B2k Mnyama feat. Vanillah - Oweeeh (Lyrics Video)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 1,2 тис.

  • @B2KMnyama
    @B2KMnyama  6 місяців тому +198

    oyaaaa imerudiiii bwanaaaaaaaaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @heavenlyplacesglobal
      @heavenlyplacesglobal 6 місяців тому +12

      And M here already 4 mins baada ya KURUDI M ENJOYING MYSELF WITH THIS BANGER

    • @B2KMnyama
      @B2KMnyama  6 місяців тому +3

      @@heavenlyplacesglobalenjoy

    • @NdichiboyTz-iz4bd
      @NdichiboyTz-iz4bd 6 місяців тому +3

      Apo sawa

    • @AzzleBoy
      @AzzleBoy 6 місяців тому +2

      Dah hii vita sasa

    • @neaboy4032
      @neaboy4032 6 місяців тому +3

      Washamba tu wanamichezo ya kijingaa sanaaa afu hawatuweziii ata kuandikaa. Mungu alicho kipanga uwa akipanguliwi apo juu ni kwetu mda ukifika umefikaa 🙏👐

  • @B2KMnyama
    @B2KMnyama  6 місяців тому +440

    Hello habari naombeni sapota yenu kubwa kwa ku share ku like na ku coment mziki mzuri umfikie kila mtu❤❤❤

    • @EliasBamikwa
      @EliasBamikwa 6 місяців тому +13

      Umemaliza bro weeeeee mkali saaaana spaana ka uwa saaaaaaana

    • @neaboy4032
      @neaboy4032 6 місяців тому +10

      Limeisha hilooo tuachie sisi wew ushamaliza acha tucheze sisi ngomaa iendeee 👐

    • @daudkinyunyu9989
      @daudkinyunyu9989 6 місяців тому +9

      Mnyama Og..
      Hujawai kosea kabx
      Umepoaaa...🔥🔥🔥🇹🇿

    • @dr_donye
      @dr_donye 6 місяців тому +7

      Tupo nawe pia Tupo na Vanillah 🔧 mpaka kieleweke🔥🔥🔥🔥🔥🔥💪💪🌟

    • @daudkinyunyu9989
      @daudkinyunyu9989 6 місяців тому +8

      Aisee,.Broh Mnyama mtu mbadi...🎧
      Apewe ulinzi wazili wa ulinzi mtusikieeee ukoo.. 🇹🇿🇹🇿

  • @B2KMnyama
    @B2KMnyama  6 місяців тому +141

    nipeni like zangu za usk😊😊😊

    • @kadegeasilitv-zt9bv
      @kadegeasilitv-zt9bv 6 місяців тому +1

      ❤❤❤❤

    • @shedrackmyamba
      @shedrackmyamba 6 місяців тому

      Kaka B2K all in all mmeuaaa B2K unajuaa sanaaa your more intelligent

    • @shedrackmyamba
      @shedrackmyamba 6 місяців тому

      Kaka B2K all in all mmeuaaa B2K unajuaa sanaaa your more intelligent nice song wimbo mzurii

    • @jameskiiru6879
      @jameskiiru6879 6 місяців тому

      kabisa utazipata likes #254❤

    • @LekipaNkaya-u8d
      @LekipaNkaya-u8d 2 місяці тому

      @@jameskiiru6879 kabisa

  • @B2KMnyama
    @B2KMnyama  6 місяців тому +135

    Asanteni kwa mapokezi makubwa ya kazi yetu tunawapenda sanaa like na ku comment

    • @allenonesmomwebembezi6248
      @allenonesmomwebembezi6248 6 місяців тому +2

      Mnyamaaaaa

    • @B2KMnyama
      @B2KMnyama  6 місяців тому +1

      oyaaaaaa

    • @berthasanga5726
      @berthasanga5726 6 місяців тому +2

      Ngoma kali sana jaman🥰😍😍

    • @neaboy4032
      @neaboy4032 6 місяців тому +1

      Usiwaze sisi atuwezi kukufikisha mbingun tu ila tunaweza kukufikisha kazi zako kwa jamiiiii na jamiii ikakuelewaaaa 🙏

