Suratul Kauthar / Sura Ya Kumtukuza Mtume / Tafsiri ya Suratul Kauthar / Sheikh Walid Alhad

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 вер 2024
  • Suratul Kauthar / Sura Ya Kumtukuza Mtume / Tafsiri ya Suratul Kauthar / Sheikh Walid Alhad
    Support us On Paypal 👇👇👇👇
    www.paypal.com...
    Sheikh Walid Akifundisha Darasa la Tafsiri pale msikiti wa kichangani kila siku ya jumaanne baada ya sala ya Alasiri Usisahau kufuatilia vipindi vyetu vyote tafadhali subscribe ili uwe wa kwanza kuona vipindi vyetu Asante
    usisahau kutu support kwa subscribe channel yetu na kutu follow kwenye social media zetu inshaallah support yako ni muhimu sana
    Get MORE of DARSA TV:
    ► WATCH MORE: • Swala za Mtume Zinazop...
    ► FOLLOW DARSA TV on Instagram: / darsatv
    ► LIKE DARSA TV on Facebook: / darsatv
    Subscribe
    Comment
    Like
    And
    Thanks

КОМЕНТАРІ • 47

  • @omyguy3066
    @omyguy3066 3 роки тому +15

    Sheikh Walid, Mombasa tunakupenda sana. Allah ajaalie makazi yako peponi yawe jirani kwa mtume wetu Muhammad (s.a.w) InshaAllah.

  • @zimamoto2089
    @zimamoto2089 3 роки тому +10

    Allah atuja aliye tukutane sote pamoja kwenye kisima cha Mtume Muhammad s.a.w. siku ya kufufuliwa. Ameeen

  • @RashidSaid-t9i
    @RashidSaid-t9i 2 місяці тому

    Masha allah alhamdullah allah akuzidishie inshaallah amiin❤

  • @habibusalum1849
    @habibusalum1849 5 місяців тому

    Shukrani Sheikh

  • @ibrahimsleiman4455
    @ibrahimsleiman4455 3 роки тому +2

    Shukran Kwa ukumbusho

  • @kibakivideos
    @kibakivideos 3 роки тому +3

    MashaaAllah

  • @shinnennaazshine896
    @shinnennaazshine896 3 роки тому +2

    Shukran sanaaa

  • @azizasana9313
    @azizasana9313 2 роки тому +2

    Allah nijaalie na family yngu tuwe kisima cha mtume Mohamad,s w s.

  • @mwanahawayunus3653
    @mwanahawayunus3653 2 роки тому +2

    Shukran

  • @bughalib1
    @bughalib1 10 місяців тому

    بارك الله فيك ونفعنا الله بعلمك جزاك الله خيرا

  • @mussabuhaga6718
    @mussabuhaga6718 5 місяців тому

    Mashallah

  • @issaally7928
    @issaally7928 2 роки тому +1

    Mashallah nakuerewa sana Allah akujaalie pepo pamoja na sisi

  • @user-tu4dv2gd6i
    @user-tu4dv2gd6i Рік тому

    Allah akulipe mawaiza yako tunajifunza Allah atupe mwisho mwema

  • @ffed1876
    @ffed1876 Рік тому

    Mola atujaalie tuwe miongoni mwao watakao kunywa maji hayo Aaamin shukran sheikh wajazakaLlahu Lkhayra

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 Рік тому

    Mwenyezi Mungu akujaalie kheri insha Allah

  • @buhitexmohamed4785
    @buhitexmohamed4785 Рік тому

    Varakallahu fiku kwa mafunzo mengi

  • @Shakila-t3c
    @Shakila-t3c 11 місяців тому

    Aslm alkm ww.... Masha Allah ❤❤❤❤❤❤❤❤. Jazakallah kheir 🙏. Shukran sana sheikh Walid🌹

