Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

Kusoma kwa mifano - Uganga - Imani Sheikh walid Al had

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 чер 2020
  • Kusoma kwa mifano - Uganga - Imani Sheikh walid Al had
    Sheikh Walid akifundisha Darsa la Tafsiri ya Quraan Ramadhani Mwaka 2020 Linalo fanyika Msikiti wa Kichangani
    Usisahau ku subscribe na kutu follow katika page zetu za insta na Facebook shukraan
    Video by muba Production Magomeni
    Subscribe
    Comment
    Like
    And share
    Thanks

КОМЕНТАРІ • 48

  • @abdallahismael3993
    @abdallahismael3993 4 роки тому +7

    Sheikh walid alhad siku ntakuona Inshallah ntaubusu mkono wako . Habib nakukubali sana .

  • @RashidSaid-t9i
    @RashidSaid-t9i 22 дні тому

    Masha allah alhamdullah mwenyezi mungu akuzidishie inshaallah❤

  • @ahmedsaleh7451
    @ahmedsaleh7451 3 роки тому +7

    Alhamdulillah Rabbal Alamein
    Yaa Rabbal Alamein twakuomba utujaalie Sheikh wetu Uzima nguvu na afya njema pamoja Na waislaam wote

  • @abdulrazaktayeb
    @abdulrazaktayeb 10 місяців тому

    One day yes
    Jazakallah
    Mashallah

  • @abdallahismael3993
    @abdallahismael3993 4 роки тому +9

    Nafatilia darsa online miezi 6 sasa toka kenya nairobi. Siku moja nta panga nije kichangani nione live . ALLAH ANFIKISHE SJAWAI KUJA HUKO . mpeni walid salam zngu . ALLAH amhifadhi

    • @DarsaTV.
      @DarsaTV.  4 роки тому +2

      mashaallah salaam zimefika bila ya wasi alhabib

    • @millenniumoiltanzanialimit1265
      @millenniumoiltanzanialimit1265 4 роки тому +2

      Karibu sana tunae sheikh letu

    • @legend9805
      @legend9805 Рік тому

      Hataa mimi nafatilia kutoka QATAR. Jazakallah kheir sheikh walid na waislamu kichangani

  • @mwanakheirkihambwe6824
    @mwanakheirkihambwe6824 4 роки тому +4

    Allahuma yaraab mnyanyue sheikh wetu

  • @salmamazeyane3067
    @salmamazeyane3067 3 роки тому +4

    Mashallah shekh walid Allah akuweke kwa Elimu 🅰 dhim

  • @marwanbakhamis1125
    @marwanbakhamis1125 3 роки тому +3

    A alk.. shekhe matirio yako ni kheri kwetu...Allah akujaalie mwisho mwema..marwan

  • @jumahory3069
    @jumahory3069 4 роки тому +3

    subhana llah Yani umezama ktk balagha pamoja na nahau natasbhi mursil mashallsh tuko pamoja

  • @millenniumoiltanzanialimit1265
    @millenniumoiltanzanialimit1265 4 роки тому +3

    Rabbana nfanaa bimaaa allamtana

  • @abu-hanifamwenda6852
    @abu-hanifamwenda6852 4 роки тому +3

    Asalam ghalykum. Lau si hawa wanachuoni! Wallah tungaliishi kama wanyama. Eee! Mola wetu zifungue nyoyo zetu ziutambue uislam.

  • @alihusein1883
    @alihusein1883 3 роки тому +2

    Mwenyenzi muungu akulipe mema shehe

  • @nuruabdullah7814
    @nuruabdullah7814 2 роки тому +1

    Maa shaa llah nakupenda sheikh wetu kwa ajili ya Allah unavyotoa darsa zako zenye kutuelimisha Allah akupe afya njema na umri taweel akupe kila la kheri

  • @muftishaban.a.musamombasak6577
    @muftishaban.a.musamombasak6577 4 роки тому +4

    ماشاء الله
    ياشيخنا وليد الهادي
    بارك الله لك نحن نستفيد ونتمتع ونقرأ

  • @iddydaruwesh8650
    @iddydaruwesh8650 4 роки тому +3

    Masha Allah kheir sheikh wangu upo vizuri sana nimefurahi mno. Allah akuhifadhi na kila lenye shari na wew

  • @MaryamAsasin-oc5cu
    @MaryamAsasin-oc5cu Рік тому

    Alhamdulilah. Mola wetu those kwakila njema utufishe usiysilamu na tutuhuyshe mola akujazè majazo meme duniyani na aherara alahuma amin yarabal alamin

  • @jumambegu1008
    @jumambegu1008 3 роки тому +2

    Mashaa Allah, ALLAH akubaarik yaa Sheikh Waliid tunapata faida kubwa sana

  • @kombohabib9046
    @kombohabib9046 4 роки тому +6

    Japo nilikuwepo ktk darsa hizi lkn MASHAALLAH nafarjika sna kuzirudia rudia online.Allah ampe umri mrefu sheikh walid.