    • @sevelinMlawa
      @sevelinMlawa 6 місяців тому +2

      Usiwaze Kaka Mimi ndo yule nlokufukuziaga na bodaboda nkataka kukusalimia naitwa seve boy tz nipo UA-cam

  • @B2KMnyama
    @B2KMnyama  6 місяців тому +92

    Jaman watu wana tufanyia roho mbaya wameitoa saut kwenye video yetu tuko tunapambania sauti irudi inshallah

    • @AyubunicoMwitumba
      @AyubunicoMwitumba 6 місяців тому +1

      Duuuuu sasa kwann wafanye ivi

    • @AyubunicoMwitumba
      @AyubunicoMwitumba 6 місяців тому +1

      Aliyepewa kapewa tu figisu azisaidii

    • @exclusvetztv9011
      @exclusvetztv9011 6 місяців тому +1

      ..............................................atari sanaa kaka pambana maana wananchi wanalalAMIKA NINI TATITIZO AUDIO HAMNA KWENYE VIDEO

    • @kinggibe928
      @kinggibe928 6 місяців тому +1

      @b2kmnyama usiwaze kak

    • @flavoostarbeatboy
      @flavoostarbeatboy 6 місяців тому +1

      ChuMa imewakaa

  • @JojyLuhasa
    @JojyLuhasa 6 місяців тому +105

    Kama unaona kwa jicho la mbali vanillah kukuwa King kiba wa uko mbele gonga like apa

  • @B2KMnyama
    @B2KMnyama  6 місяців тому +32

    tuko pazuriii wanangu

  • @B2KMnyama
    @B2KMnyama  6 місяців тому +3

    wananguuuqq❤❤❤❤❤❤

  • @B2KMnyama
    @B2KMnyama  6 місяців тому +9

    mimi nawapenda sanaa wote mnao nisapot❤❤❤❤❤

  • @jaymoyilmaz9680
    @jaymoyilmaz9680 6 місяців тому +22

    Vanilla umetisha kakangu,,,
    Nakuomba usipoe tafadhali kuwa n muendelezo wakutoa nyimbo kila mara ❤

  • @neaboy4032
    @neaboy4032 6 місяців тому +23

    Nimeludiaa mara 19 kuangaliaaa
    Nimegundua mziki mzurii unaitaji kusapotiwa na watu makiniii ebu twende tuipeleke namba 1 on trending

    • @starbea7742
      @starbea7742 6 місяців тому +1

      tuondokeee tia makoment share sanaa

    • @neaboy4032
      @neaboy4032 6 місяців тому

      @@starbea7742 mapemaa tu

  • @B2KMnyama
    @B2KMnyama  6 місяців тому +21

    oyaaa wanangu hamna bayaaa

    • @GiddyAfrica
      @GiddyAfrica 5 місяців тому

      Bro surpot tu kwako pia naandika nyimbo naeza kuuzia

  • @neaboy4032
    @neaboy4032 6 місяців тому +27

    Ivi watu wa mbeyaa iringa mpo kama mpo naitaji like 200. Unaakili wewe utakae like afu sikulipi chochote. Like ziwe nyingi Ili wajue B2k ni mnyamaaa

  • @SaideAliSangomes-cc7sj
    @SaideAliSangomes-cc7sj 6 місяців тому +17

    Tunao mkubali Spana🔧 wekeni nguvu mpya APA basi new song b2key end 🔧 kings music lebel...💥💥💥

  • @mosessimiyu6954
    @mosessimiyu6954 6 місяців тому +66

    Vanilla jameni huimba na feeling yote,, like yake ❤❤❤

  • @albertmalenge-cs6zy
    @albertmalenge-cs6zy 6 місяців тому +4

    Hii pacha always inatoa mziki mzuri👏👏👏👏

  • @fatimahants1526
    @fatimahants1526 6 місяців тому +17

    The big song 🎵 ❤❤❤.....ujumbe wenye maana kubwa......✍️🇴🇲🇹🇿 nawakubali sana nguvu kubwa

