A salaam aleikhum sheikh nauliza mi nimeolewa na muislamu but nimeishi naye sahi ni mwaka wa nne Nikki kuwa sijui masharti ya uislamu but tangu niaze kufwatilia nimebadilika hadi kuna kitu inaniumiza sana,Mumewangu hajanioa naanapenda ngono hadi inafika wakati mingine na mbania coz naona nazini na adhabu ya zina baya sana nipe ushauri tafadhali
Karibia wiki nzima hatujaona darsa ya shekhe wetu walid, nilimiss sana. Allah amjaalie nyumba peponi jirani mwa rasul wetu muhammad (s.a.w)
mm ni mkenya naweza tumaje swadaka ya mchango wa madrassa namba ya simu tafadhali ama kupitia M-pesa
Amin
Jazaka Allahu Akhire
Mashallhaa sheekhaa napenda sana mawaidhayako shekhee allaha akulipe malim
Assalam alaikum Wallai natamani kujua huu msikiti uko api mie natokea Kenya InshaAllah nampenda sana sheikh Walid kwa ajili ya Allah
Mashaa Allah, karibun wageni kwenye nuru ya uislam. Allah awaongoze
Masha Allah
Shukraan Sana sheikh wetu Allah akuhifadhi jazakallahu kher
MashaAllahu sheikh Walid ❤
Mashaallah shekhe allah akulipe ya heri
Muislam yoyote anaweza ku.silimish mtu
Allah akulipe meen pamoja na wawekezaji wa clip hii hapa na wote.
Mashaallah Mwalim
Swallalah Allayhi Wasalam
Jazzakumllah Khery
Maashallah ,darsa zur
Shukran Kwa Dawa
Allahy baarik fiik
Maa shaa Allah
swadkta darsa zuri sana
Shukran saana
Allah akulipe kheri
Swadakta sheikh zinaa mswiba mkubwa kwa umma Allah atustri
Allah atunusur kwakwel subhnnallah
Assallamu alykum warahmatullah wabarakattuh habbty
Hujambo
Kabisa!!
Mashaallah I
A salaam aleikhum sheikh nauliza mi nimeolewa na muislamu but nimeishi naye sahi ni mwaka wa nne Nikki kuwa sijui masharti ya uislamu but tangu niaze kufwatilia nimebadilika hadi kuna kitu inaniumiza sana,Mumewangu hajanioa naanapenda ngono hadi inafika wakati mingine na mbania coz naona nazini na adhabu ya zina baya sana nipe ushauri tafadhali
Sio mume wako kkamhajakuoa
8:47 uhodari wa mwanamke....
Dohhh twayyib
Je mwanamke anaweza kumsilimisha mwanamke mwenzie ?
Sheikh Walid M mungu akuzidishie elmu tunapata faida mno
Ndio,.
Twabaan