Inasikitisha jinsi watumishi wa Mungu wanavyodhalilishwa kwa kuzushiwa. Kwa hakika Mungu atakuwa upande wetu. Wanaomzushia Askofu Gwajima uongo Mungu atawaadhibu hakika. Kwa kufanya hivyo wanalitesa Kanisa la Kristo na kuudhalilisha Ukristo na Watumishi wake.
Oyoooooo bwana yesu apewe sifa, mie muislamu Iakini nipo kote kote kwa yesu npo kwa mtume nipo kama bwai na iwe mbwai, dini yoyote inayomgusa mungu basi ni dini so nikisema hivo na Manisha, gwajima mungu aendelee kukuneemesha mpaka Yale mafisadi yapatwe na aibu, piga keleeeeeeeeee kwa gwajima wake 😍😍oyooooooooo walikanyaga mavi wakaruka mkojooooo kazi bado inaendelea lakni hapa wataisoma namba, mungu mliende gwjima wetu kila uchao amina 🙏🙏
Watu kuwaelewesha mpaka wakuamini kama hajafanya mambo hayo ni kazi ngumu sana kama haujafanya ni Mungu mwenyewe ndiye anayejua na ndiye atakayekutetea usiwalazimishe watu wakuamini unachokisema achana na hao watu kama haukufanya hayo mambo muachie Mungu maana ndiye hakimu wa mambo yote.
BABA mtumishi MUNGU awaoneshe kama popote siyo pakucezeya kama aliye shinda njo unaegamiya unatumikiya nawakomeshwe zaidiiiiiiiiii yakuwa tuma wanatubuuuuuuu nkooo asante MAMA commando ubarikiwe NAWAPENDA
Umeamua kutafuta mpaka wafuax duuh!kwa yesu hakuna wafuax utaxmama mwenyewe na hakuna wa kukujibia wala kukutetea mashtaka yako we tapatapa2 ukweli unao mwenyewe,
Huu ni usengee kabisaaa.... Ndio maana wengine mpaka mnanyweshwa JIK mkiambiwa inatoa mapepo.... Hawa wanaojiita wachungaji I hope ni wachawi why waumini wanakuwa wanasikiliza kwa mambo ya kipuuzi...? MUNGU HATANIWI HATA KIDOGO. Yaani hata kama kusoma hatujui ina maana na picha hatuzijui...?
Nyny nyote mpk wafuasi wenu munafaa kwenda harusini t au kwenye vilabu maana sijawahi kuona sehemu y ibada kua na kele km harusini ama kweli uoslamu n dini ya haki ,upendo, na amani karibuni xn Allah atawajaalia nyote siku moja mujue ukweli uko wapi?? Amin
Mohamed Nassor Mohamed hakuna cha uislamu wala dini yoyote, uhuni na ufala tabia ya watu. kuna mashehe wahuni kishenzi kama ilivyo kwa baadhi ya wachungaji. una ubongo mdogo kama macho ya sisimizi ndo maana huoni mbali. Mungu ni mmoja na utu wa mtu ni mtu mwnyw na sio dini. dini ni chombo tu kutusaidia kufanya mema ila kama nafsi yako umedhamiria kufanya mabaya utafanya haijalishi unaswali swala 5. think beyond the limit ukomae kichwa
Yaani Mungu awasameha wote mlioandika mambo yasiyofaa humu na vita si vya gwajima ila ni vya Bwana jibu litatoka kwake kwa matusi yote mliyomtukana hamjitambui si kila mtu ni wa kumtusi mtumishi wa Mungu ni jicho la Mungu mmejipalia moto mjipange kisasi cha Mungu mpaka kizazi cha nne hamtaani lakini subirini walahi nawaapia someni maandiko si kulopoka tu ogopeni watumishi kuwanyoshea vidole kaxi kenu
Gwajima atatema cheche, lakini kusema ukweli hawa sio watumishi wa Mungu bali ni wezi wamekutana pamoja kujisafisha. Kwenye mkutano wa Rais Magufuli, kuna mchungaji alisema utaratibu uwepo wa kuanzisha makanisa haya. Gwajima akasimama kwa jeuri, na kupinga na kusema mbona baa zinaanzishwa kila kona kwa nini makanisa yasianzishwe, Huwo ni ubishi wa kijinga. Mtu yeyeote anaweza kuanzisha biashara. Kanisa sio biashara. Lazima usomee kuwa mchungaji. Baa unaomba lesseni na unalipa kodi, na hakuna mtu anashawishiwa anywe pombe atowe pesa zake baa. Gwajima na wengi wenye makanisa kama haya wanavunja sheria. Sadaka ni za matumizi ya kanisa, kulipa mishahara ya wahubiri kwa uwazi na kila mwaka lazima mahesabu yawekwe wazi kwa waamini wanaitowa sadaka. Lakini hapa kwetu wengine wamepatikana wake zao wamenunuwa majumba kutumia sadaka. Sadaka badala ya kuwekwa wazi kwenye account ya kanisa zinakuwa ni pesa za watu binafsi. Wanaotowa sadaka hizi wengi ni masikini wenye shida nyingi wanaoamini pesa zao zinaenda kwa Mungu na Kimberly wamewapa wezi. Huyu ni wizi wa kuaminika.
