Mi napenda vitabu 4 tu, 1 nyerere, 2 magufuli, 3 sokoine, 4 mkapa kwa mbaaaaaaali Hawa wengine tutawaona kwenye mitandao ya kijamii maana hatupaswi kuwafundisha ujinaga watotowetu watakuja kutucheka.
This is an interesting narrative to twist and walk close to the Maasai,after serious injuries on their land and livelihood by the government of the land.
Prof ana uwezo mkubwa wa kujieleza na kuelezea, lakini ukekelezaji kivitendo hapo ana kigugumizi kikubwa Sana, pamoja na yote bado CCM Wana fumbia macho matatizo ya utekaji na ukaji wanmeweka pamba masikioni hii ni AIBU kwa Chama kongwe kutotoka hadharani na kuelezea ukweli.
Hivi vitabu vya viongozi viwe vinatumika hasa sekondari na vyuo vikuu kwenye uchambuzi na pia italeta Chachu ya wasomi wengi kupata maarifa ya uongozi na uzalendo.
Jitafakari wewe hapo ulipo je Kuna nafasi yeyote ambayo utajilinganisha na marehemu Edward Sokoine? Je unakumbuka maneno yako kabla hujapewa cheo? Sasa hiyo itawatafuna
KOMREDI MORINGE SOKOINE....MZALENDO WA KWELI WA NCHI YETU....ILE NDIO ILIKUWA CCM YA KIZALENDO KWELI KWELI....CCM ILIOKUWA NA 'DIRA' YA TAIFA....SIJUI KAMA CCM YA SASA INAFIKIA HATA ROBO YA CCM YA AKINA SOKOINE!
Huyu kibaka ni msanii sana . Yaani maccm yamuona anaongea bora sana. Huu utoolo akaongee na wajinga. Tunajuwa mengi kuliko yeye anaongea puma tupu. Tupo imara
Mama tunakupenda sana usihofu na kelele za wapinzani wewe ni raisi na uwezo unao kuzidi wanaume na pia hakuna jipya wanachoweza kuleta zaidi ya kuibia Watanzania. Mama nakutakia maisha marefu.
Tupatie ushahidi wenye uhahika. Wengine tunaimia kwa Viongozi wengi walipotea. Kolimba, Ally Kigoma Malima, Mwl Nyerere Do.. Dr JP Magufuli. We miss them all !
Mi napenda vitabu 4 tu, 1 nyerere, 2 magufuli, 3 sokoine, 4 mkapa kwa mbaaaaaaali Hawa wengine tutawaona kwenye mitandao ya kijamii maana hatupaswi kuwafundisha ujinaga watotowetu watakuja kutucheka.
L 😢 llllllv
Asante kwa namna ulivyosimulia Pro, hakika ni kitabu muhimu cha kusoma kwa faida yetu na taifa kwa ujumla
Interesting story
Kabudi very smart uanasheria wake unamsaidia kukwepa mambo 😅😅😅, hataki kuambiwa si ulisoma pale, someni
❤ Love Moringe RIP my Loving Great Tanzanian Leader.
Amen and amen ❤
Rip jembe Moringe
Pro uko vizuri kusimulia..
Ww mzee mungu akupe misha malefu sana
This is an interesting narrative to twist and walk close to the Maasai,after serious injuries on their land and livelihood by the government of the land.
Mbwembwe nyingi,maprofesa nao ,ila huyu baba mmm
Hamna kitu hapo 😅😅😅
Kazi Nzuri Sana Iendelee
Pr umeinogesha saana simuliz hiyo ime
Mzee Huyu nimubinafusi sijawahikuonaduniahii ebulejeeni hotubazake zawakati wamaoni yakutafutakatibampya Leo amekuwachawa wamaccm,inasikitisha. Maprofesa wanchihii
Edward Moringe Sokoine mwanawatanzania lala salama baba sudi Yako Bado inaishi.
Prof. Umenogesha sana . Kongole
nimependa huo utata kwenye mwaka wa kuzaliwa 😂😂😂
Sawa Prof kabudi
Sisi njaa
Kaburdi soma Baba hicho kitabu kinaukweli mtupu najua kuna wengine kinawachoma hapo😂😂😂
Watu walikuwa wakweli sana ...hata kilichoandikwa kinasomeka
Tumeona ya sokoinne nayakwenu. Yako wapi. Utopolo ndo umewajaa
Prof ana uwezo mkubwa wa kujieleza na kuelezea, lakini ukekelezaji kivitendo hapo ana kigugumizi kikubwa Sana, pamoja na yote bado CCM Wana fumbia macho matatizo ya utekaji na ukaji wanmeweka pamba masikioni hii ni AIBU kwa Chama kongwe kutotoka hadharani na kuelezea ukweli.
