Sakata la Madawa ya Kulevya; Askofu Gwajima Amjibu Makond na Kumtumia Ujumbe Rais Magufuli

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 34

  • @renaldakamugishazeramulake940
    @renaldakamugishazeramulake940 7 років тому +2

    mmm MAKONDA umelikoroga. hu

  • @salmamasoud6055
    @salmamasoud6055 7 років тому

    makondaaa juuuuu hongera kaka pasua jipuuu

  • @NeemaJackson-s5f
    @NeemaJackson-s5f 2 місяці тому

    Jamani hakikisheni mnafunga nakumuombea mkatoe nasadaka kwajili take mungu atamwepusha namikono yawatuwabaya

  • @josephmunna8577
    @josephmunna8577 7 років тому

    nice speech👏👏👏

  • @ibrahimharuta7333
    @ibrahimharuta7333 7 років тому

    mtumish nenda tuu,police kwa mahojiano

  • @gracemwakingili1495
    @gracemwakingili1495 7 років тому +1

    ni shedaaaa kweli

  • @winfridapeter1338
    @winfridapeter1338 7 років тому

    Huu moto si wa nchi hii

  • @zahramunir8596
    @zahramunir8596 7 років тому

    Jmn kwa nini waitwe kwa kutumia vyombo vya habari? je hmn sheria.? km hajahusika c kuvunjiana heshima.???

  • @kilevomedhack1703
    @kilevomedhack1703 7 років тому

    badilisha topic,acheni madawa ya kulevya.makonda ni kiongozi imethubutu

  • @janewacera7812
    @janewacera7812 7 років тому +1

    Kazi ipo

  • @mkambasaudi9190
    @mkambasaudi9190 7 років тому

    pole

    • @doriselias6457
      @doriselias6457 7 років тому +1

      jamani makonda hajasema kwamba wewe ni muhuzaji, unashutumiwa nayeye amepata taarifa kutoka kwa watu nenda kasikilize kituoni unaitiwa nini

    • @neemakawina1896
      @neemakawina1896 7 років тому

      yaan ww gwajima hauna jipya ndyo hivyo unajifanya mchungaji kumbe umejificha tu hata Bible inasema siasa na injil vitu tofaut huna jipya machafu yote yako jirekebishe mzee harafu unaongea sana mpaka unaboa Yule anayezingiziwa huwa aongei sana, makonda fanyakaz wasikuyumbishe minyau watu fanyakaz Makonda

    • @salmamasoud6055
      @salmamasoud6055 7 років тому

      kweli hanajipyaa huyo gwajiima haahaa

    • @yusuphbabu515
      @yusuphbabu515 7 років тому

      tuna mpenda sana baba yetu gwajima macho ya mungu yapo juu yake

  • @advancedtrucksservices6768
    @advancedtrucksservices6768 7 років тому +3

    anatumia jina LA askofu kuuza madawa ya kulevya....weka yeye Jela tabia za ma askofu hizi wezi wa sadaka na wauzaji wa drugs

  • @leonardemmanuel1877
    @leonardemmanuel1877 7 років тому

    hapa hakuna namna lazima twende police tu. mimi sijaelewa lazima kila goti lipigwe

  • @NeemaJackson-s5f
    @NeemaJackson-s5f 2 місяці тому

    Yani mtu hyo mtunzeni kwamaombi nyie watu waalusha mungu kawapa acheni uzembe muombeeni haswakina mama

  • @zaidihussein4311
    @zaidihussein4311 3 роки тому

    Kikwete Ni rais asiye na kinyongo na visasi akuweza kukujibu ww mpuuzi tu

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 7 років тому

    sasa habari yandege haituhusu hata mm ninande 20

  • @ummusahili6399
    @ummusahili6399 7 років тому

    Mtihani mkubwa makonda kapewa majina na wananchi yeye kasoma

  • @hassansalum8496
    @hassansalum8496 7 років тому

    huu mkono kama kunamtu yupo karebu daaah

  • @natamaniunigusehatamimimac4305
    @natamaniunigusehatamimimac4305 7 років тому +2

    wakukomeee tuuuu

  • @melckmbuya3518
    @melckmbuya3518 7 років тому

    Usiogope yata pita

  • @salmamasoud6055
    @salmamasoud6055 7 років тому

    eti makonda atolewee tukuweeekee www unaeweezaaa haahaaa

  • @neemajackson1832
    @neemajackson1832 7 років тому +2

    Jambazi ww

  • @muganyizijudex6626
    @muganyizijudex6626 7 років тому

    serikali iendelee kukaza nchi ilkuwa inaelekezwa pabovu kwa watoto wetu ambao ndo wazee wa kesho

  • @estherwangare9759
    @estherwangare9759 7 років тому

    Makonda anatafta kiki

  • @nurdinsalum5102
    @nurdinsalum5102 7 років тому

    Makonda kasema ametaja watu kutokana na taharifa alizozipata kwa waliokamatwa

  • @salehemkala7775
    @salehemkala7775 7 років тому

    unauza sumu alafu unamlaumu makonda makonda tunakupenda piga kazi kaka usiwafate wavimba macho

  • @josephmangure7715
    @josephmangure7715 7 років тому

    Gwajima nilifikili wewe ni Askofu kumbe wewe ni siasa kuna kitu umenyang*anywa na makonda kwa sababu tuliowatumishi wamungu hatubweki kwa maana tuna askari mahakimu na hata majaji Lakini wewe una kitu.