TRILIONI 23 KWENYE RELI ya SGR - FAIDA YAKE - RAIS SAMIA ALIVYOWEKA NGUVU KUBWA | SONGA NA SAMIA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 38

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  11 місяців тому

    JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...

    • @omanomqn4345
      @omanomqn4345 11 місяців тому +1

      Jamani naombeni namba ya mheshimiwa raisi mama Samia

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 11 місяців тому +3

    Hongera Msemaji Mkuu, Makala nzuri saana Ubarikiwe, kwa hakika tunajitahidi mnoo, Hali ni mbaya huko Duniani, bora ulivyorudi kutumikia Taifa pendwa Tanzania 🇹🇿

  • @JohanessMarwa
    @JohanessMarwa 11 місяців тому +1

    Makara nzuri sana. Ni muhimu sana Watanzania kupongeza na kuunga mkono jitihada za maendeleo zinazo fanywa na serikali. Binafsi nifurahia Taifa langu kwa hatua hizi. Mungu ibariki Tz 🇹🇿

  • @habibaramadhani-xv2ed
    @habibaramadhani-xv2ed 11 місяців тому +1

    Tumuombe Manani Allah Atujalie zaidi KAZI ifanikiwe.Amiina.

  • @patrickmlowe9748
    @patrickmlowe9748 10 місяців тому

    Angekuwepo magufuri asinge leta kama hiyo iliyopo mungu amlaze pema peponi

  • @Optionxll_Playz1
    @Optionxll_Playz1 11 місяців тому +3

    Bandari ya Tanga na Mutwara mbona haziunganishwi na SGR ? Bandari ya Dar ipunguziwe muzigo.

    • @mosesnyelo1380
      @mosesnyelo1380 11 місяців тому +1

      Bandari ya mtwara kuna mradi unaitwa uchumi wa kusini, bandari itapanuliwa zaidi, na kutakuwa na reli kutoka bandari ya mtwara inakuja kupita ruvuma inaenda mpaka bandari ya mbamba bay na pia inaenda kwenye migodi ya liganga na mchuchuma, kwasasa ndo wana kusanya pesa ya ujenzi

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 11 місяців тому

    Zuhura yunus anajua sana

  • @MansuraFarijala
    @MansuraFarijala 7 місяців тому

    Tumeambiwa Kuna nafasi. Za. Kazi. Ni. Kweli

  • @EllySteven-l1j
    @EllySteven-l1j 11 місяців тому

    Mbona speed yake ni kama ya MGR tu

  • @CaptainChino-ox8dv
    @CaptainChino-ox8dv 11 місяців тому

    Apo Ben mwanantala angesimamia sho😊

  • @emmanuelmasanja6040
    @emmanuelmasanja6040 11 місяців тому

    Kwenye honi wamefeli,utafikiri inapulizwa na mdomo😂😂😂

  • @barakarobert1029
    @barakarobert1029 11 місяців тому

    😢😢

  • @philemonnestory4239
    @philemonnestory4239 11 місяців тому +1

    Wapuuuzii nyie mnatumia lasilimali zetu kujinufaisha wenyewe na kukopa pesa nyingi kwa matumizi yenu na kupeleka pesa kidogo kwenye miradi

    • @Jurbeg
      @Jurbeg 11 місяців тому +1

      Pumbavu mishetani hii umesema kweli kabisa 😡😡😡👍👍👍🙏🙏🙏

    • @birianination7097
      @birianination7097 10 місяців тому

      Mmmh, kapope wewe

  • @nzowamedia7656
    @nzowamedia7656 11 місяців тому

    Mbona haifiki huku lupapila

  • @KasangaKalanga-vo6od
    @KasangaKalanga-vo6od 11 місяців тому

    Hainafaida kwetu

  • @AbdulSaid-b2p
    @AbdulSaid-b2p 11 місяців тому

    Mwisho wa siku mtu kwao

  • @domymerinyo8165
    @domymerinyo8165 11 місяців тому +1

    Jengeni viwanda watu wapate ajira nyingi hapo sioni kurudisha hela haraka,tafuteni namna ya kuweka viwanda ili kupata fursa ya kusafirisha matirio na vifaa kuwe na kazi za kutosha

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 11 місяців тому

      NDUGU NENDA MKURANGA MKOA WA PWANI UKAONE VIWANDA VINAVYOCHIPUKA KAMA UYOGA. TATIZO HIZI ONLINE TV NYINGI HAZIONESHI HAYO KWA WATANZANIA ILI KUELEWA NCHI YAO INAENDAJE, WAO WAMEKALIA KUTULETEA HABARI ZA UDAKU KUFATILIA FATILIA MAISHA YA WATU TU... MSANII AKIMGONGA DEMU WAKE AKAJAMBA BASI TAYARI WAMESHAPOSTI, YANI ILIMRADI UPUUZI MTUPU.

    • @felixrumisha5132
      @felixrumisha5132 11 місяців тому +1

      Viwanda alafu bizaa unamuuzia nani, kila kitu kina umuhimu wake, hiyo ni fursa ya kujiajiri zaid ya kuajiriwa… stay positv and stay unlearned..

    • @deniseliuter3002
      @deniseliuter3002 11 місяців тому

      Umejibu pumba maana jamaa katoa ushauri mzurii sanaa lkn wewe unaleta ujuaji ​@@felixrumisha5132

  • @abbumwaipopo2940
    @abbumwaipopo2940 11 місяців тому

    Tuleteeni na mbeya please

  • @bakarikayugwa3295
    @bakarikayugwa3295 11 місяців тому

    Treni ya magufuli hio

  • @AbdulSaid-b2p
    @AbdulSaid-b2p 11 місяців тому

    Ucwe unajenga kwa watu na kwenu Zanzibar ukujenge maana jitihada zote unazo zifanya huko hawakuoni asubuhi matusi jioni matusi uelewe huko ni Tanganyika kuone na kwenu

    • @radiammchecheto5050
      @radiammchecheto5050 11 місяців тому +1

      kwani yeye ndio kajenga?..acha ushoga ww,

    • @zaidiissa3714
      @zaidiissa3714 11 місяців тому +1

      Kwani kazi ya Dr.Mwinyi Nini Achaujinga wewe

    • @NardhisMhagama-sy3eq
      @NardhisMhagama-sy3eq 11 місяців тому

      Anaye kuambia huyo ni mzanzibar ni nani kwao mwanarumango

    • @idrisaseiph3499
      @idrisaseiph3499 11 місяців тому

      Mwinyi kazi yake nini huko😂

    • @Jurbeg
      @Jurbeg 11 місяців тому

      Ukitaka ajenge Zanzibar mwambie awe raisi wa Zanzibar sisi Tanganyika nanyie sio ndugu tunawachukia kuliko mnavyo tuchukia ndyo maana mnanjaa mwategemea msosi wetu maana tuko wengi chakula kingi pumbavu 😠😡😡