Yani nimeamini sio uwongo baada ya kumuona mchungaji mmoja nimepanga nae nyumba moja muhuni balaaaa, na mwingine anakaa mbezi mwisho mtaa wa muhimbili namjua vyema yani ni muhuni kweli kweli, hilo lote ni jopo la wahuni, kweli sio uongo japo sijaona kwa macho ila kutikana na watu waliomzunguka, wahenga walisema ukitembea na mwizi na ww ni mwizi
Yaani ukisikia dawa ya kuwafanya watu wakukubali kwa uivu wowote utaofanya basi wa gwajima umevuka mipaka ila siku yako yaja ambayo hutatafuta watu wa kukusifia na hiyo siku yaja upesi sana ole wako
Huna jipa usitizame maji kibaraka tizama Pont inayongelewa hapo, sie hatutizami maji Bali twatizama nini kinachoongelewa halafu nyie vibaraka hata coment zenu huwaga hazinaga Pont sabbu mnatawliwa na shetani, rais wenu samia Hana tofauti na shetani anaona mzungu ndio mkombozi wake Hana jipya huyo, halafu pia kigeu geu ndiomana hakubariki Ana maneno mengi kesho anaongea hili kesho kutwa anaongea hili Sasa rais gani asie na msimamo ndio mana tumepona bora twende kwa gwajima
Wewe mama hata kama unampenda sana mumeo lkn hutoshi, kala mzigo! Kwa nini uwezo anao wa kutosha lkn ana mke mmoja? Mungu aliyetuumba anaufahamu uwezo wa mwanamme ni wake 4. Hakuna mwanamme anaetosheka na mke mmoja naomba Wakristo hiyo kanuni muitengue kama mnavyotengua nyingine. Ramadhan Qurim
@@annalema190 Yeye pamoja na cheo chake kikubwa sana lkn ni binaadam ana udhaifu na historia inadhibitisha pamoja na uhodari na ushujaa wa binaadam lkn kwenye kuma ndio mwisho mwanamme. Kala mzigo!
Hakuna haja ya kuwatafuta watetezi mwachie MUNGU akutetee kama sio kweli. Kwani huoni kwa wachungaji wengine, Mbona hawafanyi hivyo?!unashindwaje kuwa na uvumilivu?
Je? Wewe MTU ambaye unashabikia ujinga ujui tu na wewe kwamba dhambi iko mlangoni inakutamani sasa ivi mtaongeeea sana kila neno Kwa mtumishi wa mungu lakini amjui tuu siku yakuanguka kwenu itakuaje kwani duniani ninani atakae jiesabia aki?
Mko na kamanda katika kuzini kwake au? Gwajima ukimtaza uso wake tu kwa mwenye akili unajua! Kweli jasiri mama tena kuliko simba, anatomba hadharani na bado unamtetea? Wewe kuliko simba mama!
Lugano Mungu akusamehe lakini babaako na mamaako na wao ndo walivyo mpaka wakakuzaa ww kwani ulitoka wapi?si kwenye tumbo la mamaako na kiuno cha babaako?nao jina hilo ulilowaita hao na ww ni mtoto wa makahaba upo!!!
