURAMADHANI-ev5od
    @HAMIDURAMADHANI-ev5od Рік тому +4

    Upande wa pili si mmeipenda hyooo 😂😂😂😂😂😂

  • @pendosamwel9289
    @pendosamwel9289 Рік тому +2

    Penda San yang weeeee💚💚💛

  • @user-se6jf6le6g
    @user-se6jf6le6g Рік тому +3

    Hii imeenda

  • @official_seeme
    @official_seeme Рік тому +3

    Hatari

  • @maxiellmillians9pl278
    @maxiellmillians9pl278 Рік тому +4

    Azam TV Mnafeli sehemu 1 too kuchelewa kutoa Highlights MLIANGALIE HILO JAMANI

  • @salim02tv24
    @salim02tv24 Рік тому +2

    Ipo siku wanayangaa tutashangiliaa zaid ya goal 10 ❤❤

  • @xaverisunday699
    @xaverisunday699 Рік тому +4

    #aboi_4rm_makambako aloyesikia mpenja kachapia apige like hapa fastaa zarani 😆😆😆😆

  • @luqmaneme9105
    @luqmaneme9105 Рік тому +1

    Yanga rahaaa

  • @user-si2uz3zg2m
    @user-si2uz3zg2m Рік тому +4

    HAMNA BAYA YANGA CHAMA KUBWAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA

  • @yusuphmakeha-mh4gh
    @yusuphmakeha-mh4gh Рік тому +2

    unyamaaaaah!

  • @jumakassim8718
    @jumakassim8718 Рік тому +6

    Yanga tamu jamani

  • @MeshackLukanda
    @MeshackLukanda Рік тому +2

    nakubali

  • @mkanyafamily
    @mkanyafamily Рік тому +3

    Hii Tim ni mbovu sana kwanza kwao hawana uwanja na hawana mazoezi Hawa usijisifu unambio angalia na anae kukimbiza relax

  • @chidymux2476
    @chidymux2476 Рік тому +4

    Ukweli usemwe Azam mnatukosea watazamaji haiwezekan highlights zimepunguzwa dakika😢😢😢

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 Рік тому +4

    Mm ni mshabiki wa simba lkn yanga ck hz wana mpira mzr cn

  • @user-xg1so1fk6p
    @user-xg1so1fk6p Рік тому +2

    Hahahaha I love u yanga

  • @kwamefidel736
    @kwamefidel736 Рік тому +2

    💚💛💚💛💪🔥🔥🔥🔥

  • @hawamohammed6939
    @hawamohammed6939 Рік тому +4

    Wakifunga Yanga Mnasema Wamepata Vibonde Mkifunga Simba Nyie Mnakuwa Mpira SS Hiyo Roho Mbaya Mnaumia Na Mtaumia Sn

  • @burudanitiv324
    @burudanitiv324 Рік тому +4

    Huuuuu usajiri kweli umenoga

  • @l.h.l2254
    @l.h.l2254 Рік тому +1

    Hongera kwa ASAS ndo timu pekee iliyofanikiwa kuifunga Yanga Hii goli japo moja ndani ya 90’.

  • @Prince-rafael
    @Prince-rafael Рік тому +7

    Nilichokigundua nikwamba Hadi sisi Mashabiki wa Yanga tumeanza kuiogopa Yanga 😅😅Sasa sjui hio club zenu vp??

  • @VeraUlaya-cc9rr
    @VeraUlaya-cc9rr Рік тому

    Aaaaaah YANGA mnatupa raaahhaa jaman 👌👌

  • @piusmtimili8457
    @piusmtimili8457 Рік тому +2

    Ngoja tuwasibiri El mereikh

  • @gooleserviceyoutubescandar3450

    Sijuwi Wanaangaliya Vizuri.

  • @user-ym9vo2vd1g
    @user-ym9vo2vd1g Рік тому +2

    💚🖤💛💚💚🖤🖤

  • @BashiriNoah
    @BashiriNoah Рік тому +2

    Wape salamu

  • @gladnesswazir-zz9lk
    @gladnesswazir-zz9lk Рік тому +1

    Duuu🎉🎉🎉🤸🤸🤸🧘🧘🖐️5G

  • @jerrykroos8863
    @jerrykroos8863 Рік тому +2

    Ebhanae yangaaaaaaaaaa hii kulanina aloooooooooo ay bhn siongei sana lkn sio poa

  • @augustinusrwebangira6424
    @augustinusrwebangira6424 Рік тому +4

    Kwa upande mwingine tunaweza kusema NI VIZURI KWA MAYELE KUONDOKA.