  • @TheepoliteDerrickuntamed
    @TheepoliteDerrickuntamed 6 місяців тому +1

    Again wow wat a nice collabo again 💪💪mnaeda far wakenya wamekubali

  • @neaboy4032
    @neaboy4032 6 місяців тому +72

    Kama unamkubali B2k gonga like za kutoshaaaaaaaaaaaaaa

  • @NanaRiziki
    @NanaRiziki 6 місяців тому +7

    💫Umetisha sana ❤️❤️❤️Spana feat. B2K 🎉🎉🎉 kazi nzuri 🔥🔥🔥

  • @frankgerard715
    @frankgerard715 6 місяців тому +8

    NA HIVI NIKO NA BIGI BIGI 📯 owe owe oyaaaaa!!

  • @dr_donye
    @dr_donye 6 місяців тому +14

    Huyu vanillah 🔧 ni nyokoo ananyoosha kinoma✍️🔥🔥🔥🔥👑

  • @EvalinepratassFranciss
    @EvalinepratassFranciss 6 місяців тому +9

    Nyimbo nzuriii sanaaa 🙌🙌🙌💪

  • @yusuphmkomwa3427
    @yusuphmkomwa3427 6 місяців тому +6

    Bonge la ngoma hili b2k wewe ninomaaaa. Unajua mpaka ufunikwe inaitaji uwezo kweli kweli daaa umemfunika vanillaa kinomaaaa

  • @BuraramaKwibe
    @BuraramaKwibe 6 місяців тому +5

    Vanilla umendika maneno mazuru tena ya utofauti sana❤ congratulations

  • @5googleuuu727
    @5googleuuu727 6 місяців тому

    Ngoma kali hongera sana my brother. Hii ndiyo bongo fleva. Congratulations. From Oman ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @ibrahstar7590
    @ibrahstar7590 6 місяців тому +6

    Hii Kali na imeenda.

  • @izzyfaya1362
    @izzyfaya1362 6 місяців тому +8

    Nyimbo kali sana Vanilla fundi sana

  • @ReubenMdashi-vs5mh
    @ReubenMdashi-vs5mh 6 місяців тому +7

    B2K huyu anakufunika sana jitahidi ubadilka kuimba ukiwa na huyu jamaa, unampa credit sana 🎉🎉🎉

  • @HamisiChipotele-fl8xo
    @HamisiChipotele-fl8xo 6 місяців тому +7

    Ebaneeee... Bonge la ngoma.. si tuko na demonstration 🇰🇪🇰🇪 lakini tunaenjoy mziki nzuri kutoka Kwa jirani yetu 🇹🇿.

  • @Clever579
    @Clever579 6 місяців тому +6

    Vanillah sijui nkutukane tusiiiiii ganiiii weekxmmmmmm unajua kisexgeeeeeee🔥🔥🔥🔥🔥🇹🇿

  • @official_kingnabiryOg
    @official_kingnabiryOg 6 місяців тому +9

    Ila Vanillah mungu akuweke sana maana unajua adi unajisaau kaka 🎉🎉🎉❣️❣️❣️

  • @laxmajor
    @laxmajor 6 місяців тому +5

    Goma la mwendo ⭐🌍

  • @dr_donye
    @dr_donye 6 місяців тому +9

    Hii combination ya 🔥🔥🔥🔥 sanaaa

  • @Mwanasconcho_
    @Mwanasconcho_ 6 місяців тому +9

    Nipo hapa kwa ajili ya verse ya vanillah mwamba anajua kuyaandika mapenzi sio poa❤❤❤❤ 🔥

  • @hamzafourteens
    @hamzafourteens 6 місяців тому +8

    Bonge moja la ngoma hawa jamaa wana chemistry nzuri sana

  • @glizzi
    @glizzi 6 місяців тому +8

    June 23, 2024. Today im dropping this comment to let you know that im gonna be a big shot artist soon. My songs will be bangers shortly. And when that happens, I'll make sure to slide back here and leave a comment, so that all you guys who believed in me can be proud. I wish you all the best and don't mistake my confidence for arrogance. Peace out 🙏🏼