Inasikitisha jinsi watumishi wa Mungu wanavyodhalilishwa kwa kuzushiwa. Kwa hakika Mungu atakuwa upande wetu. Wanaomzushia Askofu Gwajima uongo Mungu atawaadhibu hakika. Kwa kufanya hivyo wanalitesa Kanisa la Kristo na kuudhalilisha Ukristo na Watumishi wake.
Nenda huko gwajima ni mkombozi wetu mungu amempa ushujaa
Nakupenda sana mama yangu. Love you mom❤❤❤👍
This is a woman.. Of GOD.. Very brave!
Oyoooooo bwana yesu apewe sifa, mie muislamu Iakini nipo kote kote kwa yesu npo kwa mtume nipo kama bwai na iwe mbwai, dini yoyote inayomgusa mungu basi ni dini so nikisema hivo na Manisha, gwajima mungu aendelee kukuneemesha mpaka Yale mafisadi yapatwe na aibu, piga keleeeeeeeeee kwa gwajima wake 😍😍oyooooooooo walikanyaga mavi wakaruka mkojooooo kazi bado inaendelea lakni hapa wataisoma namba, mungu mliende gwjima wetu kila uchao amina 🙏🙏
pole sana mtumishi wa mungu, ikiwezekana kama kweli hujafanya haina haja hata ya kumfuatilia aliyefanya upumbavu kama huo, bwana akutie mguvu
Asanteni watumishi wa mungu kumtia joto mwenzenu Dr. Gwajiboy
It's good for the people who have been able to use it
Aminaaa
Hataareee sana du
Watu kuwaelewesha mpaka wakuamini kama hajafanya mambo hayo ni kazi ngumu sana kama haujafanya ni Mungu mwenyewe ndiye anayejua na ndiye atakayekutetea usiwalazimishe watu wakuamini unachokisema achana na hao watu kama haukufanya hayo mambo muachie Mungu maana ndiye hakimu wa mambo yote.
BABA mtumishi MUNGU awaoneshe kama popote siyo pakucezeya kama aliye shinda njo unaegamiya unatumikiya nawakomeshwe zaidiiiiiiiiii yakuwa tuma wanatubuuuuuuu nkooo
asante MAMA commando ubarikiwe
NAWAPENDA
Mke WA Gwajiboy anamfanana Dk Shika
Sky Lyfe Muzik ahahaahah weee Mungu anakuona
hahahaaa
Sky Lyfe Muzik ahahaha
Hahahaaaaaaa
Mmmmh jamana
Mungu akulinde mtumishi
Amen
Jamani Mungu utukumbuke pia Kenya.
Umeamua kutafuta mpaka wafuax duuh!kwa yesu hakuna wafuax utaxmama mwenyewe na hakuna wa kukujibia wala kukutetea mashtaka yako we tapatapa2 ukweli unao mwenyewe,
Junior Smart acha ujinga mchangaji wa kuzimu huyu hizo roho unaziagamiza kabisa uchafu huo
Junior Smart wewe na mumeo akili ni moja mung anawaona sijui anatumikia mung gani wa uchafu kama huo
Katuni
Pamoja na yote ila amekubarika sio kama huyo kaharaba wenu hata salamu ya mungu haitaki nendeni huko tuko na mungu wetu asiyeshindwa mbuzi nyie
Mungu ndo anamfahamu kuliko wewe mama,acha kufanya watu wakuone nawe ni walewale,wewe ni msaidizi wake2 huwezi mfahamu zaid ya aliyemuumba.
Ndio mana gwajima alichepuka una sura mbaya 🤣🤣🤣
Ama kweli Waaumin wte vipofuu ,,Hakn hatamweny muono ,Hamuon km mungu anawnyoshea kuwa hyu jamaa n taperi tyu ,bd munazid kumusifu ,,,,,
Yaan ninawashangaa
Smia ndio tapeli mkubwa
Ubarikiwe mama kwa ujasili
Hapo kila aliepo keshakula chajuu😂😂😂
Hamna shida lakni tuko sambamba na gwajima
Huu ni usengee kabisaaa....
Ndio maana wengine mpaka mnanyweshwa JIK mkiambiwa inatoa mapepo....