    • @al-islammuongozo5635
      @al-islammuongozo5635 4 роки тому +2

      Naomba unisaidie namba ya shekh walid ndgu yngu muislam kuna maswala nahitaji ufafanuzi wake

    • @DarsaTV.
      @DarsaTV.  4 роки тому +2

      @@al-islammuongozo5635 ustadh usijali hivi karibuni tunaanzisha kipindi cha maswali na majibu na sheikh walid inshaallah maswali yenu yoote mtajibiwa soon inshaallah alhabib

    • @tatuothman526
      @tatuothman526 4 роки тому +2

      Amin

    • @al-islammuongozo5635
      @al-islammuongozo5635 4 роки тому +2

      @@DarsaTV. Shukran saana

    • @fatumamahamood8723
      @fatumamahamood8723 3 роки тому +2

      @@DarsaTV. assalam aleykum naomba Namba ya Shekhe walid

  • @binbaya923
    @binbaya923 4 роки тому +3

    Maa shaa Allah

  • @fatumamahamood8723
    @fatumamahamood8723 3 роки тому +2

    Jamani waislam wenzangu assalam aleykum naomba Namba ya huyu Shekhe waridi

  • @legend9805
    @legend9805 Рік тому

    Nawafatilia kutoka QATAR salamu kwa sheikh walid na waislamu kichangani. Barakallah feekum

  • @abdallahmuttaq7306
    @abdallahmuttaq7306 4 роки тому +5

    Watu walio pita kwa shekhe Muhammad bin ayub balaa kilugha maana vitabu wanavyo pitia ni msingi alioujenga shekhe na kuutunga shekhe mwenyewe

  • @waleedalhad4844
    @waleedalhad4844 4 роки тому +5

    Dua zenu muhimu kwetu

    • @hamidharunsaid1666
      @hamidharunsaid1666 4 роки тому +1

      حفظك الله ورعاك يا شيخ.... Wamkumbuka vizuri ustadh Harun Said... Alisomea Tamta kwa sheikh Muhammad Ayub...ila kwa miaka yupo mombasa y

    • @maswausaidi4279
      @maswausaidi4279 2 роки тому

      Alhamdulilllah

  • @mbaroukabdul3430
    @mbaroukabdul3430 4 роки тому +2

    Ni mawadha mazuri.

  • @fatumahamis9206
    @fatumahamis9206 4 роки тому +2

    Masha alah

  • @zedibansa9615
    @zedibansa9615 4 роки тому +2

    Mashalla sheghe

  • @sadikilugomba9470
    @sadikilugomba9470 4 роки тому +2

    1 to view

    • @mwatimeabdallah7945
      @mwatimeabdallah7945 4 роки тому +4

      Haya Mambo peleka kwenye kipindi cha Mikasa huku tunapata chakula Cha roho wa Kwanza na wa mwisho wote tunafaidika

  • @muhammadkipangatv2674
    @muhammadkipangatv2674 2 роки тому +2

    Jifunze quran kusoma kuandika gusa pich yang hapo kama hautojl

    • @nadhifamohammed7749
      @nadhifamohammed7749 Рік тому +1

      Asalam alaykum mimi siwezi kuhifadh nataka kuhifadhi kirahisi nafanya je

    • @muhammadkipangatv2674
      @muhammadkipangatv2674 Рік тому

      @@nadhifamohammed7749
      Walaykumu ssalaam warahmatu Allah wabarakaatuh
      Unaweza, utaweza bi idhni llaah
      Tukikuekekeza mbinu za kuhifadhi quran na njia ya kuhifadhi ni jambo lenyekuwezekana kabisa

  • @saidmsuya9420
    @saidmsuya9420 4 роки тому +3

    Kipenzi changu

  • @seifminal6469
    @seifminal6469 Рік тому

    Mashaallah shekhe wetu kumbe unamfaham al-maruhum shekhe Mohammad bin Ayoub.....

  • @mustafamnape9808
    @mustafamnape9808 4 роки тому +4

    Napenda mawaidha yako inshaallah mungu akupe mda mrefu