1: IMANI KAMA MRATIBU WA NGUVU ZA SAUTI KIROHO KATIKA MIFUMO || MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 55

  • @MabelKaaya-hl2je
    @MabelKaaya-hl2je 4 місяці тому +15

    Halleluya Halleluya Halleluya Siri za kutusaidia sana katika maisha na kisha tuingie Mbinguni kwa UWEZA wa AJABU wa ROHO Mtakatifu. Mungu Akutie nguvu sana na team ya huduma ya Mana.

  • @Neema-wy4mh
    @Neema-wy4mh 4 місяці тому +1

    Mungu akubariki baba yetu mwl. Hakika sifa NA heshima ni kwako ww Mungu wetu maana unaotupenda sana. Ndomana umetuletea somo hili. Amen ❤

  • @RebeccaCalebu
    @RebeccaCalebu 4 місяці тому +5

    Amen baba MUNGU andelee kukuweka kwaajili ya tanzania 🙏

  • @RichardMkina
    @RichardMkina 3 місяці тому

    Mtumishi wa mungu ,mungu akubariki sanaa neno ni zuri na linaeleweka ,be blessed.

  • @teddymhenga3006
    @teddymhenga3006 4 місяці тому +1

    Haleluya, Haleluya. Nakupata Mtumishi wa Mungu.

  • @michaelmagnus3483
    @michaelmagnus3483 4 місяці тому +4

    Atukuzwe Mungu ambae Anasema katika kinywa Cha mtumishi wake Bwana Yesu tufunulie masikio yetu yapate kuelewa mafunuo haya.

  • @SlyviaSylvia-gp2mn
    @SlyviaSylvia-gp2mn 4 місяці тому +4

    MUNGU BABA AKUBARIKI KWA UTUMISHI WAKO🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @mathewbernadnyinda7188
    @mathewbernadnyinda7188 3 місяці тому

    Mungu akubariki sana baba,
    Baba njoo huku dar es salaam

  • @lilianaugustinne5708
    @lilianaugustinne5708 4 місяці тому

    Mungu mbariki mtumishi wako🙏🏾🙏🏾

  • @agneskilemwa8671
    @agneskilemwa8671 3 місяці тому

    Amina

  • @marymessay2768
    @marymessay2768 4 місяці тому

    Amen ubarikiwe mtumishi wa Mungu

  • @levaniadaniel-bp2bb
    @levaniadaniel-bp2bb 4 місяці тому

    Ubalikiwe. Sana. Mtumishi. Bwana. Yesu. Kubaliki. Sana. Sana. Asate. Sana. Mungu. Kwa. Kumleta. MwANZA

  • @GenivaLorry-u4n
    @GenivaLorry-u4n 4 місяці тому +1

    Mungu akubariki akupake mafuta mengi zaidi kwa kazi yake

  • @ombeniyohana1457
    @ombeniyohana1457 4 місяці тому

    Ubarikiwe mwalim wangu 🙏🙏😊

  • @jenipherdonald7591
    @jenipherdonald7591 4 місяці тому

    AaaaahAaaaah’ EeeeehEeeeeh’ Yesu wasitahiri heshima🙌🏾🙌🏾🙌🏾AMEEE

  • @Maua-y2c
    @Maua-y2c 4 місяці тому

    Amen Amen 🙏🙏

  • @farajanisilu
    @farajanisilu 4 місяці тому +4

    Mungu akubariki zaidi Kwa haya maarifa ya kutufungua kuhusiana na mifumo yetu

  • @tamarimwasumbweamenmtumish8439
    @tamarimwasumbweamenmtumish8439 4 місяці тому

    Naachilia damu ya Yesu ipite Itete,Sebe,Ndandalo kyela ofisi zote ,mikoa yote moro,Dom mbeya Sumbawanga Dar na penginepo

  • @rosejoseph2228
    @rosejoseph2228 4 місяці тому

    Mungu nitunze Na Familiar yangu Magonjwa yakawe mbali nami

  • @paulsibu5770
    @paulsibu5770 4 місяці тому +5

    Ubarikiwe Sana Baba Mwl Christopher Mwakasege Kwa Maarifa haya Adimu hasa Kwa nyakati hizi ngumu.