Hawa wanaojiita wachungaji I hope ni wachawi why waumini wanakuwa wanasikiliza kwa mambo ya kipuuzi...?
MUNGU HATANIWI HATA KIDOGO.
Yaani hata kama kusoma hatujui ina maana na picha hatuzijui...?
Uckute alie tafunwa ,aliambiwa atafunwe asamehewe zambi
😀😀😀😀mchungaji ulikiki vibaya kujirekodi duu umekaa kama unataka kukimbia ila na ww ni binaadam una mapungufu
Maskini wee anaogopa akiondoka kwa gwajima ataolewa na na nani sura yenyewe km yng inang'aa mafuta mmh
Suzy clement we mungu aliumba kwa mfano yake unataka ajibodoe kaa we mjinga sanaaa
Mungu nijalie moyo kama wa mama angu Grace ili niwe na akili ya kujua hila za shetani kwenye ndoa yangu.
Kwanza ukimwangalia Gwajima Hana Amani hata akiongea uso haujatulia. Niww tu kwakweli
Kabisa
Usishuhudie uongo kama huna uhakika kaa kimya.!!!
Kaharaba
Nyny nyote mpk wafuasi wenu munafaa kwenda harusini t au kwenye vilabu maana sijawahi kuona sehemu y ibada kua na kele km harusini ama kweli uoslamu n dini ya haki ,upendo, na amani karibuni xn Allah atawajaalia nyote siku moja mujue ukweli uko wapi?? Amin
Mohamed Nassor Mohamed hakuna cha uislamu wala dini yoyote, uhuni na ufala tabia ya watu. kuna mashehe wahuni kishenzi kama ilivyo kwa baadhi ya wachungaji. una ubongo mdogo kama macho ya sisimizi ndo maana huoni mbali. Mungu ni mmoja na utu wa mtu ni mtu mwnyw na sio dini. dini ni chombo tu kutusaidia kufanya mema ila kama nafsi yako umedhamiria kufanya mabaya utafanya haijalishi unaswali swala 5. think beyond the limit ukomae kichwa
Hammna Lolote
Waongo wakubwa na motto mkali unawasubili
Watu wangu wanaangamia kwa kukisa maharifa..
safi sana mama
Mke ni shujaa kamili. Ila Gwajima kwa kuchagua aligwajimika
Rahaaa sanaaa kuaminiwaa na mke
Yaani Mungu awasameha wote mlioandika mambo yasiyofaa humu na vita si vya gwajima ila ni vya Bwana jibu litatoka kwake kwa matusi yote mliyomtukana hamjitambui si kila mtu ni wa kumtusi mtumishi wa Mungu ni jicho la Mungu mmejipalia moto mjipange kisasi cha Mungu mpaka kizazi cha nne hamtaani lakini subirini walahi nawaapia someni maandiko si kulopoka tu ogopeni watumishi kuwanyoshea vidole kaxi kenu
Duh
Hahahahaha sasa hao walikuwepo wakti unanyonya mafuta ya ufundi au me sijaelewa
Mhuuu kazi ipo kwagwajima. Hataukisimamisha waumini wote tushakuonaa
Ww malaya haunaaibu baba mchungaji
Wewe sulayako mbaya sana hunamvuto wewe nandiomana mmewako malaya
Kaharaba
Mke anaesimama na mumewe wakati wa shida ni shujaa
Kabisa mungu akubariki
Mungu nakuomba tusamehe Kwa yote aya eee mwenyenzi mungu,
Wew gwajiboy tyu
Mfarijini tu ila ndio yeye mwenyewe
😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wajumbe wa shetani husema...."Mimi tu kukuletea habari"
Genge la wahuni😂😂
Gwajima umefanya kweli had kuongea unashidwa,haujasingiziwa,na hao waumini umewaroga
Kwel kabsa
Nyinyi ndo munao wadanganya waumini wenu Kwa maslahi yenu binafsi tu imani na Mungu hamuna
Simba 8-0 Coastal
Sawa mama
Duh ukistahajabu ya Musa .. Hahahahaha
Mingu amuzidishe
Huu mwaka ni SHUBIRI Kwa manabii wa UONGO....!...Kila kukicha WANAUMBUKA..!
