Ee Bwana uwape amani wakungojao Asanteni sana watumishi wa Bwana kwa ujumbe iyi nzuri yenye umuhimu sana katika maisha yetu Mungu awabariki na kuwalinda siku zote za maisha yenu na kuwajalia nguvu za Roho mtakakatifu ili mpate kumtumikia siku zote za maisha yenu amina
saya dari indonesia, sangat menyukai vokalnya, irama musik sangat menunjukan musik gerejewi, katolik indinesia sangat bangga dengan umat yang ada di Tanzania. salam buat saudara Lasarus patiu.
Wow! My brothers and my sister there aki munaimba smart sana your songs zinanibariki each and every time Mungu Mwenyezi Azidi kuwabariki na muzidi kumwimbia siku zote Amina
"Ee Bwana usikilize sala ya mtumwa wako na uwape Amani wakungojao". Asante sana wanakwaya kwa wimbo mzuri hasa tukitambua leo ni Ijumaa na kwa Heshima ya Moyo Mtakatifu wa Yesu, tuzidi sana kumtumainia na kuchota baraka zake.
Well done... Hongereni sana, lakini sound engineer amewaangusheni sana. Kuna kelele inayosikika, kwenye kiitikio, inachafua utamu wa wimbo na uimbaji wenu mzuri.
Huu utenzi upo Kwa wakatoliki tu kwenye kitabu pendwa Cha Ben sira Joshua
Amen❤ somo la leo barikiweni sana
Kazi nzuri sana
Jerry newman hujui kukosea bro,👏 hongereni kwa kazi nzuri
Jerry good work keep it up Fatma choir misses you
Mnaimba vzr, barikiwa sana
Ee Bwana uwape amani wakungojao Asanteni sana watumishi wa Bwana kwa ujumbe iyi nzuri yenye umuhimu sana katika maisha yetu Mungu awabariki na kuwalinda siku zote za maisha yenu na kuwajalia nguvu za Roho mtakakatifu ili mpate kumtumikia siku zote za maisha yenu amina
Ameeeni Ameeen ubarikiwe sana mtumishi mbingu ziendelee kufunguka kwa ajiri yako
Jerry Jerry Jeeeeeeeeeery Siku imekuwa saaaafiiii mnooo kabisaaaa shikamoooo Jerry shikamoooo Jerry
Amina ninabarikiwa sana na uinjilishaji kupitia kwa hizi nyimbo nzuri
Master Jerry Newman,kaka uko tuu saaawa
Mbarikiwe sana wimbo mzuri kwa kweli hauchoshi kuusikiliza
Shikamoooo Jerry shikamoooo Jerry shikamoooo Jerry shikamoooo Jerry shikamoooo Jerry shikamoooo Jerry shikamoooo sanaaaaaaaa
Sauti nzuri kweli.
Utume mwema katika Bwana wetu Yesu Kristu
Dada Despina mungu azidi kukujalia afya njema kila siku
Nabarikiwa sana na nyimbo zenu
Mungu Abariki
Nzuri sana Mwenyezi Mungu aendelee kuwabariki katika utume wenu
Mungu awabariki sana, awazidishie pale mnapopunguza kuinjilisha,
Mbarikiwe saana. Makoye apumzike kwa amani
Hakika mnatubariki sana, Mungu aendelee kuwatunza daima.
Wish one day to sing with you guys nyimbo zenu nzuri sana 🎁💥
saya dari indonesia, sangat menyukai vokalnya, irama musik sangat menunjukan musik gerejewi, katolik indinesia sangat bangga dengan umat yang ada di Tanzania. salam buat saudara Lasarus patiu.
Ubarikiwe sana
Hongereni sana, mmi pia ni mmoja ya wapenzi wafatiliaji wa nyimbo zenu,... Hakika mko vizuri sana
haiya ona Jerry 😀🔥
😍
Wow! My brothers and my sister there aki munaimba smart sana your songs zinanibariki each and every time Mungu Mwenyezi Azidi kuwabariki na muzidi kumwimbia siku zote Amina
"Ee Bwana usikilize sala ya mtumwa wako na uwape Amani wakungojao". Asante sana wanakwaya kwa wimbo mzuri hasa tukitambua leo ni Ijumaa na kwa Heshima ya Moyo Mtakatifu wa Yesu, tuzidi sana kumtumainia na kuchota baraka zake.
Mnafanya kaz nzur sana
Hongereni Sana kwa kumsifu Mungu kwa pumzi aliyowajalia nyoote.
Beautiful melodies❤
Mbarikiwe sana
Hmmmm. Some truely great gospel music 🎶 there.. Musical precision 💯💯
Wanapenda wote mnanibariki mnaimba vizuri
Nawapenda sana💞😍💖
jaman. imben zaburi mpaka iishe
Nice work 👏 from the blessed team 🙏
Congrats to the entire team...
Hongereni sanaaaa
Safi Sana.....
Nicee
Mung awablik San Kwa nyimb
Great
Amen mubarikiwe
Beautiful voices n blessed souls
nice
Well done...
Hongereni sana, lakini sound engineer amewaangusheni sana. Kuna kelele inayosikika, kwenye kiitikio, inachafua utamu wa wimbo na uimbaji wenu mzuri.
Perfect
Wonderfully sung. Keep it up!!!
Nice song 🙏
❤
❣️❤️❤️❤️❤️🥰