  • @DingiiMshamba-cw7ob
    @DingiiMshamba-cw7ob 6 місяців тому +6

    Mwamba ukitoaga ngoma na huyu Mwana inaenda Sana dah ngoma kali mmeifunika ile lalalala

  • @NoreenySisa
    @NoreenySisa 6 місяців тому +7

    Dah,,,,, unyamaaaaaa huui b2k na vanilla wakikutana ni unyama tu be proud brothers

  • @JAYPRINCE126
    @JAYPRINCE126 6 місяців тому +3

    My only Gs,, napenda mnapofanya ngoma kwa pamoja maana nyote masters wangu,❤❤❤

  • @deejaykiller8167
    @deejaykiller8167 6 місяців тому +1

    Ngoma Kali xanaa b2k msukuma kauwa xanaa🔥🔥🔥🔥

  • @josephfrank4446
    @josephfrank4446 6 місяців тому +9

    Vanilla kumbe unajua nilikuwa nakudharau mwanzon ila we jamaa unajua mziki kipaji kikubwa sana🎉

  • @prospermango6526
    @prospermango6526 6 місяців тому +1

    Hii Ngoma niliidaka leo..pindi natoka Ubungo hadi Chanika naisikiliza hiyo tuu...Ligoma wajomba❤

  • @baysadam235
    @baysadam235 6 місяців тому +8

    Unyama mwingi sanaa mwaneto spana X Bk2 nawakubali snaaa from Moz 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🔥🔥

  • @LuisJozee
    @LuisJozee 3 місяці тому +1

    Nice song mwanangu B2KMNYAMA aise kazi si mashabiki tupo kwaajiri ya kukusaporti Kwa kazi nzuri unazo zifanya

  • @mtatirodonia8463
    @mtatirodonia8463 6 місяців тому +2

    Bonge la ngoma full unyama saluti kwa mashujaa wote inshalll

  • @rashidamohamed9927
    @rashidamohamed9927 6 місяців тому +5

    Tuko tua poo wangu mwenyewe aa uu sindio 💯🔥💯💯💪💪💪💪💪💪💪

  • @Berenaldo77
    @Berenaldo77 6 місяців тому +5

    Bonge moja la kazi
    Brother MUNGU ABARIKI KAZI YA MIKONO YAKO...

  • @Lokimasterkevin
    @Lokimasterkevin 6 місяців тому +7

    Kenya on behalf ya GEN Z twawapenda

  • @nnedynshimirimana
    @nnedynshimirimana 6 місяців тому +8

    Mnyama kuna spana hukoo💯💯

  • @bashiteentertainment3298
    @bashiteentertainment3298 6 місяців тому +3

    Mnyamaaaaaaa hii tunatamba nayo kwenye mapenzi yetu na wale walokubali kutupa miyo nakutuweka moyoni pia

  • @neaboy4032
    @neaboy4032 6 місяців тому +12

    Ngoma kalii vidio kaliii

  • @AlfredoManuelbaloManuelbalo
    @AlfredoManuelbaloManuelbalo 6 місяців тому +6

    Da vanillah unanipa ra tu🎉🎉🎉🎉 from Moz

  • @DanielCosme-u4r
    @DanielCosme-u4r 6 місяців тому +6

    B2k ukiwa na vanilla safi sana

  • @TamimuKinanila
    @TamimuKinanila 6 місяців тому +8

    Vanillah uyu Jama fund sana

  • @neaboy4032
    @neaboy4032 6 місяців тому +15

    Naitaji like 100 za watu wa makambakoo maana niliyo wasemaa moyoni wakatoka wakanipanda kichwani 🥱

  • @ramamuhsin743
    @ramamuhsin743 6 місяців тому +7

    Daah Vanilla nakubali sana sina neno mzee

  • @KhanRapper12
    @KhanRapper12 6 місяців тому +7

    Ngoma kali unaitani tuzo baba 🔥🔥🔥🔥

  • @lwemikoaron448
    @lwemikoaron448 6 місяців тому +6

    Combination Bora Kwa sasa

  • @OmbeniMnemele
    @OmbeniMnemele 6 місяців тому +5

    B2k b2k b2k b2k b2k b2k b2k b2k mnyaaaaaaaaaaaaamaaaaaa unajua unachokifanya kaka mwamba wa kusini