Mladi wanamtanguliza mungu sio mbaya tutaenda sambamba
Gwajima atatema cheche, lakini kusema ukweli hawa sio watumishi wa Mungu bali ni wezi wamekutana pamoja kujisafisha.
Kwenye mkutano wa Rais Magufuli, kuna mchungaji alisema utaratibu uwepo wa kuanzisha makanisa haya. Gwajima akasimama kwa jeuri, na kupinga na kusema mbona baa zinaanzishwa kila kona kwa nini makanisa yasianzishwe, Huwo ni ubishi wa kijinga. Mtu yeyeote anaweza kuanzisha biashara. Kanisa sio biashara. Lazima usomee kuwa mchungaji. Baa unaomba lesseni na unalipa kodi, na hakuna mtu anashawishiwa anywe pombe atowe pesa zake baa. Gwajima na wengi wenye makanisa kama haya wanavunja sheria. Sadaka ni za matumizi ya kanisa, kulipa mishahara ya wahubiri kwa uwazi na kila mwaka lazima mahesabu yawekwe wazi kwa waamini wanaitowa sadaka. Lakini hapa kwetu wengine wamepatikana wake zao wamenunuwa majumba kutumia sadaka. Sadaka badala ya kuwekwa wazi kwenye account ya kanisa zinakuwa ni pesa za watu binafsi. Wanaotowa sadaka hizi wengi ni masikini wenye shida nyingi wanaoamini pesa zao zinaenda kwa Mungu na Kimberly wamewapa wezi. Huyu ni wizi wa kuaminika.
Kumbe we hamna kitu hv kazi ya uchungaji unaijua jinsi ilivyo ngumu wewe au unalopoka2
Siku moja tutajua ni ukweli ama ni uongo Kwa Maana utatuficha lakini huwezi ficha Mungu.yote yatendeayo gizani yatatokea nurundi siku moja
Gwajima kumbe unamke mzuri sana
😳😳😳
Mazinge uko wapi.....
Ama kweri shetani ananguvu
Yani majituyo yote hayo nimavipofu jamani dunia kwisha kabisa
Ichawi kweri ipo aya bhana Mingu atae hukumu
Hili nalo litapita!!!
Mungu at a kusimamia yataisha mchungaji
si kwa kukata mauno yale
Yani nimeamini sio uwongo baada ya kumuona mchungaji mmoja nimepanga nae nyumba moja muhuni balaaaa, na mwingine anakaa mbezi mwisho mtaa wa muhimbili namjua vyema yani ni muhuni kweli kweli, hilo lote ni jopo la wahuni, kweli sio uongo japo sijaona kwa macho ila kutikana na watu waliomzunguka, wahenga walisema ukitembea na mwizi na ww ni mwizi
siyo kwa sura iyo lazima uwe jasiri
Hauna Pont ya kakojowe ulale
Yaani ukisikia dawa ya kuwafanya watu wakukubali kwa uivu wowote utaofanya basi wa gwajima umevuka mipaka ila siku yako yaja ambayo hutatafuta watu wa kukusifia na hiyo siku yaja upesi sana ole wako
Wokovu ni vita
Tuko pamoja mkuu muombee nami nskuombea
sio kwliiii
Maji yenyewe anakunywa kwa wasiwasi .mtazameni vizuri. Bwembwe hana tena
Huna jipa usitizame maji kibaraka tizama Pont inayongelewa hapo, sie hatutizami maji Bali twatizama nini kinachoongelewa halafu nyie vibaraka hata coment zenu huwaga hazinaga Pont sabbu mnatawliwa na shetani, rais wenu samia Hana tofauti na shetani anaona mzungu ndio mkombozi wake Hana jipya huyo, halafu pia kigeu geu ndiomana hakubariki Ana maneno mengi kesho anaongea hili kesho kutwa anaongea hili Sasa rais gani asie na msimamo ndio mana tumepona bora twende kwa gwajima
Aki huyu mama😵😵😵
Ushamba huo kwenye kesi kuja na wapambe et wamsemee alaaaa
Wewe mama hata kama unampenda sana mumeo lkn hutoshi, kala mzigo!