  • @raphaelmwamakimbula9642
    @raphaelmwamakimbula9642 4 місяці тому

    Amen ❤👏

  • @esternselu-tq9uh
    @esternselu-tq9uh 4 місяці тому +2

    Ubarikiwe

  • @grolyjosephat8263
    @grolyjosephat8263 4 місяці тому

    Ameeeen

  • @hellenpeter7905
    @hellenpeter7905 4 місяці тому +1

    Tunaiweka wakifu siku zote 4 tunachiria dam ya YESU waliyo kusudiwa KUPOKEA wakapokee , na baba yetu mtumishi wa MUNGU mwalim Christopher mwakasege tunamtegemeza MBELE za MUNGU akamtumie vile apendavyo na roho mtakatifu atumie kwa maelekezo yote, likasekalika kwa jina la YESU

  • @rehemashayo5024
    @rehemashayo5024 4 місяці тому

    Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu kwa mafundisho yako ya kutufumbua macho na kufaham yale ambayo hatukuwa tunajua

  • @CarolineJisandu
    @CarolineJisandu 4 місяці тому

    Ameen Ameen🎉🎉🎉BABA.

  • @VictorKahangwa
    @VictorKahangwa 4 місяці тому

    Naachilia damu ya Yesu ikafunike Mwanza na vitongoji vyake vyote,amen

  • @AsifathSaidi
    @AsifathSaidi 4 місяці тому +1

    Amen mutumishi🙏🏼

  • @ernestbutagalala
    @ernestbutagalala 4 місяці тому

    Amina baba mungu aendelee kukutumia uweze kutimiza Kaz yake

  • @yovithajosephath2034
    @yovithajosephath2034 4 місяці тому

    Amina mtumishi wa Mungu

  • @ElizabethWilfred-k9z
    @ElizabethWilfred-k9z 4 місяці тому

    Amen🙏🙏🙏🙏

  • @jescaasante8185
    @jescaasante8185 4 місяці тому

    Wingu la Mbinguni liendelee kukufunika mwal wetu hakika tunamuona Mungu kupitia mafundisho yako🙏🙏🙏

  • @JoshuaHilgath
    @JoshuaHilgath 4 місяці тому

    Amina Amina

  • @yovithajosephath2034
    @yovithajosephath2034 4 місяці тому +1

    Amen

  • @TERESIAYOHANA
    @TERESIAYOHANA 4 місяці тому

    Amen 🙏🙏🙏

  • @modesterjephter6252
    @modesterjephter6252 4 місяці тому

    AMINA.

  • @peterotieno4613
    @peterotieno4613 4 місяці тому

    Sadaka bila Imani kimatendo Haina nguvu kimatokeo

  • @MarinaJoshua-fj8lv
    @MarinaJoshua-fj8lv 4 місяці тому +2

    Naiombea anga la Bukoba nalo lifunguke kwa damu ya Yesu, ili uende nao wapate mafundisho

  • @stephanosospeter1709
    @stephanosospeter1709 4 місяці тому

    Ameen

  • @JoyceAaron-kn8hj
    @JoyceAaron-kn8hj 4 місяці тому +1

    MUNGU awabariki sana watumishi Kwa kutuletea neno Kwa wakati sahihi

  • @CarolineKimario
    @CarolineKimario 4 місяці тому

    Cristophfer

  • @TunuBagoka
    @TunuBagoka 4 місяці тому +1

    𝑼𝒃𝒂𝒓𝒊𝒌𝒊𝒘𝒆 𝒔𝒂𝒏𝒂

  • @AnithaKagiti
    @AnithaKagiti 4 місяці тому

    Ameni mungu abarikie Kwa kipawa na Ka Rama aliyoachilia ndani yenu.

  • @wildelema5294
    @wildelema5294 4 місяці тому +1

    Sifa na utukufu ni zakowYesu.

  • @ernestbutagalala
    @ernestbutagalala 4 місяці тому +1

    Baba naomba upeleke mkutano na mkoa wa Geita baba pamoja na mikoa yake mkoa wa Geita ukumbuke baba

    • @paschalpaul3862
      @paschalpaul3862 4 місяці тому

      Kahama na Geita kuna tofauti gani maana upande wa Geita semina kila mwaka ufanyikia uko uko mkoa wa Geita eneo la kahama.

  • @jacklinetemba7228
    @jacklinetemba7228 4 місяці тому

    AMEN❤❤🙏

  • @evarisaernest2146
    @evarisaernest2146 4 місяці тому

    Amen

  • @mercyulomi7405
    @mercyulomi7405 4 місяці тому

    Amen

  • @LucasDamas-wq1gm
    @LucasDamas-wq1gm 4 місяці тому

    AMEN