  • @abdulrazaktayeb
    @abdulrazaktayeb 10 місяців тому

    One day yesss
    Mashallah
    Jazakallah

  • @mbarouksalim1568
    @mbarouksalim1568 Рік тому

    Jazaka Allah kheri

  • @hajirammambe
    @hajirammambe 10 місяців тому

    Mashallah, Mola akujaalie uhai uzidi kutupa dawaaa

  • @eshasalim5496
    @eshasalim5496 Рік тому

    Maa Shaa ALLAH, Tabaaraka AR'RAHMAAN, Al Ladhi Al Lama Al QUR'AAN. Jazzaka Allahu Khairan

  • @kayeyemapesa7533
    @kayeyemapesa7533 Рік тому

    Allah Akubariq

  • @AiyuboAbduraimo-no4ce
    @AiyuboAbduraimo-no4ce 4 місяці тому

    ❤❤❤

  • @aminashaib6956
    @aminashaib6956 2 роки тому

    MashaAllah Allah barik

  • @ammoahmed2561
    @ammoahmed2561 2 роки тому

    BarakaAllah

  • @mbarouksalim1568
    @mbarouksalim1568 Рік тому

    Mashaa Allah

  • @ashaomar9196
    @ashaomar9196 Рік тому

    Nikweli Allah atuogoze insha Allah

  • @wardaomar3001
    @wardaomar3001 4 місяці тому

    Mawaidha mazuri maa shaa Allah ila shekhe muda wa kuwajua msondo ngoma unautoa wapi😂😂

  • @fetysukafetysuka9056
    @fetysukafetysuka9056 2 роки тому

    Shukurani shekhe kwa kueleza kisa hichi cha wazazi wa habibillah nimetoa machozi na moyo umenawirika maana kuna shekhe mmoja alieleza km unavyosema wallah nilitamani nimmeze

  • @naimaabuualii578
    @naimaabuualii578 2 роки тому +1

    Sioti kabisa aaaa

  • @ladysalma7893
    @ladysalma7893 Рік тому

    😂😂😂😂😂 shekhe walid huwa ana kwepa sana maneno ya matusi au makali😅😅 cha kuazima hakistiri..... 😂😂 MASHAALLAH nimempenda sana 🎉🎉

  • @buhitexmohamed4785
    @buhitexmohamed4785 Рік тому

    Mashallah lakini wanawaua wakike hao waume wazae na nani ?

  • @naimaabuualii578
    @naimaabuualii578 2 роки тому +1

    Mimi Hilo tatizo langu mm kabisa. Sioti Mimi

  • @kibakivideos
    @kibakivideos 3 роки тому +3

    Nina Sheikh wangu anaitwa madrobakiii yeye hana hata mmoja na miaka inayoyoma cjui itakuwaje maana keshafika miaka 33 sasa
    Bora ww Hao wa kiume unaowaita mayatima ndio unao hao
    Tuseme Inshaallah

  • @fatmaabdallah7709
    @fatmaabdallah7709 Рік тому +1

    Mbona mnatuchanganya tulifundishwa kuwa surah hii ilishuka Makka nawe sheikh walid watuambia ilishuka Madina tushike lipi?!

    • @fatmaabdallah7709
      @fatmaabdallah7709 Рік тому

      Na kwa maelezo ya sheikh Walid kuwa watoto wa mtume walikufa wakiwa wadogo ndo ikashuka hiyo surah basi uhakika itakuwa Makka. Allah y'alam

  • @mozasaid3869
    @mozasaid3869 3 роки тому +2

    Shukran kwa ukumbusho,

  • @KasimuMikingi
    @KasimuMikingi 9 місяців тому

    Mashallah

  • @abdallahabbas2516
    @abdallahabbas2516 3 роки тому +2

    Masha'allah

  • @babumsiha1573
    @babumsiha1573 2 роки тому +2

    Mashalla

  • @ramadhanbaraka6474
    @ramadhanbaraka6474 Рік тому

    MashaAllah