Kwa nini uwezo anao wa kutosha lkn ana mke mmoja? Mungu aliyetuumba anaufahamu uwezo wa mwanamme ni wake 4. Hakuna mwanamme anaetosheka na mke mmoja naomba Wakristo hiyo kanuni muitengue kama mnavyotengua nyingine. Ramadhan Qurim
Achana na dini za wengine wewe
mungu atakuanika
@@annalema190 Yeye pamoja na cheo chake kikubwa sana lkn ni binaadam ana udhaifu na historia inadhibitisha pamoja na uhodari na ushujaa wa binaadam lkn kwenye kuma ndio mwisho mwanamme. Kala mzigo!
Hakuna haja ya kuwatafuta watetezi mwachie MUNGU akutetee kama sio kweli. Kwani huoni kwa wachungaji wengine, Mbona hawafanyi hivyo?!unashindwaje kuwa na uvumilivu?
kweli ni jasiri wacha mabinti wakuchapie mumeo tu
Nakumbuka kashfa ya 'Bill na Monica'.
Je? Wewe MTU ambaye unashabikia ujinga ujui tu na wewe kwamba dhambi iko mlangoni inakutamani sasa ivi mtaongeeea sana kila neno Kwa mtumishi wa mungu lakini amjui tuu siku yakuanguka kwenu itakuaje kwani duniani ninani atakae jiesabia aki?
HAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAÀAAAAAAAÁAAAAÁÀAAÀAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAÀA SIJUI NICHEKE AU NIFANYEJE. DUNIA INA MENGI JAMANI.
Apigweeeee jumapili tupo ubumgo
Yaan za wy anavyohangaika2 inawafanya wa2 waamini mwache mungu akuxmamie kama hujafanya unahaha na nn??
Mwala pamoja
Jipeni moyo but Allah anawaona
Mko na kamanda katika kuzini kwake au? Gwajima ukimtaza uso wake tu kwa mwenye akili unajua! Kweli jasiri mama tena kuliko simba, anatomba hadharani na bado unamtetea? Wewe kuliko simba mama!
Ww mama acha kujiba moyoo huna mume apoooo anachepukaa uyooo
Ni video ilipatikana au ni picha tuu...anyway Mungu ayajua yote
Macho ya mzee yanaushaid tosha kama ulienda shule na ulisoma isekoloj kwa mtu alie Fanya uwalfu
Siasa imetaradaaniii
Huyo si kamanda Ni mtombanaji mwenzenu
Roho ndiyo iliokoka lkn mwili bado lazima wafunguwe duka za inje 😂😂😂😂
Duuhh anahaki ya kumsaliti
endelea
Mzee uliteleza kubali tu na utubu Mzee baba
makahaba wanajinadi
Lugano Mungu akusamehe lakini babaako na mamaako na wao ndo walivyo mpaka wakakuzaa ww kwani ulitoka wapi?si kwenye tumbo la mamaako na kiuno cha babaako?nao jina hilo ulilowaita hao na ww ni mtoto wa makahaba upo!!!
ya nandi yalipita baba na akili zetu kwasasa juu yake haaazipooo. na yako yatapita faster tu acha kuchonga sana.
Utashida vita MUNGU WETU NI MWAMINIFU POLE
Inatakiwa uwejasiri katika magumu yako.kama hawa jamaa,ila mama usilipe kisasi kama nikweli
Hataa aibu hawaoniii wapumbavuu hawa
Tafuteni kingine bwana muacheni Gwajima mlisha shindwa na milele hamta muweza Gwajima
Nyinyi wanafki akuna mchungaji wala dini mataperi wote jaannamu inawasubir
Usihukumu !!!!
Amna lolote wakristo mnadanganywa
Hata kama ila ile double cabine si mchezo, mtoto white, tipwatipwa kidogo duuuu! hatari kwakweli.
Nyinyiwote kundi moja mwezenu kahara ata akinawa atanuka tu
Hata muovu ako na waovu wenzake
Wote wahuni hao Nani asowajua maaskofu wanawatafuna waumini tu
Wacha mungu akupiganie wale ambao wanapigana nawe
Wajinga ndio waliwao
Nenda karipoti polisi media haitakusaidia lolote utapiga kelele ila sheria itafuata mkondo wake
mmmmmmmm huyo ndo mke wa gwajima