  • @sihabamwacheo1314
    @sihabamwacheo1314 6 місяців тому +2

    Nyimbo zote lkn hapa unyama mwingi sn❤❤❤ kwakwal🎉🎉

  • @BuraramaKwibe
    @BuraramaKwibe 6 місяців тому +2

    Vanilla we nimuandishi bora kweli ❤

  • @mudziniafricatv
    @mudziniafricatv 6 місяців тому +2

    Vanilla kaua sana Wallah...ukweli usemwe❤❤Big love from kenya...mombasa

  • @NivaGwivaha
    @NivaGwivaha 6 місяців тому +2

    Dah nchi ngumu hii wametoa had saut keep pushing broo ludishen saut

  • @WalumbaMibinda-sz6lk
    @WalumbaMibinda-sz6lk 6 місяців тому +8

    waooo mkali wang

  • @AmLegembo
    @AmLegembo 6 місяців тому +36

    Tuondoke nalo Goma kali naomba like zanguu kwa b2k

  • @mukisajordan9907
    @mukisajordan9907 6 місяців тому +2

    This dual deserves big, much love from Uganda 😍😍😍. Praying for a collabo with @Rayvanny

  • @Espiboy2
    @Espiboy2 6 місяців тому +118

    Alie urudia huu wimbo mala mbili mbili gonga like

    • @flavoostarbeatboy
      @flavoostarbeatboy 6 місяців тому

      Noma

    • @tysonyusuph9831
      @tysonyusuph9831 6 місяців тому

      Nakubali kaka nguvu moja 🤝🤝🤝

    • @joycecosmas4458
      @joycecosmas4458 5 місяців тому

      Nimetumiwa na mpenzi wangu nimeisikiliza zaidi ya mara Tano ❤❤❤ creative nyimbo Ina ujumbe mzuri...

  • @PirfaImanipirfa-vj3oz
    @PirfaImanipirfa-vj3oz 6 місяців тому +7

    Nakukubali sn mnyama wng ❤💪

  • @ClementMasunga
    @ClementMasunga 6 місяців тому +8

    Mnyama na spana 🛠️🎉🎉😊

  • @MishaelmsafDiamond
    @MishaelmsafDiamond 6 місяців тому +8

    Unajuwa kaka mungu akubariki kwenye kazi yako kaka ❤

  • @EliezerNziku
    @EliezerNziku 6 місяців тому +5

    Naqubaliiiiiii sana mzee babaa

  • @HotaeOfficial
    @HotaeOfficial 6 місяців тому +7

    Kama unakubali.B2k nimsanii.anaye juwakuyeza na Hisia za mashabiki gonga LikeHP❤

  • @shimadosun
    @shimadosun 6 місяців тому +4

    Mnyama mkali Tz Ngoma kubwa sana kaka Mauwa yako kujia kenya #shimado ❤❤❤ be bless sana my lovely brother 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @officialtonnyjr-kd4wf
    @officialtonnyjr-kd4wf 6 місяців тому +7

    Huna baya familia 🙌🙌🙌

  • @fannyboy_tz2062
    @fannyboy_tz2062 6 місяців тому +6

    Wakali wa hizi kazi🔥🔥💪

  • @pibaladaemonofficial
    @pibaladaemonofficial 6 місяців тому +1

    Beautiful as usual Big fan of vanilla from ke

  • @Kilsontz
    @Kilsontz 6 місяців тому +4

    Ngoma kalii broo umetishaa

  • @JofreyElia-x7n
    @JofreyElia-x7n 6 місяців тому +5

    Ngoma Kali sanaaa amjawai kukosea

  • @AziziKalembo
    @AziziKalembo 6 місяців тому +7

    Nakukubalisana bro b2k auna kz mbaya ila changamoto naikubari sana Jana Leo na kesho