  • @bensonbenezeth
    @bensonbenezeth Рік тому +3

    Hawa ni Zalan part 2🤣 Hakuna Mpira hapa, nitapiga salute Yanga akimfunga Alhly au Wydad.

  • @clementbulabo7771
    @clementbulabo7771 Рік тому +2

    Dakika ya saba namba 7

  • @user-gn2ku7nb8c
    @user-gn2ku7nb8c Рік тому +1

    💛💛💛💛💛💛

  • @yohanamwambughi-rz4br
    @yohanamwambughi-rz4br Рік тому +2

    Tumeanza safari ya mabingwa Afrika dhidi ya mabingwa Afrika zima

  • @user-ie3up6lb1b
    @user-ie3up6lb1b Рік тому +1

    Nimefurahi sana mabingwa najua mama akifurahi 50 ipo

  • @mwalimuissa5964
    @mwalimuissa5964 Рік тому +3

    Mm ni shabiki wa SIMBA lakini yanga sikuizi naiona ball kubwa yaani mnanimalizia MB😂😂😂😂😂

  • @solomonpeter1824
    @solomonpeter1824 Рік тому +3

    Bao la kufutia machozi kwa zalan 😂😂😂, mwaka jana et

  • @BAHATIKIBA-ul6wx
    @BAHATIKIBA-ul6wx Рік тому +3

    Nakubal San Yanga Mpak Nakufaaaaa

  • @user-mm9mq8db1d
    @user-mm9mq8db1d Рік тому +3

    Yanga tamu jamani kwani majirani wanasemeje hukooooo

  • @athumanibakari5656
    @athumanibakari5656 Рік тому +6

    Nani amesikia bao la kufutia machozi kwa zalan🤣🤣

  • @RamadhaniKaholi-os3tn
    @RamadhaniKaholi-os3tn Рік тому +2

    Yanga tafute aina ya ushangiliaji wa pamoja

  • @fatmahussein6085
    @fatmahussein6085 Рік тому

    Next game iwe aziz ki day🤩😁💛💚

  • @pacomezouzoua9175
    @pacomezouzoua9175 Рік тому +6

    Uku mtaani kwetu mpaka makolo wamechomekea

  • @mohammedHassan-mi6xo
    @mohammedHassan-mi6xo Рік тому +2

    Yanga wanampira mzuri, ushabiki pembeni

  • @Octavinaelisa-fn6js
    @Octavinaelisa-fn6js Рік тому +4

    Hatutetemi lakini nyavu zinatikisika makola wanasemaje lkni

  • @jimmymungai522
    @jimmymungai522 Рік тому +1

    Ningependa sana aliacha kumuita Hafidh Konkoni "Konki Master" kwani hilo jina ni la Dudu Baya na tunajua alimaanisha nini!!!

  • @RamadhanBakar-ky8xc
    @RamadhanBakar-ky8xc Рік тому +1

    ❤❤

  • @user-ih8ns2gv1s
    @user-ih8ns2gv1s Рік тому +1

    upande wapili si mmeipenda iyoo

  • @johaneshaule4378
    @johaneshaule4378 Рік тому +3

    Mpenja bhana 😂😂😂 makiiiiiiiiisiiiii😂😂😂

  • @user-xj7kb8gb5g
    @user-xj7kb8gb5g Рік тому +6

    Tunawasuburi kwenye makundi tuuwone ubora wenu

  • @samsonimago4692
    @samsonimago4692 Рік тому +1

    Mi simba dam lkn kwa yanga hii kazi tunayo

  • @ellynyava3814
    @ellynyava3814 Рік тому +5

    Hongera mtan ila nitaamin ubora wako pale utakapo kutana na huyo msudan.