Kitabu bei gani
Huyu kabudi anajua kutoa hotuba vzuri
kitabu cha JPM lini???
Harmonize Mzee Popo anapata sapoti ya badhi viongozi wa CCM kuharibu kazi za Diamond na Wasanii wake youtube na uchawi...Aibu Tanzania 💯❌😭🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Huyu ni mbwembwe nyingi kutusaidia kama taifa 0
🇹🇿🇹🇿💕🙏
Hivi vitabu vya viongozi viwe vinatumika hasa sekondari na vyuo vikuu kwenye uchambuzi na pia italeta Chachu ya wasomi wengi kupata maarifa ya uongozi na uzalendo.
Library zote nchini zipelekewe nakala za kutosha
kwel hasa chuo Cha uongoz il tupate viongoz wadirifu na sio matapel
Na nyinyi wajibikeni ili muandikwe vizuri kwenye historia zenu. Viongozi wengi waache ubinafsi na kujilundikia mali.
Jitafakari wewe hapo ulipo je Kuna nafasi yeyote ambayo utajilinganisha na marehemu Edward Sokoine? Je unakumbuka maneno yako kabla hujapewa cheo? Sasa hiyo itawatafuna
Yaani unaongea kiswahili afu unatafsiri kiswahili professor why?
tungekuwa tunakubaluana na mawazo yangu wewe unataliwa kuwa rais wa jamhuri ya tanzania
Huyu sio mkweli na ajawai kukosoa kitu chochote kile ni muoga
Mkatoliki na wake wawili?
😅😅😅
Kwani kuoa mke mmoja ndio ukatoliki mbona wakatoliki kibao wana mke mmoja vimada kumi na moja..!
19:40 sio appendix..ni appendicitis
Uchaguz utakuwa mgumu sana
Striker ndiye huyo huyo refa na kamisaa kwenye game. Ugumu utoke wapi?
MAMA MITANO TENA NYIE ANDAMANENI 😢😢😢😢😢😢😢
@@OmmyJames-xn7jiKICHWA HASARA
KOMREDI MORINGE SOKOINE....MZALENDO WA KWELI WA NCHI YETU....ILE NDIO ILIKUWA CCM YA KIZALENDO KWELI KWELI....CCM ILIOKUWA NA 'DIRA' YA TAIFA....SIJUI KAMA CCM YA SASA INAFIKIA HATA ROBO YA CCM YA AKINA SOKOINE!
Basi hiyo ya Sokoine na mwalimu ndio iliyoifilisi nchi ikawa masikini madukani vitu hakuna sukari ikawa bidhaa adimu...!
5:24
Tutaulainisha
Hilo kuwa alikuwa mkatoliki kindakinda wakati alikuwa na wake wawili,linanipa ukakasi kuelewa.
Mke wa pili alilazimishwa kimila
Nauto elewa kwa sababu uwelewa wako mgumu mnoo
Ndio ujue Uislaam unatambuwa maumbile ya Binadamu
Kwani hakuna sasa wakatoliki wenye wake zaidi ya mmoja?
Huyu kibaka ni msanii sana . Yaani maccm yamuona anaongea bora sana. Huu utoolo akaongee na wajinga. Tunajuwa mengi kuliko yeye anaongea puma tupu. Tupo imara
Utajua mwenyewe
Mama tunakupenda sana usihofu na kelele za wapinzani wewe ni raisi na uwezo unao kuzidi wanaume na pia hakuna jipya wanachoweza kuleta zaidi ya kuibia Watanzania. Mama nakutakia maisha marefu.
Boyaaa ww ana uwezo Gani mavi kuza bandali apo ume sikia sokoine kuuza bandalii au uwanja wandege kengee wewe
Ukweli ndio huo NYERERE alihusika na kifo cha sokeine. Wacha kigugumizi wewe. Weka sawa.
Tupatie ushahidi wenye uhahika. Wengine tunaimia kwa Viongozi wengi walipotea. Kolimba, Ally Kigoma Malima, Mwl Nyerere Do.. Dr JP Magufuli. We miss them all !
Tengeneza.njia.ya.ukombozi.ccm.inameza.mambo.enzi.zazama.inaleta.ukabila.rushwa.upendele9.maovo.yapewamkipumbe