  • @dr_donye
    @dr_donye 6 місяців тому +6

    Doctor mkuu wa music nipo hapa kui verify hii ngoma kali mno once again 🔧👑🔥🔥

  • @cornelionfikiri2052
    @cornelionfikiri2052 6 місяців тому +49

    Wa CONGO MPO WAPI JAMANI MUWE NA HEKIMA YA KUNIPA MAUWA YANGU 🎉
    Mnipe like zangu APA 😢

  • @Murisal
    @Murisal 6 місяців тому +4

    Oya uyu vanillah ana hatariiii🎉🎉🎉

  • @ibrahstar7590
    @ibrahstar7590 6 місяців тому +7

    Hawa watu wawili wanamuunganiko mzuri sana kz

  • @EtieniRama
    @EtieniRama 6 місяців тому +73

    Kama una mkubali vanillah na homba like zangu❤❤❤❤ kutoka Zambia❤❤❤❤❤

  • @officialbetterboy8130
    @officialbetterboy8130 6 місяців тому +8

    NIOMBE 2 SANAHANI KAKA B2K UKWELI UMUNDANI UMEPOTEA VIBAYA WATOTO WA ALIKIBA WANASIFA SANA VANILLAH MTU BHN 🙏🔥🔥🔥

  • @nakalikyumile3234
    @nakalikyumile3234 6 місяців тому +7

    Muziki mzuri,kaza kijana,waachie wapuuzi amapiano wasauzi wa tanzania

  • @nzitogondwe9976
    @nzitogondwe9976 6 місяців тому +5

    Safi ngoma kali nimeisikia mara mbili

  • @dr_gainstz
    @dr_gainstz 6 місяців тому +16

    Kipaj cha vanilla ni next level jamaa anajua mpk anajua tena 🎉🎉🎉 tumpe maua yake akiwa hai unyamaa ni mwingi kutokea pande za 254+ oyaa wee hii ni ya kwetu tenaa tumerud ujanani oweeeeh !!!! Halaaa

    • @flavoostarbeatboy
      @flavoostarbeatboy 6 місяців тому +2

      😂😂😂😂 Mtu wa maana kbs😇

    • @dr_gainstz
      @dr_gainstz 6 місяців тому

      Na yeye asije akalipa billion tano bure Kwa kusifiwa na b2k mnyamaa😂😂😂 ilaa unyamaa ni mwingiii ​@@flavoostarbeatboy

  • @stevenckanumba7
    @stevenckanumba7 6 місяців тому +7

    Vanillah umeshindikana sasa 🔥🔥🔥🔥🔥💪💪💪💪🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @kismatinational8270
    @kismatinational8270 6 місяців тому +2

    Umu vyuma vimeumana ,, b2k kaka sikunyingine ukitaka kumshilikisha uyo spana uyo uyo spana , mwambie aanze yeye sholiako mwenyewe usije ukaturaum ukasema atujakwambia

  • @Kinegavina
    @Kinegavina 6 місяців тому +13

    From reject Kenya, like zangu jamn

  • @NdichiboyTz-iz4bd
    @NdichiboyTz-iz4bd 6 місяців тому +9

    Wimbo mkari sana wangapi wanamukubali vannillah

  • @chidiibrahim6104
    @chidiibrahim6104 6 місяців тому +7

    Nakubali. The beat

  • @eclatsadam95
    @eclatsadam95 6 місяців тому +1

    Mnajua sana,,,maandishi yamechorwa vizuri sana,,vocal za anga za mbali sana,,video creativity ya hali ya juu,,big up sana

  • @Silvaboetz5420
    @Silvaboetz5420 6 місяців тому +4

    Hiii kali mzee noma

  • @SharobertClassic-bw9fz
    @SharobertClassic-bw9fz 6 місяців тому +9

    B2k wewe ni noma sana 🔥🔥🔥 like ya b2k zifikie sharobert ❤

  • @jumabondo2085
    @jumabondo2085 6 місяців тому +6

    hili ngoma ni kali muda ote nalisikiliza halichoshi wala haliboi ❤❤❤

  • @estevaoalexandresaide262
    @estevaoalexandresaide262 6 місяців тому +5

    Ngoma Kali sana.

  • @alexisfadhili
    @alexisfadhili 6 місяців тому +6

    Hii combination Kali sana