ALIYEMSHIKA MKONO NANDY HADI KUTOBOA AFUNGUKA MAZITO/ALINIFATA ANALIA/KWAO NILIKUA NAJULIKANA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 31 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 43

  • @aairraahseif5648
    @aairraahseif5648 7 місяців тому +9

    🙌🙌🙌Jamaa ana moyo wa utofauti sana humble,ni mstaarabu kupitiliza, hekima busara na ushujaa, muonekano wa kipekee kama moyo wake ulivyo!Nandi anacho cha kumjibu huyu jamaa ana deni kubwa! Ni aibu kwa Nandi kumsahau jamaa kwa harakati alizozifanya kumpambania afike pahala!kisha Nandi Anasahau fadhila za rafiki huyu mwema na muhimu kuliko hao watu alio nao hivi sasa!Jamaa hakustahili sahau ya Nandi'kuna cha kujifunza,hope Nandi aione hii

    • @kampotkanangila9647
      @kampotkanangila9647 7 місяців тому +1

      Nihatari yani nilivyo kuwa na mupenda ya nashangaa ilo kweli limenifanya nimushangae kweli mwanadamu ana moo wahajabu tena kwahaa ma neno ina bidi ajitambuwe ju aa nimahisha yana gehuka

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 7 місяців тому

      @@kampotkanangila9647 mbaya zaidi yakuumiza ni Nandi kumpotezea jamaa, ktk muda ule jamaa anahitaji kujipata alimtafuta Nandi,Nandi kampotezea,Dah! ili Nandi amshike mkono kama jamaa alivyo mpambania nakutoboa!nae ilikuwa afanye kitu kwa jamaa nae apande!hapo tu' ndo panaumiza

    • @WahidaHilaly
      @WahidaHilaly 6 місяців тому

      Saaaaana ana Moyo Safi🙏

  • @denniskasela4
    @denniskasela4 7 місяців тому +7

    Mwenyezi Mungu azidi kumfanyia wepesi uyu bwana roho yake ya ajabu sanaa🙌💥

  • @RachelEmid-jq6eo
    @RachelEmid-jq6eo 7 місяців тому +4

    Duuuu nmemshangaa San nandy wallah😢 hv unawezaje msahau mtu alokushika mkono kias hcho yaan wapare hapan jmn 🙌🙌

    • @kampotkanangila9647
      @kampotkanangila9647 7 місяців тому +1

      Niha tari yani nime kosa chakusema nabaki na mushangaa kwagisi navyo mupendaga ameni kera kwasa babu watu wana mna hio wana ni kataga sana

    • @beatricejoseph2784
      @beatricejoseph2784 7 місяців тому

      Kwani huwajui wapare na ww 😂

  • @rwakitatechnology7308
    @rwakitatechnology7308 7 місяців тому +3

    Mwamba anamtetea Nandy ila kwa ufupi Nandy alimkataa mchzi 😂😂

  • @najmqhamisi5637
    @najmqhamisi5637 6 місяців тому

    Nandy usingoje mtu haliye kusaidiya hakuhombe kitu toha shukurani mungu hazidi kukuhogezeya baraka nandy dada yangu heshimu sana silazima pesa hapa mawasiliyano yasimu nimuimu sana aki nandy

  • @beatricejoseph2784
    @beatricejoseph2784 7 місяців тому +2

    Kaongea kistaarabu sana nimependa

  • @khadijauledi3293
    @khadijauledi3293 7 місяців тому +2

    Watu wengi watamlaumu sana NANDY ,lakini Mungu anasababu na siku zote MUNGU hutuletea watu kwenye maisha yetu kwasababu, huyu kaka alailetwa kwenye maisha ya NANDY ili ampandishe au amuahamishe mahala fulani pajuu zaidi basi.MUNGU huja kwenye maisha yetukwa namna nyingi,wakati mwingine kupitia bianadamu wenyewe kwa wenyewe.

    • @kampotkanangila9647
      @kampotkanangila9647 7 місяців тому

      Nae mwenyee mwenyezi mungu kamukumbusha alivyo mutokea akamubariki ame murudishia nini binadamu kuhomba nimwepesi kusahu mwepesi

  • @sabrinaali9750
    @sabrinaali9750 6 місяців тому

    Mmesikia ya upande mmoja bado kwa nandi msichukue maneno ya upande mmoja mukahukumu

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 7 місяців тому

    M/mungu azid kukupa afya njema kijana wangu

  • @jabbervisuals
    @jabbervisuals 6 місяців тому

    Umekula?

  • @ayshamsangi8348
    @ayshamsangi8348 7 місяців тому

    Duh alikuja kumtaka awe demu wake😢, Nandi alipatwa na nn😢😢

  • @Marianne-t1z
    @Marianne-t1z 7 місяців тому +3

    Hii story imenigusa imenielimisha imenipa nguvu ya kupambania ndoto yangu

    • @kampotkanangila9647
      @kampotkanangila9647 7 місяців тому

      We acha tu mimi njo zahidi na najilahumu hukunyuma nili kuwa nalia na mwanadamu ila nimetambuwa katika aa mahisha niku pambana wee kama wee nihatari

  • @siapius4692
    @siapius4692 6 місяців тому

    uyu mkaka anajaribu kumtetea dada ila inaonekana dada ameshamsahahu kaka siku nyingi sana ila bro anajaribu kukanusha. ila hao ndio wapare

  • @florabuzoya3948
    @florabuzoya3948 7 місяців тому

    Dah be blessed aisee

  • @alnasmwalingo4670
    @alnasmwalingo4670 7 місяців тому

    Siku hazigandi Iko siku atamsaidia ni wakati tu🙏

  • @beatricejoseph2784
    @beatricejoseph2784 7 місяців тому

    Natafuta mkaka wa hivi tujenge maisha 😂😂😂

  • @Elegantlady-tz
    @Elegantlady-tz 7 місяців тому +1

    Ungeenda kwa mange ww upewe mihela😂

  • @braitonurio
    @braitonurio 7 місяців тому +1

  • @witnessmlay7415
    @witnessmlay7415 7 місяців тому

    Ila Nandy😏

  • @ShemsaMussa
    @ShemsaMussa 7 місяців тому

    Tenda wema nenda zako usingoj shukuran

  • @BoraChongera
    @BoraChongera 7 місяців тому +2

    Uyu ni ex sio Rafiki,kusema uongo tu kusema ukweli aaaahhh

    • @georgemulandi9202
      @georgemulandi9202 7 місяців тому

      😂😂😂😂😂😂

    • @lenakassian-pr3dy
      @lenakassian-pr3dy 7 місяців тому

      Aaaaaaaah 😂😂😂

    • @kampotkanangila9647
      @kampotkanangila9647 7 місяців тому +1

      labda alikuwa ana muhitaji kipindi hicho nae alikuwa ana mufikiria mwengine nihatari mana nashindwa kuhelewa

    • @beatricejoseph2784
      @beatricejoseph2784 7 місяців тому

      Loooh!!! Waja 🙌

    • @BoraChongera
      @BoraChongera 7 місяців тому

      @@beatricejoseph2784 ni ex bwana umesha ambiwa zaidi ya rafiki,mimi n yeye,yeye n mm imekaaje hiyo.bila D3 huwez ku elewa

  • @AbuAbu-fh9zy
    @AbuAbu-fh9zy 7 місяців тому +1

    Pambana mwana

  • @nicemtey4291
    @nicemtey4291 7 місяців тому

    He’s too humble 🥹….Nandy una deni kubwa kwa huyu kaka