  • @phina8058
    @phina8058 Рік тому +2

    Yani hapo bado ujasema mpaka useme😅😅😅😅

  • @kibokutiwanatanyika1540
    @kibokutiwanatanyika1540 Рік тому +3

    Msimu huu mashabiki wa yanga ni zamu ya nyavu kutetema🤣🤣🤣

  • @user-bf4yo1ks9c
    @user-bf4yo1ks9c Рік тому +3

    Jamani baracka mpenja kataja zalan kulikoni tena

    • @HAMIDURAMADHANI-ev5od
      @HAMIDURAMADHANI-ev5od Рік тому

      Alkuwa anamwelezea mchezaj alopga penat ni msudan kwao na akina zalan ndomana akajkuta katamka zalan

  • @fitinakisamuhagakisamuhaga693
    @fitinakisamuhagakisamuhaga693 Рік тому +3

    Mkude nafkiri wanasimba wamemuona watatuambia kiwango chake kikoje kwenye hilo pira la avic town

  • @thathandsome
    @thathandsome Рік тому +1

    wandewa😂🔥

  • @rudachrischris5300
    @rudachrischris5300 Рік тому

    Uyu ni MESSI 💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯❤️❤️❤️🙏❤️❤️❤️🙏🙏

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 Рік тому +2

    Bado jama kipimo round ijayo

  • @Chakaboy-dw9wy
    @Chakaboy-dw9wy Рік тому

    Daima mbele nyuma mwiko❤

  • @ismailmneka2967
    @ismailmneka2967 Рік тому +2

    💛💛💛💛💛💚💚💚💚chama kubwa

  • @munawwarbashir2680
    @munawwarbashir2680 Рік тому +3

    Pira mateso 😢😢

  • @user-lj7ke5zy7e
    @user-lj7ke5zy7e Рік тому +1

    Hii Yanga balaa anamchapa kila mtu

  • @hawamohammed6939
    @hawamohammed6939 Рік тому +3

    Ameondoka Mayelee Makolo Mlifurahi SS Yupo Mbadala Wa Mayelee Mkijichanganya Nanyie Ntakuwa Kama Hao 5

  • @user-ft2pw8nl6y
    @user-ft2pw8nl6y Рік тому +2

    Jamani wananchi tuombeni kushiriki uefa champions league 😂😂 maana hii timu itampiga mtu kumi

  • @magrethyeremia2279
    @magrethyeremia2279 Рік тому +3

    Yaan pacome amefunga goli tamu balaaa jmn tumpe maua yake

  • @BenPeter-vp2cy
    @BenPeter-vp2cy Місяць тому

    Uyu max ni hatarii

  • @deusdeditknkunga6047
    @deusdeditknkunga6047 Рік тому +2

    Gamondi, sasa uwe na kikosi cha kwanza.

  • @djamanitvonline3623
    @djamanitvonline3623 Рік тому +3

    Hapa Nzige 🐸🐸 mmekutana Na wagonjwa 😏😩

  • @director_kudo
    @director_kudo Рік тому +1

    Iiiiiiii pila gamondi 😂❤

  • @UmuhozaMzinya-in9wz
    @UmuhozaMzinya-in9wz Рік тому

    Safi

  • @starWeldo2022
    @starWeldo2022 Рік тому

    Azam TV amweki mechi ndefu kwa Nini muna tunyima Raha muwe naweka ndefu tuone mechi ilikuaj please 🙏

  • @blessthegreat6210
    @blessthegreat6210 Рік тому

    siku hizi tunashinda magoli matano kwenda juu 🖐️

  • @BardenBensonMwamfupe-dk3yg
    @BardenBensonMwamfupe-dk3yg Рік тому +2

    No Mayele and Toto no problem

  • @saidmchome
    @saidmchome Рік тому +2

    SEMA HUYU PACOME ANA U CHAMA FULANI MGUUNI

  • @KispanmeshiliMollel
    @KispanmeshiliMollel Рік тому +2

    ❤❤❤❤❤❤mtangazaji amenibamba

  • @burudanitiv324
    @burudanitiv324 Рік тому +1

    Baba laooooo

  • @MohdAli-cx7bc
    @MohdAli-cx7bc Рік тому +2

    Hawa kilicho waponza ni jezi walova😅😅

  • @josephmlazier1391
    @josephmlazier1391 Рік тому +1

    Kwa Zalan ulikuwa sahihi sana mtangazaji 😂😂😂

  • @user-lm6wc8gw3z
    @user-lm6wc8gw3z Рік тому

    💚💚💚💚