MACHO YANGU HUMWELEKEA BWANA - J. MAKOYE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 46

  • @yustinomusic
    @yustinomusic 2 роки тому +6

    Wacha leo niwe wa kwanza kucomment,,,,Hongereni kwa kazi nzuri ya uinjilishaji ,, Lazaro na Despina na wengine wote ,,, Mbarikiwe mpaka mshangae.

  • @Didaskamili
    @Didaskamili 13 днів тому

    Hongereni sana nakumbuka mtunzi makoye

  • @salomemhalule5213
    @salomemhalule5213 2 роки тому +5

    Hakika kazi imetulia sana.
    Ninawapenda. Kila la kheri katika utume.
    Tumsifu Yesu Kristo😍❤️🙏

  • @JosephMbithi-oe7iv
    @JosephMbithi-oe7iv 3 місяці тому

    Nyimbo,,,zako,,zinanitia nguvu xana ,,, hongera,,,sana ,,karb Tena matuu parish,,kyasion village

  • @norbethaminaubarikiwekwaut1072
    @norbethaminaubarikiwekwaut1072 2 роки тому +2

    Wazee mnafanya kazi safi

  • @humbleme4989
    @humbleme4989 2 роки тому +4

    Wimbo mzuri 😍 kazi nzuri waimbaji endeleeni kuinjilisha kwa nyimbo 🙏 Mungu awabariki!

  • @ijueimanikatoliki980
    @ijueimanikatoliki980 2 роки тому +6

    Mbarikiwe sana! Mmeamua kuimba melody za mkatoliki zinazotakiwa mmekuwa chagua langu Bora sana! Nawaombea muendelee zaidi na zaidi kuziupdate hizo nyimbo za akina
    Mgandu, mwarabu, Fr kayeta na WENGINE wote nguli wa mziki mtakatifu

  • @joshuasabasi3118
    @joshuasabasi3118 2 роки тому +5

    Hongereni nyimbo nzuri sana mbarikiwe sana wapendwa

  • @williamcosmas1986
    @williamcosmas1986 2 роки тому +2

    Mungu azidi kukuimarisha kiafya dada despina kwani nimengi tunavuna kwako.

  • @renaanyerere4590
    @renaanyerere4590 2 роки тому +1

    Uinjlishaj mwem wapndwaa mschokee kutangza hbrii njmaa za mungu

  • @guygerardmaindo3202
    @guygerardmaindo3202 2 роки тому +3

    Vraiment de belles mélodies.Dieu nous a envoyé les anges du ciel transformés aux humains pour chanter sa louange ici-bas.

  • @lushinojunior452
    @lushinojunior452 2 роки тому +2

    Hakika kazi inapendeza

  • @NepoEmile
    @NepoEmile 2 місяці тому +1

    Good song 2:06

  • @michelwakilongo5875
    @michelwakilongo5875 2 роки тому +1

    Despina sio wewe unaye imba Bali roho mtakatifu anaekuwa ndani mwako,ubarikiwe.

  • @nyangomamalisely2514
    @nyangomamalisely2514 2 роки тому +1

    😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃daaaah hongera sana Dear Mungu akublless sana umependeza

  • @kalistimalkiadi3724
    @kalistimalkiadi3724 2 роки тому

    Patiu tumekumis Sana karibu bashnet

  • @FrolaNgimba
    @FrolaNgimba 6 місяців тому

    Hongereni sana kwa uinjilishaji mungu awabariki

  • @maryjeremiah3294
    @maryjeremiah3294 2 роки тому +2

    Nabarikiwa sana nisikilizapo nyimbo zako dada

  • @sekelagatusekelege9325
    @sekelagatusekelege9325 4 місяці тому

    Mpangulio wa sauti najikuta natamani kuabudu muda wote.mbarikiwe sn

  • @sophiamarco5979
    @sophiamarco5979 2 роки тому +1

    nyimbo nzur saaaana mwenyezi Mungu aendelee kuwasimania

  • @AmosGayeye
    @AmosGayeye 20 днів тому

    Mungu awabariki🎉

  • @Kingdon8765
    @Kingdon8765 2 роки тому +1

    Asanteni sana watumishi wa Bwana kwa wimbo iyi ya dominika iyi ya 3 ya kwaresma Mungu awabariki na kuwajalia nguvu za rogo mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote za maisha yenu Amina

  • @charlesbahini1261
    @charlesbahini1261 2 роки тому

    The galaxy pro mko vizuri hongereni sana Mungu wetu wa upendo awabariki sana mzidi kutuinjilisha kwa njia ya nyimbo🙏

  • @zachariajoseph4099
    @zachariajoseph4099 2 роки тому +1

    Da Despina i wish to join you

  • @bravesilubonde4350
    @bravesilubonde4350 9 місяців тому

    Barikiweni watu wa MUNGU

  • @deboramwambene1696
    @deboramwambene1696 2 роки тому +1

    Hongeni sana waimbaji,,MUNGU awape maisha marefu kama mchanga wa baharini ❤❤

  • @kbdmsafi_tz8094
    @kbdmsafi_tz8094 2 роки тому +2

    Kazi Pouw Sanaaa

  • @linahjelimo6679
    @linahjelimo6679 2 роки тому +1

    Nice song be blessed Linah

  • @shepherdhermas6763
    @shepherdhermas6763 2 роки тому

    Hongera ,💝💝💝🤩🤩🤩🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪Kenya twawaenzi 💝

  • @berthahayba5753
    @berthahayba5753 Рік тому +1

    Very nice

  • @osiahjacksonkasanga3933
    @osiahjacksonkasanga3933 2 роки тому +2

    Noumaaa

  • @kalistimalkiadi3724
    @kalistimalkiadi3724 2 роки тому

    Kazi nzuri Sana wapendwa Katika kristu

  • @zachariajoseph4099
    @zachariajoseph4099 2 роки тому +2

    Naombeni namba ya Despina jaman

  • @christmaswilliamsmapanda6387
    @christmaswilliamsmapanda6387 2 роки тому +2

    Through singing we are all saved🙏

  • @Kingdon8765
    @Kingdon8765 2 роки тому

    Utume mwema katika Bwana wetu Yesu kristu

  • @menancemhombwe2267
    @menancemhombwe2267 2 роки тому

    Ospina great job

  • @dominicmutua5134
    @dominicmutua5134 2 роки тому +1

    Beautiful voices

  • @wise_d_tz
    @wise_d_tz 2 роки тому +2

    Mbarikiwe Guys

  • @frolencesimchile4719
    @frolencesimchile4719 Рік тому

    mlipo nipooooooooooooo

  • @alainkolela4776
    @alainkolela4776 2 роки тому

    Nina wa penda sana

  • @Sherry-b3u
    @Sherry-b3u 7 місяців тому

    ❤❤

  • @djking3418
    @djking3418 2 роки тому +1

    💐💚💞

  • @beathaalistides296
    @beathaalistides296 2 роки тому

    Good

  • @maryassey1857
    @maryassey1857 2 роки тому

    u9